×

Global TV Online

Yanga Yatambulisha CEO Mpya Andre Matine, Wazindua App Ya Mashabiki – Video

KLABU  ya Yanga, leo Septemba 27, 2022 imemtangaza Andre Matine kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo kutoka klabu ya TP...

READ MORE

Harmonize – Nitaubeba (Official Video), Atamba na Mpenzi Wake Kajala Masanja

 HARMONIZE au Teacher Konde; ni staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo Septemba 22, 2022 ameachiavideo...

READ MORE

Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba Atoa Tamko Jipya Kuhusu Tozo

  WAZIRI wa fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba Bungeni leo Jumanne Septemba 20, 2022 amesema Serikali imefuta tozo ya...

READ MORE

Bungeni: Wabunge Wanaibana Serikali Kwa Maswali, Mawaziri Wanajibu -Video

 Bunge la 12 mkutano wa 8 kikao cha 3 kimeendelea leo 15 sept 2022 Bungeni Dodoma. ⚫️ SIKILIZA +...

READ MORE

Exclusive: Baba Mzazi wa Ommy Dimpoz Afunguka Mazito, Kazi Yake, Dimpoz Ni wa 9 -Video

 GLOBAL TV imefanya mahojiano na Baba mzazi wa mwanamuziki Ommy Dimpoz, mzee Nyembo, anayeishi Sumbawanga akifanya biashara ya kuendesha...

READ MORE

Video: Kumekucha Bungeni, Wabunge Wanawabana Mawaziri Kwa Maswali, Spika Tulia Anaongoza Kikao..

 Bunge la 12 mkutano wa 8 kikao cha 2 kimeendelea leo 14 sept 2022 Bungeni Dodoma. ⚫️ SIKILIZA +...

READ MORE

Video: Uapisho wa Rais William Ruto, Hali Ilivyo Uwanjani, Rais Samia Awasili, Viongozi Wahudhuria

 RAIS mteule wa Kenya William Ruto leo anachukua hatamu za uongozi pindi tu atakapoapishwa katika sherehe kubwa inayifanyikajijini Nairobi...

READ MORE

Rais Samia Anashiriki Jubilei Ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (Wawata) katika Uwanja wa Mkapa-Video

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Jubilei ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) katika...

READ MORE

Wakili wa IEBC: Tume Waliharakisha Kutangaza Mshindi wa Uchaguzi wa Urais Kwasababu Walihofia Usalama Wao

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kupitia wakili wake George Murugu imesema kuwa ilitangaza kwa ‘haraka’ matokeo ya Urais...

READ MORE

Live: Rais Samia Anafungua Miradi Ya Kimaendeleo Kizimkazi Zanzibar Muda Huu…

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anafungua Miradi ya Maendeleo leo tarehe 02 Septemba, 2022...

READ MORE

Video: Waziri Mwigulu Atoa Ufafanuzi wa Tozo za Miamala ya Simu na Benki

 Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema Tozo hii si kodi ya Biashara wala si kodi inayotokana na faida ya...

READ MORE

Video: Kesi ya Uchaguzi wa Rais Kenya: ‘Ruto Hakupata Asilimia 50+1 ya Kura’-Wakili wa Odinga, James Orengo

KESI ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Kenya leo Agosti 31, 2022 inaendelea huku majaji wa mahakama ya...

READ MORE

Video: Mazishi Ya Mzee Mrema Kijijini Kwao Moshi, Umati Wafurika, Vilio Vyatawala

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha TLP, Augustino Mrema umezikwa Alhamisi Agosti 25 katika kijiji cha Kiraracha mkoani Kilimanjaro....

READ MORE

Video: Mrembo Aliyetupwa Jela Sauzi Afrika Miezi 6, Mapya Yaibuka | Mapito

 Binti wa Kitanzania, Leyla Hamud amesimulia mapito ya maisha yake likiwemo tukio la kutaka kubakwa na mjomba wake katika...

READ MORE

Video: Mwili wa Msanii Erick Kisauti Waagwa Kibaha Mkoani Pwani, Ndugu Wazimia Jeneza Likiingizwa Ndani..

 MWILI wa Msanii maarufu wa vichekesho, Zabogan Zabron maarufu kama Erick ‘Hivyo hivyo’ umeagwa na kisha safari ya kuelekea...

READ MORE

Live: Rais Samia Anashiriki Mkutano Wa 42 Wa SADC nchini DRC Muda Huu…

 Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi wa...

READ MORE

Live: Raila Atinga Mahakamani, Utata Waibuka Matokeo Ya Urais Kenya – Front Page

 Karibu kutazama kipindi cha FRONT PAGE upate habari na uchambuzi makini wa habari kubwa zilizobeba kurasa za mbele za...

READ MORE

Matokeo ya Uchaguzi Kenya 2022: Raila Odinga Akataa Matokeo ya Uchaguzi – Video

  ALIYEKUWA mgombea urais wa Kenya, kupitia wa Azimio la Umoja, Raila Odinga Raila, amekataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika...

READ MORE

Rais Samia Afunga Mafunzo ya Awali ya Askari wa Uhamiaji Tanga- Video

Rais Samia Suluhu Hassan leo Agosti 15, 2022, amefunga mafunzo ya awali ya askari wa uhamiaji katika chuo cha uhamiaji...

READ MORE

Rais Samia Mkoani Mbeya Kwenye Ziara ya Kikazi, Azindua Mradi Chuo Cha Ualimu Mpuguso-Video

  Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Mbeya, ambapo leo Agosti 7, 2022, ikiwa ni...

