×

Global TV Online

Video: Mashabiki Walivyotua Wiki Ya Wananchi Uwanja Wa Mkapa

 SIKU YA MWANANCHI: Amsha amsha ya mashabiki wa Yanga wakiendelea kuingilia uwanjani kushuhudia sherehe za Kilele cha Wiki ya...

READ MORE

Shigongo: Buchosa Tuvunje Makundi, Wa-TZ Tumpe Kura JPM – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa, Sengerema mkoani Mwanza, Eric Shigongo amewaomba wananchi wa jimbo hilo kuacha chuki za kisiasa...

READ MORE

🔴#LIVE: Tundu Lissu Azindua Kampeni za Chadema – Dar

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anazindua kampeni zake...

READ MORE

Risasi Latikisa Mtaani, Wasomaji Wamtaja Harmo, Mondi – Video

GAZETI Bora la habari za mastaa na Burudani linalochapishwa na Kampuni ya Global Publishers linalotoka kila siku ya Jumatano ‘RISASI...

READ MORE

BSS: Ritha Awatambulisha Dimpoz na Bella, Amalizana na Meshack

MAPEMA leo Jumatano, Agosti 26, 2020, Mkurugenzi wa Benchmark Production, Ritha Paulsen, amewatambulisha majaji wapya wa msimu wa shindano la...

READ MORE

Mtu Mrefu Zaidi Bongo, Hatoshi Kitandani, Wananikimbia – Video

GLOBAL TV imefanya mahojiano na kijana, Julius Charles, ambaye amepata umaarufu mkubwa kutokana na urefu wake uliopitiliza ambao umekuwa ukiwashangaza...

READ MORE

Cecilia Mwanga Kugombea Urais Dem. Makini – Video

MWENYEKITI  wa NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Cecilia Mwanga, kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Maganja Ateuliwa na NEC Kugombea Urais – Video

MWENYEKITIwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Semistocles Kaijage, amemteua Yeremia Maganja wa NCCR-Mageuzi kuwa mgombea urais wa...

READ MORE

Membe Arejesha Fomu ya Urais, NEC Yamteua – Video

TUMEya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Bernard Membe kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo na mgombea mwenza, Profesa Omar...

READ MORE

Wagombea Urais NRA Warejesha Fomu NEC, Wateuliwa – Video

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tikeki ya Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Janken Kasambala Malik...

READ MORE

Sakata la Morrison, Yanga Yatua FIFA – Video

KLABU ya Yanga imesema leo Jumatatu, Agosti 24, 2020, inawasilisha rufaa yake kuhusu sakata la aliyekuwa mchezaji wao, Bernard Morrison, ...

READ MORE

‘Mnamkuza Mno Membe, JPM Kaweka Umeme Kwao’ – Video

KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi, Comrade Amir Mkalipa amesema chama hicho hakijatetereka na kuondoka kwa...

READ MORE

Live: Askofu Gwajima Akihubiri Kanisani Kwake Ubungo

 Askofu Josephat Gwajima, leo Agosti 23, 2020 ameongoza ibada kanisani kwake  Kanisa la Ufufuo Ubungo jijini Dar es Salaam.

READ MORE

Video: Majina Walioteuliwa na CCM Kugombea Ubunge

 KATIBU wa itikadi na uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, leo Agosti 20, anatangaza majina ya wagombea ubunge wa CCM...

READ MORE

Rais Magufuli Akabidhi Uenyekiti wa SADC Msumbiji – Video

Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dkt. John Pombe Magufuli, leo Jumatatu, Agosti...

READ MORE

Video: Adam Mchomvu Amlima Mtama Mbasha “Ananiita Bangi?”

MTANGAZAJI wa Clouds Media, Adam Mchomvu ‘Baba Jonii’ ameshindwa kujizuia na kujikuta akimshusha stejini kwa bonge la mtama, mwimbaji wa...

READ MORE

Video: Balaa la Rayvanny, Avamia Steji na Gari la Jeshi

MSANII KUTOKA LEBO YA WCB, Rayvanny ameshuka stejini na gari la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika Tamasha la Chama...

READ MORE

Video: Harmonize Afunga Shoo ya Kihistoria Uwanja wa Uhuru

Msanii Harmonize amefanya Bonge la Shoo kwenye Tamasha UHURU KUNA JAMBO ambapo Chama Cha Mapinduzi kimezindua nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni...

READ MORE

Video: Mzee yusuf Aibukia Uhuru, Amfanyia Maajabu JPM

MWIMBAJI nguli wa nyimbo za taarab, Mzee Yusuf ameibukia katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuungana na...

READ MORE

🔴Live: Kutoka Uhuru, Wasanii Wakikiwasha Nyimbo 109 za CCM

Maelfu ya watu wamefurika katika Uwanja wa Uhurujijini Dar es Salaam kushuhudia Tamasha la kutambulisha nyimbo za CCM zilizotungwa maalum...

READ MORE

Mkandarasi Asema Maji Hayatoki Sababu ya Uchawi – Video

  NAIBU Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amefunguka na kutolea ufafanuzi kuhusu miradi mbalimbali ya maji ambayo inatekelezwa na serikali...

READ MORE

Tanzania Hatuna Ugomvi na Kenya, ni Kanuni za Diplomasia – Video

SERIKALI imesema kuwa haina mgogoro wowote wala ugomvi na nchi ya Kenya na kwamba Serikali hizi zinashirikiana kwa mambo mengi...

READ MORE

Live: Waziri Mkuu Ampa Harmonize Pesa, Amtania Mrisho Mpoto – Video

 WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Agosti 09, amekutana na kufanya mazungumzo na taasisi mbalimbali za elimu ya juu, katika...

READ MORE

Video: Maelfu Wawapokea Maalim Seif, Membe, Zitto Kabwe Zanzibar

 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akiwa pamoja na wagombea Urais wa Zanzibar na Tanzania, Maalim Seif na Bernard...

READ MORE

Video: Mkutano Wa Ccm, Baraza Kuu La Jumuiya Ya Wazazi

 Baraza kuu la jumuiya ya wazazi la CCM limefanya mkutano wake leo Agosti 09, huko jijini Dodoma.. ⚫️ Kwa...

READ MORE

Harmo Aanika Siri Nzito ya Wolper ‘Alimtaka Mondi Kimapenzi’ – Video

  STAA wa muziki kutoka Umakondeni, Harmonize hatimaye amevunja ukimya na kuamua kuanika siri nzito iliyokuwa moyoni mwake kwa miaka...

READ MORE

🔴#LIVE: Waziri Mkuu Kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Nanenane

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasili katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu katika Kilele cha Maadhimisho ya Sherehe na...

READ MORE

Shoo Kali! Rich Mavoko Azindua Mini Tape Yake – Video

BAADA ya ukimya wa muda mrefu, Staa wa Bongo Fleva, Rich Mavoko, hatimaye ameamsha shangwe za mashabiki wake usiku wa...

READ MORE

Video: Mzee Yusuf Alivyoingia KIFALME Ukumbini DAR LIVE

 BAADA ya kukaa nje ya muziki kwa uda mrefu, hatimaye mfalme wa Taarab, Mzee Yusuf na kundi lake lote...

READ MORE