×

Global TV Online

Live: Mwili wa Aliyejiua kwa Risasi Umefikishwa Nyumbani Kwake Tayari Kusafirishwa Kwenda Kuzikwa

 MWILI wa Mfanyabiashara wa Jijini Mwanza Said Oswayo (37) anayedaiwa kujiua kwa risasi umetolewa chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali...

READ MORE

Video: Rais Samia Akabidhi Magari Mapya Kwa Wakurugenzi, Viwanja Vya Posta – Dar

 Rais Samia leo Juni 1, 2022 anatarajiwa kukabidhi magari kwa Wakurunenzi wa Halmashauri katika viwanja vya Viwanja vya Posta...

READ MORE

Rafiki Wa Mume Aliyempiga Risasi 7 Mke Wake Mwanza, Afunguka Mazito… – Video

 Global Tv imezungumza na rafiki wa mume wa Swalha, ambaye anatuhumiwa kuhusika na kifo cha mke wake huyo, kwa...

READ MORE

Kingwangalla Amlipua Mo Dewji, Aponda Ishu Ya Bil 20, Ujenzi Uwanja Mo Simba Arena- Video

Mbunge na shabiki wa Simba SC, Hamis Kigwangalla amelipuka kuhusu mambo mbalimbali yaliyofanyika na kuisababishia timu hiyo ishindwe kwenda vizuri....

READ MORE

Zuchu Ambembeleza Diamond Jukwaani Mwanza, Mahaba Kama Yote.. Video

 Zuchu na Dianond wanepafomu pamoja katika show ya Diamond iliyofanyika usiku Jijini Mwanza, huku mastaa kibao wakihudhuria.. ⚫️ SIKILIZA...

READ MORE

Video: Picco Kikongwe Awa Teja – ”Nilitoa Machozi Niliposikia Nimekufa” | Mapito

 KARIBU kwenye kipindi cha MAPITO, Leo tumetembelewa na Staa mkongwe Bongo PICCO KIKONGWE aliyejipatia umaarufu kwa wimbo wake wa...

READ MORE

Ahmed Ally Aishiwa Maneno Baada Ya Kutinga Dar Usiku, Ataja Ujumbe Wa Mo Dewji.. -Video

 Simba SC wamewasili Dar wakitokea Mwanza baada ya kuchezea kichapo cha goli moja na Yanga katika mchezo wao wa...

READ MORE

Video: Mtoto Azaliwa Mifupa Inaonekana Mama Mzazi Asimulia Kwa Uchungu..

 Judith Gadiel Mushi (25) Mkazi wa Tabata Jijini Dar es salaam ambaye hana uwezo wa Kuongea, kuona wala kufanya...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Mei 26, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 26, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Rais Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mdahalo wa Wakuu wa Nchi Accra, Ghana – Video

 Ghana: RAIS SAMIA ANASHIRIKI MDAHALO WA WAKUU WA NCHI MUDA HUU ACCRA.. RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Mei 24,...

READ MORE

VIDEO: WABUNGE WANAIBANA SERIKALI KWA HOJA NZITO, MAWAZIRI WANAPANGUA, BUNGE LA 12-VIDEO

BUNGE la 12, vikao vyake vinaendelea leo Mei 23, 2020 Bungeni jijini Dodoma. Ni kipindi cha maswali na majibu ambapo...

READ MORE

Video: Yamoto Band Yawakuta Mazito, Uchawi Watajwa, Wenyewe Wafunguka

 KARIBU kwenye kipindi cha DSM FLAVOUR kinacholetwa na Global TV, Leo tumetembelewa na kundi la muziki la Yamoto Band...

READ MORE

Katibu NCCR- Mageuzi: Mbatia Hajavuliwa Uenyekiti, Kilichofanyika ni Uhuni -Video

    MWENYEKITI wa NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia, amedai kuwa unaoitwa, “mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC) ya chama chake”...

READ MORE

Video: Rais Samia Azungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Al Hassan Mwinyi

 RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Mei 19, amezungumza na wananchi wa mkoa wa Tabora katika uwanja wa Al Hassan...

READ MORE

Rais Samia Anazindua Barabara Ya Tabora – Koga – Mpanda, Yenye Urefu Wa Km. 342.9-Video

 Rais Samia leo mei 18 2022, amezindua barabara ya Tabora – Koga – Mpanda, yenye urefu wa KM. 342.9...

READ MORE

Rais Samia Azindua Barabara ya Nyahua – Chaya, Tabora Yenye Urefu wa KM 85.4 (Picha +Video)

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya awamu ya Sita inaendelea kukamilisha miradi yote ya maendeleo iliyoanza wakati...

READ MORE

Chadema Yacharuka Sakata la Akina Mdee na Wenzake – Video

 KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe ameonesha kushangazwa na uamuzi wa Spika wa...

READ MORE

Live Bungeni: Wabunge Wanawabananisha Mawaziri Kwa Maswali, Spika Tulia Anaongoza Kikao

 Bunge la 12 limeendelea leo Mei 17, 2022 ambapo wabunge wamechangia hoja zao katika bajeti ya wizara ya afya...

