×

Habari

Rais Samia Akutana na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassana leo Novemba 3, 2022 amekutana na Mwenyeji wake Rais wa...

READ MORE

Mpina Ambana Tena Mwigulu Sakata la TRAT na TRAB

MBUNGE wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina ameibua tena bungeni sakata la Sh. trilioni 360 za malimbikizo ya kodi za makinikia...

READ MORE

Mazito! Amuua Mkewe Kisa Kulala Kwenye Sofa

Mwanamume mmoja mkazi wa kaunti ya Mombasa nchini Kenya amekamatwa na maofisa wa polisi baada ya kumdunga kisu mkewe kutokana...

READ MORE

Ikulu ya Marekani: Korea Kaskazini Inaipatia Urusi Silaha Kwa Siri Vita vya Ukraine

  Ikulu ya Marekani ilisema Jumatano kwamba Korea Kaskazini inaipatia Urusi silaha kwa siri kwa ajili ya vita vya Ukraine....

READ MORE

Kisa Mayele, Kocha Africain Aingia Mchecheto Kutinga Makundi Kombe la Shirikisho

  KOCHA Bertrand Marchan wa Club Africain ya Tunisia amesema kuwa anawatambua wapinzani wao kuwa ni wazuri ikiwa ni pamoja...

READ MORE

Mbunge Shigongo Amshukuru Rais Samia kwa Kujenga Lami Buchosa

  MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo amempongeza na kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kitendo cha kutenga fedha ambazo zimewezesha...

READ MORE

Washindi wa Promosheni ya Meridianbet ya Bodaboda na Simu Wapatikana

  Kila mmoja ni Bingwa kwenye uwanja wake! Meridianbet walitoa nafasi ya kutamba ukibashiri kwa USSD bila kutumia Intaneti, ukibeti...

READ MORE

Aliyenitapeli Fedha Zangu Amezirudisha Mwenyewe Baada ya Kufanya Hivi!

HAKUNA kitu kinaumiza kama kutapeliwa, utapeli umewaingiza watu wengi katika msongo wa mawazo baada ya kupoteza vitu vyao vya thamani...

READ MORE

Watumiaji wa Twitter Kulipa Ada ya $8 Kila Mwezi Kumiliki Bluu Tiki- Elon Musk

Elon Musk amesema Twitter itatoza $8 (£7) kila mwezi kwa watumiaji wa Twitter ambao wanataka tiki ya bluu kwa majina...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yatoa Msaada wa Vifaa vya Tehama Jijini Dodoma

VODACOM Tanzania Plc kupitia Vodacom Tanzania Foundation, inaendeleza juhudi za kuipeleka Tanzania katika ulimwengu wa kidijitali, ambapo jana imekabidhi msaada...

READ MORE

Msanii Takeoff wa Kundi Maarufu la Migos Auawa kwa Kupigwa Risasi Kichwani

  MSANII wa kundi la Migos kutoka nchini Marekani, Takeoff ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya leo, tukio lililotokea katika...

READ MORE

Rais Samia Afafanua Chanzo cha Ukosefu wa Maji Maeneo Mbalimbali Nchini

RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameguswa na suala la maji kukosekana sehemu mbalimbali na hata...

READ MORE

Kumekucha Bungeni, Wabunge Wanaunguruma Muda Huu Kwa Hoja Nzito-Video

MKUTANO wa 9 kikao cha kwanza wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo Novemba 1, 2022. 

READ MORE

Mechi za Kuamua Nani Atafuzu Hatua ya 16 Bora Uefa Champions League

Baada ya mechi 5 za mwanzo kuchezwa, sasa hii ni mechi ya 6 ya kuamua ni nani atafuzu hatua ya...

READ MORE

Watumiaji wa Twitter Ambao Kurasa Zao Ziko Verified Kuanza Kulipia kwa Mwezi

WATUMIAJI wa mtandao wa Twitter ambao kurasa zao zimethibitishwa (verified), wataanza kutozwa ada ya dola za Kimarekani 20 kila mwezi,...

READ MORE

Matoikeo ya Sensa: Tanzania Ina Watu Milioni 61.7

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa idadi ya Watanzania ni milioni 61.7 mpaka kufikia...

READ MORE

Game Super Market Kufunga Maduka Yake Nchini Tanzania

KAMPUNI ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki maduka ya Game imesema Desemba 25, 2022 ni mwisho wa maduka yake kutoa...

READ MORE

Fursa za Ajira kwa Vijana Waliosomea IT na Wenye Uzoefu wa Teksi Mtandao

WANATAKIWA vijana wa Kitanzania, waishio jijini Dar es Salaam, waliosomea Information Technology (IT) kwa ajili ya kufanya kazi kwenye kampuni...

READ MORE

Live: Rais Samia Anazindua Matokeo ya Mwanzo ya Sensa ya Watu na Makazi-Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anaongoza Taifa katika uzinduzi wa matokeo ya mwanzo ya Sensa...

READ MORE

PM Majaliwa Kuwa Mgeni Rasmi Mahafali ya 57 Ya  Chuo Cha CBE

    Mkuu wa chuo hicho, Prof. Emmanuel Mjema amesema kuwa  mahafali ya 57 ya  cha ElChuo cha Elimu ya...

