×

Habari

Waziri Mkuu Aongoza Kikao Cha Kitaifa Cha Dira Ya Maendeleo 2050

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Kitaifa ya Dira ya Taifa ya Maendeleo...

READ MORE

Makamu Mwenyekiti Chadema John Heche Awa Mbogo Kisa ‘Tone Tone’ – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema mpango wa ToneTone uliozinduliwa na chama hicho jana usiku...

READ MORE

Kuelekea Siku ya Wanawake, Hospitali ya Rufaa Temeke Yachangiwa Vifaa Mbalimbali

Wakati dunia ikielekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025, wafanyakazi wanawake wa Kampuni ya ALAF wametoa vifaa mbalimbali...

READ MORE

Waziri Bashungwa: Mwananchi Kupata Kitambulisho Cha NIDA Ndani ya Siku 14

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza mkakati wa Serikali ni kuhakikisha Mwananchi anapata Kitambulisho cha Taifa...

READ MORE

Kampeni ya Rais Dkt. Samia Kuhusu Matumizi na Elimu ya Nishati Yatakiwa Kuzingatiwa

Meneja Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Oryx Gas Tanzania, Shaban Fundi katika kusisitiza kampeni ya Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Rais Samia Aweka Jiwe La Msingi La Ujenzi Wa LPG Terminal GBP Gas-Tanga (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Atembelea Bandari Ya Tanga Na Kuzungumza Na Wafanyakazi Wa Bandari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kusimamia maboresho makubwa katika sekta ya uchukuzi, hususan...

READ MORE

Chama cha Waandishi wa Dar Chapata Mwenyekiti Mpya

Dar es Salaam, 1 Machi 2025: CHAMA Cha Waandishi wa Habari, Mkoa wa Dar es salaam (DCPC), jana Ijumaa kimemchagua...

READ MORE

Mkutano Wa G20 Wafikia Tamati Bila Mwafaka

Mkutano wa G20 uliokuwa ukifanyika nchini Afrika Kusini umemalizika jana bila ya washiriki wake kufikia mwafaka. Afrika Kusini ambayo ni...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi Awaongoza Wananchi Katika Maadhimisho ya Miaka 120 ya Kumbukumbu ya Vita vya Majimaji 

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda amewaongoza maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma na maeneo jirani...

READ MORE

Rose Mhando: Msama ni Baba Kwangu Acheni Kunigombanisha Naye..

Mwimbaji nguli wa Muziki wa Injili Afrika Mashariki na Kati, Rose Mhando amesema amekiri kwamba Mkurugenzi wa Msama Promotions ambaye...

READ MORE

Trump: Ukraine ‘isahau’ kujiunga na NATO

Huwezi kuamini lakini ndivyo ilivyo kwamba Rais wa Marekani Donald Trump amesema Ukraine isahau kujiunga na Shirika la Kijeshi la...

READ MORE

Balozi Nchimbi: Mapambano ya Uhuru wa Kiuchumi Kusini Mwa Afrika Yanaendelea

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa mapambano ya uhuru wa kiuchumi na...

READ MORE

Vodacom Yazindua Duka la Huduma kwa Wateja Nungwi, Zanzibar

Kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Vodacom imezindua duka jipya la huduma kwa wateja kata ya Nungwi, mkoa wa Kaskazini...

READ MORE

Viongozi Ulaya wamuunga mkono Zelensky kufuatia mzozo wake na Trump Ikulu

Muda mfupi baada ya mkutano kati ya Donald Trump na Volodymyr Zelensky kuvunjika kwa kurushiana maneno makali, viongozi wa Ulaya...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Samia katika maombi maalum ya kuliombea Taifa Viwanja wa Leaders

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Februari 28, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maombi maalum ya kuliombea Taifa yaliyondaliwa...

READ MORE

Trump na Zelensky Wazozana Ikulu, Mkutano Wavunjika -Video

Mkutano uliofanyika White House kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy Ijumaa uliolenga kufikia...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi Jenerali Mkunda Awavisha Nishani Maafisa na Askari wa JWTZ

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Rais na Amiri Jeshi...

READ MORE

Rais Samia Afunguka Mipango Mikubwa Aliyonayo Tanga ya Viwanda – (Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza matamanio yake kwa mkoa wa Tanga, akisema serikali...

READ MORE

Jeshi La Israel Lakiri Udhaifu Kuzuia Shambulio La Hamas

Jeshi la Israel limekiri kwamba kulikuwa na udhaifu katika kuzuia shambulio la wapiganaji wa Hamas la Oktoba 7, 2024, na...

