×

Global TV Online

Steve Nyerere – “Nafuta Kauli Yangu Ya Ubunge Wa Kupewa, Mwana -Fa Ni Mteuliwa Wa Mama”-Video

KWENYE EXCLUSIVE ya Global TV tumepiga stori na mwanaharakati na comedian maarufu Bongo Steve Nyerere ambaye amefunga mengi juu ya...

READ MORE

Exclusive Video: Baba Wa Osam Aliyeburuzwa Na Basi La Mwendokasi, Hajaamini Kusikia Mwanaye Yupo Hai…

GLOBAL TV imefika nyumbani kwa Osam mtembea kwa miguu aliyeonekana akigongwa na basi la mwendokasi kupitia kamera za CCTV. Mke...

READ MORE

Video: Mkasa Wa Mzee Seni Aliyesota Jela Miaka 30, Ajutia Makosa Yake, Ahamishwa Gereza | Part 2

HII ni sehemu ya pili ya mahojiano maalum ya Global TV na Mzee Seni Hassan Seni mkazi wa Mkolani jijini...

READ MORE

Video: Mzee Aliyemiliki Nyumba 5 Analala Kwenye Kontena Miaka 7, Adai Kuvunjiwa Nyumba Zake Kihuni…

GLOBAL TV imefika hadi Temeke Mkoani Dar kwenye familia ya James ambaye inadai imevunjiwa nyumba na kuachwa bila makazi….

READ MORE

Video: Yajue Mapito Ya Mwana-Fa Akipanda Ngazi Kwa Ngazi Hadi Kuapa Kuwa Naibu Waziri….

Februari 26, 2023 nabaki kuwa siku nyingine ya kihistoria kwa Mbunge wa Muheza mkoani Tanga, Khamis Mohamed Mwinjuma almaarufu Mwana-FA...

READ MORE

Exclusive: Mama Kanumba Amlipukia Zumaridi, Ampa Siku 7 Amrudishe Mwanaye, Amwaga Machozi… Video

KWENYE EXCLUSIVE ya IMELDA MTEMA ndani ya Global TV amefanya mahojiano maalum na mama wa Steven Kanumba ambaye ameeleza kwa...

READ MORE

Video: Niva Ana Watoto 7 Wanawake 7, Afichua Mapenzi Yanavyomtesa – ”Mimba Nabeba Mimi”…

EXCLUSIVE ya GLOBAL TV tumepiga stori nyingi na mwigizaji anayekimbiza Bongo kutokana na namna yake ya uigizaji Zuberi Mohammed maarufu...

READ MORE

Mwanajeshi Wa JWTZ Aliyemsukuma Trafiki Kwa Gari Afikishwa Mahakamani Kwa Shitaka Hili…

Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ ) namba MT 89487 CPL Hamis Ramadhan (36) jana amepandishwa kizimbani katika Mahakama...

READ MORE

Mgahawa Wenye Ice Cream Za Ajabu Watikisa Zanzibar, Mrembo Anayeumiliki Afunguka… -Video

Mwanamama Sophia Wilson mkazi wa Paje visiwani Zanzibar, ameweka wazi kwa wanawake wote wanaodhani kuwa unapoolewa na Mzungu au kuwa...

READ MORE

Aggy Baby Afunguka Ukweli Kutoka Na Meneja Wake – ”Kajala Na Mitumba, Aniombe Msamaha”-Video

KAMA ni mfuatiliaji wa mambo yanayoendelea mitandaoni, basi jina la Agnes Suleiman ‘Aggy Baby’ siyo geni kwako. Akifanya mahojiano na...

READ MORE

Kumbe Uwoya na Lulu Diva Walikuwa Wanapishana Kwa Baga, Majirani Wafunguka | Mpaka Home -Video

Mpaka Home imemtimbia msanii wa kitambo wa Bongo Movie, Baga na kupiga naye stori kibao kuhusu maisha yake binafsi pamoja...

READ MORE

Video: Maajabu! Mzee Aishi Kwenye Ndege Aina Ya Boeng 727 Kwa Miaka 22, Aeleza – “Sujutii”

Mhandisi mstaafu wa umeme wa nchini Marekani, Bruce Campell (64) amegeuza ndege aina ya Boeing 727 kuwa nyumba ya makazi...

