×

Championi

Lechantre: Sitaki Kumtegemea Okwi Caf

  ACHANA na kikosi hichi kilichochukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kishindo kwenye msimu huu, Kocha Mkuu wa Simba...

READ MORE

Hii Vita Ya Majimaji Na Ndanda TFF Kuweni Macho

  JUZI Jumatano, Ndanda FC iliifunga Mwadui FC na kufufua matumaini ya kusalia kwenye Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao....

READ MORE

Kocha Simba Ampa Kichuya Onyo Kali

KOCHA Msaidizi wa Simba, Mrundi, Masoud Djuma, wakiwa wamebakiza mechi moja waweze kukamilisha msimu wa ligi kuu ameibuka na kusema...

READ MORE

Kamusoko Aitaja Sababu Iliyoiua Yanga

KIUNGO mahiri wa Yanga, Thaban Kamusoko raia wa Zimbabwe, amefunguka kuwa ugumu wa ratiba na kucheza muda mfupi baada ya...

READ MORE

Kocha Yanga Aitaka Mikoba Ya Pluijm Singida

IMEBAINIKA kuwa aliyewahi kuwa Kocha wa Yanga, Du­san Kondic, raia wa Serbia ni miongoni mwa makocha ambao wanapigiwa chapuo kwa...

READ MORE

Yanga Yafufuka, Yaichapa Mbao

HATIMAYE Yanga jana ilifanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza baada ya kupita mechi tisa za kimashindano tangu aliyekuwa kocha mkuu...

READ MORE

Simba SC Kumfanyia Sapraizi JPM Taifa

STRAIKA namba moja nchini, Emmanuel Okwi, ameandaa sapraizi ambayo ni zawadi maalum ya mabao atakayomkabidhi leo Jumamosi Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Bocco Ahofia Rekodi Yao Kuvunjwa

  SIMBA imebakiwa na mechi mbili kwenye ligi kuu na kama hawatafungwa basi wataweka rekodi lakini mshambuliaji wao hatari, John...

READ MORE

Dar Yote Nyekundu Leo, Magufuli Kuwakabidhi Kombe Simba

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye ni Simba wa kutupwa, amewaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi leo...

READ MORE

Mahakama Yaiagiza TFF Kupitia Upya Ishu ya Wambura

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imekubali maombi yaliyopelekwa na aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la...

READ MORE

Kagera Sugar: Tutatibua Sherehe Za Simba SC

  WAKATI wapenzi na mashabiki wa Simba wakiendelea kusherehekea ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, Kocha Mkuu wa Kagera...

READ MORE

Mashabiki Yanga SC Waikataa ‘Sub’ Ya Kamusoko

KATIKA hali isiyotarajiwa, juzi Jumatano mashabiki wa Yanga walionyesha kukerwa na mabadiliko yaliyofanywa na benchi la ufundi la Yanga kwa...

READ MORE

Yanga Tumieni Muda Huu Kubadili Upepo

 INAFAHAMIKA wazi kwamba hivi sasa Yanga imekuwa haina ma­tokeo mazuri kwenye michuano inayoshiriki tangu kuondoka kwa aliyekuwa kocha wao mkuu,...

READ MORE

Mbunge Ambariki Mo Dewji Kuichukua Simba

  WAKATI zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya Simba kukutana kwa ajili ya mkutano wake wa mwisho juu ya kubadili...

READ MORE

Mfaransa Simba Aisikitikia Yanga

BAADA ya Yanga kutoa suluhu dhidi ya Rayon Sports katika mchezo wa hatua ya makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika,...

READ MORE

Yanga Yajipangia Pointi Zao Caf

BAADA ya Yanga kuanza vibaya mi­chuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi na kuburuza mkia wa Kundi D,...

READ MORE

WACHEZAJI HAWA WAMEZITUNGUA TIMU ZAO WALIZOHAMA MWANZONI

UTAMU wa Ligi Kuu Bara umefika pazuri na ndiyo pazia la ligi hiyo li­naelekea kufungwa kwa msimu wa mwaka 2017/18...

READ MORE

Wachezaji Yanga Waache Mzaha, Tupeni Raha Leo

NIWAPONGEZE Simba ambao kwa msimu huu wame­fanikiwa kutwaa ub­ingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kuonyesha juhudi ya hali ya...

READ MORE

Mzee Akilimali, Hili La Yanga Linakuhusu Usijikaushe!

  TUMEWAHI kusikia kwamba hata wale wanaojiita wazee wa klabu huwa wana ma­slahi yao, pale yanapoguswa tu, basi kunakuwa na...

READ MORE

Simba Kubeba Kombe Siku ya Mafisango

KIUNGO wa zamani wa Simba, Patrick Mutesa Mafisango ke­sho Alhamisi anatimiza miaka sita kaburini katika wiki ambayo Simba inabeba kombe...

