×

Habari

Misri kuwasilisha ombi la kuwa mwenyeji wa Olimpiki ya 2036

Mkuu wa kamati ya Olimpiki ya Afrika, ANOCA, Mustapha Berraf, amesema Jumapili kwamba Misri itawasilisha ombi la kuwa mwenyeji wa...

READ MORE

Waziri wa Ulinzi Alivyofunga Mazoezi ya Medani ya Ushirikiano Kati JWTZ na Jeshi la Ukombozi wa Watu wa China

Pwani 12 Agosti 2024: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) jana alifunga mazoezi...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Chuo Kikuu Cha Dodoma, Mwisho wa Kutuma Maombi Agosti 22

Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi zaidi ya 25 za ajira. Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali Bonyeza...

READ MORE

NMB Kumkabidhi Rais Samia Shule, Kuwanoa Wajasiriamali 700 Kizimkazi Festival

KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival 2024), imetambulisha rasmi wadhamini wa mwaka huu, ikiwemo Benki ya NMB,...

READ MORE

Wanawake Wafanyabiashara Kariakoo Wawezeshwa na Tigo Namna ya Matumizi ya Fedha Kidijitali  

Kampuni ya mawasiliano ya Tigo nchini imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali za kuhakikisha inachangia ujumuishwaji wa kifedha kwa...

READ MORE

Startimes Kuendelea Kuunga Mkono Ligi ya Championship Ili Kuwapa Nafasi Vijana Kuonesha Vipaji

Kampuni ya Startimes imesema itaendelea kuunga mkono Ligi ya Championship ili kuwapa nafasi vijana kuonesha vipaji na kujiuza kimataifa. Hayo...

READ MORE

Balozi Nchimbi; Kazi Kubwa za Rais Samia Zimemheshimisha Magufuli

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa kazi kubwa anayoifanya Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Msanii wa Bongo Fleva Mandojo Afariki Dunia kwa Kupigwa Akidhaniwa Kuwa Mwizi

Msanii maarufu wa muziki wa Bongofleva nchini, Mandojo amefariki dunia asubuhi ya leo Agosti 11, 2024 jijini Dodoma. Msanii mwenzake...

READ MORE

Kipindi Mashuhuri China cha “Divas Hit the Road” Charekodiwa Tanzania, Mastaa Watua, Kuonekana

Mastaa kutoka China wakiwemo nguli wa televisheni, filamu na muziki wametua leo jijini Arusha kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti...

READ MORE

Miili yote yapatikana baada ya watu 62 kufariki katika ajali ya ndege ya Brazil

Miili yote imepatikana katika eneo la ajali ya ndege katika jimbo la São Paulo nchini Brazil na kusababisha vifo vya...

READ MORE

Nchimbi Ahitimisha Kagera Mkutano Mkubwa Muleba

Maelfu ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Muleba wakiwa wamejitokeza na kukusanyika kwenye Uwanja wa Fatuma,...

READ MORE

Yemi Alade Agonga Kolabo na Ziggy Marley Kwenye Rebel Queen

STAA wa muziki wa Afro Pop Yemi Alade ametoa albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Rebel Queen’ ambayo inapatikana...

READ MORE

Afisa Mtendaji Mkuu mtandao wa YouTube Susan Wojcicki Afariki

Afisa Mtendaji Mkuu wa zamani wa mtandao wa YouTube na mmoja wa wafanyakazi wa kwanza wa Google, Susan Wojcicki amefariki...

READ MORE

NBC Yadhamiria Kusomesha Wakunga 500 Hadi Ifikapo 2028, Yasisitiza Elimu ya Fedha Kwa Watumishi

 Benki ya Taifa ya Biashara imesisitiza dhamira yake ya kufadhili masomo ya wakunga  500 hadi kufikia mwaka 2028 ikiwa ni...

READ MORE

Kampuni ya Gesi ya Orxy Yamuunga Mkono Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Kwa Kugawa Mitungi

Kampuni ya gesi ya Orxy Tanzania Limited ambayo inayozalisha na kusambaza nishati ya gesi za majumbani imemuunga mkono Mbunge wa...

READ MORE

JWTZ Yazindua Mashindano ya Sanaa na Utamaduni ya Jenerali Jacob Mkunda

Dar es Salaam 10 Agosti 2024: Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) leo limezindua mashindano ya Utamaduni ya Mkuu wa...

READ MORE

Kampuni ya Sukari ya Kilombero Yawataka Wakulima Kuchangamkia Fursa Upanuzi Kiwanda cha K4

Kampuni ya Sukari ya Kilombero imeshiriki katika Tamasha la mwaka huu la Nane Nane, lililofanyika kuanzia Agosti 1 hadi 8...

READ MORE

Mwenyekiti wa TCDC Amwomba Rais Samia kuizindua Benki ya Taifa ya Ushirika

Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC), Abdulamjid Nsekela amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuizindua Benki...

