×

Habari

Tuzo Ya Kiswahili Ya Safal-Cornell Ya Fasihi Ya Afrika: 2021 Yatoa Orodha Ya Miswada

Januari 10, 2023, Nairobi…… Tuzo ya Kiswahili ya Safal-Cornell ya Fasihi ya Afrika imetangaza orodha fupi ya miswada ya mashindano...

READ MORE

Uzinduzi wa Awali wa Rifaly Badala ya M-Paper

Dar es Salaam, Tanzania 18 Januari 2023: Kampuni ya Smart foundry imezindua bidhaa yake mpya iitwayo ‘Rifaly’ ambayo ni jina...

READ MORE

Kilimanjaro International Marathon 2023 Yazinduliwa

MBIO ndefu za kimataifa za Kilimanjaro International Premium Lager Marathon kwa mwaka wa 2023 zimezinduliwa rasmi Alhamisi, mjini Moshi, mkoani...

READ MORE

Naibu Waziri Kasekenya Aridhishwa Na Maandalizi Ujenzi Wa BRT III

  NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Eng. Godfrey Kasekenya ametembelea Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka BRT na kueleza...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Gambia Afariki nchini India Baada ya Kuugua kwa Muda Mfupi

Makamu wa Rais wa Gambia Badara Alieu Joof amefariki dunia nchini India, kwa mujibu wa tangazo la rais. Makamu huyo...

READ MORE

Ajali Ukraine: Mawaziri Wauawa katika Ajali ya Helikopta Kyiv

Watu 18 wameuawa akiwemo waziri wa mambo ya ndani wa Ukraine baada ya helikopta kuanguka kando ya shule ya chekechea...

READ MORE

Ruto Adai Kulikuwa na Njama ya Kumuua Mkuu wa Uchaguzi katika Uchaguzi Uliopita

Rais wa Kenya William Ruto ametoa shutuma kali kuhusu njama ya kumteka nyara na kumuua mkuu wa tume ya uchaguzi...

READ MORE

Waziri wa fedha wa Marekani kutembelea Senegal, Zambia, na Afrika Kusini

Waziri wa fedha wa Marekani, Janet Yellen, anaelekea Senegal, Zambia na Afrika Kusini wiki hii kujadili kupanua ushirikiano wa biashara,...

READ MORE

DC Mwenda Kuanzisha Mashindano Ya Mpira wa Miguu Iramba

Ili kuwakutanisha vijana pamoja kwa ajili ya kuimarisha afya zao, kutambua vipaji na kuviendeleza Wilaya ya Iramba imejipanga kuanza mashindano...

READ MORE

Watoto Yatima Na Wanaoishi Kwenye Mazingira Magumu Mkoani Rukwa Wakumbukwa

Msamaria Mwema na mkazi wa mkoani Rukwa, Prudencia Paul Kimiti ametembelea na  kukabidhi msaada wa vitu mbalimbali katika vituo vya...

READ MORE

Aliyemuua Mke Kikatili Kwenye Fumanizi Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Dibron Said kunyongwa hadi kufa baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mkewe...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Msaada kwa Wanawake Walemavu mkoa wa Pwani

Meridianbet Januari 16 2023, ilifunga safari moja kwa moja hadi mkoa wa Pwani wakiambiatana na timu nzima ya Masoko ikiongozwa...

READ MORE

Mchungaji Eliona Kimaro wa Kanisa la KKKT Kijitonyama Asimamishwa

Mchungaji Rev. Dr. Eliona Kimaro wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Usharika wa Kijitonyama,...

READ MORE

Usaid Kizazi Hodari Tumaini Jipya Kwa Jamii za Waathirika wa Ukimwi

  Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Jamii na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima ameagiza utekelezaji wa mradi wa Kizazi...

READ MORE

Mume wa Rubani Mwenza wa Nepal pia Afariki katika Ajali ya Ndege miaka 16 iliyopita

Rubani mwenza wa ndege iliyoanguka Nepal siku ya Jumapili alipoteza mumewe katika ajali ya ndege miaka 16 mapema, imeibuka. Anju...

READ MORE

Rais Samia Ateua Viongozi Mbalimbali, Yumo Mwenyekiti wa Bodi LATRA

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali nchini wakiwemo wenyeviti wa bodi na Makamishna kadhaa...

READ MORE

GGML Yaongeza Udhamini kwa Geita Gold FC Msimu wa 2022/2023

  KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeongeza mkataba wa udhamini kwa Klabu ya Geita Gold Football Club (GGFC)...

READ MORE

Promosheni ya Kasino ya Winter Slot Adventure Ushindi Mkubwa

Cheza kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet.   Kamilisha Januari yako na moja ya Sloti ya kasino nzuri zaidi Meridianbet, Winter...

READ MORE

Padri Avamiwa na Watu Wenye Silaha na Kuchomwa Moto Hadi Kufa Nchini Nigeria

  Padri wa Kanisa Katoliki nchini Nigeria, Isaac Achi amefariki dunia kwa kuungua na moto baada ya watu wasiojulikana kushambulia...

READ MORE

Ramaphosa Asitisha Kuhudhuria Kongomano La Kiuchumi Uswizi Kutoka Na Mzozo Wa Nishati Nchini Mwake

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amefutilia mbali mipango ya kuhudhuria kongamano la kiuchumi duniani mjini Davos Uswizi kwa sababu...

