×

Habari

Betpawa Yakamilisha Mradi Wa Maji Makwiru Yatumika Milioni 24.4 Kukamilisha

WAKAZI wa kijiji cha Makiwaru cha Wilaya ya Siha, Sanya Juu, mkoani Kilimanjaro wanasababu ya kutabasamu baada ya kampuni ya...

READ MORE

Nchimbi Atua Mwanza Na Maagizo Wizara Ya Ujenzi

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameielekeza Wizara ya Ujenzi kuharakisha mchakato wa kumpata Mkandarasi...

READ MORE

Waziri Ndejembi Aelekeza Watumishi Wa Ardhi Wasio Waadilifu Kuchukuliwa Hatua

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amemwelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kumchukulia hatua kali za...

READ MORE

ME Dragon Eagle -Bwana Jela (Lyrics Video)

Msanii wa muziki wa reggae kutoka Tanzania, Afrika Mashariki, ME a.k.a Dragon Eagle ametoa wimbo wa Bwana Jela ni wimbo...

READ MORE

Sloti Ya Odd One Out Njia 243 Za Ushindi

Sloti ya Odd One Out Wakati ambao wengi wanasubiri kuanza kwa msimu mpya wa Ligi duniani kote, wajanja wanazidi kupiga...

READ MORE

Makamu Wa Rais Afanya Mazungumzo Na Sekretariet Ya Jukwaa La Uchumi Duniani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango leo tarehe 15 Agosti 2024 amekutana na kufanya...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu Dar (Picha +Video)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Jijini Mawaziri hao walioapa...

READ MORE

Kaka na Dada Waliokuwa Wanaishi Kinyumba Wafungwa Jela

Katika hali ya kushangaza ndugu wawili (Kaka na Dada) wote wamezaliwa Baba na Mama mmoja, wamefungwa jela mmoja miaka 20...

READ MORE

Rais Samia Kuelekea Harare, Zimbabwe Kushiriki Mkutano wa 44 wa SADC

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kusafiri leo Agosti 15 kuelekea Harare, Zimbabwe ambako atashiriki Mkutano wa 44 wa Wakuu wa...

READ MORE

Dkt. Irene Isaka Ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHIF

Rais Samia Suluhu Hassan ameteua Wakuu wa Taasisi mbalimbali kama ifuatavyo; Dkt. Irene Isaka ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko...

READ MORE

Rais Samia Amteua Hamza Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Hamza Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali....

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi na Uhamisho wa Viongozi Mbalimbali – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali ambapo...

READ MORE

Rais Samia Amteua Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Atenguliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali ambapo...

READ MORE

Rais Samia Amteua Dkt. Pindi Chana kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Pindi Chana kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii akichukua nafasi ya Angellah Kairuki aliyeteuliwa...

READ MORE

NBC Yazindua Huduma ya Miamala ya Fedha Bila Kuwa na Akaunti

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetambulisha rasmi huduma yake mpya ya wakala wa pesa kupitia benki ambayo inamruhusu mteja...

READ MORE

TCB Kushirikiana na Bunge Kuwainua Wajasiriamali Nchini

  Katika jitihada za kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi za kifedha na mihimili ya Serikali, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya...

READ MORE

GGML waanza kutumia umeme wa gridi, kupunguza gharama kwa 92%

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amezindua kituo cha kupokea na kupoza umeme katika Mgodi wa...

READ MORE

Serikali Yataka Mabenki Kutanua Wigo wa Kurahisisha Huduma za Kifedha

SERIKALI imeyataka mabenki nchini kuhakikisha yanatanua wigo wa kufungua ofisi katika kurahisisha huduma za kifedha kwa wafanyabiashara hatua hiyo inalenga...

READ MORE

Kuelekea Mashindano ya Sanaa na Utamaduni ya Mkuu wa Majeshi Tambo Zimeanza

Dar-es-Salaam Katika kuelekea mashindano ya utamaduni ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda yanayoshirikisha vikundi vya majeshi...

READ MORE

Rais Samia Awateua Lukuvi, Prof. Kabudi Baraza la Mawaziri

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali ambapo...

READ MORE

Chikukupi Ajitosa Kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki

Kada wa Chama Cha Mapinduzi  Chikukupi Njelu Kasaka amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Nchimbi Atua Kwa Kishindo Buchosa, Mbunge Shigongo Afunguka – Video

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Jimbo la Buchosa, Halmashauri...

READ MORE

Nape: Sina Akauti yoyote ya mtandao wa kijamii inayofanya kazi kwa sasa

MBUNGE wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye ameutahadharisha Umma wa watanzania kwamba hana akauti yoyote ya mtandao wa kijamii inayofanya...

