×

Habari

Waziri Mkuu Aipongeza TADB Kwa Kutoa Mikopo Nafuu Sekta Ya Kilimo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameipongeza Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa mchango wake katika kutoa mikopo yenye riba...

READ MORE

Waziri Silaa Acharuka Mgogoro Wa Ardhi Rukwa – “Rais Samia Hakunipa Kazi Ya Kumega Ardhi Za Watu”- Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema hakuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

‘Machalii’ Wa Arusha Waandamana Baada Ya Kifo Cha Dangote – Video

Vijana wa Arusha maarufu kama Machalii au Wadudu, wameandamana wakiwa na mabango wakilaani vitendo vilivyofanywa na Ali Dangote, kijana mhalifu...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Atoa Miezi Mitatu Miradi Ikamilike Songwe

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa miezi mitatu kwa uongozi wa mkoa wa Songwe uhakikishe unakamilisha miradi yote ambayo ilikwishapatiwa fedha...

READ MORE

Rais Samia Amtumbua Usiku Naibu Waziri Pauline Gekul, Amtoa Wizara Ya Katiba Na Sheria

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba...

READ MORE

Wasanii Na Filamu Zilizoingia Kwenye Tuzo Za 2023 Watajwa, Msigwa Atia Neno Kwa Mastaa

Wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo kupitia Bodi ya Filamu nchini imetangaza washiriki wa tuzo za filamu mwaka huu 2023...

READ MORE

Rais Samia Apokea Kombe la Ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati chini ya Umri wa miaka 15 (Picha +Video))

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea Kombe la Ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati chini...

READ MORE

Vodacom Watoa Bima za Afya 200 Kwa Wanawake, Watoto na Zawadi Kibao

Vodacom yakabidhi bima kubwa ya bure kwa akina mama na watoto wachanga 200 kupitia VodaBima pamoja na zawadi mbalimbali ikiwemo...

READ MORE

Tuzo za Wakuu na Watendaji Wa Makampuni 100 Bora Tanzania Kuchochea Ufanisi Kazini

TUZO za wakuu na watendaji wa makampuni 100 bora zaendelea kuwa chachu ya maendeleo Nchini kwa kuendelea kufanya kazi zaidi...

READ MORE

NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023

Huu ni mwaka wa pili mfululizo kwa Benki ya NMB kupata tuzo hizi. Jumla ya Tuzo ilizopata Benki ya NMB...

READ MORE

Simba Yamtangaza Abdelhak Benchikha Kuwa Kocha Mkuu, Aliiongoza USM Alger

Klabu ya Simba imemtangaza Abdelhak Benchikha kuwa kocha mkuu klabuni hapo akichukua mikoba ya Robert Oliveira ‘Robertinho’ aliyeoneshwa mlango wa...

READ MORE

Mateka 12 wa Thailand Waachiliwa Huru na Hamas

Waziri Mkuu wa Thailand amesema kwamba raia 12 wa nchi hiyo waliokuwa wametekwa na Hamas mjini Gaza wameachiliwa huru. Amesema...

READ MORE

Washindi wa Droo ya Saba ya Y9 Microfinance Wapatikana

Washindi wa Droo ya saba ya Y9 Microfinance wamepatikana ambapo mshindi wa pikipiki anaitwa Anorld Jacob huku mshindi mwingine wa...

READ MORE

PM Majaliwa : Serikali Inajenga Vyuo vya VETA Katika Kila Halmashauri Ili Kuwapa Vijana Ujuzi

Serikali imesema inajenga vyuo vya VETA katika kila Halmashauri ili kuwapa vijana ujuzi utakaowawezesha kunufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi...

READ MORE

Sheikh Walid Na Padri Mtweve Kuongoza Dua Jumamosi Hii Leaders Club

Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omar na Padri Nestory Mtweve wataongoza dua ya kuwaombea...

READ MORE

Makatibu Wakuu Wafanya Ziara Handeni Wanapohamia Wakazi wa Ngorongoro

  Makatibu Wakuu ziarani Msomera Handeni leo ambako uwekezaji na uwezeshaji wa kihistoria unaendelea chini ya Serikali ya Awamu ya...

READ MORE

Rais Samia, Ruto, Museveni na Ndayishimiye Washiriki Mkutano wa EAC Ngurdoto, Arusha (Picha +Video)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Novemba 24, 2023 ameshiriki Mkutano wa Ndani wa...

READ MORE

Shule za St. Mary’s Zaendelea Kung’ara Darasa la Saba

SHULE za St Mary’s nchini zimeendelea kufanya vizuri kwenye mitihani ya darasa la saba kwa wanafunzi wake kupata wastani wa...

READ MORE

P Diddy Atuhumiwa Kwa Ubakaji Katika Kesi Mpya

Rapa’ Mkongwe, Mtayarishaji Muziki na Mfanyabiashara, Sean Combs Diddy amefunguliwa mashtaka na Joi Dickerson-Neal ambaye amemtuhumu kumpa Dawa za Kulevya...

READ MORE

Kwa Dawa Hii Hakuna Mwanaume Anayeweza Kutembea na Mke Wangu

  Ukweli ni kwamba hakuna mwanaume yoyote ambaye anapenda sehemu ambayo anachovya pia mwanaume mwingine aje achovye tena kiurahisi tu....

READ MORE

Kampuni ya T-PESA: Maadhimisho Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa Umeleta Chachu Katika Utoaji Elimu kwa Wateja

KAMPUNI Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania, T-PESA imesema kuwa uwepo wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa umeleta...

