×

Habari

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 29, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Samsung Electronics Tanzania Yakua Kwa Asilimia 30.1 Kwa Uuzwaji Wa Runinga Soko La Kimataifa 2023

Kwa mujibu wa utafiti wa masoko uliofanywa na -OMDIA imeitaja Kampuni ya Samsung Electronics Tanzania kukua kwa asilimia 30.1 kwa...

READ MORE

Rais Samia Amwaga Mabilioni ya Pesa Miradi ya Maji Mara

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ametoa taarifa ya utekelezaji wa miradi mikubwa ya Maji inayotokana na chanzo cha Ziwa...

READ MORE

Kaka Yangu Alitaka Kunitoa Kafara Nikaponea Kwenye Tundu la Sindano

Jina langu ni Hussein kutoka Kahama nchini Tanzania, ni kijana wa miaka 28 kwa sasa, mwaka 2018 nilitengwa na familia...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Akagua Mradi wa Maji Komuge

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia amedhamiria kuendelea kutekeleza kampeni yake...

READ MORE

CMSA Yatoa Elimu ya Masoko ya Mitaji Kwa Nchi 16 za SADC

CoSSE imeanzishwa chini ya Kifungu cha 14 cha Itifaki ya Fedha na Uwekezaji ya SADC, ambapo pamoja na masuala mengine,...

READ MORE

Wadau wa Kilimo Ludewa Wakutana na DC Mwanziva

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva, ameongoza Mkutano wa Wadau wa Kilimo Wilayani Ludewa- ambao umetoa mafunzo maalumu kwa...

READ MORE

Mkuu wa Kitengo cha Fedha Serengeti akamatwa madai ya wizi wa milioni 213

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, ACP Salum Morcase amkamate Mkuu wa Kitengo cha Fedha...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Ethiopia Kufanya ziara ya Kikazi kwa siku 3 nchini Tanzania

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, anatarajia kufanya ziara ya kikazi kwa siku 3 nchini Tanzania, kuanzia Februari 29 hadi...

READ MORE

Bodaboda Tanga wachoma basi la Saibaba lililomgonga mwenzao

Basi la Kampuni ya Saibaba Express lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea mkoani Arusha limechomwa moto na kundi la bodaboda...

READ MORE

Majaliwa: Wakuu Wa Wilaya Simamieni Kikamilifu Miradi Ya Maendeleo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakazi wa Kitongoji cha Muhumba, Halmashauri ya Wilaya Butiama ambapo aliwaeleza kuwa Serikali itaendelea kuhudumia...

READ MORE

Hatimaye Hungary yaidhinisha Sweden kujiunga rasmi na NATO

Sweden inatarajiwa kujiunga rasmi na NATO katika siku au wiki zijazo, baada ya Hungary hatimaye kutoa idhini yake siku ya...

READ MORE

Aweso atoa wiki 2 maji yafunguliwe mradi wa Mugango – Kiabakari – Butiama

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso leo tarehe 27/02/2024 akishiriki ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

RC Chalamila Wawekezaji Wakubwa Karibuni Dar, Nafasi Zipo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Februari 26, 2024 wakati akikagua maradi wa...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Inawapenda Watanzania kwa kufikisha maendeleo kwenye sekta zote

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt....

READ MORE

Ratiba Ya Kuaga Miili Ya Waliopata Ajali Arusha Uwanja Wa Sheikh Amri Abeid leo

Watu ishirini na tano (25) walifariki dunia huku wengine ishirini na moja (21) wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea maeneo ya Ngaramtoni...

READ MORE

Mhagama Ateta na Wenyeviti CCM wa Mashina Peramiho

RUVUMA-Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho, amewapongeza Wenyeviti wa Mashina...

READ MORE

Gamondi: Tutawapiga Al Ahly huko huko kwao

Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema nyota wake wakiongeza umakini eneo la ushambuliaji na kuondoa makosa madogomadogo katika eneo...

READ MORE

Viongozi wa Dini Na Wajasiriamali Mkoani Kilimanjaro Wapatiwa Bure 1,000 Ya Oryx Gas Naibu Waziri Apongeza

KATIKA kuendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini, Kampuni ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Mbunge wa Viti...

READ MORE

Moses Phiri; Jiwe walilolikataa waashi, anatupia tu Zambia

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Moses Phiri ambaye anakipiga kwa mkopo, Power Dynamos ya Zambia ameiokoa timu yake wakati ikiambulia...

