×

Global TV Online

BREAKING: CHADEMA Waibua MAPYA Ishu ya KOROSHO – VIDEO

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemuomba Rais wa Jamuhuri yaMmuungano wa Tanzania, Dk John Magufuli kukutana na wadau wa...

READ MORE

SIMULIZI YA KUSISIMUA: TAA YA AJABU (SEHEMU YA 15) – VIDEO

Hii ni Sehemu ya Kumi na tano ya Hadithi ya Simulizi Hii ya ‘TAA YA AJABU’ ambayo imeandaliwa na Mfalme...

READ MORE

GLOBAL HABARI FEBR 26: JPM Akutana na Daktari Bingwa wa UPASUAJI – VIDEO

Rais Dkt. John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo Ikulu Jijini Dar Es Salaam naDaktari Bingwa wa Upasuaji Wa Ubongo Na...

READ MORE

GLOBAL HABARI FEBR 25: Mbele ya RC MWANRI, Makamu wa RAIS Awapa Maagizo TABORA! – VIDEO

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa mkoa wa Tabora kutunza mazingira ili kufanikisha ujenzi wa mradi wa...

READ MORE

Wataalam 9 wa Ardhi Waliofariki Ajali Waagwa Morogoro – Video

NAIBU Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula,  amewaongoza mamia ya wananchi katika zoezi la kuaga miili ya wataalam tisa wa wizara...

READ MORE

MBOSSO Alivyomdondosha DANSA Wake , Tuzo za Sinema Zetu Mlimani – VIDEO

Mwanamuziki MBOSSO Khan kutoka Wcb amefanya shoo ya aina yake katika usiku wa tuzo za SINEMA zetu Uliofanyika Mlimani City...

READ MORE

VITUKO vya MOBETO Kwenye TUZO za SZIFF!!! – VIDEO

Mwanamitindo HAMISA MOBETO, ni miongoni mwa mastaa waliopewa heshima ya kutoa TUZO kwenye usiku wa tuzo za SINEMA ZETU uliofanyika...

READ MORE

LIVE: Ufunguzi wa Michezo ya Kijeshi Uwanja wa Uhuru DSM – VIDEO

Ni ufunguzi wa michezo ya majeshi unafanyika leo Februari 23, katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi...

READ MORE

HUKUMU ya Waliochoma Kituo cha POLISI, Hali Ilivyo Mahakamani!! – VIDEO

Watuhumiwa wanaodaiwa kuchoma Kituo Cha Polisi Bunju jijini Dar es Salaam mwaka mmoja uliopita, leo Februari 22, wamefika katika Mahakama...

READ MORE

FRANSISCO NGUEMA: Rais Mvuta BANGI Aliyeua Nusu Ya Raia / Alinyongwa Pia – VIDEO

Huyu ni Rais wa Jamhuri ya Guinea ya Ikweta yaani Ginekweta, nchi iliyobarikiwa utajiri wa mafuta na gesi ikalaaniwa viongozi!...

READ MORE

SAKATA LA SUGU, CHADEMA WAWATAKA POLISI WASIKURUPUKE – VIDEO

Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) kimelitaka Jeshi la Polisi nchini kufanya kazi kwa weledi na kuacha kukurupuka katika utendaji...

READ MORE

GLOBAL HABARI FEBR 21: KIMENUKA! Prof LIPUMBA Amvaa MAALIM SEIF! – VIDEO

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Katibu mkuu wa chama hicho maalim Seif Hamad kutochukua hatua...

READ MORE

SPOTI HAUSI: ZAHERA Aliipa SIMBA Ushindi – VIDEO

Kipindi cha Spoti Hausi kitakuwa hewani tena leo kukuletea mambo mengi, lakini kubwa zaidi mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara...

READ MORE

BARUA NZITO: DIAMOND PLATNUMZ Hakuna NASSIB Bila ABDUL! – VIDEO

Hivi sasa kuna gumzo kubwa sana linaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na baba yake Diamond Platnumz, ambaye kwa sasa...

READ MORE

EXCLUSIVE: Mama GODZILLA Afunguka “MAKONDA Sio AKILI Yake” – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, Jana Jumanne, Februari 19, 2019 alimkabidhi rapa Farid Kubanda ‘Fid Q’...

READ MORE

Meneja wa TRA Aliyekataa Mabilioni Akapongezwa na JPM Huyu Hapa! – VIDEO

Meneja wa Mamlaka ya mapato Tanzania mkoa wa Kilimanjaro Msafiri Mbibo amemshukuru Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John...

READ MORE

HATARI: Baba DIAMOND Ana KANSA, Dada Amlilia MAGUFULI “Msaidieni” – VIDEO

Ni takribani wiki sasa tangu mwanadada Zubeda, atie kambi Bongo akitokea London kwa ajili ya kuja kumsaidia Baba wa Mwanamuziki...

READ MORE

CHADEMA Wacharuka “Mnaua Watu, Watoto wa Mbowe Wamepigwa” – Video

BARAZA la Vijana wa Chadema BAVICHA, limetoa malalamiko dhidi ya vitendo vya jeshi la polisi nchini vinavyoingilia Uhuru wa Mahakama....

READ MORE

Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio

KARIBU ujiunge na familia ya marafiki wa Global TV Online – Club sasa, uwe wa kwanza kupata video zote za...

READ MORE

GLOBAL HABARI FEBR 19: Waziri Mkuu ‘ATUMBUA’ Hadharani Leo – VIDEO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mweka Hazina wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo, Thomas Chogolo ili kupisha uchunguzi wa...

READ MORE

MPAKA HOME: Maisha halisi ya Papaa Mafido, Hajiwezi kwa Wema Sepetu – VIDEO

Katika kipindi cha MPAKA HOME Wiki tumemtembelea Mkali wa vichekesho, Papa Mafido, anayeishi Sinza na kupiga nae stori mbili tatu...

READ MORE

Jambo Food Products waifanyia kazi kauli ya JPM – Video

KAULI mbiu y a Rais Dkt John Pombe Magufuli, ni Tanzania ya Viwanda! Malengo yake ni kuona viwanda vinajengwa kila...

READ MORE

VIDEO: MREMBO WA USWAHILINI, ANAYOYAFANYA HUWEZI KUAMINI!

 Uswahilini kuna vituko sana. Mila na tamadauni za uswahilini ukizijua unaweza usiamini wakati mwingine. Kwa mfano, uswahilini kuna utamaduni...

READ MORE

GLOBAL HABARI FEBR 16: WAZIRI MKUU ATINGA KIGOMA ZIARA YA SIKU NNE – VIDEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo feb 16, amewasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku nne, ambapo amepokelewa na...

READ MORE

LIVE MAKABURINI: GODZILLA AKIZIKWA MUDA HUU KINONDONI – VIDEO

Mwili wa Mwana Hip Hop Nguli Bongo, Golden Jacob ‘Godzilla’ tayari umewasili nyumbani katika amakaburi ya Kinondoni jijini Dar tayari...

READ MORE