×

Habari

Sina Mahusiano na Jirani Yangu Kwasababu Ya Kugombania Mipaka ya Kiwanja-Masahi

Mfanyabiashara, Ibrahim Masahi (40) ameieleza mahakama kuwa hana mahusiano mazuri na jirani yake Deogratus Minja kwa sababu ya kugombania mpaka...

READ MORE

Vita ya Urais Kati ya Lissu na Mbowe Yaipasua CHADEMA

* Mgogoro mkubwa wa madaraka waibuka kuwania ugombea urais 2025 * Lissu akianika chama chake hadharani, asema CHADEMA imekithiri rushwa...

READ MORE

Transfoma Tano Kuwasha Umeme Muriet Arusha – Video

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Makao Makuu, limekabidhi transformer kwa kata ya Muriet jijini Arusha kwa ajili ya kuwasha umeme...

READ MORE

Serikali Yaanika Mikakati ya Kukabiliana na Changamoto za Wanyamapoli Wakali

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeainisha mikakati mbalimbali ya kukabiliana na changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu katika...

READ MORE

Mwanachuo St. Augustine Mwanza Afariki Dunia kwa Kuzama Maji Ziwa Victoria

Mwanachuo wa mwaka wa kwanza wa Chuo cha St. Augustine (SAUT), Mwanza, Boaz Sanga amefariki dunia baada ya kuzama wakati...

READ MORE

Mradi wa BBT Kutekelezwa Katika Halmashauri 100 Nchini

MRADI WA BBT KUTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI 100 NCHINI   Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) akiwasilisha Hotuba ya Makadirio...

READ MORE

Kada wa Chadema Atimukia CCM Buchosa

MCHUNGAJI wa Kanisa la yesu Milango la uzima  na kada wa Chadema, Stephano Msabila amekihama chama hicho na kujiunga na...

READ MORE

Alinikamata Nikimuibia Ajabu Akanichukua na Kunipeleka Nyumbani

Naitwa Sele kutoka Mombasa, Kenya. Kusema kweli baaada ya kuingia katia matumizi ya dawa za kulevya, ni kama nilikuwa nimepoteza...

READ MORE

Bolt Business Yazindua Huduma ya Kuponi kwa Makampuni

Kampuni inayoongoza kwa mahitaji ya usafiri kwa makampuni kwa njia ya mtandao barani Afrika Bolt, Bolt Business, imetangaza huduma yake...

READ MORE

NMB Yabeba Tuzo ya Kampuni Bora Kwenye Sekta ya Fedha Zilizotolewa na OSHA

Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner...

READ MORE

Mamlaka ya hali ya hewa nchini Yaonya Kuhusu Kimbunga

Mamlaka ya hali ya hewa nchini Tanzania (TMA) imatangaza kuwepo kwa mgandamizo mdogo wa hewa ambao unatarajiwa kutawala na kusababisha...

READ MORE

SMZ Yatenga Bilioni 34 Posho Ya Nauli Kwa Wafanyakazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa wafanyakazi wa SMZ wataongezewa posho ya...

READ MORE

Pretty Kind Aachia Video Mpya ya Hawakujua

 Mwimbaji wa Gospel na muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amesema anawakaribisha mashabiki wake...

READ MORE

Watu 200 Wapimwa Afya na GGML Maonesho ya OSHA

Na Mwandishi Wetu, Arusha ZAIDI ya watu 200 jijini Arusha wamejitokeza kupimwa afya na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited...

READ MORE

NBC Yashiriki Maadhimisho Mei Mosi Arusha, TUCTA Yaipongeza kwa Udhamini na Huduma Zake

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo imeungana na maelfu ya wafanyakazi kote nchini kusherekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi...

READ MORE

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu wa GGML

  NA MWANDISHI WETU SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) pamoja na Wakala wa Usalama na Afya mahalipa kazi...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa Mhe. Eric Shingo Ashiriki Mazishi ya Kada wa CCM Zagallo, Nyehunge

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mjumbe wa mkutano mkuu wilaya ya Sengerema Marco Zagalo amezikwa leo Mei Mosi...

READ MORE

Waziri Mkuu Awapongeza watumishi kwa kazi kubwa wanayoifanya kuwaletea watanzania maendeleo

  Waziri Mkuu Mkuu wa Jamhuri wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa akizungumza na hadhara ya wafanyakazi walikusanyika kushiriki Maadhimisho ya...

READ MORE

RC Makonda Atuma Salam Kwa Rais Samia wananchi wa Arusha wanatambua mchango wake kwenye sekta ya utalii

  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amemuomba Makamu wa Rais Dkt.Philip Mpango kumfikisha salamu za wananchi wa...

READ MORE

Makamu wa Rais Amwakilisha Rais Samia Sherehe za Mei Mosi Arusha – Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Kampeni Ya Nishati Safi: Oryx Gas Yagawa Bure Mitungi Na Majiko Oryx Kwa Wanahabari

Dar es Salaam: Kampuni ya Oryx Gesi Tanzania imegawa mitungi ya gesi ya kilo 15 idadi ya 100 yakiwa na...

