×

Habari

TIRA Yazindua ‘Kijiji cha Bima’ Sabasaba Kuinua Uelewa wa Jamii

Dar es Salaam 4 Julai 2025: Katika kuimarisha uelewa wa matumizi ya bima kwa Jamii, Mamlaka ya Usimamizi wa Bima...

READ MORE

Wasomi UDSM Walivyobuni Mtambo wa Kisasa wa Kuchenjua Dhahabu

Dar es Salaam 4 Julai 2025: Katika Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, Wasomi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...

READ MORE

VETA Ilivyowawezesha Watanzania, Kujiajiri na Kuajiriwa

MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imesema inajivunia mageuzi makubwa iliyoyafanya katika sekta ya elimu na mafunzo...

READ MORE

Shigongo: Umoja Ndio Njia Pekee ya Kuinua Buchosa

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuungana, kushikamana na kushirikiana kwa lengo la kuharakisha maendeleo, huku...

READ MORE

Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt. Samia Maadhimisho Ya Miaka 10 Ya WCF

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Julai 04, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katik maadhimisho ya miaka kumi ya...

READ MORE

GEITA: Afisa Mtendaji wa Kijiji na Raia Wenzake Wakamatwa kwa Tuhuma za Mauaji – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewakamata watu wawili akiwemo Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Liyobahika, Ferdinand Anthony maarufu kama...

READ MORE

Dkt. Biteko: Rais Samia Anapenda Kufanya Kazi Na Viongozi Wa Dini

Dodoma, Julai 3, 2025 – Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Equatorial Guinea: Baltasar Engonga Atupwa Jela Miaka 18 kwa Ubadhirifu

Malabo, Julai 2, 2025 – Mahakama ya Juu ya Equatorial Guinea imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la...

READ MORE

Twende Butiama 2025: Vodacom Tanzania na Stanbic Bank zaendelea kutoa matumaini kwa Watanzania

Msafara wa baiskeli wa Twende Butiama Cycling Tour 2025 umeanza rasmi Julai 3, 2025, ukiwana waendesha baiskeli zaidi ya 180...

READ MORE

Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Aitaka LATRA Kuwa na Mfumo ya Tiketi Mtandao

Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara  ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuhakikisha wamiliki wa mifumo ya...

READ MORE

CCM Yatangaza Idadi ya Wagombea Ubunge, Zaidi ya 4,000 Wajitokeza – Video

Dar es Salaam, Julai 3, 2025 – Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama...

READ MORE

Bayport Yaendeleza Kampeini ya Kutunza Mazingira kwa Kupanda Miti 600 Mloganzila

Dar es Salaam Alhamisi 10 Julai 2025 Ikiwa ni sehemu ya Kampeni yake ya kuhamasisha watanzania kutunza mazingira kwa kupanda...

READ MORE

Serikali Itaendelea Kuimarisha Mazingira Ya Ufanyaji Biashara-Majaliwa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara za huduma za kifedha ili kuvutia uwekezaji...

READ MORE

Kila Jumatano ni Nafasi ya Kushinda Samsung A25

Promosheni nyingine kali imetua kwa wakali wa Odds za kibabe Meridianbet hivyo kwa wale ambao wanatumia vitochi na USSD huu...

READ MORE

Shigongo Azindua Kivuko Cha MV Mwanza, Aishukuru Serikali kwa Kuimarisha Usafiri Buchosa

KIVUKO kipya cha MV Mwanza Julai 2, 2025 kimepokelewa kwa shangwe kubwa katika Jimbo la Buchosa mnamo Julai 2, 2025,…

READ MORE

Serikali Yakanusha Madai ya Njama ya Kumuua Tundu Lissu kwa Sumu

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, Julai 3, 2025 imekanusha vikali madai yanayosambaa mitandaoni na vyombo vya habari...

READ MORE

Waziri Paramagamba Kabudi Alivyofika Banda la NIC Sabasaba Kujionea

Dar es Salaam 3 Julai 2025: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema kuwa miongoni mwa...

READ MORE

UDOM Wabuni Roketi ya Kupeleka Vitu Angani

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) katika kinachoonekana kupiga hatua katika masuala ya sayansi na teknolojia wamebuni roketi yenye uwezo wa...

READ MORE

Makalla: Rais Samia Aagiza Uteuzi wa CCM Ufanyike kwa Haki – Video

Dar es Salaam, Julai 3, 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

CCM Yamsifu Majaliwa Kwa Uamuzi Wake Wa Kutogombea Ubunge – Video

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama kinampongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...

READ MORE

Mkurugenzi wa Vodacom, Philip Besiimire Alivyofika Sabasaba Kujionea Yanayojiri

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania , Philip Besiimire ( Mwenye tisheti nyeupe), pamoja na Mkurugenzi wa Udhibiti wa Hatari na Utii...

