×

Habari

Breaking: Ajali Yaua Watu 18 Mafinga Iringa, Coaster Yagongana Uso kwa Uso na Lori

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa watu 18 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota...

READ MORE

Vijana Wapigwa Msasa Kuhusu Masuala ya Amani

SHIRIKA la Global Peace Foundation Tanzania kupitia mradi wa ‘Vijana Katika Ujenzi wa Amani’ limetoa mafunzo kwa vijana wa mkoa...

READ MORE

Dk. Mollel Apongeza Uwekezaji KHEN Sekta ya Afya

  SERIKALI imepongeza uwekezaji uliofanywa na Mtandao wa Elimu ya Afya Kairuki (KHEN), kwenye sekta ya elimu ya afya kwani...

READ MORE

Ahukumiwa Miaka 20 Jela kwa Kosa la Kukutwa na Nyara za Serikali

Mahakama ya Wilaya ya Babati imemhukumu miaka 20 jela mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Vilima Vitatu wilayani humo Mashaka...

READ MORE

Rais Samia Azindua Mradi wa Maji wa Kyaka-Bunazi Mkoani Kagera

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa maji wa Kyaka-Bunazi mkoani Kagera leo Juni...

READ MORE

Ambaka na Kumlawiti Mtoto (5) Mkoani Katavi Kisa Ahadi ya Kupewa Ng’ombe

KIJANA mmoja anayefahamika kwa jina la Juma Jackson (30) mkazi wa Kijiji cha Kagunga wilayani Tanganyika Mkoa wa Katavi anashikiliwa...

READ MORE

Rais Samia: Nimevutiwa Sana na Ajira Niliyoikuta Hapa Kiwanda cha Sukari – (Picha +Video)

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema amevutiwa sana na kiwango cha ajira kilichotolewa na...

READ MORE

Familia Yagoma Kuondoa Kaburi Katikati Ya Barabara, RC Kafulila Ajitosa

Familia ya Saguda Madako katika kijiji cha Nkindwabiye Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, imegoma kuhamisha kaburi linalodaiwa kuzikwa...

READ MORE

Fahamu Kiundani Sifa Kuu za Infinix Note 12 VIP, Inachaji Betri Haraka, Kamera 108MP

Infinix iko mstari wa mbele katika kutengeneza simu mahiri zinazofaa kwa watumiaji kwa kuchanganya teknolojia bora zaidi ya simu mahiri...

READ MORE

Mke Amvizia Mumewe Akiwa Usingizini, Amkaba Koo Mpaka Kumuua

Mwanamke mmoja aitwaye Maria Matheo anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Tabora kwa tuhuma za kumvizia mumewe GABRIEL NGUWA (80)...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Tanzania na Marekani Zajadili Ushirikiano Katika Michezo na Sanaa

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa akiambatana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Hassan Abbasi wamekutana na...

READ MORE

Urusi: Ukraine Imepata Hasara Kubwa huko Donbas Yapoteza Wanajeshi 300, Mizinga 3

  Ukraine inakabiliwa na hasara kubwa miongoni mwa wanajeshi wake , silaha na zana za kijeshi katika eneo la mashariki...

READ MORE

Rais Samia Aongea na Wananchi wa Biharamulo Mkoani Kagera (Picha +Video)

 Leo juni 8, 2022, Rais Samia amesimama njiani Biharamulo, kuwasalimia wananchi wa eneo hilo, akiwa njiani kuelekea Kagera. ⚫️...

READ MORE

RC Mbughe Amshukuru Rais Samia kwa Kupeleka Bilioni 351 Mkoani Kagera

MKUU wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbughe amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Siku Tano kwa Wizara ya Kilimo Kuondoa Pikipiki Wizarani

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ametoa siku tano kuanzia leo Juni 8, 2022 hadi Juni 12, 2022 kwa Wizara ya...

READ MORE

Rais Samia: Awamu Iliyopita Kaka Yangu Magufuli Alinifundisha Mengi -Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa ziarani kuelekea mkoni Kagera amesimama katika kijiji cha Bwanga...

READ MORE

‘Airport’ ya Istanbul Ndo Kiwanja Kikubwa Zaidi Duniani

UWANJA mpya wa ndege wa Instanbul nchini Uturuki, umezinduliwa rasmi Jumatatu wiki hii, lakini hautafanya kazi kikamilifu hadi mwishoni mwa...

READ MORE

NBC Kwenye Kongamano la Kigoda cha Mwl. Nyerere; JK, Pinda Ndani ya Nyumba

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeshiriki kikamilifu kwenye uzinduzi wa Kongamano la 13 la Kigoda Cha Mwalimu Nyerere uliofanyika...

READ MORE

Rasmi Kajala Awa C.E.O na Meneja wa Harmonize, Choppa Afunguka

  BAADA ya Harmonize kuthibitisha kurudiana na Kajala, taarifa mpya kutoka Konde Gang ni kwamba, rasmi Kajala atakuwa C.E.O na...