READ MORE

Mtanzania Akwama India, Afungiwa Kambini, Bila Mil 3 Hawezi Kurudi, Mama’ake Aomba Msaada – Video

Mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Fatuma Bakary, mkazi wa Mwandege, Mkoani Pwani ameiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

TECNO CAMON 30 Yashika Namba Moja Katika Mauzo Ya Mwezi Wa Julai, Tanzania

Katika mwezi wa Julai, TECNO CAMON 30 ilipita mbele ya washindani wote katika soko la simu za mkononi nchini Tanzania,...

READ MORE

Ajali ya Ndege Yauwa Watu 61 Sao Paulo, Brazil

NDEGE ya abiria ya Kampuni ya VoePass iliyokuwa imebeba abiria 57 na wahudumu wanne imeanguka huko Sao Paulo, Brazil na...

READ MORE

BRITAM, Bank of Africa Zashirikiana Kuongeza Upatikanaji wa Huduma za Bima ya Afya

Britam Insurance Tanzania na Bank of Africa zashirikiana kuongeza upatikanaji wa huduma za Bima za Afya Tanzania ziitwazo ‘Amani Health’...

READ MORE

Rais Samia Akoshwa na NMB, Asema Kazi Iendelee…

    BENKI ya NMB imepandisha kiwango cha mikopo kwa wakulima na wafugaji kutoka Shilingi Bilioni 730 mwaka 2021 hadi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 10, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Mzee Magoma Ashindwa Kesi, Kuilipa Yanga Mil 60

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali mwenendo nzima wa maombi yaliyofunguliwa na Juma Magoma na wenzake ya kutaka kuundoa...

READ MORE

Issa Hayatou Aliyekuwa rais wa shirikisho la soka barani Afrika afariki

Aliyekuwa rais wa muda mrefu wa Shirikisho la Soka Afrika, Issa Hayatou amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 77....

READ MORE

Trump na Harris wakubali kukutana kwenye mdahalo Septemba

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris, mgombea urais wa Demokrat katika uchaguzi wa Novemba, na mpinzani wake wa chama...

READ MORE

Mke wa Bosi Alinitaka Kimapenzi, Nilipomkataa Akanipa Kesi ya Ubakaji

Huku duniani kuna matukio ya ajabu sana, unaweza kushangaa na kujiuliza yote haya yanafanyika kwa sababu gani, kwa faida ya...

READ MORE

Changamoto ya Ardhi na Tembo Karagwe, Zatua Kwa Nchimbi

-Azitolea maelekezo,-Amshukuru Waziri Mkuu kumuagiza Naibu Waziri haraka masuala ya NIDA KageraKatibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Agosti 9, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Global Education Link Yatoa Visa 100 Kwa Wanaokwenda Kusoma Nje ya Nchi

WAKALA wa Elimu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imetoa Visa 100 kwa kundi la kwanza la wanafunzi wanaotarajia...

READ MORE

Rais wa Comoro Azali Assoumani amempa Mamlaka ya Urais mwanawe, Nour El Fath

Rais wa Comoro Azali Assoumani amempa Mamlaka ya Urais mwanawe, Nour El Fath na kumruhusu kuingilia kati katika hatua zote...

READ MORE

Pilsner Lager’s New Campaign Kicks Off With a Roaring Celebration at the Benjamin Mkapa National Stadium

Where were you last weekend if not at the National Stadium??? On a hot Saturday afternoon, Pilsner Lager, in partnership...

READ MORE

Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kuunganisha Matrekta Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi kwenye kiwanda cha kwanza cha uunganishaji wa matrekta katika ukanda wa Afrika...

READ MORE

Serikali Kufanya Tathmini Urejeshaji wa Hiari Wakimbizi

Serikali imesema katika kuhakikisha kuwa Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa hapa nchini wanapata suluhisho la kudumu ifikapo Januari 2025 itafanya zoezi...

READ MORE

Papa Francis aomba pande zinazozozana katika maeneo yenye migogoro kusitisha mapigano

Kiongozi wa Kanisa la Katoliki Papa Francis ameomba amani mashariki ya kati na sehemu nyingine duniani, na kutoa wito kwa...

READ MORE

Balozi Nchimbi Aweka Neno Upatikanaji wa NIDA Ngara

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel  John Nchimbi ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Apongeza NSSF, Jeshi la Magereza Kukamilisha Mradi Kiwanda Cha Sukari Mkulazi

*Asema mradi huu una umuhimu wa kipekee *Asema kiwanda hicho kinaenda kutoa uhakika wa sukari nchini, awapongeza NSSF na Jeshi...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Awaita Mambo ya Ndani Ziara Yake Kujibu Masuala ya NIDA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amemwagiza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Banda la Azania Bank – Mdhamini Mkuu wa Nanenane

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka Kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank...

READ MORE