×

Global TV Online

Mwanamke Mwenye Muonekano Wa Kiume, Afunguka Magumu Anayopitia- Video

Loveness Tarimo ni mwanamke mtunisha misuli anayeshikilia nafasi ya Miss Fitness Tanzania na Miss Fitness East Afrika. Global TV imefanya...

READ MORE

Makonda Aingia Na Lori La Mchanga Sengerema, Akiwa Na Chepe Mkononi, Atoa Maagizo 3 -Video

Katibu wa Halmashauri Kuu , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda leo Novemba 12, 2023 ametoa maagizo matatu ya Chama...

READ MORE

Video: Waziri Wa Maji Awesu Amthibitishia Makonda Ndani Ya Wiki 3 Maji Kupatikana Katoro – Geita

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amempigia simu Waziri wa Maji,...

READ MORE

Inasikitisha! Simulizi Ya Mjane Aliyefungwa Miaka 22 Kwa Kukutwa Na Nyama Ya Swala Kwenye Ndoo – Video

Maria Ngoda, mkazi wa mtaa wa Zizi la Ng’ombe, Iringa. Siku ya tukio alikutwa karibu na makazi yake na ndoo...

READ MORE

Shigongo Afichua Madudu Ya Kutisha Ofisi Ya Mwigulu -”Wanaiba Fedha, Watakuingiza Kwenye Matatizo” – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Taifa hili kila mtu anataka kuiba na wengi wao ni wasomi wanatumia kalamu kama...

READ MORE

Paul Makonda Aangua Kilio Kaburini Kwa Hayati Magufuli Chato Mkoani Geita (Picha + Video)

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Paul Makonda akiendelea na ziara yake Kanda ya Ziwa, Novemba 10,2023...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali Yakusanya Sh.Trilioni 9.06 Robo Ya Kwanza – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika robo ya kwanza ya mwaka 2023/2024, mapato kutoka vyanzo vyote vya ndani na nje...

READ MORE

Maandamano Dar: Kamanda Muliro Atoa Onyo Kali – “Nimarufuku Kuingia Barabarani”- Video

 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo Novemba...

READ MORE

Ally Kamwe, Ahmed Na Haji Manara Watinga Bungeni – Video

DODOMA, Tanzania: Wasemaji wa vilabu vya Simba na Yanga, Ahmed Ally na Ali Kamwe, pamoja na mdau wa soka, Haji...

READ MORE

Mama Aungua Na Maharage Hadi Mfupa Unaonekana, Alia Akiomba Msaada – Video

Hujafa hujaumbika! Mwanamke Farida Ramadhan (44), mkazi wa Kibamba CCM jijini Dar es Salaam anaishi kwa mateso makubwa, kufuatia tukio...

READ MORE

Kijana Aongea Kwa Uchungu Akiomba Msaada, Yupo Kitandani Miaka 5 – Video

Kijana Ally Hassan, ambaye tulitoa habari yake hivi karibuni hivi halisi anayoishi ya kulala na dumu lililokatwa kitandani, ili haja...

READ MORE

Wabunge Wapitisha Michango Kumpa Profesa Jay, Laki 2 – Video

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma, amewaomba wabunge kumchangia laki mbili kwa aliyekuwa Mbunge wa Mikumi na Msanii wa Hip...

READ MORE

16 Wakamatwa Kwa Tuhuma Za Kuendesha Kiwanda Cha Biskuti Za Bangi – Video

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imewakamata Watu 16 wanaodaiwa kujihusisha na shughuli za utengenezaji wa...

READ MORE

Ali Kamwe Afunguka Dakika Ya 5 dhidi ya Coastal Mashabiki Kusimama – Video

OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe amezungumza kuelekea mchezo dhidi ya Coastal union utakaopigwa hapa Tanga katika dimba la Mkwakwani.

READ MORE

Shabiki Mwingine Wa Yanga Auawa Geita Na Walinzi – ”Alilewa Baada Ya Ushindi, Walimuhisi Ni Mwizi”- Video

Mfanyabiashara mmoja ambaye pia alikuwa Shabiki wa Yanga, Alex Mayaya (40), mkazi wa Mji mdogo wa Katoro, Geita ameuawa kwa...

READ MORE

Shabiki Wa Yanga Auawa Kwa Kuchomwa Visu Tumboni Baada Ya Mechi, Ndugu Wasimulia -Video

Familia ya shabiki wa Yanga, Amani Isaya Makasi aliyeuawa kwa kuchomwa kisu wakati akisherehekea ushindi wa timu yake, imeomba msaada...

READ MORE

Simbachawene: Kama 5-1 Imetokana Na Rushwa, Simba Mkaripoti Takukuru – Video

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema kama Klabu ya...

READ MORE

Mama Ntilie Na Mteja Wake Wakutwa Wamefariki Wakiwa Watupu, Jirani Asimulia – Video

Hali ya taharuki imeibuka mkoani Iringa mara baada ya mama ntilie na mteja wake wa kiume kukutwa wamefariki wakiwa watupu....

READ MORE

Musukuma: Wananunua Suti Za Gharama, Kingereza Kingi Kumbe Wezi -Video

Mbunge wa Geita Vijiji, Joseph Kasheku ‘Musukuma’ akichangia mjadala wa uchambuzi wa Ripoti ya CAG amesema kuna fedha nyingi zinatajwa...

