×

Habari

Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali Yakusanya Sh.Trilioni 9.06 Robo Ya Kwanza – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika robo ya kwanza ya mwaka 2023/2024, mapato kutoka vyanzo vyote vya ndani na nje...

READ MORE

Rais Samia Afanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi -Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Novemba 10, 2023 amefanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu...

READ MORE

Baada ya Kuachika Kwenye Ndoa Mara Tatu Kisa Sizai, Hatimaye Nimepata Mtoto

Naweza kusema katika maisha kila jambo huwa na wakati wake, huwezi kulazimisha mambo kutokea wakati muda wake bado hajafika, ni...

READ MORE

TET Yawasilisha Mtaala Mpya Katika Mkutano wa Umoja wa Wakuu wa Shule za Msingi

Mkurugenzi Idara ya Ubunifu na  Ukuzaji Mitaala kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt. Godson Lema amewasilisha anzia mwaka Januari,...

READ MORE

Aliyepandikiza Figo Hospitali ya Taifa Muhimbili Afunguka – Video

Moses Ngowi, mkazi wa Bunju jijini Dar es Salaam ni miongoni mwa wagonjwa waliopandikizwa figo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...

READ MORE

Wapiga Kura wa Liberia Kumchagua rais wake Jumanne

Waliberia watapiga kura siku ya Jumanne katika uchaguzi wa marudio kati ya Rais George Weah na makamu wa rais wa...

READ MORE

CCM Yatoa Miezi Mitatu kwa Waziri Mchengerwa Kufika Kagera kutatua Changamoto – Video

CHAMA cha Mapinduzi ( CCM) kimetoa miezi mitatu kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali...

READ MORE

Wateja wa Y9 Microfinance Waongezewa Dau la Mkopo

 Taasisi ya kifedha ya Y9 Microfinance imeendelea na utaratibu wake wa kukabidhi zawadi kila wiki ambapo wiki  hii wamekabidhi zawadi...

READ MORE

Dar Ceramica Yazindua Tawi La Arusha Upya Kwa Kishindo

Wakazi wa Arusha na miji ya jirani wana sababu za kutabasamu zaidi kufuatia uzinduzi mpya wa Dar Ceramica Centre Tawi...

READ MORE

Serikali Yatoa Ufafanuzi Mifugo Iliyokamatwa Serengeti na kupigwa Mnada – Video

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) amesema kuwa suala linalohusisha Ng’ombe 806, Kondoo 420 na Mbuzi 100 waliokamatwa...

READ MORE

Wabunge Wapitisha Michango Kumpa Profesa Jay, Laki 2 – Video

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma, amewaomba wabunge kumchangia laki mbili kwa aliyekuwa Mbunge wa Mikumi na Msanii wa Hip...

READ MORE

Identy – Kamera Ya Simu Kutumika Kama Kifaa Cha Utambuzi Na Uhakiki Wa Alama Za Kibiometrikia

Kampuni ya identy inayoshiriki maonesho ya Fintech Festival Tanzania 2023 imekuja na teknolojia ya kisasa ambayo inawezesha kamera ya simu...

READ MORE

Uteuzi: Rais Samia Ateua Mabalozi Wa Afrika Kusini Na Kuwait

Balozi James G. Bwana anakwenda Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, akichukua nafasi ya Balozi Meja Jenerali Gaudence S. Milanzi...

READ MORE

Mkurugenzi Wa Shirika La Bima La Taifa (NIC) Aondolewa

Rais Samia amemteua Kaimu A. Mkeyenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo akichukua nafasi ya Dkt. Elirehema Doriye atakayepangiwa kazi...

READ MORE

16 Wakamatwa Kwa Tuhuma Za Kuendesha Kiwanda Cha Biskuti Za Bangi – Video

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imewakamata Watu 16 wanaodaiwa kujihusisha na shughuli za utengenezaji wa...

READ MORE

Wanufaika Mradi wa KLIC Watakiwa Kutunza Vifaa Vya TEHAMA-TET

Shule zote nchini zilizonufaika  na vifaa vya mradi wa  KOREAN  E-LEARNING IMPROVEMENT COOPORATION(KLIC) ulio chini ya Ofisi ya Elimu ya...

READ MORE

Rais Samia Avunja Bodi Ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti...

READ MORE

Tamasha La FintechFestival Kuibua Fursa za Uwekezaji Nchini

TAMASHA la FinTech kuibua uwezo wa FinTech nchini na kuonyesha fursa kwa wawekezaji wa kimataifa kujitosa katika soko la Tanzania...

READ MORE

KLM Yaja Na Ndege Mpya 50 Za Air Bus Kwa Safari Za Mabara Kuanzia 2026

Nairobi, Kenya, 8 Novemba 2023: KLM inapanga kubadilisha ndege zake za zamani za masafa marefu kwa ndege za  kisasa za...

READ MORE

Vodacom Kusambaza Shangwe Na Kugusa Maisha Msimu Huu Wa Sikukuu

Msimu wa sikukuu ukiwa unakaribia, kampuni ya Vodacom Tanzania imezindua kampeni inayojulikana kama ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’ yenye lengo la...

