×

Championi

Simba isipomuingilia Joseph Omog, itafika mbali

Kocha Joseph Omog. NI jambo zuri kwa Simba kuingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Joseph Omog raia wa Cameroon...

READ MORE

Mavugo: Nikija tu Simba mtafurahi wenyewe

Straika Laudit Mavugo. HUKU kukiwa na sintofahamu ya ujio wa straika Laudit Mavugo katika kikosi cha Simba, mchezaji huyo raia...

READ MORE

Mahadhi: Nipo tayari kwenda Mazembe

Ibrahim Mussa, Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Juma Mahadhi amefunguka kuwa yupo tayari kujiunga na TP Mazembe...

READ MORE

Mahadhi amtikisa Msuva

Wilbert Molandi, Dar es Salaam WAKATI mashabiki wakitabiri kiwango cha kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Juma Mahadhi kuwa kitamuweka benchi...

READ MORE

Waghana wampa nguvu Pluijm, apumua

Wilbert Molandi, Dar es Salaam MATOKEO ya suluhu waliyoyapata wapinzani wao wa Kombe la Shirikisho, MO Bejaia na Medeama yamempa...

READ MORE

Wakenya waingilia dili la Mavugo kutua Simba

Omary Mdose, Dar es Salaam BAADA ya Klabu ya Simba kutangaza kutaka kumsajili straika Mrundi, Laudit Mavugo, mabingwa mara tatu...

READ MORE

Jamal Malinzi aiwakia Yanga, kisa Mazembe

Omary Mdose na Jackline Wilbroad SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa, Klabu ya Yanga imekiuka kile ilichoagizwa kufanya na...

READ MORE

TP Mazembe yavunja rekodi ya Yanga

Omary Mdose na Nicodemus Jonas USHINDI iliyoupata TP Mazembe ya DR Congo dhidi ya Yanga, Jumanne ya wiki hii, umevunja...

READ MORE

Bao la Mazembe offside

Mchezaji wa Yanga akiwania mpira na mchezaji wa TP Mazembe. YANGA imeshindwa kutimiza ndoto yake ya kuwamaliza vigogo wa Afrika...

READ MORE

Simba wamchongea Kessy kwa Pluijm

Beki mpya wa Yanga, Hassan Kessy. Wilbert Molandi, Dar es Salaam WAKIWA kwenye maandalizi ya mechi ya Kombe la Shirikisho...

READ MORE

Yanga yateketeza milioni 260 Uturuki

Wachezaji wa Yanga wakipambana na wachezaji wa TP Mazembe jana. KATIKA kuonyesha kuwa wamejipanga vyema na michuano ya kimataifa uongozi...

READ MORE

Jeuri ya fedha… Yanga Vs TP MazeMbe bureeeee

Wachezaji wa Yanga. UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeamua mashabiki watakaoingia uwanjani kushuhudia mechi kati ya Yanga dhidi ya TP...

READ MORE

Bosi mpya aituliza Simba

Wachezaji wa timu ya Simba. SIKU chache baada ya Patrick Kahemele kutua ndani ya Klabu ya Simba na kukabidhiwa cho...

READ MORE

Kisa cha Ngoma, Tambwe kuzinguana

Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Amissi Tambwe. WAKATI Yanga ikiendelea na harakati za kujiandaa na mchezo wao wa Kombe la...

READ MORE

Yanga: Baada ya Mazembe tunarudi Uturuki

Msemaji wa Yanga, Jerry Muro. Na Said Ally, Dar es Salaam Yanga itakipiga dhidi ya TP Mazembe, kesho Jumanne katika Kombe...

READ MORE

Kessy atua kuivaa TP Mazembe, atoa kauli nzito kwa Simba

Beki mpya wa Yanga, Hassan Kessy. Na Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas YANGA wameshatua jijini Dar es Salaam kwa ajili...

READ MORE

Yanga wapeni furaha Watanzania

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa katika ngazi ya klabu, Yanga kesho Jumanne watakuwa Uwanja wa Taifa jijini Dar...

READ MORE

Vurugu zaiponza ES Setif, yaondolewa Caf

Kikosi cha Klabu ya ES Setif ya Algeria. CAIRO, Misri SHIRIKISHO la Soka Afrika (Caf) limeiondoa Klabu ya ES Setif...

READ MORE

Ivo Mapunda akunja vilago Azam FC

Azam FC imeamua kuachana na kipa wake mkongwe Ivo Mapunda waliyemsajili msimu uliopita kutokana na kutoridhishwa na kiwango chake, huku...

