×

Habari

Polisi Nchini Kenya Wamhoji Mchungaji Ezekiel Odero, Wafunga Kanisa lake

Polisi nchini Kenya wamemhoji mhubiri Ezekiel Odero na kufunga kanisa lake kuu la Mavueni ambalo lipo katika kaunti ya pwani...

READ MORE

Watanzania Waliokwama Sudan Warejea Nyumbani

Ndege iliyowabeba raia wa Tanzania waliokuwa wamekwama Sudan imewasili salama Jijini Dar es salaam. Watanzania hao waliookolewa waliondoka Sudan kwa...

READ MORE

Sekta Ya Mawasiliano Imefungua Fursa Mpya Ya Maendeleo Endelevu -Waziri Mohamed

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Serikali Mapinduzi Zanzibar Khalid Salum Mohamed miaka ya hivi karibuni kumekuwa na maendeleo makubwa...

READ MORE

Mkuu Wa Mkoa Wa Iringa Apokea Msaada Wa Vifaa Vya TEHAMA Kwa Shule 14 Kutoka Vodacom

Iringa – Aprili 25, 2023. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mheshimiwa Halima Dendego amepokea msaada wa vifaa 49 vya TEHAMA...

READ MORE

Rais wa Rwanda, Paul Kagame Kuanza Ziara ya Siku Mbili Nchini

Rais wa Rwanda, Paul Kagame anatarajiwa kufanya ziara yakikazi nchini Tanzania kuanzia kesho, April 27 hadi April 28. Taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Watu waliogopa kumsogelea; Rais Samia akamshika mkono na kuokoa maisha yake

        HAYAWI, hayawi… sasa yamekuwa. Ndoto ya mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) aliyokuwa akiililia kwa muda mrefu...

READ MORE

Kasino ya Mtandaoni Inakupa Mkwanja kwa Njia Hizi

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakupa ushindi kirahisi kupitia sloti ya Titan Dice ambayo ni moja ya michezo inayotoa hela...

READ MORE

Simba Watuma Ujumbe Mzito kwa wapinzani wao Wydad Athletic Club

UONGOZI wa Simba umetuma ujumbe mzito kwa wapinzani wao Wydad Athletic Club kutoka mji wa Casablanca nchini Morocco kuwa wanakwenda...

READ MORE

Afrika Kusini Yasasema Haina Mipango ya Kujiondoa kwenye Mkataba wa ICC kwa Ajili ya Putin

Ofisi ya rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaposa ametoa taarifa kwamba nchi yake haina mipango ya kujiondoa kwenye Mkataba wa...

READ MORE

Rais Samia Akutana Na Mtoto Hamimu Mwenye Matatizo Ya Ngozi, Ikulu Jijini Dar

Rais Samia Suluhu Hassan, leo April 26, 2023 amekutana na kuzungumza na mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) ikulu jijini Dar...

READ MORE

Mtoto alivyowatoroka wazazi usiku kumfuata Rais Samia kuokoa maisha yake

  “Nilisikia Rais Samia anapita Nyakanazi na mimi kwetu ni pale pale Nyakanazi. Wazazi walinikataza, wewe usiende na hali hiyo...

READ MORE

Beki Wa Kazi Apewa Mkataba Mpya Yanga Mabosi Wake Wafunguka

MABOSI wa Yanga wapo katika mazungumzo ya mwisho na beki wa kati wa timu hiyo, Ibrahim Hamad ‘Bacca’ kwa ajili...

READ MORE

Mtangazaji Maarufu wa Fox News, Tucker Carlson Aachishwa Kazi

Kituo cha televisheni cha hapa Marekani, Fox News na mtangazi wake maarufu Tucker Carlson wameafikiana kuvunja mkataba wa kazi kati...

READ MORE

Joe Biden Athibitisha Kuwania Tena urais wa Marekani Mwaka 2024

Rais wa Marekani Joe Biden amethibitisha kuwa atagombea tena uchaguzi wa Uraisi wa mwaka 2024. Tangazo hilo limetolewa katika video...

READ MORE

Idadi ya Waumini wa Dhehebu la Kenya Waliofariki kwa njaa Yafikia 73

Idadi ya waliofariki katika tukio lililohusisha dhehebu la Kenya lililoamuru waumini wake kukaa na njaa hadi kufa iliongezeka na kufikia...

READ MORE

Wanafunzi TIA Kunufaika na Fursa Nje ya Nchi

TAASISI ya  Uhasibu Tanzania (TIA), imesaini mkataba na wakala wa vyuo vikuu nje ya nchi Global Education Link (GEL), lengo...

READ MORE

Heche Atema Cheche Sakata la Kampuni ya Tanga Cement Kutaka Kuinunua Twiga Cement

Mwanasiasa maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche ametema cheche kuhusu sakata linaloendelea la Kampuni ya Twiga...

READ MORE

Shangwe Kubwa la Bodaboda Lasababishwa na Meridianbet

Shangwe shangwe shangwe tu katika baadhi ya mitaa ya jiji la Dar es salaam baada ya bodaboda kufikiwa na Meridianbet...

READ MORE

Polisi wa Morocco Yakamata tani 5.4 za bangi Zikisafirishwa Kwenda Uhispania

Maafisa wa usalama na forodha walikamata bangi hiyo katika bandari ya kaskazini ya Tangier ikiwa ndani ya lori la kimataifa...