READ MORE

Zawadi za Nmb Mastabata Msimu Huu Kuwakwamua Wateja Kiuchumi

  Msimu wa nne wa kampeni ya NMB MastaBata tayari umeanza baada ya promosheni hiyo ya kuchagiza malipo kidijitali kuzinduliwa...

READ MORE

Watu 150 Wafariki Kwenye Mkanyagano Wakisherekea Sikukuu ya Halloween

Zaidi ya watu 150 wanaripotiwa kufa huko Korea Kusini katika mkanyagano uliotokea wakati wa Sherehe za Halloween mjini Seoul usiku...

READ MORE

Kocha Mgunda Kutopewa Mkataba Kisa Kufungwa? Ahmed Ally Ajibu – Video

 GLOBAL TV imezungumza na Afisa habari wa Simba Ahmed Ally amezungumza kuelekea maandalizi yao kuelekea mchezo dhidi ya Mtibwa...

READ MORE

Marekani Yamuachia Huru Mfungwa wa Guantanamo Raia wa Pakistan

  Tangazo fupi la wizara ya mambo ya nje ya Pakistan siku ya Jumamosi lilithibitisha kurejeshwa kwa Saif Ullah Paracha,...

READ MORE

Wema Atoa ya Moyoni Kuhusu Uhusiano Wake na Whozu, Akataa Ndoa

  WEMA Isaac Sepetu; ni supastaa wa filamu nchini Tanzania ambaye amekwenda kinyume kabisa na tangazo la boyfriend wake wa...

READ MORE

Chipsika Kiajira na Coke: Over 900 Young Food Vendors Have Received a Shot in the Arm

    Sunday October 30, Dar es Salaam – More than 900 young food vendors have been equipped to take their...

READ MORE

Madereva wa Malori Waigomea TICTS Bandarini

MADEREVA malori wameigomea kampuni ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) kutokana ucheleweshaji mkubwa wa...

READ MORE

Mechi Zenye Odds Kubwa Wikiendi Hii

Unaambiwaje, Wikiendi hii boli litatembea kwenye viwanja tofauti barani ulaya, ni Ligi ya Epl, La Liga, Serie A, Ligue 1...

READ MORE

Hospitali Ya KAM Musika Yapima Bure Matibabu ya Saratani Tezi Dume

  KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali ya awamu ya sita katika kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Hospitali ya...

READ MORE

Bilionea Namba Moja Duniani, Elon Musk Akamilisha Ununuzi wa Twitter Kwa $44bn

BILIONEA namba moja duniani, Elon Musk amekamilisha ununuzi wake wake wa $44bn (£38.1bn) wa Twitter, kulingana na mwekezaji katika kampuni...

READ MORE

Magari Yaanza Kupita Rasmi Daraja Jipya La Wami

DARAJA jipya la kisasa WAMI ambalo linaunganisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani pamoja na mikoa ya Kaskazini limeanza kutumika...

READ MORE

Washindi wa “Wakishua Twenzetu Qatar na Hisense” Wiki ya Nne Wapatikana

    Oktoba  28, 2022,  Kampuni inayoongoza Tanzania katika kuhakikisha mtanzania anaishi maisha ya kidijitali Tigo Tanzania, kupitia Promosheni yake...

READ MORE

Power Learn Project Yazinduliwa Nchini Kutoa Mafunzo ya Mifumo ya Kompyuta

    Power Learn Project yazinduliwa Tanzania katika Hoteli ya Johari Rotana, Barabara ya Sokoine Drive, Dar es salaam, ikiwa...

READ MORE

Uwekezaji Kidijitali, Nmb Yaendelea Kukuza Uchumi wa Buluu

  Benki ya NMB imekuwa mstari wa mbele kwa ubunifu katika sekta ya TEHAMA kwa kutoa masuluhisho mbalimbali kwa wateja wake...

READ MORE

Wizara ya Maji Yaungana na DAWASA Changamoto ya Maji Dar

Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametembelea eneo la matengenezo ya bomba kubwa la inch 72 katika kata ya...

READ MORE

Majambazi Wawili Wauawa Gongo la Mboto Wakiiba Mkopo wa Milioni 1

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kwa kushirikiana na Wananchi wa maeneo ya Gongo la Mboto wamewadhibiti...

READ MORE

Korea Yaipatia Tanzania Mkopo wa Shilingi Bilioni 310

SERIKALI ya Jamhuri ya Korea imeipatia Tanzania mkopo wa gharama nafuu wa shilingi bilioni 310 kwa ajili ya upanuzi wa...

READ MORE

Bunge Kenya Lawapitisha Mawaziri Wote 24 Walioteuliwa na Rais Ruto

Bunge la Kenya Jumatano hatimaye limeidhinisha uteuzi wa mawaziri wote 24 kuhudumu kwenye baraza la mawaziri la rais William Ruto....

READ MORE

Mtu Mchafu Zaidi Duniani Aaga Dunia Akiwa na Umri wa Miaka 94 nchini Iran

Mwanaume wa Iran, Amou Haji ambaye anashikilia rekodi ya kuwa ni mtu mchafu zaidi duniani kwa muda wa nusu karne...

READ MORE