READ MORE

Kessy kampa kampa Ngoma

Ngoma na Bosou KOCHA wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amesema ana matumaini na ameomba timu yake isifanye makosa katika...

READ MORE

Kocha Mghana ashikilia kibarua cha Mayanja Simba

Jackson Mayanja Nicodemus Jonas na Wilbert Molandi KWA kiasi kikubwa Simba imeshamalizana na Kocha Mghana, Sellas Tetteh Teivi ili aje...

READ MORE

Dante: Nikicheza na Waarabu, hamnitoi ‘first eleven’

Said Ally na Omary Mdose KUNA uwezekano mkubwa beki mpya wa Yanga, Andrew Vincent ‘Dante’ akachezeshwa kesho Jumapili dhidi ya...

READ MORE

Kavumbagu asaini Vietnam, Azam FC yafunguka

Wilbert Molandi, Dar es Salaam IMEFAHAMIKA kuwa mshambuliaji wa Azam FC, Mrundi, Didier Kavumbagu amesaini Klabu ya Long Tam Long...

READ MORE

Bongo Movies wafungua Tawi la Yanga

Mike Sangu Na Hamida Hassan,  Dar es Salaam MASTAA wa Bongo Movies wanaoshabikia Timu ya Yanga wamefungua tawi rasmi kwa...

READ MORE

Caf: Ruksa Kessy kuivaa Bejaiya

Wilbert Molandi, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Soka Afrika (Caf), limemruhusu beki mpya wa pembeni, Hassan Kessy na wachezaji wenzake...

READ MORE

Kocha mpya Simba huyu hapa

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KOCHA mpya wa Simba ni Sellas Tetteh Teivi, raia wa Ghana, pia ni mmoja wa...

READ MORE

Beki Mcameroon atua Azam FC

Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba. Hans Mloli, Dar es Salaam LICHA ya Azam FC kuwa kimya katika suala...

READ MORE

Beki TP Mazembe atua Simba

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KWELI Simba wameamua, tayari beki Janvier Besala Bokungu raia wa DRC, ametua Dar es Salaam...

READ MORE

Dante akabidhiwa mikoba ya Bossou Uarabuni

Hans Mloli, Dar es Salaam BEKI wa kimataifa wa Yanga, Mtogo, Vincent Bossou, bado hajajiunga na timu hiyo na kuibua...

READ MORE

Kocha Simba aweka rekodi Ulaya

Omary Mdose, Dar es Salaam ALIYEKUWA kocha wa makipa wa Simba, Mkenya, Idd Salim, mwishoni mwa wiki iliyopita alihitimu mafunzo...

READ MORE

Manji: Yanga noti, noti, noti

MGOMBEA pekee wa kiti cha uenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, amewaomba wanachama kumpa tena ridhaa ya kuiongoza klabu hiyo ili...

READ MORE

Yanga SC yamhamishia Kessy Ulaya

BEKI mpya wa Simba, Hassan Kessy, hataonekana nchini kwa muda wa siku 14 akitarajiwa kuonekana siku tatu kabla ya mechi...

READ MORE

Azam: Kavumbagu atajua mwenyewe

Said Ally, Dar es Salaam BAADA ya taarifa kuenea kuwa Klabu ya Mbeya City ipo katika mchakato wa kumtwaa straika...

READ MORE

Mayanja anakuja kuisuka Simba SC mpya

Nicodemus Jonas, Dar es Salaam KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Mganda, Jackson Mayanja, amewatoa hofu wanachama wa timu yake na...

READ MORE

Saa 2 za Kessy mazoezini Yanga

    Beki wa kulia mpya wa timu ya Yanga, Hassan Kessy. Wilbert Molandi na Mohammed Mdose AKIRIPOTI kwa mara ya...

READ MORE

Dante achukua milioni 30 za Yanga, ataka kuishi uswahilini

Beki mpya  wa Yanga , Andrew Vincent ‘Dante’. Omary Mdose na Said Ally YANGA imempa beki wao mpya waliomsajili hivi...

READ MORE

Yanga yaifanyia umafia Simba SC

Said Juma ‘Makapu’ akisani mkataba. Mohammed Mdose, Dar es Salaam UNAWEZA kusema ni umafia baada ya uongozi wa Yanga kukubali...

READ MORE

Penalti ya Samatta yauwa mtu Dar es Salaam

Omary Mdose, Dar es Salaam MCHEZO wa kuwania kufuzu kwa fainali za Mataifa Afrika mwakani nchini Gabon uliozikutanisha Taifa Stars...

READ MORE