READ MORE

Sinza Bodaboda Cup: Vumbi Limetimka, Lakini Hakuna Mbabe!

Uwanja wa Masjid Quba, Sinza, uligeuka uwanja wa vita jioni hii, waendesha bodaboda wanaoshabikia Simba na Yanga wakimenyana kwenye Sinza...

READ MORE

Rais Samia Kuzungumza Na Wananchi Mkwakwani

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Ijumaa, Februari 28, 2025, anaendelea na ziara yake mkoani Tanga katika Jimbo la Tanga Mjini,...

READ MORE

RC Makonda Atoa Mwezi Mmoja, Takukuru Kuwapata Waliokwapua Milioni 400 Za Waendesha Bodaboda

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda Alhamisi Februari 27, 2025 ameipa mwezi mmoja Taasisi ya kupambana na kuzuia...

READ MORE

Jeshi la Burundi Lakanusha Kuhusika na mashambulizi ya Mabomu Bukavu – Video

Jeshi la Burundi limekanusha ripoti kwamba lilihusika na mashambulizi ya Mabomu huko Bukavu, Kivu Kusini, ambako mkutano wa AFC/M23 ulikuwa...

READ MORE

Hatua Muhimu Ili Kuondokana na Madeni Yanayokuandama

Jina langu ni Musa kutokea Katavi, niliwahi kupitia hali ya kupata fedha mwisho wa mwezi lakini yote inaishi kwenye kulipa...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Alivyowasili nchini Namibia ambapo kumwakilisha Rais Samia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango Februari 27, 2025 amewasili Jijini Windhoek nchini Namibia...

READ MORE

Baba Ataja Sababu Gideon Kukatwa Mkono, Alizaliwa Akiwa Mzima

Unaambiwa kabla hujafa, hujaumbika! Mkasa wa mtoto Gideon Yohana mwenye umri wa miaka 10 tu, unasikitisha sana. Alizaliwa akiwa mzima...

READ MORE

Rais Samia Afanya uteuzi na kumpangia kituo cha kazi balozi

Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na kumpangia kituo cha kazi balozi.

READ MORE

Rais Samia Asimama Na Kumpisha Kwenye Kiti Mtoto Wa Form 2, Amkumbatia Baada Ya Kukoshwa Na Maneno – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi mbalimbali...

READ MORE

Hamas yakabidhi maiti wanne wa Waisrael

Vyombo vya habari vimeripoti mapema leo Alhamisi kwamba mchakato wa kuwaachilia huru mateka wa Kipalestina umeanza baada ya HAMAS kukabidhi...

READ MORE

Mbezi Juu Yafurahia Ujio wa Meridianbet

Kurejesha kwa jamii haitakiwa mpaka uwe na utajiri mkubwa sana, bali ni moyo tuu basi hivyo ndivyo Meridianbet hufanya mara...

READ MORE

Dk. Slaa Aachiwa Huru, Kesi Yake Yafutwa – Video

Kutoka katika Mahakama ya Hakimu ya Mkazi Kisutu jijini Dar ni kwamba mahakama imemuachia huru Dk Wilbord Slaa baada ya...

READ MORE

Balozi Nchimbi Awasili Namibia Msiba Wa Sam Nujoma

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili nchini Namibia, akiongoza ujumbe wa CCM kwenye mazishi...

READ MORE

Naibu Waziri Chumi Akutana Na Balozi Wa Norway ofisi ndogo za Wizara Dar

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato Chumi (Mb.), kwa niaba ya Waziri wa Mambo...

READ MORE

Gachagua amuahidi Raila urais Kenya 2027

Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amesema kwamba anaweza kumfanya kiongozi wa ODM, Raila Odinga kuwa rais wa Kenya...

READ MORE

Polisi Mbeya Wafanya Doria ya Magari na Miguu kuzunguka maeneo mbalimbali ya Jiji Mbeya

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) Wilbert Mica Siwa Februari 26, 2025 amewaongoza Maafisa,...

READ MORE

Makamu wa Rais Afanya mazungumzo na Shirikisho la Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kati (ACEAC)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Waziri wa Ujenzi Zanzibar Azindua Dawati la Uwekezaji La Vertex

WAZIRI wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Khalid Salum Mohamed amewapongeza Vertex International Securities kwa kuanzisha dawati la uwekezaji kupitia...

READ MORE

Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Afunga Mkutano wa Wakuu wa Taasisi za Viwanda vya Kijeshi

Dar es Salaam 26 Februari 2025: Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Salum...

READ MORE

Rais Samia Aweka jiwe la msingi la upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Tanga – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Februari, 2025 ameweka jiwe la msingi la upanuzi...

READ MORE