READ MORE

Mke Wa Prof Jay, Dotto Magari Na Ben Pol Wafanya Kufuru Dodoma – Wamewekeza Mamilioni Ya Pesa -Video

Mke wa Joseph Haule ‘Prof. Jay, Grace Mgonjo amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa kwa hatua waliopitia yeye...

READ MORE

Warda Aomba Kurudi Shule – ”Nisameheni, Mumepata Tabu Kunitafuta”…

Mtoto Warda Mohamed (15), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu iliyopo Kibaha mkoani Pwani, ambaye alipotea tangu April 19,...

READ MORE

Video: Warda Afichua Siri Ya Kutoroka – Azungumza Kila Kitu Amwaga Machozi

Mtoto Warda Mohamed (15), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu iliyopo Kibaha mkoani Pwani, ambaye alipotea tangu Aprili 19,...

READ MORE

Makonda: Waziri Atakayefikisha Robo Mwaka Bila Ripoti Ya Kazi Atachukuliwa Hatua – Video

KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya...

READ MORE

Mama Boko Apewa Msaada Aishukuru Global TV – Video

Shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba maarufu kwa jina la Mama Boko, ameishukuru Global TV ambapo kufuatia mahojiano aliyofanyiwa na...

READ MORE

Serikali Yapendekeza Kuanzishwa Kwa Bima ya Afya kwa Wote – Video

DODOMA; Serikali inapendekeza kuanzishwa kwa mfuko wenye lengo la kugharamikia Bima ya Afya kwa Wote wasio na uwezo, aidha mfuko...

READ MORE

Video: Rais Samia Ampokea Rais Wa Shirikisho La Ujerumani Dkt. Frank Walter Steinmeier

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Dkt. Frank Walter Steinmeier,Rais wa Shirikisho la Ujerumani katika...

READ MORE

#Exclusive: Paula Afichua Ujauzito Wa Marioo – “Siwezi Kujificha Nahisi Nimekua”- Video

Paula Kajala; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) nchini Tanzania amekanusha uvumi unaoendelea kwamba ana ujauzito wa Msanii...

READ MORE

Ahmed Ally Afungukua Kuelekea Derby -”Tutampelekea Pumzi Ya Moto, Azam Washamaliza Mwendo”- Video

MENEJA wa Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo. “Mchezo dhidi ya Yanga SC utachezwa...

READ MORE

Baba Amnyonga Mwanaye Kwa Kamba Ya Viatu Na Kupiga Naye Selfie – Aacha Ujumbe Mzito -Video

Mkazi wa Mtaa wa Kota, Kata ya Mlandege Mkoani Iringa, Goodluck Mgovano aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 33 anadaiwa...

READ MORE

Jokate Awavaa Wabunge Viti Maalum CCM Wasiofanya Mikutano Ya Hadhara, Atoa Tamko – Video

JOKATE Mwegelo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), amewataka wabunge wa viti maalumu kufanya mikutano...

READ MORE

Maskini Mtoto Warda Bado Siri Nzito, Familia Yaishiwa Nguvu, Yamlilia Kwa Uchungu – Video

Sakata la binti mdogo, Warda Mohammed (16), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyumbu, Kibaha kupotea tangu April 19, 2023 bado...

READ MORE

Mapokezi Ya Makonda Yatikisa Dar, Akabidhiwa Ofisi Kwa Mara Ya Kwanza (Picha +Video)

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, leo Oktoba 26, 2023 amepokelewa rasmi katika...

READ MORE

Taarifa Mpya: TCRA Yatoa Tahadhari kwa Watumiaji wa Mawasiliano Nchini -Video

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa taarifa ya mwenendo wa Sekta ya Mawasiliano katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Septemba,...

READ MORE

#Cairo: Ahmed Ally Atoa Kauli Za Kishujaa Kuwavaa Ahyl – ”Sisi Sio Timu Ya Kutuchukulia Poa” -Video

SIMBA leo ina kibarua cha dakika tisini kuhakikisha inaweka rekodi ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya African Football League,...

READ MORE

Rais Samia Mgeni Rasmi Katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zambia leo – Video

Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Zambia Oktoba 23, 2023 kuanza ziara ya kitaifa...

READ MORE

Ali Kamwe Apagawa Na Aziz Ki, Al Ahly Afanye Jambo Tu Hakuna Uzalendo” – Video

Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe baada ya ushindi akakutana na Shabiki wa Azam FC mwenye majonzi mazito aliyeshindwa hata...

READ MORE

Katibu Mkuu Msigwa Afunguka Baada Ya Simba Kutoka Sare Dhidi Ya Al Ahly “Hauna goli la Mama’ – Video

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa ameeleza kuwa mchezo wa Simba dhidi ya Al Ahly...

READ MORE

Ahmed Ally: Simba Itapata Ushindi Ugenini na Kuitapisha Damu Al Ahly – Video

Msemaji wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema licha ya Simba kutoa sare dhidi ya Al Ahly ya Misri ya...

READ MORE

Rc Chalamila: Moto Wa Kariakoo Ulikuwa Ni Hujuma Za Wafanyabiashara Wenyewe Sio Ajali -Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa kauli hiyo wakati akiwasilisha Taarifa ya Kamati iliyoundwa kwaajili ya...

READ MORE

Taarifa Nzito Ya Warda Iliyotufikia Studio, Anayemjua Nje Ndani Amwaga Ukweli – Video

Sakata la binti mdogo, Warda Mohammed (16), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyumbu, Kibaha kupotea tangu April 19, 2023 bado...

READ MORE