×

Habari

Manyaunyau Aliyetrendi Kwa Kunywa Damu Ya Paka Afichua Utajiri Wake – ”Nina Nyumba 30” | Mpaka Home – Video

MPAKA HOME ya Global TV imefika hadi nyumbani anakoishi Manyaunyau mtaalam wa tiba za asili mwenye umaarufu mkubwa Bongo, Manyaunyau...

READ MORE

Kimbunga Chaua 23 Usiku wa Kuamkia leo Mississippi Marekani

Takriban watu 23 wamefariki dunia baada ya kimbunga kukumba jimbo la Mississippi nchini Marekani usiku wa kuamkia leo. Watu zaidi...

READ MORE

PASS Trust Yahimiza Kilimo Chenye Tija Katika Mazingira

PASS Trust yahimiza kilimo chenye tija katika mazingira kwenye warsha ya ukuaji wa uchumi wa kijani shirikishi iliyofanyika Kanda ya...

READ MORE

Serikali, Ikishirikiana Vodacom Tanzania, Wazindua Mfumo Wa M-mama Jijini Arusha

Arusha – Machi 24, 2023. Ikiwa ni jitihada za kuongeza kasi ya upatikanaji wa huduma za dharura za afya kwa...

READ MORE

USAID Breakthrough ACTION Launches SPARK Program To Enhance Social And Behavior Change Skills In Tanzania

Dar es Salaam Sunday 26 March 2023: The USAID-funded Breakthrough ACTION has launched the SPARK program, a social and behavior...

READ MORE

Women Food Vendors Get A Short In The Arm From Coca-Cola Kwanza And Oryx Gas.

  Dar es Salaam Sunday 26 March 2023 – More than 300 women food vendors from the Dar es Salaam region...

READ MORE

Wanamuziki Kutoka Nchi 14 Kushiriki Mashindano Ya “The Voice Of Afrika”

KAMPUNI ya mtandao wa simu za mkononi ya Airtel Tanzania imetangaza kuzinduliwa kwa mashindano ya The Vioce Afrika yenye lengo...

READ MORE

HUDEFO Ilivyofanya Kitu Cha Kipekee Mtaani Mpaka Makaburini

Dar es Salaam 25 Machi 2023: Asasi isiyo ya kiserikali ya HUDEFO inayojihusisha na usafi na utunzaji mazingira katika kuazimisha...

READ MORE

Rwanda Yatangaza Kumuachia Paul Rusesabagina ’Shujaa wa Hotel Rwanda’

  Serikali ya Rwanda itawaachilia huru kiongozi wa kundi la upinzani la Rwanda Movement for Democratic Change (MRCD) Paul Rusesabagina...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Reflector kwa Polisi Kawe

Kampuni ya Meridianbet kila iitwayo siku hufikiria watafanya nini kwaajili ya kuwaunga mkono wanaanchi ambapo hii leo wamefika eneo la...

READ MORE

Julius Malema: Tutamlinda Putin Dhidi ya ICC Atakapowasili Afrika Kusini

Chama cha wachache cha upinzani cha Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters (EFF), kimesema Rais wa Urusi Vladimir Putin anakaribishwa kuzuru...

READ MORE

Meta Yazuiwa Kuwafukuza Kazi Wasimamizi wa Maudhui wa Facebook Nchini Kenya

Mahakama katika mji mkuu wa Kenya Nairobi, imeizuia kampuni ya Meta, ambayo ni kampuni mama ya facebook, kuwafuta kazi wasimamizi...

READ MORE

Wabunge wa Odinga Wafunguliwa Mashitaka Kenya Kwa Kushiriki Maandamano

Wabunge wanne wa Kenya wameshtakiwa kwa kukutana kinyume cha sheria na kushiriki maandamano yaliyofanyika wiki hii dhidi ya serikali ya...

READ MORE

Video: Watu 193 Kagera Wapo Chini Ya Uangalizi Ugonjwa Mpya Wa Maburg, Wamo Wahudumu Wa Afya…

Watu 193 wakazi wa Mkoa wa Kagera wako chini ya uangalizi wa madaktari kufuatia kutengamana na wagonjwa wa ugonjwa mpya...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya TikTok Ahojiwa na Kamati ya Bunge la Marekani

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya TikTok, Shou Zi Chew amehojiwa na kamati ya bunge la Marekani kujibu kwa nini programu...

READ MORE

Benki Ya NBC Yazindua Kampeni Ya Mkeka Wa Ushindi Na ATM Za NBC

Dar es Salaam.Machi 24, 2023- Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza uzinduzi wa kampeni ya MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA...

READ MORE

Tengeneza Mkwanja Na Kasino Ya Mtandaoni, Shinda Kirahisi

Mtu wangu wa nguvu nataka kusema na wewe kuhusu mchongo wa kupiga hela tu, na kila siku huwa nakuja na...

READ MORE

Mwanamke Aliyetoroka Ndoa Yake Miaka 50 Arudi Na Watoto 9 Wa Mume Mwingine…

Familia moja katika kauti ya Kitui ilisherehekea kwa furaha baada ya mpendwa wao ajuza kurejea nyumbani baada ya kutoroka kwa...

READ MORE

Nmb Yatoa Msaada Vifaa Mbalimbali Kwa Sekta za Elimu na Afya

Benki ya NMB imetoa msaada vifaa mbalimbali kwa sekta za elimu na afya vyenye thamani ya shilingi milioni 39 kwa...