READ MORE

Mchungaji Hananja Alipuka Kusamehewa Kwa Mchungaji Kimaro – ”Kiki Ya Kiroho, Muvi Ya Kihindi”- Video

MCHUNGAJI Hananja ameibuka baada ya kusamehewa kwa Mchungaji wa Kanisa la KKKT – Kijitonyama, Dk Eliona Kimaro ambapo amefunguka juu...

READ MORE

Video: Kumekucha, Mdee Na Wenzake Wainyatia Act, Taa Ya Kijani Ujenzi Bomba La Mafuta | Front Page

Karibu kutazama na kusikiliza na kutazama Kipindi cha ‘FRONT PAGE’ kila siku kuanzia JUMATATU hadi IJUMAA kuanzia Saa 2:30 Asubuhi....

READ MORE

Fahamu Historia Ya Vannesa Mdee, Kuzaliwa, Elimu, Muziki, Mapenzi Yakavuruga Ubongo Wake – Video

KATIKA ‘Brain Food’ leo tunakupa historia ya mwanamuziki Vannesa Mdee kutoka Tanzania ambaye kwa sasa ameamua kuacha muziki.

READ MORE

Exclusive Video: Inspector Haroun Afunguka Bifu Lake Na Juma Nature, Maisha Yake Hali, Muziki

 Msanii mkongwe, Haruna Kahema ‘Inspector Haroun’, mkali wa michano ambaye aliwahi kutamba na ngoma nyingi zikiwemo Pamba Nyepesi, Bye...

READ MORE

Michuano ya CAF AfricanSchool Football Yaanza leo Azama Complex – Tazama Live Hapa

MASHINDANO ya vijana wa shule za Afrika Mashariki (CECAFA) yameanza kutimua vumbi rasmi leo Ijumaa katika Uwanja wa Azama Complex...

READ MORE

Video: Rais Samia Awaapisha Waziri Mpya Wa Michezo, Pindi Chana Na Wenzake, Ikulu Dsm

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule leo tarehe 15 Februari, 2023 Ikulu jijini...

READ MORE

Video: ”Mama Hana Shida, Vyuma Vimekaza, CCM Niliachana Nayo Nilipojiunga Chuo Kikuu” – Lissu

GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ambaye amezungumza mengi juu ya muelekeo wa hali...

READ MORE

Video: Mchungaji Hananja – ”Kuzaa Sio Kigezo Cha Ndoa, Nilioa Nikiwa Na Miaka 40” | Hard Talk

KWENYE HARD TALK ya Mtumishi wa Mungu na Mwandishi wa vitabu nchini Lilian Mwasha amezungumza na Mchungaji Richard Hananja ambaye...

READ MORE

Gari Lenye Abiria Latumbukia Kwenye Korongo, Watu 20 Wajeruhiwa Vibaya, Mmoja Afariki… Video

Mtu mmoja (Dereva) amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa katika Kata ya Sigino Wilayani Babati Mkoani Manyara baada ya gari...

READ MORE

Video: Jike Shupa Afichua Siri Kutaka Kujiua, Aangua Kilio Zaidi Ya Msibani – ”Maisha Magumu”

KWENYE EXCLUSIVE ya IMELDA MTEMA amepiga stori na video vixen aliyeuza nyago kwenye video ya Juma Nature na Nuh Mzimwanda,...

READ MORE

Tundu Lissu Atinga Kituo Cha Polisi Dodoma Kufuatilia Gari Lake – “Nataka Kulipeleka Makumbusho”-Video

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametinga katika Ofisi ya Jeshi la Polisi mkoani Dodoma,...

READ MORE

Mbunge Shigongo Atoa Shukrani Baada Ya Global Tv Kushika Namba 1 Tanzania, Afichua Ilivyoanza…

MBUNGE wa Buchosha Mkoani Mwanza na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Publishers na Global TV, Erick Shigongo ametoa shukrani...

READ MORE

Msanii Albino Flani Afariki Akiwa Marekani, Wasanii Wenzake Wamlilia – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mwanaharakati wa kutetea haki za watu wenye ulemavu wa ngozi, Babu Sikare almaarufu...

READ MORE

Huyu Ndiye Dk Bashiru: Msomi Na Mfuasi ‘Mtata’ Wa Mwalimu Nyerere – Matamshi Yake Yazua Maneno Mengi-Video

Machi 31, 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko ya safu ya utawala...

