×

Habari

Waziri Mkuu Ashiriki Swala Ya Eid, Ruangwa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 31, 2025 amejumuika na waumini wa dini ya kiislam katika Swala ya Eid iliyofanyika...

READ MORE

Trump: Sifanyi mzaha nitagombea urais 2029

Rais wa Marekani Donald Trump amesisitiza kuwa hafanyi mzaha kuhusu nia yake ya kutaka kugombea tena Urais wa nchi hiyo...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Mwinyi Ajumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam kwenye Sala ya Eid Al Fitr

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam...

READ MORE

Chadema Yamuonya Sigrada Mligo Kutumika Vibaya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Sala ya Eid Al Fitr Kitaifa Kwenye Msikiti wa Mfalme wa VI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machi 31, 2025 amejumika na waisalamu wengine kusali...

READ MORE

Majaliwa: Nimeridhishwa Na Maandalizi Kuelekea Kuwashwa Kwa Mwenge Wa Uhuru

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na hatua za maandalizi kuelekea sherehe za kuwashwa kwa Mwenge wa Uhuru ambao utazunguka...

READ MORE

Watu Zaidi 1, 700 Wamefariki katika tetemeko la ardhi Myanmar

Watu zaidi ya 1,700 wamepoteza maisha, kufikia siku ya Jumamosi nchini Myanmar kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lilitokea katika maeneo...

READ MORE

Dereva Aliyesababisha Ajali Iliyomuua OCD Awadh Akamatwa ”Alikimbilia Mbeya Kujificha”- Video

Jeshi la Polisi limemkamata Elia Asule Mbugi almaarufu Dogo Bata, Mnyakyusa, mwenye umri wa miaka 25, mkazi wa Segerea, dereva...

READ MORE

Wikendi ya Ushindi Hii Hapa

Wenzako wakipiga pesa ndani ya Meridianbet wewe huwa umelala, basi mimi leo nakwambia hivi amka na ubashiri hapa kwani timu...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Viwanja Vitakavyotumika Chan Agosti 2025

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Machi 29, 2025 amefanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumiwa kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano ya...

READ MORE

Video: Mauaji Ya Kutisha! Kijana Apasuliwa Kichwa Na Mume Wa Mtu Kisa Kumfungulia Geti Mke

Yapo baadhi ya matukio yanayouma mno moyo na kuacha majeraha yasiyopona. Vuta picha kijana wako yupo nje na wenzake, wewe...

READ MORE

NCCR Mageuzi Yamteua Haji Ambar Khamis kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania

  Chama cha NCCR Mageuzi Machi 29, 2025, kimetangaza kumteua Haji Ambar Khamis kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano...

READ MORE

Leyla Akutana Na Baba’ake Baada Ya Miaka 3, Atokwa Machozi – Video

Leyla Shabani Mrosa (23), binti aliyepata ufaulu mkubwa na kufadhiliwa kusoma nchini India lakini baadaye kukatisha masomo kutokana na ugonjwa,...

READ MORE

wizara ya elimu yatenga milion 50 kuchagiza masomo ya sayansi na hisabati

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetoa motisha ya sh. milioni 50 kwa wahadhiri kutoka Vyuo Vikuu mbalimbali nchini wanafundisha...

READ MORE

Kamati Ya Usalama Barabarani Arusha Yakabidhi Vifaa Vya Tehama Polisi Arusha

Kamati ya Usalama barabarani Mkoa wa Arusha Machi 28, 2025 imekabidhi kompyuta kwa kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha...

READ MORE

Makamu Wa Rais dKT. Mpango Azindua Matawi ya Nmb

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa wananchi kuepuka wakopeshaji binafsi...

READ MORE

Wajane wa Magomeni Wafikiwa na Meridianbet

Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania Meridianbet, imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kusaidia kwa vitendo. Kama ilivyo desturi yao kila mwezi,...

READ MORE

Putin Ataka Ukraine Iwe Chini Ya UN

Rais Vladimir Putin amependekeza kuwa Ukraine inapaswa kuwekwa chini ya udhibiti wa Umoja wa Mataifa (UN) kwa muda ili kuchagua...

READ MORE

Beki Wa Kazi Yanga Deni Lake Limekia Hapa

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, Ibrahim Bacca deni lake la mabao...

READ MORE

Dk. Gwajima: Acheni Unyanyapaa Dhidi ya Single Mothers

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum, Dk Dorothy Gwajima amewasihi wanaozungumza vibaya kuhusu wanawake waolea...

READ MORE

Wanaosaka Ubunge, Udiwani Kabla Ya Muda Waonywa Mwanza

KATIUBU wa CCM Mkoa Mwanza Omari Mtuwa amewaonya makada wa chama hicho wanaojipitisha kusaka ubunge na Udiwani kabla muda kuwa...

