×

Habari

Serikali Kuongeza Umri, Sifa Ya Kupata Mikopo Ya Asilimia 10 Ya Halmashauri

Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10...

READ MORE

Chadema Kushindwa Kusaini Makubaliano ya Kanuni za Uchaguzi, Wanachama Wakaribishwa Kuchagua CCM

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Amos Makalla ,amesema kwa kuwa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Chadema Yataja Sababu ya Kukataa Kusaini Maadili ya Uchaguzi wa Mwaka 2025

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano Bi. Brenda Rupia ameeleza kuwa msimamo wa Chadema...

READ MORE

Serikali Yaipongeza NMB kwa Kampeni Bora ya Upandaji Miti Nchini

  SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kutenga kiasi cha Sh. Mil. 225 kwa ajili ya kuzawadia Shule Bora katika...

READ MORE

INEC: Chadema Haitashiriki Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 Wala Chaguzi Ndogo Kwa Miaka Mitano

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

READ MORE

Chadema Yapinga Kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, Mnyika Afunguka!

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Ndugu John Mnyika ameufahamisha umma kwamba hatohudhuria na hatoshiriki kwenye kikao...

READ MORE

Kifo Cha Majembe Chazua Taharuki, Familia Yakataa Mazishi – Video

Familia ya kijana Raphael Majembe ya Tabata Shule jijini Dar es Salaam, imegoma kuchukua mwili wa kijana wao mochwari kwa...

READ MORE

Wakandarasi 457 Wa Ujenzi Wa Barabara Walipwa, Wengine 322 Kulipwa

Serikali imelipa madeni ya wakandarasi 457 wa ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya barabara waliokuwa wakidai baada ya kutekeleza mikataba...

READ MORE

Kikwete atembelea makazi ya Mfalme Haile Selassie mjini Addis Ababa

ADDIS ABABA-Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ametembea Qasir la Taifa la Ethiopia ambalo lilikuwa makazi ya Mfalme Haile...

READ MORE

Makalla Avalia Njuga Changamoto za Barabara, Wanyamapori na Umeme Liwale

LINDI: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema katika...

READ MORE

Bosi Wa CRDB Bank Foundation Ang’ara Tuzo Nigeria

Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Mwambapa, ametajwa kuwa Kiongozi anayeongoza kwa uwezeshaji Barani Afrika katika hafla ya tuzo...

READ MORE

Dkt. Kikwete Aupokea Mwenge wa Uhuru Msoga, Chalinze

Msoga, Chalinze — Ilikuwa ni siku ya kihistoria na ya kipekee kabisa kijijini Msoga, Alhamisi Aprili 10, 2025, wakati Rais...

READ MORE

Balozi Nchimbi Akutana Na Mwenyekiti Wa Wabunge Wa CCM, Spika Wa Bunge

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Mmiliki wa Man United Wafanya Mazungumzo Ikulu Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa...

READ MORE

Cheza Book of Eskimo Kasino Bora ya Meridianbet

Sloti ya Book of Eskimo Msimu wa Sikukuu wa Krismas na Mwaka mpya hutawaliwa na theluji wenyewe huitaWhite Chrismas, wakiwa...

READ MORE

Trump Asitisha Kwa Muda Ushuru Mpya kwa Washirika wa Kibiashara, Aiacha China Nje

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kusitisha kwa muda wa siku 90 nyongeza ya ushuru kwa bidhaa zinazoingia nchini humo...

READ MORE

Odds Kubwa na Machaguo Zaidi ya 1000 Yapo Meridianbet

Ijumaa ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao...

READ MORE

Songwe, Njombe, Mbeya na Ruvuma Kukosa Umeme Kesho

Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) linawajulisha wateja wake wa mkoa wa Songwe, Njombe, Mbeya, Ruvuma na Wilaya ya Masasi kutakuwa na...

READ MORE

Msajili wa Vyama: Kauli ya “No Reform, No Election” Haijavunja Sheria, Uchaguzi 2025 Uko Pale Pale

Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya...

READ MORE

CCM yatangaza mchakato wa uteuzi wagombea wa Ubunge, Ujumbe Baraza la Wawakilishi udiwani

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa ndani wa kupokea na kuchambua wagombea wa nafasi mbalimbali za...

READ MORE

Ufanisi wa TCAA Wapongezwa na Msajili wa Hazina

Dodoma. Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amelipongeza Baraza la Wafanyakazi la Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kwa kuwa...

READ MORE

CRDB, TARURA Wazindua Mikopo ya Makandarasi Fedha za Samia Infrastructure Bond

Dodoma. Tarehe 10 Aprili 2025: Baada ya ufanisi mkubwa kwenye mauzo ya Samia Infrastructure Bond yaliyohitimishwa mapema Januari, Serikali imewataka...

