×

Championi

Wawa Apewa Kazi Tatu Simba SC

MABOSI wa Simba tayari wamekubal­iana kumpa mkataba beki Muivory Coast, Pascal Serge Wawa kwa sharti la kufanya vipimo kabla ya...

READ MORE

Dida Atua Simba Miaka Miwili

HII ni habari njema kwa mashabiki wa Simba, ni kwamba leo kipa wa zamani wa Yanga, Deogratius Muni­shi ‘Dida’ anasaini...

READ MORE

Mrithi Wa Rostand Aikacha Yanga, Atua JKT Tanzania

YANGA ina mpango wa kumleta msaidizi wa kipa wao Youthe Rostand ambapo habari mbaya ni kuwa kipa ambaye walipanga kumsajili...

READ MORE

Hans apewa masharti Azam Fc

  UONGOZI wa Azam FC, umempa masharti kocha wake mpya, Hans van Der Pluijm kuwatumia wachezaji vijana katika kikosi chake...

READ MORE

KAZI IMEANZA…. YANGA YAMTEKA KIUNGO SINGIDA

Feisal Salum ‘Fei Toto’ (kushoto).   KAMATI ya Usajili ya Yanga ambayo inasimamiwa na mwenyekiti wake wa muda, Abass Tarimba,...

READ MORE

Wazungu Wamuita Ndemla Ulaya

  UWEZEKANO wa kiungo mkabaji wa Simba, Said Ndemla kuichezea timu hiyo ni mdogo. Ni baada ya kupata ofa ya...

READ MORE

Manara awatolea povu TFF

AFISA HABARI mwenye mbwembwe nyingi kuliko wasemaji wengine wa timu za hapa nchini, Haji Manara wa Simba, ameibuka na kuweka...

READ MORE

KIUNGO YANGA ASAINI SIMBA KWA MIL.30

KIUNGO mchezeshaji wa Simba anayesifika kwa mashuti ya mbali, Mohamed Ibrahim ‘Mo Ibra’ rasmi anasaini mkataba wa kuendelea kuichezea timu...

READ MORE

Usajili Mpya Yanga Noma

USAJILI Yanga ni noma kwani kila kitu kuhusu nani anaachwa, anatolewa kwa mkopo na maingizo mapya kikosini humo yatajulikana leo...

READ MORE

Kichuya: Yanga Wakileta Mpunga Natavunja Mkataba

MCHEZAJI kipenzi cha mashabiki wa Simba, Shiza Kichuya tayari amesaini mkataba wa miaka miwili Simba lakini amesema kama Yanga watakwenda...

READ MORE

Manula: Kuingia Na Taulo Uwanjani Siyo Ubishoo

KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula amesema kitendo cha yeye kuingia na taulo uwanjani siyo uchawi wala ubishoo bali...

READ MORE

Mwambusi Apata Timu Ghana, Agoma

TANZANIA ina upungufu wa makocha wazawa wanaofundisha soka nje ya nchi lakini juzikati Kocha Msaidizi wa Azam, Juma Mwambusi alipewa...

READ MORE

TUZO MCHEZAJI BORA VPL LEO NI LEO

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), leo Jumamosi linatarajiwa kutoa tuzo mbalimbali kwa wale waliofanya vizuri kwenye Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Kocha Yanga Ataja Straika Anayemtaka

KOCHA Mkuu wa Yanga mwenye asili ya DR Congo, Mwinyi Zahera amewaambia mabosi wake kuwa anahitaji washambuliaji wawili na kiungo...

READ MORE

Yanga Fanyeni Haraka, Julai 18 Siyo Mbali

MABINGWA wa zamani wa Tanzania Bara, Yanga, ndiyo wamesalia kuwa wawakilishi wa Tanzania kwenye michua­no ya kimataifa kwa ngazi ya...

READ MORE

Simba Wamruhusu Mavugo Kwenda Mbao

BAADA ya timu ya Mbao FC kumtaka mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, kuziba pengo la Hababu Kiyombo, uongozi wa...

READ MORE

Coutinho Awaita Mezani Yanga SC

KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Yanga hivi sasa anaichezea Klabu ya Al Naser ya nchini Libya, Andrey Coutinho amewaambia viongozi...

READ MORE

Kocha Yanga Awaondoa Kina Tshishimbi Dar

KOCHA Mkuu wa Yanga mwenye uraia wa DR Congo, Mwinyi Zahera, ameomba kambi ya nje ya Jiji la Dar es...

READ MORE

Simba Mpya Ya Mo Dewji Kufuru

SIMBA walianza kumsainisha Marcel Kaheza wa Majimaji, akafuatia Adam Salamba wa Lipuli. Mashabiki wakaguna…aaah jamaniieee watacheza wapi wote hao mastraika?...

READ MORE

Straika Simba Aitwa Kenya

STRAIKA chipukizi wa Simba, Moses Kitandu, amepata dili la kujiunga na timu ya Nakumatt ya Kenya baada ya kuonyesha kiwango...

