×

Championi

Mtibwa: Tutabeba Ngao Kwa Simba

MTIBWA Sugar hawahofii mbwembwe za Simba na wamewatamkia kwamba wakutane ndani ya CCM Kirumba, Agosti 18 mbivu na mbichi zitajulikana....

READ MORE

Makambo, Tambwe Watenganishwa Yanga

MASTRAIKA wawili wa kigeni wa Yanga, Amissi Tambwe na Heritier Makambo hawataanza kwa pamoja kwenye kikosi cha kwanza, Kocha Mwinyi...

READ MORE

Simba Day: Macho Yote Kwa Jamaa Hawa Leo

LEO Agosti 8, nje ya kuwa ni maadhimisho ya Siku ya Wakulima, kwa wapenzi wa soka hasa wale wa Simba...

READ MORE

Makambo, Tambwe Watenganishwa Yanga

MASTRAIKA wawili wa kigeni wa Yanga, Amissi Tambwe na Heritier Makambo hawataanza kwa pamoja kwenye kikosi cha kwanza, Kocha Mwinyi...

READ MORE

Kipa Simba SC Apewa Adhabu Na Mbelgiji

WAKATI Simba leo ikicheza na Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wa kirafiki kwenye Tamasha la Simba Day, kocha mkuu...

READ MORE

Pawasa Ampongeza Cannavaro

KOCHA mkuu wa timu ya Taifa ya mchezo la Soka la Ufukweni ‘Beach Soccer’ Boniface Pawasa amefunguka kuwa kitendo cha...

READ MORE

Kocha Yanga SC Amsifu Ngassa

KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mcongo, Mwinyi Zahera amesema kuwa mshambuliaji wake Mrisho Ngassa ataisaidia sana timu hiyo.  ...

READ MORE

Fei Toto Amchomoa Tshishimbi Yanga

KIUNGO mpya wa timu ya Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameibuka na kuweka bayana kuwa anatamani kupangwa eneo la kiungo...

READ MORE

Nahodha Yanga SC awalilia Kessy, Chirwa

NAHODHA msaidizi wa timu ya Yanga Juma Abdul amesema kuwa kuondoka kwa wachezaji waliokuwa wakianza kikosi cha kwanza ndani ya...

READ MORE

Msuva Aitwa Ulaya, Al Jadida Yataka Sh Bilioni 4

TIMU nne kutoka nchi za Ulaya zimeonyesha nia yawazi kumuwania mshambuliaji wa Klabu ya Difaa El Jadida, Simon Msuva anayekipiga...

READ MORE

Kilichowabakisha Ajibu, Tshishimbi Dar Hiki Hapa

BAADA ya kikosi cha Yanga, juzi Alhamisi kutimkia mkoani Morogoro huku Ibrahim Ajibu na Papy Kabamba Tshishimbi wakibaki jijini Dar,...

READ MORE

Kocha Yanga Adai TFF Wanaipendelea Simba

KOCHA pekee mwenye uraia wa Ufaransa na DR Congo kwenye Ligi Kuu Bara, Mwinyi Zahera anayeinoa Yanga amesema anaona wazi...

READ MORE

Mbelgiji Abadili Mfumo Simba

MAMBO ni moto katika kikosi cha Simba huko nchini Uturuki ambako kikosi hicho kinachoendelea kujifua kwa ajili ya msimu ujao,...

READ MORE

Jose Mourinho Vs Man United

KWA kawaida mako­cha na wachezaji wen­gi huwa wanatumia mechi za maandalizi ya msimu kwa ajili ya kuwa kitu kimoja, kufundishana...

READ MORE

Yanga Yahaha Kupata ITC Za Makambo, Klaus

KLABU ya Yanga imeendelea kusotea vibali vya wachezaji wake wa kimataifa, mshambuliaji Heritier Makambo na kipa Klaus Kindoki waliowa-sajili hivi...

READ MORE

Yanga Kutangaza Kapu Ni Aibu

WAKATI Yanga hivi sasa ikipitia kipindi kigumu kiuchumi, lakini tanga­zo la Kaimu Katibu Mkuu, Omar Kaaya kuwa sasa Wanayanga waichangie...

READ MORE

Yanga Kupitisha Bakuli, Inaonekana Kiasi Gani Mmeishiwa Ubunifu

  KLABU ya Yanga imetan­gaza kuanza kuchangi­sha fedha kwa ajili ya kujikwamua katika hali ngu­mu waliyonayo kipindi hiki.   Nilimuona...

READ MORE

Gonzalo Higuain Atua AC Milan

SIKU chache tangu Cristiano Ronaldo atue ndani ya Juventus, straika Gonzalo Higuain, amepishana naye kwa kuwa ameamua kuelekea AC Milan....

READ MORE

Yanga Shughuli Imewashinda Wajipange Kwenye Ligi Tu

BADO siku 22 kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Bara baada ya kucheza mchezo wa Ngao ya Hisani ambao utapigwa...