READ MORE

JK Aongoza Ujumbe wa Lishe Kanada

  Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ameongoza ujumbe wa Wajumbe wa Bodi kutoka Afrika wa Shirika la Kimataifa la Lishe...

READ MORE

Mambosasa Awaasa Madereva Kufuata Sheria Kupunguza Ajali

Madereva waliohitimu mafunzo ya udereva wa magari makubwa  katika shule ya udereva kilwa road VTC Academy driving School iliyopo katika...

READ MORE

Harmonize – Sijalewa (Official Music Video)

MSANII wa Bongo, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize au Harmo Ameachia video yake ya ‘Sijalewa’.

READ MORE

Wabunge 17 wa upinzani nchini Zambia watimuliwa kwa muda bungeni

Wabunge 17 wa upinzani nchini Zambia wamezuiliwa kuhudhuria vikao vya bunge kwa siku 30, kufuatia kuvurugu zilizokumba bunge hilo wiki...

READ MORE

Baada ya Kuhangaika Sana, Hatimaye Nimeolewa Nikiwa na Miaka 43 na Kupata Mtoto

Kila mwanamke ana ndoto ya kuolewa na mume mzuri ampendaye ambaye anaona anamfaa kuanzisha naye familia na kuishi maisha mazuri...

READ MORE

Aliyekuwa Mgombe urais Misri Ahmed al-Tantawi kufikishwa mahakamani

Mgombea urais wa zamani wa Misri Ahmed al-Tantawi atakabiliwa na kesi kwa kusambaza fomu za kuidhinisha uchaguzi ujao wa Misri...

READ MORE

TRA Yaanza Wiki ya Shukrani Kwa Mlipakodi, Kutatambua walipakodi Waliofanya Vizuri

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) leo Novemba 08, 20223 imeanza Wiki ya shukrani kwa mlipakodi ambapo itatambua walipakodi wao waliofanya...

READ MORE

Azim Dewji: Zamani Ripoti Ya CAG Ilikuwa Siri

  Mfanyabiashara maarufu nchini, Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kuruhusu mjadala wa...

READ MORE

Watu 11 Kizimbani Kigoma Kwa Uhujumu Uchumi

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora Athuman Msabila na wenzake 10 wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya...

READ MORE

Chama cha Wanasheria wa Tanganyika Kumsaidia Aliyefungwa Miaka 22 Kisa Nyama Ya Swala

CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa wameanzisha kampeni ya kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na...

READ MORE

TET Na Korea Kusini Wasaini Mkataba wa Miaka Mitatu wa Kukuza TEHAMA Wa KLIC

WIZARA ya Elimu, Sayansi  na Tekonolojia (WyEST) kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imesaini mkataba wa hati ya makubaliano (MoU)...

READ MORE

Ujenzi Wa Barabara Kidatu-Ifakara Wafikia Asilimia 82, RC Malima Atoa Maagizo Mazito

Morogoro 7 Novemba 2023: Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Mhe Adam Malima amemtaka mkandarasi anayesimamia mradi wa ujenzi wa barabara...

READ MORE

Serikali Yawataka Wananchi Kuondoka Mita 60 Katika kingo za mito, fukwe za bahari na Maziwa – Video

 Serikali imewataka wananchi kuacha kufanya shughuli za kibinadamu ndani ya eneo la mita 60 katika kingo za mito, fukwe...

READ MORE

Meridianbet Yaja na Wolf Land Hold and Win!!

Mbele yako kuna mchezo mwingine wa kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet ambapo inakusafirisha mpaka Marekani. Mara hii, unapata nafasi ya...

READ MORE

Simba Yavunja Mkataba Na Kocha Robertinho, Seleman Matola Atapewa Mikoba

Klabu ya Simba Sc imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kocha wao raia wa Brazil, Roberto Oliviera (Robertinho) siku ya...

READ MORE

Shot in the Arm for Tourism as International Hospitality Group Inks a Management Deal with Nairobi Safari Club

On the eve of its 40th anniversary, the Nairobi Safari Club has signed a management partnership deal with global hotel...

READ MORE

Ujenzi Wa Ukuta Wa Bahari Nungwi Wanukia, Waziri Afunguka

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis amesema Serikali inatarajia kuanza tathmini ya ujenzi...

READ MORE

Mzee Wa Miaka 55 Ampa Ujauzito Mjukuu Wake Wa Miaka 13 – Video

 Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Casto Thomas (55), Mkazi wa Lumba Chini Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro...

READ MORE

NMB Yaingia Makubaliano Kuwezesha Mashirikiano Baina ya Sekta za Serikali na Sekta Binafsi Zanzibar

Benki ya NMB imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na Idara ya Mashirikiano baina ya Sekta za Serikali na Sekta Binafsi...

READ MORE

TADB Yajivunia Faida Ya Bilioni 4.88 Kabla Ya Kodi Robo Ya Tatu Ya Mwaka 2023

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka imefanikiwa kupata faida shilingi bilioni...

READ MORE