×

Habari

Waziri Mwigulu: Kila Mtanzania Mwenye Umri wa Kuanzia miaka 18 Kuanza Kulipa Kodi

  WAZIRI wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN)...

READ MORE

Geita Gold FC Yatembelea Miradi Inayofadhiliwa na GGML

Timu ya mpira wa miguu ya Geita Gold Football Club inayofadhiliwa na Kampuni ya GGML imetembelea miradi ya jamii inayofadhiliwa...

READ MORE

Tigo Warahisisha Ulipaji wa Maegesho ya Magari Jijini Dar es Salaam

    Dar es Salaam. Tarehe 15 Juni, 2022. Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za  kidijitali nchini , Tigo...

READ MORE

NMB Kuzindua Kampeni ya “Nmb Teleza Kidigitali” Shinyanga

  BAADA ya kuchanja mbuga mtaa kwa mtaa katika Mkoa wa Dar es Salaam na Arusha, sasa Benki ya NMB...

READ MORE

Waziri wa Biashara, Zanzibar Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa WIPO

LEO tarehe 14 Juni 2022, Mhe. Omar Shaaban, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Zanzibar ambaye ameongoza Ujumbe wa...

READ MORE

Hotuba ya Bajeti ya Serikali Kuu kwa Mwaka 2022-23, Ipo Hapa Yote Isome – (Picha +Video)

SERIKALI leo Jumanne Juni 14, 2022 imesema itaachana na mfumo wa sasa wa Ununuzi wa Umma (Transactional Procurement) kutokana na...

READ MORE

Kidato cha Tano na Sita Kusoma Bure, Kupunguza Gharama kwa Wazazi, Walezi -Video

  Serikali imependekeza kufuta rasmi ada katika elimu ya ngazi ya kidato cha tano na sita ili kuwapunguzia gharama za...

READ MORE

Serikali Kubadili Utaratibu, Kuwakopesha Magari Watumishi wa Umma, Kuokoa Bilioni Sh500 -Video

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amependekeza Serikali kubadili utaratibu uliopo ili kuwakopesha magari watumishi wa umma wenye...

READ MORE

Tecno Kuzindua Simu Yenye Teknolojia Ya Kisasa Katika Jiji La New York Nchini Marekani

Juni 14, 2022 – Katika mitaa yenye misongano na pilika pilika nyingi ndani ya Jiji la New York, kwenye ghorofa...

READ MORE

Urusi Yaonya Kuisambaratisha Ulaya Nzima kwa Mabomu ya Nyuklia

NCHI ya Urusi imeonya kuwa kuna uwezekano wa Bara la Ulaya kupotea kwa bomu la nyuklia kutokana na kitendo cha...

READ MORE

Waziri wa Fedha Athibitisha Deni la Taifa Sasa ni Tsh Trilioni 69.44

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa Sh69.44 trilioni ikilinganishwa...

READ MORE

Muigizaji Kajala Masanja Aliapa Akirudiana na Msanii Harmonize ‘Apigwe Mawe Afe’

  Siyo stori tena kwamba, msanii Harmonize au Konde Boy na muigizaji Kajala Masanja wamerudiana. Hii ni kutokana na matukio...

READ MORE

Mbunge wa Tarime Vijijini, Waitara Alikoroga Kwa Spika, Apewa Onyo na Asirudie Tena

Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson ametoa onyo kali kwa Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara kwa kushindwa kutoa ushahidi...

READ MORE

Katika Siku 100 za Vita, Urusi Yajipatia Dola Bilioni 100 kwa Mauzo ya Mafuta na Gesi

  Kulingana na Kituo Huru cha Kifini cha Utafiti wa Nishati na Hewa Safi (CREA), Urusi ilipata takriban dola bilioni...

READ MORE

Rais Samia na Uchumi wa Gesi, Adai Tupo Njia Sahihi na Salama

JUNI 11, 2022, Rais Samia Suluhu Hassan ameshuhudia makubaliano ya awali ya uwekezaji wa Dola Bilioni 30 kati ya Serikali...

READ MORE

Bilioni 100 za Rais Kila Mwezi Kwenye Mafuta ni Neema Kwa Watanzania Wote

Kupanda kwa bei za mafuta ni janga linaloendelea kuitikisa Dunia kwa ujumla. Kwa kuelewa uzito wake kwa wananchi wa Tanzania,...

READ MORE

Rais Samia Alilia Usawa wa Kibiashara Baina ya Oman na Tanzania(PICHA+VIDEO)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuna kila haja ya kuwa na mbinu mbadala juu...

READ MORE

Mauaji Mengine ya Kutisha, Mume Amuua Mchepuko Kisha Yeye Kunywa Sumu

KATIKA hali ya kusikitisha Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Bunanzi Kulwa maarufu kama Ngosha Mkazi wa Mbagala kwa mbiku...

READ MORE

Wanafunzi HKMU Watia Fora Kwa Tafiti za Afya

  WANAFUNZI  wa udaktari wa Chuo cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), wamepongezwa na kuzawadiwa kutokana na kufanikiwa kufanya tafiti...

