×

Championi

Zahera: Nashusha Mgabon

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kuwa tayari amefikia muafaka mzuri na straika Mghana, kiungo kutoka Gabon, winga...

READ MORE

Alikiba AMjibu DIAMOND Kimagumashi

 KUFUATIA jana Novemba 5, Staa wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye pia ni Mkurugenzi wa Wasafi Media kutangaza...

READ MORE

Muziki wa Kagere wamuibua Tambwe

STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe, ameibuka na kusema straika wa Simba, Meddie Kagere ni moto wa kuotea mbali. Ni baada ya...

READ MORE

C.EO Mpya Simba Aanza na Mkwara Mzito

KLABU ya Simba imemtangaza rasmi Mtendaji Mkuu (C.E.O), Crescentius Magori huku akitangaza kwamba moja ya mipango yake ambayo ataifanya baada...

READ MORE

 Simba SC Yatenga 750m za Usajili

WAKATI dirisha la usajili Tanzania Bara likitarajiwa kufunguliwa Novemba 15, mwaka huu, imebainika kwamba wachezaji mbalimbali wa kimataifa kutoka mataifa...

READ MORE

Uchaguzi Simba… Dalali awaonya wanachama

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Hassan Dalali, amewaasa wanachama wa klabu hiyo kuwa makini kuelekea katika uchaguzi mkuu...

READ MORE

Ajibu: Nimerudi, nipo fiti naanza na Ndanda

LEO saa 1 Usiku Yanga itakuwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar kukipiga na Ndanda FC katika mchezo wa ligi...

READ MORE

Yanga yamng’ang’ania Manji

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unatambua Yusuf Manji bado mwenyekiti wao hadi pale watakapopokea barua kutoka Baraza la Michezo la...

READ MORE

BUSUNGU: LIPULI MSINITAFUTE NIPO DOM NAFANYA BIASHARA

HIVI karibuni Kocha wa Lipuli FC, Selemani Matola aliweka wazi kuwa hajui alipo mchezaji wake Malimu Busungu na kwamba kambini...

READ MORE

NYOTA SERENGETI AFUZU SOKA LA KULIPWA

NAHODHA wa Serengeti Boys, Morice Abraham amefanikiwa kufuzu majaribio yake ya kucheza soka la kulipwa katika klabu ya vijana (U17)...

READ MORE

Waingereza Wamuita Samatta Premier

BABA mzazi wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta, ameweka wazi kuwa majarida makubwa ya nchini...

READ MORE

YONDANI: MKINILETEA HUYU WAMEKWISHA

BEKI mkongwe wa kati na nahodha wa Yanga, Kelvin Yondani amesema akisajiliwa mlinzi wa Rayon Sports ya Rwanda, Abdoul Rwatubyaye...

READ MORE

TFF Yamwambia Bocco Asahau Man United

TAMKO lilitolewa na Bodi ya Ligi Tanzania Bara jana Jumatano, linamaanisha kwamba John Bocco na wachezaji wengine wa Simba hawataiona...

READ MORE

MAGAZETI YA GLOBAL YAPIGA HODI CHANIKA

Kikosi cha mauzo cha Kampuni ya magazeti ya Global Publishers, leo kiliingia tena mitaani kuyanadi magazeti ya Risasi na Championi...

READ MORE

Kwa Simba hii unakufa tu

SIMBA ya sasa ukikutana nayo unakufa tu, hakuna ubishi kuhusu hilo, jana imefanikiwa kushinda mechi ya nne mfululizo kwenye Ligi...

READ MORE

Yanga, beki Rayon mambo safi

YANGA imefikia pazuri na beki wa kati wa Rayon Sports ya Rwanda, Abdul Rwatubyaye. Usajili wa beki huyo katika kikosi...

READ MORE

Nyoni, Juuko Wampa Wakati Mgumu Mbelgiji

BAADA ya hivi karibuni Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems kufanikiwa kuiona pacha ya mabeki wake wawili wa kati,...

READ MORE

Ajibu aivutia kasi Lipuli

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu amesema kuwa ameanza mazoezi kwa ajili ya kujiaandaa na mchezo wao dhidi ya Lipuli...

READ MORE

Cannavaro apewa kuku

BEKI na nahodha wa zamani wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, jana alifanyiwa ‘sapraiz’ ya kutosha kutoka kwa mashabiki wa Yanga...

