×

Habari

BetPawa Kuwasaidia Watanzania 20 Kutimiza Ndoto Zao Awamu Ya Pili Ya ‘Dream Maker’

Dar es Salaam, Octoba 2, 2023. Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BetPawa Tanzania, leo imezindua awamu ya pili ya programu...

READ MORE

Ligi Ya Mabingwa Imerejea Kibabe Na Meridianbet

Najua unajua kuwa leo na kesho Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya itachzewa lakini je unaju kuwa ni wapi utapiga mkwanja...

READ MORE

Wizara ya Ardhi Kuja na Maboresho ya Sera ya Ardhi

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi iko katika maboresho ya Sera ya Ardhi ili kuwa na sera itakayoleta...

READ MORE

Wateja tupo kwa ajili yenu kwenye wiki ya huduma kwa wateja-NSSF

  Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umezindua kwa kishindo maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2023...

READ MORE

TCRA Yaahidi Kuendelea Kuunga Mkono Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii

  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt Jabiri Bakari, ameahidi kuwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) itaendelea...

READ MORE

Live: Mapokezi Ya Ndege Mpya, Boeing 737 Max 9, Dar

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa Oktoba 2, 2023 amezungumza na waandishi wa habari kuhusu mapokezi ya ndege mpya, Boeing...

READ MORE

Maokoto ya Jackpot yameongezwa Meridianbet!

Ni mwezi wa kutoboa tu na hakuna mtu wa kupinga hilo, ukicheza michezo ya sloti au kasino ya mtandaoni bado...

READ MORE

XPENG G3; Gari la Kisasa Lenye Uwezo wa Kujipaki Lenyewe Bila Dereva

  Bila shaka umeshasikia sana kuhusu magari ya kisasa yanayotumia umeme jinsi yalivyokuja kuleta mapinduzi makubwa katika usafiri wa magari...

READ MORE

Kiongozi wa Upinzani Visiwa vya Shelisheli Ashtakiwa kwa Uchawi, Mtanzania Ahusishwa

Mahakama katika Visiwa vya Shelisheli, imemsomea mashtaka ya uchawi kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo, Patrick Herminie pamoja na watu...

READ MORE

Waziri Mkuu: Ma-RC anzisheni vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi kabla ya 2024

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa miezi mitatu kwa Wakuu wa Mikoa yote nchini ambao bado hawajaanzisha vituo vya uwezeshaji wananchi...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Awashangaa Katavi Kuendekeza Kamchape

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Daniel Chongolo amewataka wananchi wa Mkoa wa Katavi kuachana na imani za kishirikina maarufu...

READ MORE

Trump na Kampuni Yake Watuhumiwa kwa Kusema Uongo Kuhusu Utajiri Wake

Wakati baadhi ya biashara zake za majumba yenye thamani kubwa zaidi zikiwa mashakani, Rais wa zamani Donald Trump anasema atafanya...

READ MORE

Niger yatangaza siku tatu za maombolezi baada ya kuuliwa wanajeshi wake 29

Wanajeshi 29 wa Niger wameuliwa kufuatia shambulio la kigaidi magharibi mwa nchi, ikiwa ni idadi kubwa ya watu kuuliwa tangu...

READ MORE

NBC Yazindua Mwezi wa Huduma kwa Wateja kwa kuwatembelea Mawakala, Wateja

Benki ya Taifa ya Biashara imetumia maadhimisho ya mwezi wa huduma kwa wateja kwa kuwatembelea mawakala mbalimbali na wateja wa...

READ MORE

Bosi wa Tanapa Mwakilema Ateuliwa Kumrithi Jokate Wilaya ya Korogwe

Rais Samia Hassan leo Oktoba 3, 2023 amemteua William Simon Mwakilema, Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Makatibu na Kamishna TANAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Oktoba 3, 2023 ameteua na kufanya mabadiliko ya uteuzi kwa...

READ MORE

Rais Samia Amteua Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria na Mwenyekiti wa MoCU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua George Nathaniel Mandepo kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya...

READ MORE

Rais Samia Amteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa BASATA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumanne, Oktoba 3, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 3, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga na Matunda Qatar

DOHA, Qatar: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga...

READ MORE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Viwanda, Biashara na Mifugo Yaipongeza Wizaya ya Kilimo

Kamati ya kudumu ya Bunge Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeipongeza Wizara ya Kilimo kwa utekelezaji mradi uandaaji mashamba ya...

READ MORE

Total Energies Yasherehekea Wiki Ya Huduma Kwa Wateja 2023 Kwa Kufungua Mlango Mpya Wa Huduma Bora

Mkurugenzi Mkuu mpya wa Kampuni ya TotalEnergies Marketing Tanzania Ltd, Mamadou Ngom (wa pili kulia) akizungumza na Mkuu wa Wilaya...