READ MORE

Azam Yashusha Kiungo Kutoka Mali, Franck Tiesse

KLABU ya Azam imefikia makubaliano na klabu ya Stade Malien (Mali) kumsajili kiungo mshambuliaji, Franck Tiesse. kwa mkataba wa miaka...

READ MORE

Bei Za Mafuta Zapanda, Kuanza Kutumika Leo Mei 1, 2024

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa...

READ MORE

EWURA Yapata Tuzo Usimamizi Bora Miradi Ya Kimkakati

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imepokea tuzo ya mshindi wa pili katika Usimamizi Bora wa...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko Kufungua Maonesho Wiki ya Nishati Jadidifu Dar

TANZANIA RENEWABLE ENERGY ASSOCIATION (TAREA) Maonesho Wiki ya Nishati Jadidifu, JUNI 6-7, 2024 Jumuiya ya Wadau wa Nishati Jadidifu Tanzania...

READ MORE

Majaliwa: Nimeridhishwa Na Maandalizi Ya Maadhimisho Ya Mei Mosi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maandalizi ya maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambayo yatafanyika kitaifa...

READ MORE

Ushirikishwaji Wafanyakazi Ni Muhimu Katika Utekelezaji Wa Sera Za Afya Na Usalama Kazini

  Dar es Salaam. Kila ifikapo Aprili 28 ya kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya Kimataifa ya Afya na Usalama Mahali...

READ MORE

CEOrt Yazindua Mpango Wa “Fikiria Sawa, Ongoza Kwa Ujanja”

Dar es Salaam: Kampuni ya CEO Roundtable of Tanzania (CEOrt) imezindua Mpango wa Think Equal Lead Smart (TELS), mradi huu...

READ MORE

Makonda aisisitiza GGML kuhakikisha CSR inabadilisha maisha ya wana-Geita

NA MWANDISHI WETU, ARUSHA MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited...

READ MORE

Maelekezo ya Rais Samia Yatekelezwa, Kongamano la Uwekezaji Sekta ya Utalii Lafunguliwa Rasmi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe.Prof. Kitila Mkumbo leo Aprili 30, 2024 amefungua rasmi Kongamano la...

READ MORE

Barabara Zote za TANROADS Zilizoathiriwa na Mvua Zitafunguliwa Kwa Wakati-Bashungwa

Serikali inazifungua barabara zote zilizoathiriwa na mvua za El-Nino ambazo zimeendelea kunyesha kwa muda mrefu katika maeneo mbalimbali kote nchini...

READ MORE

Tanzania Na Morocco Zakubaliana Kuimarisha Ushirikiano Kutangaza Utalii

Jopo la Wataalamu kutoka sekta ya utalii nchini Morocco na jopo la wataalamu wa Sekta ya Maliasili na Utalii nchini...

READ MORE

Aweso Kumwakilisha Rais Samia Kwenye Jukwaa la Maji Duniani Nchini Indonesia

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso (Mb) leo Aprili 30, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Indonesia...

READ MORE

Je Mtaa Wako Imefikiwa na Meridianbet? Kama Bado Kaa Mkao wa Kula

Mitaa iliitika mitaa ikaukubali mziki wa Magwiji wa Odds kubwa, Nyumba ya Mabingwa wa michezo ya ubashiri na kasino ya...

READ MORE

Kenya Airways yasitisha safari zake kuelekea mjini Kinshasa

Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways limesema litasitisha safari za ndege kuelekea mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

READ MORE

Mtoto wa bondia na bingwa wa zamani wa UFC Francis Nganou afariki akiwa na miezi 15

Mtoto wa umri wa miezi 15 wa bondia Francis Ngannou amefariki dunia. Bingwa huyo wa zamani wa UFC alichapisha kwenye...

READ MORE

Zingatia Haya Kulinda Vifaa Vya Umeme Nyumbani Msimu Huu Wa Mvua

Dar es Salaam. Maeneo tofauti nchini Tanzania yanashuhudia mvua kubwa ambazo sio tu zinaathiri miundombinu na kuhatarisha usalama wa maisha ya...

READ MORE

Benki Ya NCBA Tanzania Yazindua Programu Ya NCBA Now Itakayoleta Mageuzi Ya Kidijitali

Katika muendelezo wa mabadiliko muhimu ndani ya sekta ya kifedha nchini Tanzania, NCBA Tanzania imetangaza programu yake ya kibenki na...

READ MORE

Waziri Kairuki Akutana na Rais wa Apimondia Kamisheni ya Afrika

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Apimondia Kamisheni ya Afrika,...

READ MORE

Benki ya NBC Yapata Tuzo ya Mwezeshaji Bora wa Mikopo Kwa Serikali Afrika

Benki ya NBC imepata tuzo ya Mwezeshaji Bora wa Pamoja wa Mikopo ya Serikali Kuu nchini katika Bara la Afrika...

READ MORE