READ MORE

Idadi ya Watu wa China Yashuka kwa mara ya Kwanza baada ya Miongo Miwili

Takwimu rasmi za serikali zinaonyesha kwamba Idadi ya watu kwenye mji mkuu wa China, Beijing imeshuka kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Jiunge na Chapride Ufurahie Huduma Bora na za Uhakika za Usafiri wa Kimtandao

  🚕 Chapride ndiyo habari ya mjini! Safiri kwenda sehemu yoyote unayotaka ndani ya Jiji la Dar es Salaam kwa...

READ MORE

EACOP Yaheshimu Haki Na Utu Wa Jamii Zinazoguswa Na Mradi Wa Bomba La Mafuta

Kampuni ya Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP Ltd) kwa kuheshimu mila na desturi za watu walioguswa na...

READ MORE

Shinda Zaidi na Sloti ya Book of Eskimo Meridianbet Kasino

Kuna michezo mingi sana ya Kasino lakini sloti hii ya Book of Eskimo ni Zaidi ya mchezo ni uhalisia wa...

READ MORE

Mastaa Stars Waapa Kuimaliza Uganda Kufuzu Kushiriki Mashindano AFCON

BAADA ya kuanza rasmi kambi ya kujiandaa na mchezo wao wa kusaka tiketi ya kufuzu mashindano ya AFCON, mastaa wa...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Laua Watu 13 Pakistan na Afghanistan, 100 Wapelekwa Hospitalini

Tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 6.5 kwenye vipimo vya rikta limetikisa sehemu kubwa ya Pakistan na Afghanistan Usiku wa...

READ MORE

Zumaridi Aibua Balaa! TCRA Yatangaza Kibano Kwa Vyombo Vya Habari

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania imetangaza kuchukua hatua kali za kisheria kwa chombo chochote cha utangazaji ambacho kitabainika kuendeela kurusha taarifa...

READ MORE

Smartlab Limited Na Ndaki Ya Habari, Mawasiliano Na Teknolojia (COICT) Wasaini Makubaliano Ya Kukuza Uvumbuzi Na Ujasiriamali

Kampuni ya Smartlab Limited, na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Ndaki ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia, watangaza ushirikiano wao...

READ MORE

Baba Wa Martha Aliyeuawa Kwa Kuchomwa Moto Afunguka Mazito – ”Ni Binti Yangu ” – Video

KUFUATIA kifo cha Martha aliyechomwa moto na watu wasiojulikana, Global TV imefika nyumbani kwa baba wa Martha ambaye amefunguka juu...

READ MORE

Taasisi Ya PASS Trust Imefanya Kongamano Na Wadau Wa Kilimo Mkoani Katavi

Taasisi ya PASS Trust imefanya kongamano na wajasiriamali na wadau wote waliopo katika mnyororo wa kilimo mkoani KATAVI, ambalo linalenga...

READ MORE

Mkurugenzi Mkuu wa TikTok Kuhojiwa na Wabunge wa Marekani Alhamisi

Kampuni ya Tiktok Jumanne imechukua hatua inayoashiria kujibu mataifa ya Magharibi ambayo yamekuwa yakihoji usalama wake mitandaoni pamoja na wasi...

READ MORE

Yanga Yavitikisa Vigogo Afrika Yapanda Nafasi za Ubora Baada Kutinga Robo Fainali

HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga ni timu hiyo kupanda nafasi za ubora kwa timu za Afrika mara baada ya...

READ MORE

Mwanahabari wa Ufaransa Aliyeshikiliwa na Wanamgambo Mali kwa Miaka Miwili Arejea Nyumbani

Mwanahabari Olivier Dubois mwenye umri wa miaka 48 kutoka Ufaranasa Jumanne amerejea nyumbani baada ya kushikiliwa kwa karibu miaka 2...

READ MORE

Raila Odinga Atangaza Maandamano Makubwa Mara Mbili Kwa Wiki Kenya

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza kuwa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya sasa utafanya maandamano makubwa...

READ MORE

Waziri Ummy Atoa Tamko Ugonjwa Ulioua Watano Kagera – ”Hauna Tiba, Ni Marburg” – Video

 Waziri wa Afya nchini, Ummy Mwalimu amesema uchunguzi wa Maabara ya Taifa umethibitisha uwepo wa virusi vya Marburg ambavyo vinasababisha...

READ MORE

Dereva Jiunge na Chapride Ufurahie Kutokatwa Kamisheni na Kupata Mikopo

Chapride imesambaa kila kona jijini Dar es Salaam na wikiendi hii, ofa ya usafiri inaendelea kama kawaida ambapo wateja 100...

READ MORE

TBL Yaja Na Kampeni Ya ‘Mdogomdogo’ Ikishauri Matumizi Bora ya Pombe, Yaonya Matumizi Hatari

Tanzania Breweries Limited ni kampuni kubwa zaidi ya utengenezaji wa vileo nchini na nia mbayo iko chini ya kampuni Mama...

READ MORE

Nmb Yatenga Shilingi Bil 20 Kuchangia Ukuaji Sekta Ya Kilimo

BENKI ya NMB imeamua kutenga mikopo ya Sh.bilioni 20 ambayo itakayotumika kuchangia maendeleo ya sekta ya kilimo nchini ikiwa ni...

READ MORE

Rais Putin: Kipaumbele cha Urusi Kwa Sasa ni Kudumisha Uhusiano zaidi na Nchi za Afrika

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kipaumbele cha Urusi kwa sasa ni kudumisha uhusiano zaidi na Nchi za Barani Afrika...

READ MORE

Kimbunga Freddy: Zaidi ya 400 Bado Hawajulikani Walipo Nchini Malawi

Mamlaka nchini Malawi zinasema idadi ya watu ambao bado hawajulikani walipo kufuatia Kimbunga Freddy imeongezeka kutoka 349 hadi 427, huku...

READ MORE