READ MORE

Papa Francis aomba Radhi kwa Kuhairisha Ziara yake DRC Congo na Sudani Kusini, Apanga Kufanya Ziara hiyo haraka Iwezekanavyo

    PAPA Francis alisema Jumapili kuwa anatumai kuzuru Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Sudan Kusini haraka iwezekanavyo, baada...

READ MORE

ZIC Yajipanga Kuadhimisha Miaka 53 Kwa Mafanikio Makubwa

Kuelekea maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwake, Shirika la Bima Zanzibar (ZIC), limeandaa matukio kadhaa ikiwemo kutoa msaada wa...

READ MORE

Polisi Yamsaka Raia wa China Zheng Lingyao Adaiwa Kuua Mtaa wa Kalenga, Ilala Dar

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mtuhumiwa Zheng Lingyao (42), raia wa China mkazi wa...

READ MORE

Msemaji Mkuu wa Serikali Azungumza na Wanahabari Dodoma (Picha+Video)

  Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali...

READ MORE

Jaji Mkuu wa Kenya Ataka Rais Uhuru Kenyata Ang’olewe Madarakani Kwa Kukiuka Katiba

  Jaji Mkuu wa Kenya Martha Koome anataka mahakama ya rufaa kutangaza kwamba Rais Uhuru Kenyata amekiuka katiba ya nchi...

READ MORE

Chama, Manula Waongeza Mzuka Simba Kuelekea Michezo Mitano ya Ligi Kuu Bara

  UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa, kurejea kwa mastaa wao waliokuwa kwenye majukumu ya timu za taifa akiwemo Aishi...

READ MORE

Askari Auawa kwa Mshale Loliondo, Mkuu wa Mkoa Athibitisha(PICHA+VIDEO)

MKUU wa Mkoa wa Arusha John Mongela amethibitisha kuuawa kwa askari wa Jeshi la Polisi baada ya kupigwa mshale katika...

READ MORE

CEO wa Lebo ya Wasafi, Diamond Amfuata Zari Kenya …Soma Hapa Kujua Kilichowapeleka

  Diamond Platnumz au Simba wa Tandale; ni staa mkubwa wa muziki barani Afrika akiiwakilisha vyema Tanzania ambaye juzi alitua...

READ MORE

Mimi Mars Amkana Marioo Kuwa Mpenzi Wake, Ashikilia Msimamo Wake Kuwa ni Marafiki

  MIMI MARS; ni mrembo mtangazaji, muigizaji na msanii anayekiwasha kunako Bongo Fleva chini ya Lebo ya Mdee Music inayomilikiwa...

READ MORE

Waziri Makamba Akanusha Bei ya Umeme Kupanda, Kuchukua Hatua kwa Wanaovumisha

  Baada ya kutokea sintofahamu kwenye mitandao ya kijamii hapo jana kuhusu kupanda kwa gharama ya bei ya umeme, Waziri...

READ MORE

DC wa Masasi, Tigo Wafungua Duka Jipya Wilayani Masasi

    LINDI  Juni 10, 2022. Kampuni namba moja kwa utoaji wa huduma za Kidigitali nchini Tigo Tanzania imefungua duka...

READ MORE

Mabadiliko Makubwa Kufanyika Ndani ya Konde Music Worldwide Maarufu kama Konde Gang

Mwijaku; ni muigizaji na mtangazaji maarufu nchini Tanzania ambaye amefichua kuwa, kitendo cha Kajala Masanja kutangazwa kuwa CEO mpya wa...

READ MORE

Putin: Nchi za Magharibi Haziwezi Kususia Nishati ya Urusi Kwa Miaka Kadhaa

  RAIS wa Urusi Vladimir Putin anasema nchi za Magharibi hazitaweza kususia mafuta na gesi ya Urusi kwa miaka kadhaa....

READ MORE

Maandalizi ya Kuwahamisha Kwa hiari Wamasai wa Ngorongoro Yakamilika

Serikali ya imesema wakati wowote kuanzia sasa familia 100 za jamii ya kimasai zitawasili katika kijiji cha Msomera kilichopo Handeni...

READ MORE

Aliyedai Kununua Vidole Zimbabwe Yamkuta Mazito

Mahakama nchini Zimbabwe imemfungulia mashtaka mtu mmoja kwa kufanya mzaha kuwa alikuwa sehemu ya kundi la watu wanaonunua vidole vya...

READ MORE

Breaking News: Ole Sabaya na Wenzake Sita Waachiwa Huru Arusha, Ashinda Kesi Mbili

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha leo Juni 10, 2022 imewaachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya...

READ MORE

Majaliwa: Hakuna Mtu Atakayeondolewa Loliondo, Wananchi Watulie – Video

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa vijijini 14 vilivyopo katika eneo la Loliondo kutulia kwasababu hakuna kazi yoyote...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu za Pole kwa RC wa Iringa, Kufuatia vifo vya Watu 19 Leo Mafinga

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa mkuu wa mkoa wa...

READ MORE