READ MORE

Kumbe Scorpion Aliyemtoboa Macho Said Siye Aliyefungwa? Samjet Atoka Gerezani, Afunguka -Video

Salum Njwete ambaye mitaa imembatiza jina la Scorpion, ametoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha miaka saba, akidaiwa kumtoboa macho...

READ MORE

Rushaynah Afunguka Mahusiano Yake Na Manara – “Hana Pesa, Sihitaji Ndoa” -Video

Aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah ameweka wazi kuwa mambo yote yanayoendelea katika mitandao ya kijamii ni uongo kwani suala...

READ MORE

Sheikh Mkuu Dar : Awachana Baraza La Maulamaa… ”Unamtetea Muhuni Kwa Kutaka Mke Ambaye Hamtaki?” – Video

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amezungumzia juu ya sakata linaloendelea kuhusiana na talaka ya...

READ MORE

Mama wa Mwanafunzi Aliyechapwa Kinyama na Mwalimu Mkuu Afunguka – Video

 Tukio ni la kweli limetokea,tarehe 10.01.2023, ambapo Mwalimu huyo alipiga viboko wanafunzi zaidi ya mmoja, upigaji wake ndio ulioleta...

READ MORE

Uhakiki Laini za Simu Mwisho Februari 13, 2023 Waziri Nape Afunguka – Video

SERIKALI imeongeza siku 14 kwa Watanzania waliosajili laini zao za simu kuhakiki laini hizo kabla ya kufikia tarehe 13 Februari,...

READ MORE

Mrembo Apigwa Kikatili Na Ex – Husband Nusu Kufa, Asimulia Kwa Uchungu… – Video

Mrembo aliyejitambulisha kwa jina la Doroth Msuya mwenye umri wa miaka 26 amedai kupigwa kikatili na mtu aliyedai ni mtalaka...

READ MORE

Exclusive: Tundu Lissu Afunguka – “Usalama Wangu Upo Kwenye Mikono Ya Rais Samia Na Serikali Yake”-Video

KUPITIA VOA Kiongozi nguli wa upinzani na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lisu amezungumza katika mahojiano maalum ambapo ameeleza hali...

READ MORE

Video: Kitanzi Wasiopeleka Watoto Shule, Vigogo Wa Chadema Waanza Kazi, Majanga Mikopo | Front Page

Karibu kutazama na kusikiliza na kutazama Kipindi cha FRONT PAGE kila siku kuanzia JUMATATU hadi IJUMAA kuanzia Saa 2:30 Asubuhi....

READ MORE

Part 2: Salma Muuza Biriani Amwaga Machozi Akisimulia Alivyolazwa Juu Ya Kaburi Usiku, Kipigo Kizito-Video

KONA ya MTAA ya Global TV imefika hadi nyumbani anapoishi salma mrembo ambaye anadaiwa kupigwa na watu wasiojulikana na kumuacha...

READ MORE

Ukatili: Mrembo Achanwa Na Viwembe Usoni Na X-Wake Baada Ya Kuachiwa Polisi…Video

Kutoka Mkoani Arusha eneo la Namanga wilayani Longido, msichana Zainabu Salmu amechanwa na viwembe usoni na aliyekuwa mpenzi wake, Goodluck...

READ MORE

Ndoa Ya Diva Na Sheikh Abdulrazak Chali, Mwenyewe Afunguka – “Single Lady”

Habari iliyozua mshtuko kwenye ulimwengu wa mastaa wa Bongo usiku wa kuamkia leo Januari 13, 2023 ni kuhusu sintofahamu ya...

READ MORE

Video: Diwani Athumani; Kachero Aliyepita Mikono Ya Marais 3, Rais Samia Akamuamini Na Kumtengua Siku Ya 2

 Januari 3, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa viongozi wanne...

READ MORE

Fei Toto Atoka na Tabasamu TFF, Aongea Kwa Mara ya Kwanza “Nipo Sawa Tu”-Video

Baada ya mahojiano ya dakika 40 mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF, Feisal Salum ‘Fei...

READ MORE

Mbowe Ajilipua Ikulu Baada Ya Tamko La Rais Samia – ”Tunalipokea Kwa Tahadhari Kubwa”… Video

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema haikuwa kazi nyepesi kufikia makubaliano ambayo yametangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba sasa...

READ MORE