×

Habari

Rais JPM Acharuka, Ataka Kuzibadili Noti

Rais Dk. John Pombe Magufuli. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo amekutana na kuzungumza...

READ MORE

Miundombinu ya Barabara Polisi Mabatini, Dar… Sikio la Kufa!

Gari likipita eneo hilo kwa tabu.  Bajaj nayo ikipita kwa tabu. Mjumbe wa Mtaa wa Polisi Mabatini, jijini Dar es...

READ MORE

Ishu ya Uenyekiti wa Lipumba CUF, Msajili Amuweka Kikaangozi Maalim Seif

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini imemuandikia barua Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif...

READ MORE

Hatimaye Aliyekuwa Rais wa Brazil Aenguliwa Rasmi Madarakani

Aliyekuwa Rais wa Brazil, Dilma Rousseff. Rais Mpya wa Brazil, Michel Temer amesema nchi yake inaingia katika enzi mpya ya...

READ MORE

Madalali wa NHC Wavamia Bilicanas, Wawatupia Virago Tanzania Daima

Dar es Salaam Madalali wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wamefika katika ofisi za gazeti la  Tanzania Daima zilizopo...

READ MORE

Updates: Kutoka Rujewa Katika Kupatwa kwa Jua

Saa 11:03 AM Takribani theluthi moja ya jua imefunikwa na  mwezi     Saa 9:48 AM Watu waambiwa wajikusanye katika makundi...

READ MORE

Kisa Ali Bongo Kutangazwa Rais, Majengo ya Bunge Yachomwa Moto

Fujo zimezuka katika Mji Mkuu wa Gabon, Libreville baada ya Rais Ali Bongo kutangazwa jana Jumatano mchana kuwa mshindi wa...

READ MORE

Watu Zaidi ya 20 Mbaroni Oparesheni ya Kusaka Majambazi Vikindu

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limewakamata zaidi ya watu 20 ambao kati yao wanahusishwa na...

READ MORE

BancABC Yashinda Tuzo ya Kuongoza Miamala Mitandaoni Tanzania

Mkuu wa Kitengo cha wateja binafsi na wafanyabiashara wadogo wa BancABC, Bi. Joyce Malai akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)...

READ MORE

Katibu Wizara ya Afya ‘Awawakia’ Waganga wa Tiba Asilia

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Michael O. John akisoma taarifa yake mbele ya...

READ MORE

Vyama vya Bodaboda Vyaungana na Mbowe Kuhusu Ukuta

Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha Bodaboda Wilaya ya Kinondoni, Almano Mdede (katikati) akisoma taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani). WAKATI...

READ MORE

JPM Akutana na Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matter Ltd. Ya Uingereza

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matters...

READ MORE

Vodacom Yawaletea Wateja Wake Promoshe ya “Jiongeze na M-Pawa”

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao (kulia)  akizungumza kwenye uzinduzi wa  promosheni ya ‘Jiongeze na M-Pawa’ inayoendeshwa na kampuni yake...

READ MORE

Chadema Wasitisha Maandamano ya UKUTA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kisitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike nchi nzima kesho Septemba Mosi yaliyopewa jina la UKUTA....

READ MORE

Rais JPM Ateua Katibu Mkuu Mpya Wizara ya Fedha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Agosti, 2016 amemteua Bw. Doto M....

READ MORE

Waendesha Bodaboda Nao Wautosa ‘UKUTA’

Dar es Salaam VIONGOZI Umoja wa Vyama vya Waendesha Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam leo wamewapiga marufuku wanachama wao...

READ MORE

Waziri Aliyesinzia Mkutanoni Auawa Korea Kaskazini

Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un. Waziri wa Elimu nchini Korea Kaskazini ameuawa na maafisa wa serikali kwa kusinzia wakati...

READ MORE

JWTZ Kurusha Ndege za Kivita Katika Anga la Dar, Septemba 1

Kesho Alhamisi, Septemba Mosi mwaka huu inataraji kuingia katika histori ya Tanzania kutokana na matukio ambayo yanataraji kufanyika siku hiyo,...

