×

Global TV Online

Video: Kesi Ya Kanumba Na Lulu Yaibuka Bungeni – ”Angekuwa Hai Angehukumiwa Kwa Kubaka”…

Mbunge wa Viti Maalum (UVCCM), Munira Mustapha Khatib, ameliibua sakata la waigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na marehemu Steven Kanumba bungeni...

READ MORE

Unyama Dar! Mjamzito Achomwa Moto Na Mumewe Hadi Kufariki – Video

TUKIO la kutisha limetokea Tandale, Dar es saalam ambapo mwanamke (Hawa) amechomwa moto na mume wake kwa kummwagia mafuta ya...

READ MORE

LIVE: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Afika Mnazi Mmoja Kusikiliza Kero za Wafanyabiashara wa Kariakoo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wake na wafanyabiashara wa...

READ MORE

Kamanda Muliro Atoa Onyo Kali… Hatawavumilia Watakaowasumbua Wafanyabiashara -Video

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema Jeshi la Polisi halitawavumilia watu watakaowasumbua wafanyabiashara walioamua...

READ MORE

Mbunge Aliyeruka Sarakasi Bungeni Atishia Kuruka Tena Kwenye Bajeti Ya Wizara Ya Ujenzi Na Uchukuzi -Video

Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay atishia kuruka sarakasi ili suala la barabara ya lami kujengwa katika baadhi ya sehemu...

READ MORE

Mandonga Afichua Siri Suti Ya Laki 7 Aliyotinga Nayo Bungeni – Video

Bondia Karim Mandonga amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa ikitokea akastaafu Ubondia atakuwa mchekeshaji kwani anaonekana kuwa na...

READ MORE

Mwili wa Mwanamtandao William Malecela Maarufu kama ‘LeMutuz’ Waagwa Dar – Video

MWILI wa Mwanamtandao maarufu Nchini Tanzania William Malecela maarufu kama ‘LeMutuz’ ambaye pia ni Mmiliki wa Online TV ya LeMutuz...

READ MORE

Mbowe Alivyokutana Na Kumfariji Mke Wa Membe Na Watoto Wake – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amefika kuhani msiba wa Benard Membe, mwanasiasa mkongwe aliyefikwa na...

READ MORE

Mbunge wa Mbarali Francis Mtega Aibua Madai Mazito Bungeni – Video

Mbunge wa Mbarali, Francis Mtega ameibua madai mazito bungeni, akiwatuhumu askari wa wanyamapori (TANAPA), kuwafanyia ukatili mkubwa wananchi, kwa madai...

READ MORE

Naibu Spika wa Bunge Amuonya Mbunge wa Tarime, Mwita Waitara – Video

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azan Zungu, amemuonya Mbunge wa Tarime, Mwita Waitara na...

READ MORE

Mkali Wa Dansi Adolf Mbinga Ana Hali Mbaya Kiafya, Alia Na Wadau Wa Muziki – Video

 Msanii maarufu wa bendi hapa nchini, Adolph Mbinga, yuko kwenye hali ngumu, baada ya kusumbuliwa na ugonjwa takribani miezi...

READ MORE

#Exclusive Video: Dorah Amwaga Machozi, Aeleza Anavyotamani Mtoto – ”Napenda, Ikitokea Inshallah”…

Kwenye Exclusive na @imeldamtema amekutana na kupiga stori na msanii maarafu wa filamu @dorahofficial ambaye amefunguka mambo mengi ikiwa ni...

READ MORE

Bunge Lacheka Mbunge Musukuma Akichangia Kwa Kingereza – Video

Mbunge wa Geita Vijijini Musukuma amevunja Wabunge mbavu kwa uchangiaji wake kwa kutumia lugha ya Kiingereza leo Mei 3, 2023.

READ MORE

Zamaradi Afunguka Baada Ya Kuzindua TV Yake – ”Sio Kwamba Nina Hela ni Mungu” -Video

  MTANGAZAJI maarufu ambaye anamiliki Zamaradi TV, Zamaradi Mketema amezindua rasmi kituo chake cha Zamaradi TV kitakachokuwa kinapatikana kwenye visimbuzi....