READ MORE

Matokeo ya Darasa la Saba 2023 haya hapa, Ufaulu wa Wavulana na Wasichana Wafanana

Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2023 (darasa la saba) yaliyotangazwa Novemba 23, 2023 na Baraza la Mitihani...

READ MORE

Rais Samia azungumzia vipaumbele vya Tanzania aliposhiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Rais Samia Suluhu Hassan azungumzia baadhi ya vipaumbele vya Tanzania aliposhiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika...

READ MORE

APHFTA Yaiomba Serikali Kupitia Upya Utaratibu wa Malipo ya Mifuko ya Bima ya Afya

Chama Cha wamiliki wa vituo binafsi vya afya Tanzania APHTA kimeiomba serikali kupitia upya utaratibu wa malipo ya mifuko ya...

READ MORE

Benki ya NMB, CTM Tanzania Wazindua Mikopo ya Kumalizia Ujenzi

BENKI ya NMB wamesaini makubaliano na Kampuni ya CTM Tanzania yaliyopewa jina la ‘Lipa Baadae,’ yatakayowawezesha wateja wa benki hiyo...

READ MORE

Magifti Dabodabo Ya Tigo Yazidi Kunogesha Msimu Wa Sikukuu, Yaanza Kumwaga Zawadi Mikoani

Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo baada ya kuzindua kampeni ya Magifti Dabobado Jijini Dar ambayo inalenga...

READ MORE

GGML, CCBRT wakabidhi vitimwendo 55 kwa wenye ulemavu Geita

  NA MWANDISHI WETU KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na shirika la CCBRT imetoa msaada wa...

READ MORE

Nimekulia Mazingira Ambayo Wazazi Wangu Walikuwa Wanapigana Hadi Kuumizana

Jina langu ni Sheila, suala la ugomvi lilikuwa limekita mizizi kwenye ndoa ya wazazi wangu, kila mara walipigana makonde nisijue...

READ MORE

Tanzania vs Morocco Mechi ya Kipimo Sahihi, Ujanja ni Kucheza Kasino

Morocco moja kati ya timu bora kabisa Afrika kwa sasa ikiwa inashika nafasi ya 13 kwa ubora duniani huku Tanzania...

READ MORE

Lake Energies Yajitosa Kudhamini Tuzo Za Filamu Tanzania 2023

Dar es Salaam 23 Novemba 2023: Kampuni ya mafuta ya Lake Energies ni miongoni mwa makampuni yaliyojitokeza kudhamini Tuzo za...

READ MORE

Rais wa Marekani, Joe Biden ampongeza rais mteule wa Argentina, Javier Milei

Rais wa Marekani, Joe Biden, amempongeza rais mteule wa Argentina, Javier Milei, Jumatano, ikulu ya Marekani imesema, siku tatu baada...

READ MORE

Kuelekea Msimu Wa Sikukuu Tigo Yaja Na Mpango Wa Magifti Dabobado Zawadi Za Zaidi ya Mil 650 Kutolewa

Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo leo imezindua kampeni ya Magifti dabobado ambayo inalenga kuwazawadia wateja wa...

READ MORE

Mwili wa Kijana Dangote Wazikwa Usiku Na Watu 7 Makaburi ya Njiro, Arusha – Video

MWILI wa kijana maarufu kwa jina Ally Dangote aliyekuwa tishio kutokana na kufanya matukio ya kihalifu ikiwemo mauaji, ubakaji, uporaji...

READ MORE

Mateka wa Israel Wanaoshikiliwa na Hamas, Gaza kuachiwa Ijumaa

Kuachiliwa kwa mateka wa kwanza wanaoshikiliwa na wanamgambo wa Hamas, Gaza kume-ahirishwa hadi Ijumaa, mshauri wa usalama wa taifa la...

READ MORE

PM Majaliwa Avutiwa na Jitihada za Exim B ankKusogeza Huduma Kwa Wananchi

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameonyesha kuvutiwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na benki ya Exim Tanzania katika kujitanua na kusogeza...

READ MORE

Sheria Mpya Ya Uhamiaji Yahimiza Uwekezaji Kwa Wageni Katika Soko La Nyumba Za Makaazi Zanzibar

Masaki, Novemba 21, 2023, Kwa kubarikiwa na Uwepo Mzuri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar,...

READ MORE

TAMWA Wakemea Rushwa ya Ngono Na Unyanyasaji Katika Vyombo vya Habari

Kuelekea safari ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili kijinsia, Mkurugenzi mtendaji wa TAMWA Dkt. Rose Reuben amezungumza na...

READ MORE

Mama Wa Mtoto Aliyeuawa Na Dangote Arusha Afunguka – Video

Kufuatia kifo cha kijana maarufu kwa jina Ally Dangote aliyekuwa tishio kutokana na kufanya matukio ya kihalifu ikiwemo mauaji, ubakaji,...

READ MORE

CMSA: Upatu Haramu Unafilisi

MAMLAKA ya masoko ya mitaji na dhamana (CMSA) imeitaka jamii kujihadhari na upatu haramu kwani ni hatari kwa maendeleo na...

READ MORE

Waziri Kikwete Afungua Mafunzo Ya Mfumo Mpya Wa Utendaji Kazi Kwa Watumishi Wa Umma Mkoani Iringa

Naibu  Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amefungua mafunzo ya  mfumo mpya...

READ MORE