READ MORE

Baba: Samatta Anakwenda Leicester…

ACHANA na habari za La Liga. Straika namba moja wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta anaweza kuwashangaza mashabiki wake kwa kutua...

READ MORE

Mbelgiji Simba Ataka Mabao 120

WAKATI kikosi cha Simba kikiendelea kujifua vilivyo huko nchini Uturuki kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, kocha...

READ MORE

Yondani Ampa Jeuri Zahera Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameonyesha imani yake kubwa kwa beki wake, Kelvin Yondani baada ya kumkataa beki wa ...

READ MORE

Fei Toto Awapa Yanga Mbinu Ya Kuimaliza Simba

WAKATI kikosi cha Simba kikiwa katika programu ya mazoezi nchini Uturuki kwa takribani wiki moja sasa, kiungo mpya wa Yanga,...

READ MORE

Kocha Azam: Tukitoka Uganda Watatukoma

WAKATI leo Jumatatu kikosi cha Azam FC kikitarajia kukwea pipa na kuelekea nchini Uganda kwa ajili ya kambi yake ya...

READ MORE

Niyonzima Aikacha Kambi Ya Uturuki

KIUNGO mchezeshaji wa Simba Mnyarwanda, Haruna Niyonzima ni kama ameikacha kiaina kambi ya timu hiyo ni baada ya viongozi kulalamika...

READ MORE

Cannavaro Meneja Mpya Yanga

YANGA wamemwambia Nadir Haroub ‘Cannavaro’ mziki wa Emmanuel Okwi na Meddie Kagere wa Simba hatauweza msimu huu badala yake ajiandae...

READ MORE

Kila La Heri Yanga, Mashabiki Onyesheni Uzalendo

  KESHO Jumapili saa 1 usiku kwa saa za Tanzania Yanga itaikaribisha Gor Mahia katika mchezo wake wa raundi ya...

READ MORE

Yanga Wamtumia Kaseke Kuimaliza Gor Mahia

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amewaambia wapinzani wake Gor Mahia watarajie upinzani mkubwa katika mchezo huu wa marudiano...

READ MORE

Makocha Simba Sh 320,000 Kwa Siku

ASIKWAMBIE mtu, Simba hivi sasa ipo vizuri kiuchumi. Katika kuthibitisha hilo uongozi wa klabu hiyo umewaandalia nyumba za kifahari makocha...

READ MORE

Mbelgiji Aanza Kukiunga Kikosi Upya

KOCHA Patrick Aussems raia wa Ubelgiji ameanza kutoa mafunzo ya mfumo anaotaka kuutumia katika msimu wa 2018/19 akiwa na Simba....

READ MORE

Sanga Kajiwahi Tu, Ilikuwa Lazima Aondoke Yanga

JUZI Jumatatu moja ya mambo ambayo nilikuwa nikiyafikiria ili­kuwa ni juu ya mwelekeo wa Yanga lakini hasa ni kuhusu aliyekuwa...

READ MORE

Simba SC Yaajiri Kocha Mpya Uturuki

MABINGWA wa Soka Tanzania, Simba wameonyesha wamepania ku­fanya kweli baada ya kuongeza nguvu ya benchi lake la ufundi.   Simba...

READ MORE

Bocco: Uturuki Kutatupa Kasi ya Ligi Kuu Bara

BAADA ya usiku wa kuamkia jana Jumapili, Simba kukwea pipa kuelekea nchini Uturuki kwa ajili ya kambi, nahodha wa kikosi...

READ MORE

Kessy Ashtukia Mtego Yanga

kessBEKI wa pembeni wa Yanga, Hassan Kessy ameshtukia mtego unaofanywa na viongozi wa timu hiyo na kutamka kuwa kamwe hawatampata...

READ MORE

Ngoma Aenda Kuombewa kwa TB Joshua

IMEELEZWA kuwa, mshambuliaji mpya wa Azam FC, Donald Ngoma raia wa Zimbabwe, wikiendi iliyopita alienda kufanyiwa maombi maalum na mchungaji...

READ MORE

Yanga Yashusha Kiungo Msauzi

AKILI za viongozi wa Yanga zinaonekana hazipo tena kwenye Kombe la Shirikisho inayoendelea, kwani jana wachezaji waligoma lakini kuna kiungo...

READ MORE

Yondani Mambo Safi Yanga SC

BEKI wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani ambaye kila siku ya Mungu anavuka maji ya Bahari ya Hindi kuelekea kwake...

READ MORE

Mbelgiji Simba Aleta Beki, Kiungo

KOCHA pande la mtu aliyemwaga wino Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems amewaambia viongozi anataka wachezaji wengine wawili wa maana. Timu hiyo...

READ MORE

Okwi wa Zambia Asaini Simba

SIMBA kweli imedhamiria kufanya makubwa katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya jana...

READ MORE

 Simba Kufikia Kambi ya Kishua Uturuki

JUMLA ya wachezaji 26 wa kikosi cha Simba, wanatarajiwa kuondoka kesho Alfajiri kuelekea Uturuki kuweka kambi ya takribani wiki mbili...

READ MORE