READ MORE

Exclusive Video: ”Barnaba Nimemroga, Nimemziba Mdomo Na Kondoo Mweusi” – Mama Kimbo Alipuka…

Kungwi na mwigizaji maarufu Bongo, Shekha Mattaka almaarufu amefunguka kuwa baadhi ya watu wamekuwa wakimtuhumu kwamba amemroga msanii wa Bongo...

READ MORE

Steve Nyerere Awalipua Waliosusia Tuzo Za TMA – “Wakisusa Wasuse” – Video

Msanii wa filamu za Kibongo na mwenyekiti wa taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengere maarufu Steve Nyerere, amewachana...

READ MORE

Christina Shusho Afunguka Kupendwa Sana Na Watu, Ampa Sifa Diamond – Video

 Mtumishi wa Mungu na mwimbaji mahiri wa muziki wa injili, Christina Shusho amesema staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz...

READ MORE

Itakuliza! Baba Aliyepata Ajali Ya Noah Na Familia Yake Asimulia Walivyosombwa Na Maji… – Video

Kufuatia familia ya Neiman Metili wa Ilboru mkoani Arusha kupata ajali mbaya na gari lao aina ya Toyota Noah walilokuwa...

READ MORE

Msafara Wa Viongozi Wa Chadema Wapata Ajali, Watano Wajeruhiwa – Video

Viongozi kadhaa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamenusurika kifo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali majira ya...

READ MORE

Mama Wa AKA Afichua Alichozungumza na Mwanaye Kabla Ya Kuuawa Kwa Kupigwa Risasi – Video

Miezi miwili tangu kifo cha ghafla cha msanii wa Afrika Kusini, Kiernan Jarryd Forbes maarufu kama AKA, familia yake imezungumzia...

READ MORE

Rais Samia Awateua Diamond Na Shilole Kuwa Wajumbe Wa Baraza La Kupambana Na Malaria-Video

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Susulu Hassan amewateua baadhi ya wasanii wakiwemo Diamond Platnumz, Shilole na...

READ MORE

Video: Mikopo Ya Uswahilini Inavyovunja Ndoa, Zai Kijiwe Nongwa Afichua Yaliyompata…| Mapito

Zai Kijiwe Nongwa ameteka tasnia ya ucheshi kupitia mitandao ya jamii na sasa anaeleza chanzo cha umaarufu wake akifanya mahojiano...

READ MORE

Waumini 11 Wa Kanisa Wafariki Kwa Njaa Wakiwa Kwenye Mfungo – Video

Jeshi la Polisi nchini Kenya wamefukua miili ya watu 21 ambao ni waumini wa kanisa la News International Church, ambao...

READ MORE

Mtoto Aliyesaidiwa Na Rais Aongea Kwa Uchungu…”Kama Siyo Rais Samia Kuniona Ningekuwa Nimekufa”-Video

Mara kwa mara Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan anapokuwa ziarani sehemu mbalimbali hapa nchini...

READ MORE

Ndugu Wa Watu 4 Waliokutwa Wamefariki Afunguka… ”Wana Alama Ya Kupigwa, Kuna Mtu Amedhamiria” -Video

KUFUATIA msiba mzito wa wanafamilia wanne ndani ya nyumba, Global TV imefika kwenye maziko na kuzungumza na mmoja wa ndugu…

READ MORE

Video: Maziko Ya Watu 3 Familia Moja Waliokutwa Wamefariki Ndani Ya Nyumba Dar…

Unaweza kusema ni kifo chenye utata, baada ya familia ya watu sita kukumbwa na mkasa na baadaye wanne kufariki kwa...

READ MORE

Exclusive: Meneja Wa Mayele Afunguka Ofa Ya Al Hilal – ”Mayele Ni Mchezaji Wa Yanga!”..