READ MORE

NBC Yaweka Kambi Kanda ya Kaskazini, Kuamsha Sekta ya Utalii, Biashara na Kilimo

  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeelezea dhamira yake ya kukuza na kuchochea ukuaji wa kiuchumi katika mikoa ya...

READ MORE

Waziri Masauni: Hakuna Sababu ya Viongozi wa CHADEMA Kutorejea Nchini

WAZIRI wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni amesema kuwa Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haioni sababu ya wanasiasa...

READ MORE

Serengeti Girls Waandika Historia Bungeni, Wakaa Eneo Wanalokaa Wabunge – Video

  Timu ya Wasichana ya Tanzania chini ya miaka 17 (Serengeti Girls) imeweka historia ya kuwa timu ya kwanza kuingia...

READ MORE

Rais Samia Anafanya Juhudi Kubwa za Kuondoa Tatizo la Maji Nchini … Soma Hapa

  Methali moja ya kiswahili inasema ‘Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe’ ndivyo tunavyoweza kusema kwenye utendaji kazi wa Rais...

READ MORE

DC Jokate Aongoza Hafla ya Benki ya I&M Kutoa Msaada Shule ya Mtongani

    Dar es Salaam Jumanne 7 Juni 2022… Wanafunzi wa shule ya Msingi ya Mtongani iliyopo wilaya ya Temeke jijini...

READ MORE

Waziri Dkt. Gwajima Awataka Watoto Kufichua Vitendo Vya Kikatili

    WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewataka watoto kote nchini kufichua...

READ MORE

Benki Ya CRDB Kuendelea Kutoa Elimu Ya Fedha Kupitia Promosheni Ya Mzigo Flexi

    Benki ya CRDB imejipanga kuendelea kutoa elimu ya fedha kupitia promosheni ya Mzigo Flexi ambapo inalenga kuwafikia Watanzania...

READ MORE

Serikali, Benki ya Dunia Yazindua Programu Kuimarisha   Ufundishaji Shule za Msingi

Serikali kwa ufadhili wa Benki ya Dunia imezindua Programu ya kuimarisha   ufundishaji na ujifunzaji katika shule za awali na msingi...

READ MORE

Jela Miaka 30 Kwa Kumbaka Mama Yake Mzazi, Mtuhumiwa Atoroka Hukumu

MAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa imemhukumu mfanyabiashara, Kaloli Mkusa kifungo cha miaka 30 jela na fidia ya shilingi milioni moja...

READ MORE

Taasisi ya Dun & Bradstreet Yazindua Teknolojia Mpya iitwayo EDX

Teknolojia hii ya EDX hurahisisha uchakataji na uwasilishaji wa taarifa za wakopaji kwa taasisi za kifedha kwa njia ya kielektroniki....

READ MORE

NMB yachangia Milioni 27/- Kutatua Changamoto Elimu na Afya Wilaya ya Ubungo

    Benki ya NMB imetoa vifaa mbalimbali vya afya na vya shule vyenye thamani ya Sh.milioni 27 kwa Hospitali...

READ MORE

Wafanyabiashara Tabora wapewa mchongo Exim

MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dk. Batilda Burian amewaomba wafanyabiashara mkoani humo kuhakikisha wanachangamkia vema uwepo wa taasisi za...

READ MORE

Waziri Ummy Awasili Nchini Ufaransa kwa Ziara ya Kikazi

WAZIRI wa Afya Ummy, leo  Juni 6, 2022 amewasili katika Jiji la Paris , Ufaransa kuhudhuria kikao cha Jumuiya ya...

READ MORE

Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kufanya Mazungumzo na Jenerali Mabeyo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania...

READ MORE

Rais Samia Ashuhudia Utiaji Saini Mradi wa Maji kwa Miji 28 Tanzania

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, leo juni 6, 2022, ameshuhudia utiaji saini wa mikataba ya...

READ MORE

Odinga Afanya Jaribio la Tano la Kugombea Urais Je, Atatoboa?

RAILA Omolo Odinga; ni mwanasiasa mkubwa mno nchini Kenya akitokea katika familia maarufu ya kisiasa nchini humo. Kofia ya urais...

READ MORE

Serikali ya Zimbabwe Yakanusha Madai ya Wananchi Wake Kuuza Vidole

SERIKALI ya Zimbabwe imekanusha madai yanayoenea kwamba raia wake wamekuwa wakiuza baadhi ya vidole vyao vya miguu ili kupata mamilioni...

READ MORE

Mtendaji Azilongwa Amuunga Mkono Rais Samia na Royal Tour

MTENDAJI wa Kata ya Huzi Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma Azilongwa Bohari akiwa na Vijana wenzake wa UVCCM wametembelea Ngorongoro...

READ MORE

Wananchi Tabora Wachangamkia Vyeti vya Kuzaliwa vya Watoto

  Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Angela Anatory ametembelea na kukagua vituo vya tiba vinavyotoa huduma ya mama na mtoto na...

READ MORE