READ MORE

Mkurugenzi Mkuu TTCL Afanya Ziara Banda la TTCL Sabasaba

Atembelea mabanda ya taasisi rafiki akiambatana na Viongozi waandamizi wa Shirika hilo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL...

READ MORE

Tumia Airtel Money na Ushinde Hisense TV, Samsung A25 na Safari ya Zanzibar

Meridianbet kwa kushirikiana na Airtel Money wamekuja na ofa ya kipekee kwa wateja wote wanaotumia Airtel Money kuweka pesa kwenye...

READ MORE

Mtaalam wa Lishe UDOM Aeleza Jinsi ya Kuimarisha Afya yako

Mhadhiri Msaidizi na Mtaalam wa lishe kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Kassim Mohammed Ally ameelezea jinsi ya kuimarisha afya...

READ MORE

Balozi Nchimbi Akutana Na Mabalozi Wa EU Tanzania

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekutana na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Jumuiya...

READ MORE

Mashtaka Mazito Yatupiliwa Mbali Kwa Diddy

Msanii maarufu, Sean “P. Diddy” Combs, ameondolewa hatiani kwenye mashtaka mazito ya kuendesha mtandao wa kihalifu na usafirishaji wa binadamu...

READ MORE

Mbunge Pekee wa Chadema Awaaga Wapiga Kura Wake

Mbunge wa Nkasi anayemaliza muda wake kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Aida Kenani amewaaga wapiga kura wake leo...

READ MORE

Washindi wa Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi 2024 Watangazwa Rasmi Dar

Alhamisi Julai 03, 2025 – Dar es Salaam: Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika imetangaza washindi wa...

READ MORE

Majaliwa Aaga Ubunge Ruangwa Amshukuru Rais Samia

WAZIRI MKUU, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa leo Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa...

READ MORE

“Hawajui Uhuru Ni Nini” – Rais wa Burundi Awaka Juu Ya Wanaotafuta Msaada

Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, amewashutumu baadhi ya raia na wanasiasa wa nchi hiyo wanaotafuta msaada wa kisiasa nje ya...

READ MORE

80 Wauawa Baada Ya Mashambulizi Ya Kigaidi Mali

Jeshi la Mali limesema limewaua wapiganaji 80 wa Al-Qaeda waliovamia vituo vya kijeshi kwa mashambulizi ya ghafla katika miji saba...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Hatogombea Ubunge Tena 2025 – Video

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa hatagombea tena ubunge wa Jimbo la Ruangwa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, baada ya...

READ MORE

Shinda Simu Mpya Kabisa ya Samsung Galaxy A25 Mwezi Huu wa Julai na Meridianbet

Je, uko tayari kwa Julai ya kusisimua iliyojaa burudani na zawadi kemkem? Meridianbet inakuletea sababu ya kubashiri mwezi huu kupitia...

READ MORE

Eric Shigongo Achukua Fomu Kuwania Ubunge Buchosa Kwa Muhula Wa Pili – Video

Mbunge wa Buchosa anayemaliza muhula wake wa kwanza, Eric Shigongo Julai 1, 2025 amechukua fomu ya kuwania ubunge wa jimbo...

READ MORE

IGP Wambura Awavisha Cheo Maafisa Watatu Waliopandishwa Cheo Na Rais Dkt. Samia

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amewavisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) maafisa watatu...

READ MORE

RC Kihongosi Arudi Arusha, Aahidi Ushirikiano na Viongozi wa CCM

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Laban Kihongosi amefika kwenye ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha na kupokelewa...

READ MORE

TRA Yavunja Rekodi Kwa Kuvuka Malengo Ya Makusanyo Kwa Miezi 12 Mfululizo

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeandika historia kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake kwa kuvuka malengo ya makusanyo kwa...

READ MORE

Twende Butiama 2025 Yaanza Rasmi Kutoka Dar Es Salaam

Dar es Salaam, Julai 2, 2025 Msafara wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini Dar es...

READ MORE

Oryx Gas na REA Wazindua Mradi wa Magerezani Kutumia Nishati Safi ya Gesi

Simiyu 1 Julai 2025: Kampuni ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Wakala wa Nishati Safi Tanzania (REA) wamezindua rasmi mradi...

READ MORE

Jamii Yaaswa Kujenga Utamaduni wa Kusaidia Watu Wenye Uhitaji

Jamii imeaswa kujenga utamaduni wa kua na moyo wa kujitolea kusaidia watu wenye uhitaji haswa Watoto wenye changamoto ya vichwa...

READ MORE