×

Habari

PanAfrican Energy Tanzania Yashiriki Kongamano la Nishati Nchini

    PANAFRICAN Energy Tanzania (PAET) imetangaza kujivunia  kuwa mdhamini wa Kongamano la Nne la Nishati Tanzania 2022. Hafla hii ya...

READ MORE

Wawekezaji Sekta ya Nishati Kuendelea Kunufaika na Mikopo ya Nmb

Benki ya NMB imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kutoa mikopo kwa wadau katika mnyororo wa thamani wa sekta ya nishati...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Aipongeza GGML kwa Kuwezesha Wahandisi Wanawake

Na Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inatambua mchango wa wahandisi wanawake...

READ MORE

Rais Samia: Kwa Upande wa Mafuta Mpaka Huko Duniani Waache Kupigana

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa kwa tatizo la mafuta nchini kuweza kutatuliwa ni...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Songwe Kuanza Ziara ya Kikazi Mkoani Mbeya, Apokelewa kwa Shangwe

RAIS Samia tayari amewasili mkoani Mbeya kwa ajili ya ziara yake ya kikazi mkoani humo ambapo atazindua mradi wa maji...

READ MORE

Talib Aungana na Simba Kusaidia Jamii Atoa Misaada kwa Vituo Vitatu

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Oman ya Beach Soccer, Talib Hilal, ambaye pia aliwahi kuichezea Simba, ameungana na...

READ MORE

Meridianbet Walifurukuta Kuchuana na Wahamasishaji Wakiongozwa na Jemedari

  Meridianbet walipimana nguvu na kikosi cha timu ya wahamasishaji kilichoongozwa na Jemedari Said Kazumari, na Foby wikiendi iliyopita.  ...

READ MORE

Uzinduzi wa Ripoti ya Mipango Endelevu ya Kampuni ya Wentworth Gas Ltd

    4 Agosti 2022, Dar es Salaam. Kampuni ya Wentworth Gas Ltd leo imezindua Ripoti yake ya Mipango Endelevu...

READ MORE

Shule ya Msingi Hazina Yaongoza Mock Darasa la Saba Kinondoni

·     SHULE ya Msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam, imeongoza kwenye matokeo ya mtihani wa utimilifu (Mock), darasa...

READ MORE

Spika Tulia Apongeza NBC kwa Kuinua Sekta ya Kilimo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson ameguswa na kupongeza jitihada za Benki ya Taifa ya...

READ MORE

Huduma za Exim Zawakuna Wadau wa Kilimo Maonesho Nanenane

Huduma zinazotolewa na Benki ya Exim Tanzania kwa wadau wa sekta ya kilimo zimeendelea kuwavutia washiriki wengi wa Maonesho ya...

READ MORE

Mume Amuua Mkewe Kwa Kumng’oa Kidevu na Kumpiga kwa Kitu Kizito Kichwani

MWANAUME Mmoja Aliejulikana kwa Jina la Edward Francis, (20) mkazi wa kijiji Cha Nyabugela Kata ya Mganza wilayani Chato Mkoani...

READ MORE

Mchungaji Hananja: Tusilaumiane kwa Mambo ya Dini au Kabila

MCHUNGAJI Mstaafu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Richard Hananja ametoa rai kwa wananchi kutobaguana au kulaumiana kwa...

READ MORE

Fundi Seremala Akutwa Amejinyonga Gesti, Kisa kuandamwa na Madeni

TUKIO la kusikitisha limetokea Kilwa kufuatia mzee wa miaka 59 kujinyonga hadi kufa katika nyumba ya kulala wageni, Jeshi la...

READ MORE

Tulitawaliwa Kwa Sababu ya Sayansi na Teknolojia: Waziri Mkenda

Katika kutekeleza kwa vitendo ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2020-2025 na mpango mkakati wa serikali kupitia...

READ MORE

Ufadhili wa Nmb Wafikia Trilioni 1.56 Katika Sekta ya Kilimo

  Serikali imezichangisha benki nchini kwa lengo la kuongeza wigo kwa wakulima, wafugaji na wavuvi kukopa ili kuongeza uwekezaji kwenye...

READ MORE

GGML Yatoa Milioni 100 Kudhibiti Fisi Wanaovamia Wagonjwa Kasamwa

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetumia jumla ya Sh milioni 100 kujenga uzio katika kituo cha afya cha...

READ MORE

Bima ya Kilimo ya NBC Yawavutia Wadau wa Kilimo Maonesho ya Nanenane Mbeya

Mbeya: Agosti 2, 2022: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendelea kung’ara kwenye Maonesho ya Kilimo Nanenane yanayofanyika katika Uwanja...

READ MORE

Wafungwa Kuanza Kupewa Likizo, Wakimbizi nao Watajwa Kuhusika

WADAU wa Mahakama mkoani Kigoma wameazimia kwa pamoja kuanza kutekeleza adhabu mbadala kwa wafungwa ikiwemo kutoa likizo kwa lengo la...

READ MORE

Majaliwa: Fuateni na Simamieni Falsafa ya Rais Wetu Samia Suluhu Hassan

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka washiriki wa kozi fupi ya 13 ya viongozi watambue, wafuate na waisimamie falsafa ya Serikali...