READ MORE

Kuisapoti Yanga Kutaifanya Ipate Ushindi Leo

TIMU ya Yanga inacheza mchezo wake wa pili leo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda, kwenye...

READ MORE

Kagera, Majimaji Zamtia Kiwewe Okwi

MSHAMBULIAJI hatari wa Simba, Emmanuel Okwi raia wa Uganda amefunguka kuwa anazihofia timu ambazo watakutana nazo kwenye mechi zijazo kwa...

READ MORE

MKONGO YANGA AWAANDALIA KIPIGO RAYON

BAADA ya Yanga kuanza vibaya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi, kocha mkuu wa timu hiyo, Mwinyi...

READ MORE

MFARANSA WA SIMBA AELEZEA ALIVYONYAKUWA UBINGWA

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre, amesema haikuwa rahisi kwao kuuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara huku akiitaja siri...

READ MORE

MASHABIKI WAMMWAGIA FEDHA KICHUYA

Simba, Shiza Kichuya juzi Jumamosi aliwashangaza wengi baada ya kuamua kucheza na fedha ambazo alipewa na mashabiki wa timu hiyo....

READ MORE

CHIRWA AKUBALI KURUDI KIKOSINI, AJIBU AWEKA NGUMU

HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga ni kuwa mshambuiliaji wao, Mzambia, Obrey Chirwa, amerejea kikosini na kuanza mazoezi ya pamoja...

READ MORE

Mabosi Wavamia Mazoezi Yanga, Wawamwagia Noti Wachezaji

KATIKA kuhakikisha wanaongeza hamasa ya timu kuelekea mechi ya pili ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, mabosi...

READ MORE

AZAM FC YAINGILIA USAJILI WA YANGA SC

BAADA ya Yanga kuiandikia barua Lipuli FC ya kumhitaji straika wa timu hiyo, Adam Salamba, imeelezwa kuwa, Azam nayo imetuma...

READ MORE

Omog, Mayanja watuma salamu za ubingwa Simba

MAKOCHA wa zamani wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog na Mganda, Jackson Mayanja, wametuma salamu za kuipongeza timu hiyo baada ya...

READ MORE

BOCCO AVUNJA REKODI YA MIAKA 15

SIKU chache baada ya Simba kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu Bara, mshambuliaji na nahodha wa Simba, John Bocco amewashangaza wapenzi...

READ MORE

Yondani Arejea Yanga, Aanza Mazoezi

IKIJIANDAA na mchezo wake wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rayon Sports ya...

READ MORE

Bodi ya Ligi Yagoma Kuwakabidhi Simba Kombe Lao Singida

BODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imethibitisha kwamba Simba hawatakabidhiwa kombe lao leo Jumamosi lakini litakuwa jipya na ghali kuliko yale...

READ MORE

Mkude Aweka Rekodi ya Pekee Simba SC

KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude amefanikiwa kuandika rekodi ya pekee klabuni hapo baada ya juzi Alhamisi timu hiyo kutangaza...

READ MORE

Singida United: Hatutaipigia Makofi Simba SC

WAKATI Simba wakijiandaa kuapizwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Bara watakapotua uwanjani leo Jumamosi kuwavaa Singida United, wapinzani wao...

READ MORE

Yanga Umaskini Ni Wa Kujitakia Tu

  WAKATI Klabu ya yanga ikipitia kipindi kigumu cha kuwa na hali mbaya ya kifedha, unaweza kusema kuwa katika hali...

READ MORE

Yaya Toure Aagwa Kwa Heshima Man City

HATIMAYE kiungo Yaya Toure ameagwa rasmi ndani ya Klabu ya Manchester City baada ya kuitumikia timu hiyo kwa miaka nane....

READ MORE

Mourinho: Nitapitisha Panga Man United

KOCHA wa Man­chester United, Jose Mourinho amekiri kuwa kuna wachezaji ambao watalazimika kuondoka klabuni hapo kwa kutofikia levo za kuichezea...

READ MORE

Yanga: Tulieni Bado Tuna Mechi 5

YANGA imewaambia mashabiki wao kwamba matokeo ya kipigo cha mabao 4-0 dhidi ya USM Algiers yasiwapanikishe kwani bado wana michezo...

READ MORE

Pluijm Aapa Kulipa Kisasi Kwa Simba

  KOCHA wa timu ya Singida United, Mholanzi, Hans van Der Pluijm kuelekea kwenye mechi yao dhidi ya Simba itakayopigwa...

READ MORE

Yanga Yasalimu Amri Simba Bingwa

HATIMAYE benchi la ufundi la Klabu ya Yanga limeamua kukubali kuwa wapinzani wao Simba kwa msimu huu ndiyo mabingwa huku...

READ MORE