READ MORE

TANZIA – Balozi Juma Mwapachu afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kati ya mwaka 2006 na 2011, ameaga dunia Machi 28,...

READ MORE

Makalla Achangisha Zaidi ya 1.5M za Matibabu ya Mwenezi wa Chadema

CHAMA Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kimechangia kiasi cha Sh 1,553, 500 kwa ajili ya Katibu Mwenezi wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Akutana Na Mabalozi Wa Tanzania Nchi Za Zimbabwe Na Rwanda

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 28, 2025 amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Habib Galus Kambanga (kushoto)...

READ MORE

AVODA Group Kuwawezesha Wajasiriamali

Dar es Salaam 27 Machi 2025: Wajasiriamali nchini wanakabiliwa na changamoto kadhaa zinazowazuia kufanikisha malengo yao, zikiwemo ukosefu wa mitaji,...

READ MORE

Anza Wikendi Yako Vyema, Odds bomba Zipo Hapa

Je unajua kuwa unweza ukaanza wikendi yako vyema ukiwa na Meridianbet siku ya leo?. ODDS BOMBA zipo hapa lakini pia...

READ MORE

UN yatiwa wasiwasi na hali tete Sudan Kusini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema anasikitishwa sana na kuendelea kushtadi taharuki na hali ya mambo nchini...

READ MORE

Shekhe Kandauma: Ni Haramu Kwa Mwanaume Kumnunulia Abaya Mwanamke Ambaye Hajamuoa – Video

Kupitia kipindi cha Mapito, Shekhe Kandauma ameeleza kuwa ni haramu kwa mwanaume kumnunulia Abaya mwanamke ambaye hajamuoa. Video kamili ipo...

READ MORE

Marekani Yafuta Visa za Wanafunzi Walioshiriki Maandamano ya Kiuunga Mkono Palestina

Serikali ya Marekani imefuta visa za takriban wanafunzi 300 wa kigeni kama sehemu ya juhudi za kukabiliana na maandamano ya...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Awasilisha Ujumbe Maalum Wa Rais Samia Kwa Rais Wa Gambia

RAIS Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Machi 26, 2025 amewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Dkt....

READ MORE

Puma Energy Tanzania yafuturisha Viongozi na Wadau

Kampuni ya PUMA Energy imeandaa futari maalum Zanzibar, ikikusanya pamoja wateja wake, viongozi wa dini na serikali , na wadau...

READ MORE

CHADEMA Waitisha kikao maalum na watia nia wa nafasi za ubunge

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuitisha kikao maalum na watia nia wa nafasi za ubunge kupitia chama hicho....

READ MORE

Mwandishi mkongwe Afrika, Shaka Ssali Afariki dunia

Mwandishi wa habari mkongwe Afrika, Shaka Ssali, mzaliwa wa Kabale, Uganda aliyekuwa akifanya kazi kwa muda mrefu katika Shirika la...

READ MORE

NBC Yaitambulisha “NBC Shambani’’ Kwa wakulima Songwe, Mbeya

  Katibu Tawala Wilaya ya Mbozi Bw Mbwana Kambangwa, (alieshika mkasi) akijipongeza sambamba na wadau wengine mara baada ya kuzindua...

READ MORE

CAG: TRC Yapata Hasara ya Tsh bilioni 224, TTCL hasara ya Tsh bilioni 27.78 – Video

 Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Dkt. Charles Kichere, leo Machi 27, 2025 akiwasilisha ripoti kuu...

READ MORE

CPA Makalla Avunja Ngome ya Chadema Mbeya, Awapokea Wanachama Wapya

Zaidi ya Wanachama wapya 50 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mbeya kutoka katika vyama vya upinzani wakitaja kuridhishwa...

READ MORE

CAG Kichere: Deni la Taifa Laongezeka Lafikia Trilioni 97.35 – Video

Leo Alhamisi Machi 27, 2025, Ikulu ya Magogoni Jijini Dar Es salaam, mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan, Mdhibiti na...

READ MORE

Lipa ChapChap: Benki Ya Exim Yaja Na Mapinduzi Ya Malipo Kidijitali

Dar es Salaam – Benki ya Exim Tanzania imechukua hatua madhubuti katika kuunda mustakabali wa malipo ya kidijitali kwa kuzindua...

READ MORE

Mchezo wa Kutengeneza Maokoto Kasino, Sloti ya Fairy In Wonderland

Fairy in Wonderland ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni inayotendeka katika msitu wa kusadikika, ambako kiumbe mzuri anaingia...

READ MORE

Katibu wa CCM Mwanza Aonya Makatibu Kata na Matawi Kuhusu Upangaji wa Safu

Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza Omari Mtuwa amewaonya makatibu Kata na tawi wa CCM Mkoa wa Mwanza kuacha tabia...

READ MORE