READ MORE

Tambwe: Yanga Wananidai, Ninabaki

MSHAMB-ULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Amissi Tambwe raia wa Burundi ameibuka na kuweka wazi kwamba katika kipindi hiki cha usajili...

READ MORE

Chirwa Ajiunga Na Ismailia Ya Misri

STRAIKA Mzambia, Obrey Chirwa, amefanikiwa kujiunga na Ismailia inyoshiriki Ligi Kuu ya Misri kwa mkataba ambao umefanywa kuwa ni wa...

READ MORE

Mo Afuata Mastraika Wawili Matata

UONGOZI wa Simba chini ya mwekezaji, Mohamed Dewji ‘Mo’, umepanga kufunga usajili kwa kusajili washambuliaji wawili profesheno kutoka nchi za...

READ MORE

Yanga Yamfuata Kipa wa TP Mazembe

RASMI Kamati ya Usajili ya Yanga inayoongozwa na Abbas Tarimba imemfuata kipa wa TP Mazembe, Vumi Ley Matampi kwa ajili...

READ MORE

Niyonzima, Mkude Out

SIMBA imepanga kuwapumzisha wachezaji wake mastaa wa kikosi cha kwanza katika michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kufanyika jijini Dar...

READ MORE

Lechantre Apewa Mshahara wa Sh 120m Libya

  SIKU chache baada ya uongozi wa Simba kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Mfaransa, Pierre Lechantre, imebainika...

READ MORE

NDEMLA AGOMEA MAMILIONI YA MO

  TATIZO siyo fedha, kwani Mohammed Dewji ‘Mo’ anaweza kuzitoa isipokuwa masharti magumu aliyoipa Simba ndiyo sababu ya kiungo mkabaji...

READ MORE

Yanga Yashusha Vifaa Vitatu

  KAMATI maalum ya kuweka mambo sawa Yanga inafanya mambo yake kwa usiri mkubwa lakini imebainika kwamba Kocha Mwinyi Zahera...

READ MORE

Beki Yanga Akaribia Kutua Zamalek

ANDREW Vicent ‘Dante’ ambaye anamudu vilivyo kucheza nafasi ya beki ya kati, yuko mbioni kutua katika kikosi cha Zamalek kinachoshiriki...

READ MORE

Chirwa Aiponyoka Simba, Afichwa Misri

KLABU ya Al Mokawloon ya Misri imemuondoa straika Obrey Chirwa Yanga na wako kwenye hatua za mwisho za kumsainisha, jambo...

READ MORE

KESSY: YANGA NIPENI SH60M NISAINI

HASSAN Kessy ambaye anacheza nafasi ya beki ya pembeni kwenye kikosi cha Yanga, amesema yupo tayari kuendelea kuvaa jezi msimu...

READ MORE

Ronaldo Aanza Na Hat Trick Urusi

  CRISTIANO Ronaldo alianza kwa kishindo Fainali za Kombe la Dunia baada ya kupiga mabao matatu yaliyosaidia timu yake ya...

READ MORE

MANYIKA AZIGONGANISHA SIMBA, AZAM FC

IMETAJWA kuwa klabu za Simba na Azam FC zimeingia kwenye vita ya kusaka saini ya kipa wa Singida United, Peter...

READ MORE

Mo Dewji Ampa Mzuka Niyonzima

KIUNGO mchezeshaji wa Simba, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda ameweka bayana kwamba kwa msimu ujao anajipanga kuona anafanya kitu cha...

READ MORE

Kamati Yafafanua Tuzo Kuwa na Simba Tupu

KUFUATIA kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwatangaza wachezaji watatu waliobaki katika kinyang’anyiro cha tuzo hiyo ambao...

READ MORE

Sportpesa Super Cup Imetuvua Nguo, Tujipange

NIANZE kutoa kongole kwa Mbwana Samatta na Ally Salehe Kiba ‘King Kiba’ kwa kile ambacho waliki­fanya mwishoni mwa wiki iliyo­pita...

READ MORE

Djuma Afumua Kikosi cha Lechantre Simba

KOCHA mwenye nafasi kubwa ya kuiongoza Simba kwenye michuano ya Kagame baadae mwezi huu, Masoud Djuma, ameamua kukifumua kikosi kile...

READ MORE

Makocha Hawa Kazi Wanayo Msimu Ujao

MSIMU wa 2017/18 ukiwa hata haujapoa vizuri tangu ulipofikia tamati Mei 28, mwaka huu, tayari baadhi ya timu zimeshaanza maandalizi...

READ MORE

Simba Kutotwaa Ubingwa Wa Sportpesa Ni Somo Jingine Tena

WIKIENDI iliyopita timu ya Simba ilichapwa mabao 2-0 na Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa fainali ya michuano ya...

READ MORE

Simba, Yanga Zilienda Kiujanja-Ujanja Kenya, Zimestahili Zilichokipata

  PONGEZI zangu za dhati ziende kwa mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ kwa kile ambacho alikifanya juzi Jumatatu kwa...

READ MORE