READ MORE

Rais wa Mexico aambukizwa Covid kwa Mara ya Tatu

Rais wa Mexico Andres Manuel Lopez Obrador Jumapili amesema kwamba ameambukizwa virusi vya Covid 19 kwa mara ya tatu, akiongeza...

READ MORE

Kampuni Ya Bima Ya Strategis Yapongezwa Kwa Kubuni Na Kuja Na Bima Mpya Ya ‘Makasha’

Kampuni ya Bima ya Strategis imepongezwa kwa ubunifu wake wa kuja na huduma mpya ya bima ya makasha ijulikanayo kama...

READ MORE

Mafanikio ya STAMICO Yamkosha Msajili Hazina

  NA MWANDISHI WETU MSAJILI Mkuu wa Hazina, Nehemiah Mchechu amelipongeza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) baada ya uongozi...

READ MORE

Miradi Inayofadhiliwa na GGML Inavyoleta Mageuzi ya Kiuchumi Geita

NA MWANDISHI WETU TANGU kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), ambayo ni kampuni tanzu ya AngloGold Ashanti ilipoanzishwa mwaka...

READ MORE

Miili ya Waumini 21 Waliofunga Mpaka Kufa Yafukuliwa na Polisi Kenya

Jeshi la Polisi nchini Kenya wamefukua miili ya watu 21 ambao ni waumini wa kanisa la News International Church, ambao...

READ MORE

Simai Aahidi Kutoa Milioni 3 Kwa Kila Goli La Simba Dhidi ya Wydad Nchini Morocco

  WAZIRI wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Simai Mohammed Said amekipongeza kikosi cha klabu ya Simba kwa ushindi...

READ MORE

Wafanyakazi wa Kampuni ya SBL Wafanya Usafi Ufukwe wa Coco Jijini Dar es Salaam

  Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), wakisafisha Ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam kama sehemu ya...

READ MORE

Wanadiplomasia, raia wa Marekani, Uingereza, Ufaransa, China kuondolewa Sudan

Wanadiplomasia na raia kutoka Marekani, Uingereza, Ufaransa na China wataondolewa Sudan kwa ndege huku mapigano yakiendelea huko, taarifa ya jeshi...

READ MORE

Katibu Mkuu Kenya: Tanzania Ipo Mbali Katika Usimamizi wa Usalama na Afya

Ujumbe wa Wataalam kutoka Wizara ya Kazi na Hifadhi ya Jamii kutoka Kenya umehitimisha ziara yake ya siku nne nchini...

READ MORE

Atakayechoma Moto Hifadhi Ya Vyanzo Vya Maji Jela Miaka Saba

Morogoro, 21 Aprili 2023: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bi. Fatma Mwassa amewataka wakazi wa mkoa huo kuwa walinzi na...

READ MORE

HUDEFO Ilivyoazimisha Siku Ya Dunia Kwa Kusafisha Mazingira Ufukweni

Dar es Salaam 22 Aprili 2023: Shirika lisilo la kiserikali la Human Dignity and Enviromental Care Foundation (HUDEFO) leo limeazimisha...

READ MORE

Ajiua kwa kujipiga Risasi Mwanza

Katika hali isiyokuwa ya kawaida  Mfanya biashara mmoja aliyejulikana kwa jina la  Emmanuel Nyambera Mkazi wa Bwiru Msikitini Wilayani Ilemela ...

READ MORE

Rais Samia Amteua Balozi Khamis Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe...

READ MORE

Wajasiriamali Zaidi Ya 300 Wanufaika na Mafunzo ya Usalama na Afya Mtwara

Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi Duniani yatakayofanyika Aprili 28, Wakala wa Usalama na Afya...

READ MORE

Mkuu wa wilaya ya Rungwe Afanya ziara Ikuti na Kukagua Miradi ya Maendeleo

Mkuu wa wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na...

READ MORE

ATOGS Kuongoza Ujumbe Wa Tanzania Kwenye Mkutano Na Maonyesho Ya Teknolojia Marekani

Dar es Salaam 21 Aprili 2023: Jumuiya ya Watoa Huduma za Mafuta na Gesi Tanzania (ATOGS) itaongoza ujumbe wa Tanzania...

READ MORE

DC Mwanziva na Mashekhe Ludewa Wawafikia Kinamama Hospitalini

Mashehe wilayani Ludewa mkoani Njombe wamewaasa waumini wote wa kiislam hapa nchini kukumbuka kutoa zaka katika kipindi hiki cha ramadhani...

READ MORE

Kampuni ya Meridianbet Yazindua Duka jipya la Ubashiri Vingnguti Relini

Kampuni ya Meridianbet leo hii imefika katika eneo la Vingnguti relini na kuweza kuzindua duka jipya la ubashiri ambalo litawafanya...

READ MORE

Mbunge wa Jimbo la Nkasi Adai Kubaguliwa Jimboni Kwake – Video

Mbunge wa Jimbo la Nkasi, Aida Kenan amedai kubaguliwa kwenye utendaji wa kazi jimboni kwake ambapo wakuu wa idara na...

READ MORE

Waziri Mkuu: Serikali Imesajili Miradi Ya Uwekezaji 537

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa katika kipindi cha mwaka 2021 hadi Januari, 2023 Serikali ilisajili jumla ya miradi ya...

READ MORE

Mapato ya Simba na Yanga Jumla Tsh Milioni 410, Simba Yalamba Tsh Milioni 183

Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliozikutanisha Simba na Yanga Jumapili ya April 16, 2023 umeingiza jumla ya shilingi milioni...

READ MORE