READ MORE

NMB Yazindua Huduma Ya Kibenki Ya NMB KWETU Kwaajili Ya Diaspora Wa Kitanzania Waishio Nje Ya Nchi

Benki ya NMB imezindua huduma rasmi dirisha la huduma za kibenki kwa Watanzania waishio Nchi za Nje yaani Wana Diaspora...

READ MORE

Hotuba Ya Mkuu Wa Kitengo Cha Huduma Kwa Wateja Wa Tigo, Mwangaza Matotola Wakati Wa Uzinduzi Wa Maadhimisho Ya Wiki Ya Huduma Kwa Wateja

Oktoba 2 2023 Iringa Wageni waalikwa, Waandishi wa Habari, Mabibi na Mabwana, Habari za Asubuhi! Napenda kuwashukuruni nyote kwa kuungana...

READ MORE

Aweso atekeleza maagizo ya Dkt. Biteko, milioni 250 kumwaga maji Ngara

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amefika kata Murusagamba wilayani Ngara Mkoani Kagera kufatia agizo alilopewa na Naibu waziri mkuu...

READ MORE

Wizara ya Ardhi Yashika Nafasi ya Kwanza Kundi la Wizara Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi

  Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imekabidhiwa tuzo ya ushindi wa kwanza kwa upande wa kundi la...

READ MORE

Huzuni Yatanda Watu 22 wa Familia Moja Waliokufa Kwa Moto Harusini Wakizikwa

  Watu 22 wa familia moja waliopoteza maisha baada ya ukumbi waliokuwa wakifanyia shehere ya harusi kuteketea kwa moto nchini...

READ MORE

Kamata Maokoto ya Kutosha Meridianbet

Je, unataka kushinda zawadi za kuvutia kama pikipiki, simu au mizunguko ya bure?  Je, unapenda kubashiri michezo au kucheza sloti...

READ MORE

Watu 13 Wafariki Dunia na Wengine Kujeruhiwa Baada ya Moto Kuteketeza Klabu ya Usiku

Watu 13 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia moto mkubwa kulipuka na kuiteketeza klabu moja ya usiku katika Mji...

READ MORE

Airtel Yazindua Huduma kwa Wateja Dar, DC Azungumza

Nachukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa afya na kuweza kumujuika hapa siku ya leo kwenye uzinduzi wa wiki...

READ MORE

Rais Samia Amteua, Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari-Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua, Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari-Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali. Kabla ya...

READ MORE

Jokate Mwegelo Ateuliwa Kuwa Katibu Mkuu UWT

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyokutana katika kikao chake maalumutarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar...

READ MORE

Kuelekea Kumbukumbu Ya Baba Wa Taifa Msafara Wa Waendesha Baiskeli Unaojulikana Kama Twende Butiama Umeanza Safari Leo

Kuelekea kumbukumbu ya kumuenzi baba wa taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye aliyefariki Oktoba 14, 1999, msafara wa...

READ MORE

TADB Yawezesha Dhamana Ya Mikopo Ya Sh. 221.3bn/- Kwa Wakulima Wadogo Nchini

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kupitia Mfuko wa Dhamana kwa Wakulima Wadogo (SCGS) imewezesha upatikanaji wa mikopoyenye thamani...

READ MORE

Bajeti Ya Serikali Ya Marekani Chupuchupu Kukwama – Yapata Idhini Ya Matumizi Ya Wiki Sita Tu

Baraza la wawakilishi la Marekani Septemba 30, 2023 limepitisha mswaada wa sheria wa kuifadhili serikali kuu kwa siku 45 na...

READ MORE

Mwanamume Afariki Baada ya Nyangumi Kugonga Boti

Nyangumi mmoja ameigonga mashua nchini Australia na kumuua mtu mmoja na kumwacha mwingine kujeruhiwa, polisi wamesema. Watu hao walikuwa kwenye...

READ MORE

Papa Francis awapandisha vyeo makasisi 21 kuwa makadinali

Papa Francis Jumamosi aliwapandisha vyeo makasisi 21 kutoka maeneo ya mbali duniani, kuwa makadinali, akisema kuwa kujumuisha watu kutoka maeneo...

READ MORE

Breaking: Moto Mkubwa Unateketeza Majengo Na Maduka Kariakoo, Dar – Video

Moto huo umetokea asubuhi ya Oktoba Mosi, 2023 eneo la Kariakoo Dar es Salaam ambapo umeripotiwa kuwaka kwenye zaidi ya...

READ MORE

Lake Energies Yadhamini Mashindano Ya NCBA Golf Series Gymkhana Kadi

Mkurugenzi Mtendaji wa Lake Energies, Abdirahman Ahmed, akimkabidhi Ayne Magome zawadi ya mtungi wa gesi pamoja na kadi ya kujaza...

READ MORE

Shirika la Ndege la Rwandair Lamwaga Zawadi Kwa Wateja, Wadau Wa Tanzania

Shirika la Ndege la Rwanda, Rwandair @flyrwandair hapo jana, Septemba 29, 2023 lilikutana na wateja na wadau wake wa nchini Tanzania katika...

READ MORE