READ MORE

Straika wa Mil 100 Simba mguu ndani, nje

DIRISHA dogo la usajili linafunguliwa Novemba 15 mwaka huu, tayari mambo ni moto kwani ndani ya Simba, mshambuliaji wa timu...

READ MORE

Wazee Yanga wampitisha Manji

MTAKOMA! Ndivyo unaweza kusema baada ya Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe na Mwenyekiti wa Yanga...

READ MORE

Kagere amponza Tambwe Yanga SC

KOCHA wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kama mshambuliaji wake, Mrundi, Amissi Tambwe anataka kucheza kikosi cha kwanza basi ni...

READ MORE

Mbelgiji wa Simba ampa onyo Chama

KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems ameshindwa kuzuia hisia zake na kutamka kuwa timu yao imepata kiungo kwa Mzambia,...

READ MORE

Rekodi ya Mbelgiji Simba ni noma

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, Jumatano iliyopita, alitimiza siku 19 ndani ya kikosi hicho akifanya kazi bila kuwa...

READ MORE

Alichokisema Mo Dewji Baada ya Kuibuka Msikitini

MAMBO sasa ni safi ndani wa Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwekezaji mkuu wa klabu hiyo, Mohamed Dewji...

READ MORE

Bao la Fei Toto lanunuliwa Yanga

BAO la dakika 89 alilolifunga kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ lilizua shangwe na kujikuta akivamiwa na mashabiki wa...

READ MORE

ISHU YA CHIRWA, ZAHERA AKUBALI YAISHE

BAADA ya taarifa kusema Obrey Chirwa anaweza kurejea kikosini humo, ghafla Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera alisema hamtaki lakini sasa...

READ MORE

Zahera: Nini Chirwa! Nawaleteeni bonge la straika

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunga mjadala wa aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Mzambia, Obrey Chirwa kwa kutamka kuwa...

READ MORE

DJUMA ABANWA MBAVU RWANDA

ALIYEKUWA kocha msaidizi wa Simba, Masoud Djuma raia wa Burundi wikiendi iliyopita alianza majukumu yake mapya ya kuinoa A.S Kigali...

READ MORE

Mo aanza na uwanja Simba SC

BAADA ya afya yake kuimarika, mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameanza na ishu ya maendeleo ya uwanja wa timu...

READ MORE

Mkude ampongeza kocha Yanga

KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude, ameshindwa kujizuia na kujikuta akimpatia tano (kumpongeza) Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera....

READ MORE

Kauli ya Magufuli Inavyowapa Nguvu Taifa Stars

NAHODHA Msaidizi wa Taifa Stars, kiraka Erasto Nyoni, ameweka wazi kuwa kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Zahera: Bongo hii hakuna kama Ajibu

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, raia wa DR Congo, ameweka wazi kuwa siyo ndani ya klabu yake pekee bali...

READ MORE

Chama, Okwi walivyozima kelele za Yanga SC

EMMANUEL Okwi na Claytous Chama jana walifanikiwa kuipa ushindi Simba wa mabao 3-0 dhidi ya Stand United kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Sh 200m Kumng’oa Ajibu Yanga

IBRAHIM Ajibu ambaye mpaka sasa ndiye kinara wa asisti Ligi Kuu Bara akiwa kapiga sita katika mechi sita kwenye kikosi...

READ MORE

Vyeti Vya Wagombea Simba Ni Tatizo

  KLABU ya Simba inatarajia kuanza kampeni za uchaguzi rasmi wiki ijayo mara baada ya kukamilika kwa ukaguzi wa vyeti...

READ MORE

TFF Yapangua Kikosi Cha Simba

  KIKOSI cha Simba ambacho kitashuka dimbani kesho kumenyana na Stand United kitakuwa na mabadiliko makubwa kutokana na sababu mbalimbali....

READ MORE

MKUDE APEWA MCHONGO UFARANSA

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude ameshtuka na sasa ameweka wazi kuwa anataka kuondoka klabuni hapo na kwenda Ulaya kucheza soka...

READ MORE

Msuva Afichua Siri Ya Kung’ara

  KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa, Simon Msuva anayekipiga katika timu ya Difaa El Jadida ya nchini Morocco, ametoa siri ya...

READ MORE

Bilioni 1 Ya Mo..Unakula bata la laki kila siku miaka 27

  UKIMUIBUA Mohammed Dewji ‘Mo’ alipo unajishindia Sh bilioni 1 kwa mujibu wa familia ya muwekezaji huyo wa Simba. Kimchanganuo...

READ MORE