READ MORE

Maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki Yafunguliwa Rasmi Mwanza

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dkt.Leonard Massale, hii leo akifungua Maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayofanyika Jijini...

READ MORE

Uwazi Lapasua Anga Vikindu, Kongowe

Mzee Makarani Shaweji mkazi wa Vikindu akisoma Gazeti la Uwazi. Fundi Mwinyi Chande akisoma Uwazi, pembeni ni muuzaji wa gazeti...

READ MORE

Tamko la Watetezi wa Haki za Binadamu Kuhusu Mauaji ya Polisi, Mbande

Mtandao wa Watetezi wa Waki za Binadamu (THRDC) kwa niaba ya wanachama wake tunalani vikali maujai ya askari wa jeshi...

READ MORE

Mosore: Sitambui Kusimamishwa na Mbatia

Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Leticia Mosore,  akizungumza na wanahabari leo. ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,...

READ MORE

NSSF Yatoa Msaada Kujenga Shule ya Sekondari Lindi Iliyoungua

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amepokea msaada wa sh. milioni 50 kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili...

READ MORE

Shambulio Laua 5 Nje ya Hoteli Somalia

WATU watano wameuwa katika shambulio la bomu lililotokea leo nje ya hoteli moja ya kitalii katikati ya Mji wa Mogadishu...

READ MORE

Watumishi Wapya 71,496 Kuajiriwa Hivi Karibuni

Serikali inatarajia kutoa ajira mpya zipatazo71,496 kwa mwaka huu wa fedha baada ya kukamilika kwa zoezi la kuwaondoa wafanyakazi hewa...

READ MORE

Lowassa Atoa Waraka Kuhusu Kukamatwa Kwake

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametoa waraka akisema kitendo cha askari wa Jeshi la Polisi kuwakamata wakati wakiwa kwenye...

READ MORE

Hivi Ndivyo Kupatwa Kwa Jua Kutakavyokuwa

Muonekano wa jua litakavyokuwa wakati wa kupatwa kwa jua. KESHOKUTWA Septemba 1, 2016 litatokea tukio kubwa la angani ambapo kutakuwa...

READ MORE

Mkazi wa Kijitonyama Dar Akamata Mpunga wa Vodacom Milioni 5

Meneja Msimamizi wa masuala ya Usalama wa Vodacom Tanzania, James Wawenje (kulia)  na  Ofisa Msimamizi wa bodi ya michezo ya...

READ MORE

Lema Aruhusiwa Kutoka Hospitalini

Arusha. Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema ameruhusiwa kutoka hospitali ya Aga Khan alikolazwa jana kwa matibabu baada ya...

READ MORE

Apple Kulipa Kodi Iliyokwepa Ireland

TUME ya Ulaya inatarajiwa kuiamrisha kampuni kubwa ya teknolojia ya Apple kulipa mabilioni ya dola kama kodi iliyokwepa kuilipa. Hii...

READ MORE

M/Kiti wa Kijiji Achapwa Bakora Mkutanoni

Mwenyekiti wa Kijiji cha Simike, Kata ya Lufingo wilayani Rungwe, Efram Kapondany’a amechapwa bakora mbele ya mkutano wa hadhara baada...

READ MORE

Sababu za UVCCM Kusitisha Maandamano

Umoja wa Vijana wa CCM tuliutangazia umma na dunia kwamba ifikapo Agosti 31 mwaka huu tutaitisha maandamano ya amani nchi...

READ MORE

Wakili Alivyopinga Tundu Lissu Kusomewa Mashitaka Mapya

Upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu na wahariri wa Gazeti la Mawio iliyopo...

READ MORE

Lowassa, Mbowe Watakiwa Kuripoti Polisi Leo

Viongozi waandamizi wa Chadema akiwamo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana walikamatwa na Jeshi la Polisi wakati wakiwa katika...

READ MORE

Lipumba Aendelea Kung’ang’ania Uenyekiti Wake CUF

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Prof Lipumba ameendelea Kung’ang’ania kiti cha uenyekiti wa chama chake cha CUF na kusema kikao...

READ MORE