×

Habari

Benki ya NMB Yazindua Huduma Maalum Kwaajili ya Wastaafu   

Benki ya NMB imeanzisha mpango maalum wenye masuluhisho mahususi kwaajili ya kuwahudumia Wastaafu na Wastaafu watarajiwa unaoitwa NMB Hekima Plan...

READ MORE

Rais Joe Biden kutembelea Israel na Jordan wiki hii kuzungumzia hali ya vita vya Gaza

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Antony Blinken, ametangaza Jumanne kwamba Rais Joe Biden atatembelea Israel siku...

READ MORE

Vifo vya Mashabiki Wawili wa Sweden Vyapelekea Mechi Kuahirishwa

Mchezo wa kufuzu EURO 2024 kati ya Ubelgiji na Sweden umeahirishwa baada ya wachezaji kugoma kurudi uwanjani kipindi cha pili...

READ MORE

Lori lililobeba Sumu ya Sodium Cyanide Ya Migodini Lapata Ajali Kahama

Gari aina ya scania lenye usajili  wa namba T124 ECX linalobeba sumu  ya sodium cyanide inayapeleka Migodi mitatu nchini limepata...

READ MORE

Rais Samia ampongeza Aweso

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Wizara ya Maji inayoongozwa na Jumaa Aweso pamoja...

READ MORE

Mastaa Wa Yanga, Max, Skudu Na Nkane Walivyonogesha Uzinduzi wa Maadhimisho Ya Miaka 60 Ya NIC

Dar es Salaam 16 Oktoba 2023: Mastaa wa Yanga Max Zengeli, Skudu Makudubela na Denis Nkane kwa niaba ya timu...

READ MORE

Mpango wa Pamoja Wa Kigoma (KJP) Ulikuwa Mpango Wa Pande Nyingi Uliolenga Kutatua Changamoto

Mpango wa Pamoja wa Kigoma (KJP) ulikuwa mpango wa pande nyingi wa Umoja wa Mataifa uliolenga kutatua changamoto za kipekee...

READ MORE

Sitasahau Jinsi Nilivyomfuma Mume Wangu Akiwa Kitandani na Mdogo Wangu

  Itoshe kusema kuna watu hata uwafanyie kitu gani kwao ni vigumu kuridhika, hata ujitoe kwa kiasi gani nyoyo zao...

READ MORE

Balozi Kombo Ampongeza Amitin Kurudisha Ngumi Zanzibar

Kwa mara ya kwanza, Balozi wa Tanzania nchini Italia, Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kuzungumza na Mratibu wa Tosh Sports...

READ MORE

Ibra Class Kupanda Ulingoni Na Mchina Oktoba 28, 2023

Kuelekea Usiku wa Royal boxing Tour Ep 2 Chini ya HB sadic boxing promotion ndani ya Ukumbi wa PTA sabasaba...

READ MORE

Tari Yawashauri Wakulima Wa Mpunga Kutumia Technolojia Ya Shadidi

Kutokana na uwepo wa Changamoto ya Mabadiliko ya tabia nchi, Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) imewasisitiza wakulima wa...

READ MORE

Maelfu waandamana Morocco kuunga mkono Wapalestina na kupinga kurasmishwa kwa uhusiano na Israeli

Maelfu ya watu waliandamana mjini Rabat Jumapili kuunga mkono Wapalestina waliozingirwa huko Gaza, yakiwa ndiyo maandamano makubwa zaidi dhidi ya...

READ MORE

Rais Samia Azindua Rasmi kituo cha Polisi wilaya ya Ikungi mkoani Singida – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi kituo cha Polisi wilaya ya Ikungi mkoani...

READ MORE

Billnas Alivyowainua Washua Kwenye Shoo Ya Maokoto, SBL Kuwazawadia Wateja Bilioni 1.5

Dar es Salaam, 16-Oct. Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Billnas amepiga bonge la shoo iliyokwenda kwa jina la...

READ MORE

Vijiji 9,671 vyafikishiwa maji

Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso amesema kufuatia matokeo ya Tathimini ya Hali ya Upatikanaji wa Maji Vijijini katika Vijiji...

READ MORE

Air France KLM Yasherehekea Miaka 90 Ya Utoaji Huduma

Ijumaa ya Oktoba,  13 , 2023 Shirika la Air France la nchini Ufaransa limesheherekea miaka 90 ya utoaji Huduma Za...

READ MORE

Kaimu Kamishna TANAPA Awataka Makamishna Wapya Kupiga Kazi Usiku Na Mchana

Kaimu Kamishna wa Uhifadhi kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Juma Kuji amewataka Makamishna Wasaidizi wachapakazi wapya, kufanya kazi...

READ MORE

Uzinduzi Wa Mashindano Ya Polisi Jamii CUP 2023, Ushirikiano Kati Ya Trafiki Na Kampeni Ya ‘Inawezekana’ Ya SBL

Dar es Salaam, 14 Oktoba 2023: SBL inayo furaha kutangaza kuanza rasmi kwa kampeni ya INAWEZEKANA na Mashindano ya USALAMA...

READ MORE

ALAF Limited Yazindua Mradi Wa Mtambo Wa Mabati Ya Rangi Wenye Thamani Ya Mabilioni

Dar es Salaam Jumapili Oktoba 15, 2023: Kampuni ya ALAF Limited, ambayo ni sehemu ya makampuni ya Safal Group na...