READ MORE

Klabu ya Simba Yazindua ‘Simba Week’ Mbagala Zakheim-Video

Klabu ya Simba leo Julai 31, 2022 inazindua wiki Simba ‘Simba Week’ Mbagala Zakheim, Dar es Salaam licha ya kuhudhuriwa...

READ MORE

Ndoa ya Billnass na Nandy, Kinachoendelea Kanisani , Shamrashamra Kama Zote- Video

Leo Julai 16, 2022, African Princess Nandy na  Billnass Nenga wanafunga ndoa katika kanisa la KKKT Mbezi Beach Dar es...

READ MORE

Mabeyo Alivyoagwa Kijeshi Mbele ya Mkuu Mpya wa Majeshi Full Ukakamavu – Video

Hivi ndivyo Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jeneral Venance Mabeyo akivyoagwa rasmi kwa kukagua gwaride rasmi la Kijeshi katika Viwanja...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kongamano la Kumuenzi Hayati Benjamin Mkapa | Zanzibar-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo 14 Julai 2022, ameshiriki katika kongamano la pili la...

READ MORE

Uchaguzi Mkuu Yanga, Hali Ilivyo Ukumbini, Wanachama Wajitokeza Kwa Wingi-Video

Leo Julai 09, 2022 Klabu ya Yanga inafanya  uchaguzi mkuu ambao unafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius...

READ MORE

Mume wa Diva (Abdulrazack) Afunguka A-Z Kuvunjika kwa Ndoa Yao, Diva Kunywa Sumu- Video

KATIKA kipindi cha ‘MAPITO’ leo Julai 06,  mtaalam wa masuala ya mahusiano, Sheikh Abdulrazack, ambaye pia ni mume wa mtangazaji...

READ MORE

Live Ikulu: Zuhura Yunus na Mawaziri Wanazungumzia Matokeo ya Royal Tour ya Rais Samia-Video

MKURUGENZI wa Mawasiliano Ikulu nchini Tanzania , Zuhura Yunus, leo Juni 28, 2022 amezungumza na wanahabari kuhusu ziara ya Rais...

READ MORE

Bungeni: Mdee na Wenzake Bungeni, Mambo Bado, Mawaziri Wanabanwa kwa Maswali-VIDEO

KIKAO cha Bunge kimeendelea leo ambapo wabunge wamepata nafasi ya kuwahoji maswali mawazir 

READ MORE

Exclusive: Dereva Aliyeendesha Basi la Yanga la Ubingwa Kutoka Uganda, Afunguka -Video

 GLOBAL TV imefanya mahojiano na Dereva aliyeendesha gari walilotumia Yanga kwenye kushangilia Ubingwa wao jana juni 26, ambalo limetoka...

READ MORE

Video: Takukuru: Ole Sabaya Bado Sana, DPP Kukata Rufaa, Makonda Akaliwa Kooni, Mdee, Wenzake…

 Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi...

READ MORE

Bungeni: Spika Tulia Kutangaza Hatma ya Kina Mdee Leo? Tazama Kinachoendelea Bungeni Muda Huu

SPIKA Tulia Kutangaza Hatma ya Kina Mdee Leo? Tazama Kinachoendelea Bungeni Muda Huu. 

READ MORE

Video: Mapokezi ya Kombe la Yanga Dar Haijawahi Kutokea.. Basi la Madrid Labeba Wachezaji

   MABINGWA wa Ligi Kuu Bara, Yanga leo Juni  26, 2022 wametua wakitokea Mbeya walikokabidhiwa taji lao la msimu...

READ MORE

#Live: Mbanano Bungeni, Wabunge Wacharuka Kwa Maswali Mazito, Mawaziri Wanajibu…

 Bunge la 12 mkutano wa 7 umeendelea leo jijini Dodoma, ambapo wabunge wamepata nafasi ya kuhoji maswali kwa serikali,...

READ MORE

Dada Anyongwa na Mpenzi Wake Hotelini, Kaka wa Marehemu, Wafanyakazi Wasimulia – Video

 MATUKIO ya wanawake kuuawa kikatili na wapenzi au waume zao yameendelea kutikisa, baada ya mwanamke mmoja mmiliki wa saluni...

READ MORE

Rais Samia Atoa Wito kwa Wazara ya Elimu Kufanya Mabadiliko Katika Mitaala ya Elimu (syllabus) -Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki katika uzinduzi wa MWANAMKE INITIATIVES FOUNDATION (MIF) leo tarehe...

READ MORE

Video: Hapatoshi Bungeni, Mijadala ya Bajeti, Wabunge Watoa Hoja Zenye Ujazo….

BUNGE la 12 mkutano wa saba kikao cha 45 kimeendelea leo bungeni, ambapo wabunge wamepata nafasi ya kuuliza maswali kwa...

READ MORE

Manara: Hersi Said Ndiyo Mwamba wa Mafanikio ya Klabu ya Yanga-VIDEO

  Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amesema Rais mtarajiwa wa klabu hiyo Injinia Hersi Said ndiyo mwamba aliyeleta...

READ MORE

Video: Kisa Kajala Shabiki Harmonize Ajipaka Tope Mwili Mzima na Kutembea na Bango

 Shabiki wa Harmonize anae tembea na bango lililo andikwa shikamoo Harmonize, amesema akibahatika kukutana na Kajala kwanza atapiga magoti...

READ MORE

Hotuba ya Bajeti ya Serikali Kuu kwa Mwaka 2022-23, Ipo Hapa Yote Isome – (Picha +Video)

SERIKALI leo Jumanne Juni 14, 2022 imesema itaachana na mfumo wa sasa wa Ununuzi wa Umma (Transactional Procurement) kutokana na...

READ MORE