READ MORE

Nilivyopata Kazi Baada ya Kuhangaika na Kuteseka kwa Miaka Mitano

Hapa duniani hakuna maisha bila kazi, kazi ndio msingi wa maisha, katika kazi ndipo mtu anajipatia riziki yake (fedha), kazi...

READ MORE

Nchi Za Afrika Zahimizwa Kuandaa Mtaji Wa Rasilimali Watu Kwa Ajili Ya Karne Ya 21

Nchi za Afrika zimetakiwa kujenga mtaji wa Rasilimali watu kwa ajili ya karne ya 21, kwa kutoa elimu inayohusu mafunzo...

READ MORE

Meridianbet Yagawa Mipira Kijitonyama

Meridianbet Agosti 13, 2024 wamefika eneo la Kijitonyama jijini Dar-es-salaam na kutoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu mbili...

READ MORE

NBC Yatambulisha Kampeni  Kuhamasisha Kilimo cha Kahawa  Mbinga

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetambulisha rasmi kampeni yake ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ wilayani...

READ MORE

Exim Bank Yaadhimisha Miaka 27 ya Kuwahudumia Watanzania

Dar es Salaam: Benki ya Exim Tanzania imeadhimisha miaka 27 tangu kuanzishwa kwake katika safari iliyojaa mafanikio, ubunifu na huduma...

READ MORE

RC Chalamila Afanya Ziara ya Kimkakati Jimbo la Kibamba, Ubungo

 -Akagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kufanya mkutano wa hadhara katika uwanja wa mpira Makuti Kata ya Msigani. -Amshukuru...

READ MORE

Shigongo Awataka Wananchi wa Buchosa Kujitokeza kwa Wingi Kumpokea Dk. Nchimbi

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo amewaasa Wananchi wa Buchosa kushiriki vyema katika Mkutano wa Katibu Mkuu wa Chama...

READ MORE

Polisi Tanzania Wapata Mafunzo Kenya Wa Ahidi Kuboresha Huduma Kwa Wateja

Jeshi la Polisi Tanzania katika kuhakikisha linaendelea kujiimarisha katika kila sekta mbalimbali awamu hii wameendelea na mafunzo jijini Nairobi kujifunza...

READ MORE

Waganga wa Tiba Asili Kutoka Afrika Mashariki Kuweka Historia Kwenye Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Mzimu wa Afrika

Katika tukio la kihistoria linalotarajiwa kuvuta hisia za watu wengi, maadhimisho ya mwaka mmoja wa Mzimu wa Afrika yanatarajiwa kufanyika...

READ MORE

Simba Yaingia Chimbo Kutafuta Mshambuliaji

  UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa eneo ambalo wanalifanyia kazi kwa sasa ni eneo la ushambuliaji ambapo wapo chimbo kusaka...

READ MORE

Aggy Baby Ashinda Tuzo ya ‘100 Most Notable Africans Awards’

MWANAHARAKATI wa masuala ya kijamii na Mwanamziki maarufu Tanzania, Agness Suleiman Kahamba amekabidhiwa tuzo yake kupitia taasisi yake ya Tupaze...

READ MORE

Huduma ya Kibenki kwa Wanafamilia ni Moja ya Nguzo za Kihuduma za Benki ya Stanbic Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania – Agosti 2024:Idara ya wateja maalumu ya Benki ya Stanbic Tanzania  inajivunia kuwa na huduma ya...

READ MORE

Alichosema Katibu Mkuu wa CCM Sakata la Chadema Kushikiliwa Polisi

“Nimesikia kule Mbeya kulikuwa na tafrani kidogo kati ya Chadema na Polisi, na sisi kwa staili ya Rais wetu Samia...

READ MORE

Nimemkuta Mume Wangu wa Ndoa na Hausigeli Chumbani Kwangu

Jina langu ni Ruth, mkazi wa Arusha, katika ndoa yangu hakuna siku ambayo nimekuwa na uchungu mkubwa moyoni kama siku...

READ MORE

Meridianbet Expanse Kasino Inatema Mamilioni Kila Siku

Pale Meridianbet kasino ya Mtandaoni kuna mchongo wa Mamilioni ya bure, cheza michezo ya kasino kutoka Expanse na ushinde Mamilioni...

READ MORE

Jeshi la Polisi: Hatujapiga Marufuku Kufanyika Mikutano ya nje

Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanyika mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ilimradi...

READ MORE

Mji wa Katoro Wazizima Mapokezi ya Dkt. Nchimbi..

Wanachama cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Katoro mkoa wa Geita wakiwa wamekusanyika kwenye mkutano wa hadhara leo Jumatatu Agosti...

READ MORE