READ MORE

Rais Samia Ampokea Rais wa Zambia Hakainde Hichilema Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Zambia Hakainde Hichilema leo katika uwanja wa...

READ MORE

Nmb Yakabidhi Millioni 60 Maonesha ya Nanenane Mbeya

    Benki ya NMB imeendelea kuiunga mkono serikali katika kufanikisha maonyesho ya Sikukuu ya Wakulima Kitaifa (Nanenane) kwa kukabidhi...

READ MORE

Rais Samia: Chalamila we ni Mtundu sana, Natumaini Umekua Sasa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemuasa Mkuu mpya wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila kuwa...

READ MORE

Taasisi ya Wananchi Wazalendo Tanzania Yatoa Elimu kwa Kutumia Michezo

  TAASISI ya Wananchi Wazalendo Tanzania (TWWT) imetoa elimu ya uzalendo kwa kutumia michezo katika tamasha lililofanyika Uwanja wa Kituo...

READ MORE

Kwa Mara Ya Kwanza Tanzania, Kubet Sasa Ni Bure Kupitia Gwalabet

Kampuni mpya inayojulikana kwa jina la ‘GwalaBet’ imezinduliwa jijini Dar-es-salaam ambapo kila mchezaji atapata nafasi moja ya kucheza bure kila...

READ MORE

Mheshimiwa Beatrice Nyamisango Alivyoshiriki Siku ya Pan African Women Day

DIWANI wa Viti Maalum jiji la Dar es Salaam, Beatrice Nyamisango jana aliungana na wanawake wanaharakati wenzake walipokuwa wakisherehekea Siku...

READ MORE

Mkombozi Commercial Bank PLC Yapata Faida ya bn 3 Mwaka 2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Mkombozi Commercial Bank Plc Bw. Respige Kimati (kulia) akikabidhi kitabu cha ajenda ya Mkutano Mkuu 13 wa...

READ MORE

Waziri wa Elimu Aunda Tume Kuchunguza Utoaji Mikopo Kwa Wanafunzi Elimu ya Juu

  Wakati dirisha la maombi ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2022/2023 likiwa wazi kwa muda wa siku 70 kuanzia...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Aipongeza Benki ya Nbc Kwa Msaada Dhidi ya Saratani ya Kizazi Tanzania

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa alikuwa mgeni rasmi katika toleo la tatu la NBC Dodoma Marathon,Marathon ilivutia zaidi ya washiriki 4,000...

READ MORE

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Asisitiza Nidhamu na Uadilifu kwa Watumishi TAWA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja (Mb)  Julai 29, 2022 ametembelea ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya...

READ MORE

Jaji Mkuu Atembelea Chumba Cha Mrejesho wa Taarifa za Kielektroni za Mahakama

  Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma leo tarehe 29 Julai, 2022 ametembelea Chumba cha Mrejesho wa...

READ MORE

Mahakama Yakubali Halima Mdee na Wenzake 18 Kuhojiwa

Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam imewataka  Halima Mdee na Wenzake saba kufika mahakamani hapo Agosti 26 Agosti 2022...

READ MORE

Jeshi la Polisi Limesema Tayari Limeanza Kuufanyia Kazi Ushauri wa M/Mwenyekiti wa CCM, Kanali Mtaafu Kinana

JESHI la Polisi limesema limeupokea ushauri wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana...

READ MORE

Majaliwa: Upandishaji wa Mshahara Wameangaliwa Zaidi Wale wa Kipato cha Chini

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ametoa ufafanuzi juu ya madai ya nyongeza ya mshahara ambayo...

READ MORE

Waziri Mkuu: Wanawake Mnaweza na Wanawake Wahandisi Mnaweza Zaidi

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amewatia shime Wahandisi wanawake kuwa wanaweza na mchango wao...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Anazungumza na Wahandisi Wanawake – “Tupo Kwa Ajili Yenu”-Video

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo julai 29, 2022, amezungumza na waandisi wanawake katika kongamano lao, na kusisitiza kuendelea na utaratibu...

READ MORE

Waziri Mkenda: RUWASA Ijitathmini Inamhujumu Waziri Aweso Usimamizi wa Maji Rombo

Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) umetakiwa kujitathmini kutokana na kadhia ya kushindwa kusimamia mradi wa maji...

READ MORE

Mdau wa Global Azusha Shangwe Akimtambulisha Mchumbaake

  MSOMAJI wa magazeti ya Global Publishers na mfuatiliaji wa vipindi vya +255 Global Radio na Global Tv, Anna Muro...

READ MORE

Umeme Vijijini si kwa Ajili ya Kuwasha Taa Pekee – Makamba

WAZIRI wa Nishati, January Makamba ameeleza kuwa Serikali haipeleki umeme vijijini kwa ajili ya kuwasha taa pekee bali kuchagiza pia...

READ MORE

Wizara ya Elimu yakutana na Wahariri, Yaeleza Vipaumbele Vyake

Elimu ujuzi ni miongoni mwa hatua na mikakati muhimu ambayo Serikali inaiendeleza kwa kuwa inatambua licha ya elimu ujuzi kuwa...

READ MORE