READ MORE

TRA Kuwashughulikia Simba Kabla ya Kukutana na Jwaneng Galaxy

Wekundu wa Msimbazi Simba SC wanatarajia kukipiga na TRA kwenye mchezo wa Azam Sports Federation Jumatano, Februari 28, 2024 kabla...

READ MORE

Mwanajeshi wa Marekani ajichoma moto nje ya ubalozi wa Israel

Mwanajeshi wa jeshi la anga la Marekani aliyejichoma moto mbele ya ubalozi wa Israel mjini Washington DC amefariki dunia. Mwathiriwa,...

READ MORE

Treni ya Umeme ya Kisasa (SGR) Yaanza Majaribio Dar hadi Mkoani Pwani

Treni ya Umeme ya Kisasa (SGR) leo Februari 26, 2024 imepita maeneo ya Pugu Jijini Dar es Salaam katika majaribio...

READ MORE

Kamishina Msaidizi Polisi: Mawazo Mabaya Ni Chanzo Cha Uhalifu

Waumini wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde Jimbo la Magharibi Usharika wa Mpemba Mjini Tunduma wametakiwa kuachana na fikra...

READ MORE

Niliumia Sana Nilipokataliwa na Mwanamke Kisa Umaskini, Ila Sasa Nimejipata

Jina langu ni Shikilo kutokea Rukwa, Tanzania, naweza kusema maskini siku hizi hawapendwi, sisemi kuwa hawana wapenzi, ila dharau tunazokutana...

READ MORE

Kilichomuua Peetah, Msanii Kiongozi wa Kundi la Morgan Heritage ni Hiki

Msanii kiongozi wa Kundi la Reggae la Morgan Heritage, Peter “Peetah” Morgan, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 46....

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 25, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Wakazi Wa Kibiti Watakiwa Kumuombea Rais Dk Samia

Pwani, 25 Februari 2024: Mbunge wa Jimbo la Kibiti, Twaha Mpembenue amewataka wakazi wa jimbo hilo kumwombea Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Mtambo wa Kwanza Bwawa la Nyerere Waanza Kuzalisha Umeme, Megawati 235 Zaingizwa Gridi ya Taifa

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Mashaka Biteko leo tarehe 25 Februari 2024 ameshuhudia kuwashwa kwa mtambo...

READ MORE

Premier Implementation Business Joins Axum

Steve Kisakye, Winnie Wambugu, and the full staff complement of the entity formerly known as Dalberg Implement, a renowned leader...

READ MORE

Watanzania wafunika Kili Marathon

MBIO za Kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon zimeendelea kuwa kivutio cha watu wengi kiasi cha kufanya shughuli mbalimbali kusimama...

READ MORE

Naibu Waziri Wa Afya Dkt. Mollel Awajulia Hali Majeruhi Wa Ajali Arusha

Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel leo Februari, 25, 2024 amewajulia hali majeruhi 21 wa ajali iliyohusisha magari manne...

READ MORE

Watu 25 wafariki dunia huku wengine 21 wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea Ngaramtoni, Arusha

  Watu ishirini na tano (25) wameafariki dunia huku wengine ishirini na moja (21) wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea maeneo ya...

READ MORE

Wagombe urais Senegal wasusia mazungumzo yaliyopendekezwa na Rais Sall

Wagombea wengi katika uchaguzi ulioahirishwa nchini Senegal na kundi kubwa la jumuiya za kiraia kwa pamoja wamesema siku ya Ijumaa...

READ MORE

Kihenzile Aitaka TAA Kuvunja Mkataba na Mkandarasi

  Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameelekeza mamlaka wa viwanja  vya ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na Mkandarasi anayejenga...

READ MORE

Yanga wanaandika historia ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Wananchi wanaandika historia ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi...

READ MORE

Rais Samia Aaga Mwili Wa Aliyekuwa Rais Wa Namibia Hayati Hage (Picha+Video)

 Rais Samia Suluhu Hassan amehudhuria shughuli za mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob...

READ MORE

Bashungwa: Lazima Tusanifu Makaravati na Madaraja kwa Umakini

Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema iko...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Kushiriki Mazishi ya Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Tabora...

READ MORE

Waziri Kairuki Ahamasisha Wadau Kuibua Matamasha Ili Kuchagiza Utalii Nchini

• Mikoa na Wilaya yatakiwa kutangaza utalii na fursa za uwekezaji Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb)...

READ MORE