READ MORE

Watu 25 Wafariki Dunia Katika Shambulizi Ukraine Rais Zelenskyy Afunguka

Idadi ya vifo kutokana na shambulio la kombora la Russia kwenye jengo la ghorofa tisa katika mji wa kusini mashariki...

READ MORE

Mchumba Wangu Alighairi Kunioa Baada ya Kugundua Kwamba Navuta Sigara

  Unajua ni wasichana wachache sana ambao huvuta sigara, mara nyingi wanaovuta sigara kwa wengi ni wanaume, hata mwanamke anayevuta...

READ MORE

Uchunguzi Waanzishwa Baada ya Ajali ya Ndege Kuua Watu 67 Nepal

Ndege iliyokuwa na watu 72 imeanguka karibu na uwanja wa ndege katikati mwa Nepal na takriban miili 40 imepatikana, maafisa...

READ MORE

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Chapangua Sekretarieti, Sophia Mjema Amrithi Shaka

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza safu mpya уа Wajumbe Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC) na Wajumbe wa...

READ MORE

Sekta ya Uvuvi; Masoko ya Nje ya Nchi Yatakavyopaisha Uchumi wa Tanzania

    Sekta ya Uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu za uchumi nchini inayochangia katika Pato la Taifa na kuondoa...

READ MORE

Wizara Yakataa Ripoti Ya Wauguzi Waliozua Taharuki Baada Ya Video Yao Kusambaa – ”Sio Msimamo Wetu’

Hivi karibuni, Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kilitoa maoni yake kuhusu tukio la video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii na...

READ MORE

Yanga Wamtambulisha Musonda Wa Zambia, Rekodi Yake Ni Hatari, Mechi 17 Mabao 11

Klabu ya Yanga SC imetangaza kumsajili mshambuliaji Kennedy Musonda kutoka klabu ya Power Dynamos. Musonda (28) raia wa Zambia amesaini...

READ MORE

Baada ya Kuhangaika kwa Miaka Mitano Bila Kazi, Hatimaye Nimepata Ajira

Hapa duniani hakuna maisha bila kazi, kazi ndio msingi wa maisha, katika kazi ndipo mtu anajipatia riziki yake (fedha), kazi...

READ MORE

Tesla Yapunguza bei ya Magari Yake Yanayotumia Umeme Marekani na Ulaya

Bei ya chini katika masoko makubwa ya Tesla inaashiria kurudi nyuma kutoka kwa mkakati ambao mtengenezaji wa magari alikuwa amefuata...

READ MORE

Tundu Lissu Kurejea Rasmi Nchini Januari 25 Baada Ya Miaka Mitano Uhamishoni

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesema atarejea Tanzania Jumatano tarehe 25 mwezi Januari mwaka...

READ MORE

Tigo Yawakabidhi Mamilioni Na Vifaa Vya Hisense Washindi wa Droo ya Saba Kampeni Ya Ndinga la Kishua

Dar es Salaam, 13 Januari 2023: Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo inayoendesha kampeni ya Ndinga la...

READ MORE

Washindi 608 wa Nmb ‘Mastabata Kotekote’ Wang’ara

Idadi ya washindi wa kila wiki wa kampeni ya NMB MastaBata KoteKote sasa imefikia 608 baada jana (Ijumaa) kupatikana washindi...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri kwa Mwaka...

READ MORE

Marekani: Mwendesha Mashtaka Maalum Ateuliwa Kuchunguza Nyaraka Zilizopatikana Kwenye Ofisi Ya Zamani Ya Rais Biden

Mwanasheria mkuu wa Marekani Merrick Garland Alhamisi alimteua mwendesha mashtaka maalum kuchunguza jinsi nyaraka muhimu ziliishia kuhifadhiwa kwenye ofisi ya...

READ MORE

NEMC Yatembelea Safu za Milima Ya Nyanda za Juu Kusini

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC limefanya ziara katika safu za milima ya livingstoni iliyopo Nyanda...

READ MORE

Mwenyekiti wa CCM, Dar Afungua Semina ya Siku Tatu ya Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Dar

Viongozi wa Kamati ya Utekelezaji wametakiwa kuendeleza mshikamano na ushirikiano ili kuhakikisha kazi zinatendeka kupitia Ilani ya CCM ili wanachama...

READ MORE

Mwanafunzi Chuo Kikuu Ushirika Ajinyonga Baada Ya Kugombana Na Mpenzi Wake – “Alimnunulia Iphone 14”

MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU), Gunze Luhangija wa Kwimba, Mwanza aliyekuwa akisomea Shahada ya Menejimenti ya Ushirika...

READ MORE

Mrembo Adukua Mfumo Wa Benki, Aiba Bilioni 280 Kutoka Akaunti Ya Serikali…Video

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Mrembo Primrose Mwangi anatuhumiwa kushirikiana na genge la wahalifu kuchezea mfumo na kuiba kiasi...

READ MORE

Putin Amuondoa Kamanda Mkuu wa Vikosi vya Vita Ukraine Baada ya Miezi Mitatu ya Kuongoza Vita

Rais wa Urusi Vladimir Putin amemuondoa kamanda mkuu wa nchi hiyo aliyekuwa anaongoza vita Ukraine, miezi mitatu tu baada ya...

READ MORE

Kilimanjaro Premium Lager Yaasa Washiriki Marathon Wajisajili Mapema

Wadhamini wakuu wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2023 wametoa wito kwa washiriki wajisajili mapema kwani muda uliobaki...

READ MORE