Yasmin Razack, mtaalamu wa masuala ya sheria katika michezo na msimamizi wa mchezaji Fiston Mayele, amesema hawajapata ofa yoyote kutoka...

READ MORE

Mateso Ya Mtoto Miezi 6 Yatakuliza, Mama Yake Aomba Msaada – Video

Mkazi wa Kibada Jijini Dar es Salaama, Rukia Mohamed Ally (25) ambaye kwa sasa anapitia mateso makali baada ya Mtoto...

READ MORE

Mbunge Aangua Kilio Bungeni, Awaacha Wabunge Hoi – “Tembo Wanaua Wananchi Wetu”-Video

Mbunge wa Lindi, Viti Maalum kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Maimuna Pathan leo April 12, 2023 amemwaga machozi...

READ MORE

Sakata la Tanga Cement… Wabunge Wapinga Vikali Kuongezeka kwa bei ya Saruji – Video

Sakatala Kampuni ya Twiga Cement kutaka kuinunua kampuni ya Tanga Cement, linazidi kupamba moto ambapo idadi ya wabunge wanaopinga vikali...

READ MORE

Waziri Kairuki Atangaza Ajira Zaidi Elfu 21 Kada Ya Afya Na Elimu – Video

WAZIRI wa Ajira nchini Angellah Kairuki amezungumza na wanahabari akieleza juu ya ajira mpya zilizotangazwa na serikali…

READ MORE

Mo Dewji: Tulikataa Bil 2.5 Za Udhamini, Huwa Natwiti Mwenyewe Simba Ikifanya Vibaya! – Video

Mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba, Mohamed Dewji amesema Klabu ya Simba ilikataa mkataba wa shilingi bilioni 2.5 ya...

READ MORE

Kiongozi wa Dini Anayeabudiwa Akabiliwa Na Kashfa Nzito – Video

Jina la Dalai Lama limekuwa gumzo duniani kote baada ya mtu huyo kukumbwa na kashfa nzito ya kulazimisha mtoto ambusu...

READ MORE

Lissu: Madudu ya Ripoti ya CAG ni Mfumo, Usiporekebishwa Yataendelea kila Mwaka – Video

 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amefunguka mengi kuhusiana na ripoti ya CAG na...

READ MORE

#Exclusive Video: Mtoto Wa Nabii Geordavie Monica Afunguka Kushiriki Umiss, Ndoa, Familia, Kazi…

Binti Wa Mtumishi wa Mungu Nabii Gerodavie, Monica amefanya mahojiano na Global TV Online na kufunguka maisha yake, ndoa na...

READ MORE

Ndege Ya KLM Kushindwa Kutua Uwanja wa KIA Serikali Yatoa Tamko -Video

Kufuatia kushindwa kutua kwa ndege ya Shirika la KLM katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro wa KIA na kwenda nchini...

READ MORE

Simanzi! Wanandoa Waliofariki Kwa Ajali Ya Kugonga Kichwa Cha Treni Wazikwa Sinza, Ndugu Wasimulia – Video

Simanzi imetawala Aprili 06, 2023 wakati wa maziko ya aliyekuwa Mhandishi wa Wizara ya Maji, Hussein Chilala na mkewe, Furaha...

READ MORE

Taarifa Ya CAG Yabaini Madudu, Mabilioni Yapigwa, Halmashauri Kichaka Cha Wapigaji.. -Video

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere amezungumza na wanahabari Aprili 06, 2023 akieleza kuhusu...

READ MORE

Mbunge Shigongo Amshukuru Rais Samia Kuchimba Visima Buchosa- Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amekutana na kufanya kikao na wananchi wa kitongoji cha Nyangalamila ambao siku chache zilizopita waliandamana...

READ MORE

Mbunge Musukuma Amvunja Mbavu Spika, Ampongeza Rais Samia – Video

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma amechangia hoja katika mjadala uliokuwa ukiendelea bungeni Aprili 04, 2023, ikiwa...

READ MORE