×

Habari

Elon Musk Arejea kuwa Tajiri Namba Moja Duniani Baada ya Kupoteza kwa Muda Mfupi

  ELON Musk amerejea katika nafasi ya kuwa mtu tajiri zaidi duniani, baada ya kupoteza kwa muda mfupi taji kwa...

READ MORE

Matokeo ya uchaguzi wa Nigeria 2023: Kiongozi wa Chama Tawala Bola Tinubu Atangazwa Mshindi

Mgombea wa chama tawala, Bola Tinubu ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliokumbwa na utata nchini Nigeria. Mwanasiasa huyo mkongwe...

READ MORE

Freeman Mbowe Apongeza Jeshi la Polisi kwa Kuendelea Kulinda Mikutano Yao

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kuendelea kulinda mikutano ya hadhara...

READ MORE

Waziri Mkuu: Bunge Litambue Mchango Wa Asasi Za Kiraia Katika Kazi Zao

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Kamati za Kudumu za Bunge watambue mchango wa Asasi za kiraia katika...

READ MORE

Washindi Wa NMB “MastabataKotekote” WakabidhiwaTiketi za Kwenda Dubai

  Mshindi wa droo ya “MastaBatakotekote”iliyokuwa ikiendeshwa  na Benki  ya NMb Ndugu,John Lubisha ameishukuru Benki hiyo kwa kuweka shindano hilo...

READ MORE

GGML Yashinda Tuzo ya Kimataifa ya Usalama kwa Mwaka wa 4 Mfululizo

MISINGI imara ya udhibiti wa hali ya usalama katika utendaji kazi ndani na nje ya Mgodi wa Geita Gold Mining...

READ MORE

Kampuni Tatu Kutangazwa Washindi Wa Program Ya Vodacom Digital Accelerator

Dar es Salaam – Machi 1, 2023. Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC inatarajia kutangaza kampuni bunifu chipukizi tatu zilizoibuka washindi...

READ MORE

Chongolo Aipa Tanesco Mwezi Mmoja Kufikisha Umeme kwa Mwekezaji Singida

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Daniel Chongolo ,ametoa mwezi mmoja kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),mkoani Singida...

READ MORE

Kagera Yaongoza kwa Matukio ya Mauaji, Kujinyonga na Kujeruhi kwa kipindi cha Mwaka

Kaimu kamanda wa polisi wa mkoa wa Kagera Maketi Msangi amesema mkoa huo unaendelea kuongoza kwa matukio ya mauaji, kujinyonga...

READ MORE

Rais Samia Amteua Dkt. Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA)

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la...

READ MORE

Uchaguzi wa Nigeria 2023: Upinzani Wasusia Matokeo Yaliyoanza Kutangazwa

Vyama vya upinzani vimetoka nje ya ukumbi ambapo matokeo ya uchaguzi wa rais wa Nigeria wenye upinzani mkali yanatangazwa. Chama...

READ MORE

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Kufanya ziara nchi Tano Afrika

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron atazuru Afrika wiki hii katika ziara ya kukabiliana na ushawishi wa Russia unaotishia kuvuruga mikakati...

READ MORE

Nimemfumania Mume Wangu na Rafiki Yangu, Tena Katika Kitanda Changu

  Waswahili hawakukosea kusema kikulacho kiko nguoni mwako, nasema hivyo kutokana na tukio lilonikuta maisha mwangu, kamwe siwezi kusahau na...

READ MORE

Tahadhari Dhidi Ya Utapeli Wa Fursa Za Ajira Kampuni Ya Bia ya Serengeti (SBL)

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imembaini mtu asiye mwaminifu anayewalaghai wananchi kwa ujumla ili wamlipe fedha ili kupata fursa...

READ MORE

Serikali Yatangaza Tenda Ujenzi wa Barabara za Jiji la Arusha, Stendi na Masoko Vinakuja – Video

Serikali kupitia Wizara ya Rais TAMISEMI imetangaza rasmi tenda ya ujenzi wa barabara tatu za Jiji la Arusha kwa kiwango...

READ MORE

Kampuni za Kibiashara Kuwania Tuzo SDGs, Shayo Hakuna Atakayebaki Nyuma

  Shirika la UN Global Compact Network Tanzania limezindua mchakato wa kutafuta mshindi wa tuzo zitakazokuwa zinatolewa kila mwaka kwa...

READ MORE

Aweso: Watendaji Msizoee Shida za Wananchi

Waziri wa maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) amewataka watendaji kutozoea shida za Wananchi na kuhimiza uwajibikaji utakaoleta tija kwa Wananchi...

READ MORE

TCDC Yaja na Mkakati wa Kukuza Biashara Kidijitali kwenye Vyama vya Ushirika

  Kamisheni ya Maendeleo ya Ushirika hapa nchini (TCDC) imeanza kutekeleza mpango ya kubadili namna ya kuendesha vyama vya ushirika...

READ MORE

ORAIMO Wazindua Earbuds Mpya, FREEPOD 4, Slide Into Your World

Brand ya oraimo inayodeal na kuuza accessories nchini Tanzania, inatarajia kufanya uzinduzi wa bidhaa yake mpya FREEPOD 4, ambayo ni...

READ MORE

Watuhumiwa 2,000 wa Ujambazi wa Kutumia Silaha Wahamishwa Kwenda Gereza Jipya

  Serikali ya Salvador, imewahamisha watuhumiwa wa ujambazi wapatao 2,000 kwenda katika gereza jipya na kubwa lenye uwezo wa kuchukua...