READ MORE

VIDEO: Mdee,Matiko na Wenzake Fumbo zito Bungeni, Wabunge Wanaibana Serikali kwa Maswali

 BUNGENI: Mdee, Matiko na wenzake fumbo zito Bungeni, Wabunge wanaibana Serikali kwa maswali Bunge la 12 linaendelea leo Mei...

READ MORE

Wabunge Waliofukuzwa Uanachama Chadema, Watingia Bungeni Leo – Video

 Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameingia bungeni leo Ijumaa...

READ MORE

Live: Wabunge Wanawabana Mawaziri Kwa Maswali, Jumaa Aweso Kikaangoni Bajeti Ya Wizara Ya Maji…

 Bunge la 12 mkutano wa saba, umeendelea leo Mei 13, 2022 ambapo Wabunge wameuliza maswali kwa mawaziri, lakini pia...

READ MORE

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Aeleza Ziara za Rais Samia Nchi za Nje na Matokeo… -Video

 Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, leo mei 12, 2022, amezungumza na waandishi wa habari ikulu Dar...

READ MORE

Live: Kumekucha Bungeni, Wabunge Wanambananisha Waziri Mkuu kwa Maswali ya Nguvu…

 Bunge la 12 mkutano wa saba, umeendelea leo Mei 11, 2022 ambapo Wabunge wameendeleo kuchangia hoja zao katika wizara...

READ MORE

Alichokisema Freeman Mbowe Baada ya Akina Mdee Kutimuliwa Chadema – Video

  RUFAA za Halima Mdee na wenzake 18 za kupingwa kufukuzwa uanachama na kamati kuu ya Chadema zimetupiliwa mbali na...

READ MORE

Video: Kauli ya Halima Mdee Baada ya Kutimuliwa Rasmi Chadema – “Mbowe Anajua ni Uhuni”

Mbunge Halima Mdee kwa niaba ya wenzake 18 ameelezea kutokubaliana na uamuzi wa Baraza Kuu la CHADEMA chini ya Mwenyekiti...

READ MORE

Video: Chadema, Baraza Kuu Lakutana Mlimani City, Hatma ya Mdee na Wenzake Kujulikana

CHADEMA leo Mei 11, 2022 wanafanya kikao cha Baraza Kuu katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam litakalokuwa...

READ MORE

Mbunge Shigongo Afichua Alivyokataliwa Kujiunga Chuo – “Nina Ushahidi, Yupo Profesa Kutoka La 7”- Video

 Mbunge wa Buchosa (CCM), Erick Shigongo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Akiwa Uganda, Ziara Yake Ya Siku Mbili Inaendelea… (Picha +Video)

 Rais Samia Suluhu Hassan anafanya ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Uganda kuanzia leo Jumanne Mei 10 -11,...

READ MORE

Video: Rais Samia na Rais Museveni Wazungumza Wakiwa Uganda

 RAIS Samia Suluhu, leo Mei 10, amewasili nchini Uganda kwa ajili ya ziara yake rasmi ya kiserikali ya siku...

READ MORE

Video: Serikali Yatoa Tsh bilioni 100 Kupunguza Bei ya Mafuta – Waziri wa Nishati Makamba

WAZIRI wa Nishati, January Makamba leo Jumanne Mei 10, 2922 amesema Serikali imetoa ruzuku ya Tsh bilioni 100 kwa ajili...

READ MORE

Video: Bunge Lapamba Moto, Mnyukano Mkali wa Wabunge na Mawaziri, Bunge la 12 Mkutano wa Saba…

 Kikao cha Bunge la 12 kinaendelea leo Mei 10, 2022 ambapo ni kipindi cha maswali na majibu asubuhi hii....

READ MORE

Live: Ndugai Aamua Kujiweka Kando, Kufanya Uamuzi Mgumu Ndani Ya Saa 72, Nkamia Aibua Siri Za Jpm

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Exclusive: Wema Amwaga Machozi, Asimulia Lulu na Kajala Walivyomuumiza-Video

 Global TV imefanya mahojiano staa mwenye nyota zake Bongo, Wema Sepetu ambaye amezungumza mengi ikiwemo penzi la diamond na...

READ MORE

Video: Lilian Aangua Kilio Kwenye Kipindi, Apewa Ukweli na Mama Yake – “Mwasha Sio Baba Yako Mzazi”

 Kipindi cha HARD TALK, kinachoongozwa na Lilian Mwasha, ambapo leo amefanya mahojiano na mama yake mzazi, Engineer Tina, ambaye...

READ MORE

Rais Samia Awataka Waandishi Kuzingatia Mila, Desturi za Kiafrika Kuandika Mazuri -Video

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka waandishi wa habari kuandika habari kwa kutunza na kuheshimu mila na desturi za...

READ MORE

Sakata La Symbion Laibuka, Serikali Kulipa Bil 350, Rais Samia Aupiga Mwingi Vyeti Feki-Video

KARIBU kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

‘Panya Road’ Wanawake Waibuka Dar, Wawakata Watu Mapanga, Wavamia Nyumba 21 Usiku -Video

 Tukio hilo la kustaajabisha limetokea usiku wa kuamkia Aprili 24, 2022 katika mtaa wa Gogo, Kata ya Chanika jijini...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour Arusha -(Picha +Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba wakati akiwa nchini Marekani kwenye uzinduzi wa...

READ MORE