READ MORE

Kenya: Bei ya petroli yaongezeka kwa Sh5.72, dizeli hadi Sh4.48

Lita moja ya mafuta ya petroli nchini Kenya imeongezeka kwa Sh5.72 , Dizeli kwa Sh4.48 lita na Mafuta ya Taa...

READ MORE

Vijana wanaotelekeza Wagonjwa wao Hospitali Wapewa somo Siku ya Kumuenzi Mwalimu Nyerere

Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Dar es Salaam umetembelea Hospitali ya Mwananyamala Jijini hapo kuwajulia hali wagonjwa...

READ MORE

Bayport Yatoa Msaada wa  Kompyuta 30 Kuboresha Elimu katika Wilaya ya Mwanga

*Kutumia Tsh 40 Milioni Kuboresha Elimu katika Wilaya ya Mwanga Taasisi ya kifedha ya Bayport Tanzania imetoa msaada wa wa...

READ MORE

Waliosoma Lugoba Sekondari Watoa Msaada Kuboresha Hadhi ya Shule hiyo

Ili  kuhakikisha Shule ya Sekondari LUGOBA iliyopo  halmashauri ya wilaya Chalinze mkoani Pwani inarejea katika makali yake kitaaluma, nidhamu na...

READ MORE

Peter Serukamba: Singida Tupo Tayari Kumpokea Rais Samia

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba ameelezea jinsi wananchi wa mkoa huo walivyojipanga kwa mapokezi ya Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Kocha Kiboko Ya Yanga, Apewa Mkono Wa Kwaheri Ihefu Fc

Klabu ya Ihefu ‘Mbogo Maji’ inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC, imempa mkonoo wa kwaheri kocha wake, Zuber Katwila. Katika taarifa...

READ MORE

Waziri Jenista Mhagama Akoshwa na Mshiko Fasta ya NMB

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Jenista Mhagama (Mb) amewataka vijana kuchangamkia fursa ya...

READ MORE

Tanzania Ynajivunia Mtoto wa Kike Kupata Haki katika Ngazi Zote za Elimu

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda amesema hayo Oktoba 11, 2023 jijini Dodoma katika maadhimisho ya Siku ya...

READ MORE

TCRA: Wanaotumia VPN Bila Kujisajili Mwisho Oktoba 30, 2023, Ukitumia Kifungo Mwaka 1

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi kwa ujumla na kampuni ambazo kwa asili ya majukumu na kazi zao, matumizi...

READ MORE

Mfanyabiashara Maarufu Arusha Akutwa Amefariki Kwenye Gari – Akutwa Na Maburungutu Ya Pesa -Video

Mfanyabiashara maarufu wa maduka ya simu Jijini Arusha aliyefahamika kwa jila moja la Mzee Malya amekutwa amefariki kwenye gari yake...

READ MORE

Viongozi Sita wa CCM Wafariki kwa Ajali ya Gari eneo la Ndulamo

Viongozi sita wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Ndulamo wakati wakitoka kwenye mkutano...

READ MORE

Mwenyekiti wa Wazazi CCM Morogoro Ahimiza Umoja, Atoa Kadi 500 Kila Wilaya

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk Rose Rwakatare, amehitimisha ziara yake mkoani humo akiwataka viongozi kuhakikisha...

READ MORE

UN: Israel Yataka Watu Milioni 1.1 Gaza Kuondoka Katika saa 24 Zijazo

Jeshi la Israel limeuambia Umoja wa Mataifa kwamba kila mtu anayeishi kaskazini mwa Wadi Gaza anapaswa kuhamia kusini mwa Gaza...

READ MORE

NBC Yasisitiza Dhamira Yake Kusaidia Ukuaji TEHAMA Mashuleni

Yatoa Msaada wa Kompyuta Sekondari Makoka Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuwekeza zaidi kwenye ustawi...

READ MORE

Naibu Spika ataka CBE Iwatafutie Wahitimu Ajira

NAIBU Spika Musa Azzan Zungu amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  kwa kutoa mafunzo ambayo yanaendana na soko la...

READ MORE

Tanga Yalishukuru Shirika La Amend Baada Ya Kukamilisha Mradi Wa Usalama Barabarani Kupitia Mradi Wa ‘Tanga Yetu’

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga limetoa shukrani kwa Shirika la Amend baada ya kukamilisha mradi wa Usalama Barabarani kupitia Mradi...

READ MORE

Vurugu Nzito Zaibuka Kariakoo -Wafanyabiashara Wakiwasha Laivu Sakata La Moto – Video

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia...

READ MORE

White House yataka kufunguliwa kwa njia ya misaada Gaza

White House, imeunga mkono mwito wa misaada ya kibinadamu, na kufunguliwa njia ya kutoka Gaza, wakati Israel, ikongeza mashambulizi yake...

READ MORE

SBL Yashirikiana Na Usalama Barabarani, Polisi Jamii CUP Kukuza Kunywa Kwa Uwajibikaji Na Usalama Barabarani

Dar es salaam, 12 Oktoba – Mwanamasumbwi mwenye tambo nyingi, Karim Mandonga na Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Juma...

READ MORE

Mke Wa Aliyekuwa Rais Wa Gabon Afungwa Jela.

Sylvia Bongo Ondimba Mke wa aliyekuwa Rais wa Gabon na kuondolewa madarakani Ali Bongo Odimba amefungwa jela. Sylvia Bongo amekuwa...

READ MORE

Hii Ndo Miradi Anayoendelea Kufanya Rais Samia Mkoni Manyara

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ameeleza kuwa kwa kupindi kifupi cha uongozi wa Rais Samia Mkoa wa Manyara...

READ MORE