READ MORE

Ajali ya Boti Italia: Wahamiaji 59 Wafariki katika Pwani ya Crotone Eneo la Calabria

Takriban wahamiaji 59, wakiwemo watoto 12, wamefariki dunia na makumi ya wengine wanahofiwa kutoweka baada ya boti yao kuzama kwenye...

READ MORE

Watatu Wafariki na Wengine Wanane Wajeruhiwa Katika Ajali ya Helikopta Somalia

Watu watatu walifariki dunia na wengine wanane kujeruhiwa wakati helikopta iliyokuwa ikiendeshwa na kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa...

READ MORE

Mume Wangu Hamtaki Mtoto Wetu Akidai Siyo Wake, Majibu ya DNA Hayataki

  NAITWA Mama Jimmy, mimi na mume wangu tulianza kugombana pindi nilipojifungua mtoto wangu wa tatu, mume wangu alionekana kutokuwa...

READ MORE

NMB Yapata Ufadhili Wa Bilioni 572 Kutoka Jumuiya Ya Ulaya

Benki ya NMB imepata mikopo miwili ya muda mrefu na dhamana ya kukopesha kutoka taasisi tatu za fedha za Jumuiya...

READ MORE

GGML Yang’ara Tuzo za ATE, Majaliwa Aahidi Makubwa

  JITIHADA za Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kuwajengea uwezo wahitimu wa vyuo vikuu kwa kuwapatia mafunzo kazini...

READ MORE

Washindi Wa Droo ya Pili Ya ‘Kapu La Wana’ Wapatikana

Meneja wa bia ya Pilsner Lager kutoka kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Wankyo Marando (kulia) akizungumza kwa njia ya...

READ MORE

Ukraine Yatoa Stempu Za Posta Yenye Picha Za Putin Akishiriki Mchezo Wa Mieleka Wa Judo

Ukraine imetoa stempu za posta zilizo na mchoro wa msanii maarufu wa graffiti wa Uingereza Banksy kuadhimisha mwaka wa kwanza...

READ MORE

Mwana FA Ateuliwa Kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza Hamis Mohamed Mwinjuma maarufu Mwana FA kuwa Naibu Waziri...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya Mawaziri, Uhamisho wa Wakuu wa Mikoa

Rais Samia Suluhu Hassani amefanya uteuzi na uhamisho wa wakuu wa mikoa mitatu ya Shinyanga, Tanga na Songwe. Katika taarifa...

READ MORE

Watu 13 Wafariki kwenye ajali ya barabarani Pakistan, 14 Wajeruhiwa

Maafisa wa Pakistan wamesema kwamba takriban watu 13 wameuwawa na wengine 14 kujeruhiwa katika ajali iliyotokea kwenye barabara kuu ya...

READ MORE

El Salvador Yawahamisha Wafungwa 2,000 Kwenye Jela Mpya ili Kudhibiti Magenge

Takriban wafungwa 2,000 wengi wao wakiwa washukiwa kutoka kwenye magenge wamehamishiwa kwenye jela mpya yenye uwezo wa kuwashikilia wafungwa 40,000...

READ MORE

Watanzania Waibuka Na Ushindi Wa Kishindo Mbio Za Kimataifa Za Kilomita 21 maarufu Tigo Kili International Half Marathon

WANARIADHA wa Tanzania wameng’ara kwa kwa kuibuka na ushindi wa kishindo katika Mbio za Kimataifa za Kilomita 21 maarufu kama...

READ MORE

Chapride Gumzo Kila Kona -“Hii Imekuja Kuwa Mkombozi Wetu” Madereva – (Picha +Video)

Jana Jumamosi Februari 25,2023, timu ya masoko ya Chapride, kampuni mpya ya usafiri mtandaoni inayotoa ofa kibao, imeendelea kutoa elimu...

READ MORE

Watanzania Wang’ara Kilimanjaro International Marathon

KILIMANJARO 26 FEBRUARI 2023: Wanariadha wa kitanzania wameng’ara katika mbio za 21 za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon, baada ya...

READ MORE

NACTVET Yatoa Tuzo Kwa Wanaotoa Nafasi Kuendeleza Ujuzi

  BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTIVET) kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE), wamewapa tuzo kampuni...

READ MORE

Kada Hamis wa CCM Ajitolea Kuchangia Ujenzi wa Ofisi ya Chama Muheza

    Hamisi Sadiki Rajabu ambaye ni Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi na Mwananchi wa Wilaya ya Muheza ameendelea kufanya...

READ MORE

Ajali Yaua Watu Wawili Iringa, Mwili wa Mwanamke Wakutwa Umeungua Moto-Video

  Watu wawili ambao bado hawajafahamika majina yao wamepoteza maisha katika ajali iliyohusisha magari wawili aina Semitela Faw moja lenye...

READ MORE

Mwanaume Niliyezaa Naye Anadai Mtoto Wakati Aliyelea Ujauzito ni Mwanajeshi

  Jina langu naitwa Judith, miaka kama minne iliyopita nilikutana na kijana mmoja anayetokea familia ya kitajiri, tulipendana sana na...

READ MORE

Bolt Kuwekeza Zaidi ya Euro Mil 500 Afrika Kwa Miaka Miwili Ijayo Huku Ikiongeza Vyombo Vya Usafiri

Nairobi, Februari 2023–Kampuni inayoongoza kwahuduma za usafiri kwa mtandao barani AfrikaBolt, imetangaza mpango wa kuwekeza Euro milioni 500 katika shughuli...

READ MORE