READ MORE

Makalla Aanza Ziara Mkoa wa Lindi, Zaidi Bilioni 100 Kujenga Madaraja

•Akagua barabara na madaraja  SOMANGA •Atoa pole na kumshukuru Rais Samia kutoa fedha zaidi Bilioni 100 kujenga madaraja •Ampongeza Waziri...

READ MORE

Tundu Lissu Asomewa Shitaka la Uhaini Mahakama ya Kisutu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepokea kesi ya jinai dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu...

READ MORE

Polisi Wafunguka Sababu za Kumkamata Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, amethibitisha kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

Pacome Zouzoua Ang’ara Ligi Kuu Bara, Aweka Rekodi ya Tuzo

STAA wa Yanga raia wa Ivory Coast, Pacome Zouzoua ameweka rekodi yake ya kwanza ya kutwaa Tuzo sita za Mchezaji...

READ MORE

Mbunge Madaba Aongoza Msafara Wa Tanzania Katika Mkutano Wa 150 Wa Mabunge Duniani Uzbekistan

Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wabunge Wawakilishi wa umoja wa Mabunge Duniani...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashiriki Kikao cha Tatu cha Mkutano wa kumi na Tisa wa Bunge Leo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameshiriki Kikao cha Tatu cha Mkutano wa kumi na Tisa wa Bunge Leo Alhamisi Aprili 10,...

READ MORE

Oparesheni ya TAWA Yaua Fisi 43 Itilima, Bariadi na Maswa

Katika kupambana na wanyama waharibifu hasa fisi ndani ya Mkoa wa Simiyu Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania (TAWA), katika...

READ MORE

Ushindi 100% Ukicheza Kasino ya 777 Super Strike

777 Super Strike ni mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma wa Red Tiger. Katika mchezo huu, unatarajia kufurahia...

READ MORE

Shaka Ssali Kufanyiwa Heshima za Mwisho Leo Marekani

Shughuli ya kumuaga nguli wa tasnia ya habari Afrika na duniani, Shaka Ssali inatarajiwa kufanyika leo, April 10, 2025. Shaka,...

READ MORE

LHRC Yaitaka Polisi Kumwachia Tundu Lissu na Kuheshimu Haki za Kikatiba

Kituo cha sheria na Haki za binadamu nchini Tanzania LHRC, wamelitaka Jeshi la Polisi Nchini Tanzania kumuachia mara moja Mwenyekiti...

READ MORE

Maskini Carina! Aongea Kwa Uchungu ”Nina Kidonda Kibichi Tumboni Kinauma” – Video

Mwanadada Caroline Hawa almaarufu carina kutoka tasnia ya filamu nchini, yupo India alikoenda kwa ajili ya matibabu ya tumbo lililomtesa...

READ MORE

Puma Energy Yazindua Awamu ya Pili ya Kampeni ya Usalama Barabarani kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi

Kwa kushirikiana na shirika la Amend Tanzania, Puma Energy Tanzania imezindua awamu ya pili ya kampeni yake ya Usalama Barabarani...

READ MORE

RC Chalamila Atembelea na Kukagua Miradi Mbalimbali Jimbo la Kibamba Ubungo

-Amshukuru Rais Dkt Samia  kwa kutoa pesa nyingi zinazowezesha utekelezaji wa miradi hiyo -Ataka usimamizi mzuri wa miradi kwa kuzingatia...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi Jenerali Mkunda, Awapongeza Wanamichezo wa JWTZ

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  Nchini Jenerali Jacob John Mkunda amewapongeza wanamichezo wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania...

READ MORE

Richard Manyota: Kuna Watu Wanataka Kuivuruga Chadema – Video

Mchambuzi wa masuala ya siasa kutoka Global TV Online, Richard Manyota, amesema hali ya sintofahamu inayoendelea ndani ya Chama cha...

READ MORE

Jela Miaka 30 Kwa Kumbaka Kiziwi Wilaya ya Kwimba, Mwanza

Mahakama ya Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, imemhukumu Malimo Mathias Nguno maarufu kama Gohe (41), kifungo cha miaka 30 jela...

READ MORE

Hakuna Kitu Kinachohitaji Ulinzi wa Kila Aina Kama Biashara Yako Unayoitegemea

Kwa miaka mingi nimekuwa nikifanya biashara maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam, nashukuru kipato ambacho nimekuwa nikipata kinaniwezesha kumudu...

READ MORE

Bolt Yazindua Rasmi Huduma Zake Katika Mji wa Kahama

Kampuni ya usafiri wa mtandaoni Bolt, inayoongoza nchini Tanzania, imezindua rasmi huduma zake katika mji wa Kahama, hatua inayochukuliwa kuwa...

READ MORE