×

Habari

Mchechu Adai JPM Hakumng’oa NHC, Ataka Fidia ya Bilioni 3

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu ameiomba Mahakama iamuru Gazeti la The Citizen kumlipa fidia...

READ MORE

Moses Phiri Aaga Rasmi Kwao Zambia, Awindwa na Simba na Yanga

  MSHAMBULIAJI wa Zanaco FC ya nchini Zambia, Moses Phiri, rasmi ameaga ndani ya timu hiyo mara baada ya kumalizika...

READ MORE

Finland Yathibitisha Ombi la Kujiunga na Nato Licha ya Onyo la Vladimir Putin

Finland imethibitisha kwamba itaomba uanachama wa Nato, licha ya onyo kutoka kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin kwamba kuacha kutoegemea...

READ MORE

Rais Ukraine Akiri ‘Hali Tete’ Kuwanusuru Askari Wake Waliozingirwa na Urusi Mariupol

  Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amethibitisha kuwepo kwa ugumu wa mazungumzo ya namna ya kuwaondoa askari majeruhi katika eneo...

READ MORE

Waziri Mkenda: Serikali Kuwekeza Zaidi Kwenye Elimu na Utafiti wa Tiba

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Afolf Mkenda amesema kuwa serikali imedhamiria kuwekeza zaidi kwenye elimu ya...

READ MORE

Solid Ground Family: Maisha Yalikuwa na Changamoto, Tukashindwa Kuendelea

  ZAMANI Bongo Fleva ilitawaliwa na makundi mengi mno. Pengine ni kutokana na wasanii hao kutokuwa na uwezo wa kipesa...

READ MORE

Rais Samia Aridhia Nyongeza ya Mshahara, Aongeza kwa Asilimia 23.3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Haasan ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara ikiwemo kima cha chini...

READ MORE

Ahukumiwa Jela Miaka Mitano kwa Kuvunja Nyumba na Kuiba Debe la Maharage

  MAHAKAMA ya mwanzo ya Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imemhukumu Ombeni Ngwa’vi (25) kifungo cha miaka mitatu...

READ MORE

Waziri Wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Akagua Mradi wa Bagamoyo Sugar

  Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ametembelea mradi wa Kimkakati wa kilimo cha Miwa na uzalishaji...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Rais wa UAE

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suuhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Umoja wa Falme za Kiarabu...

READ MORE

Rais Samia: Mtetezi Pekee wa Haki za Binadamu Tanzania ni Katiba

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo amehudhuria hafla maalum ya maadhimisho ya miaka 10 ya...

READ MORE

Video: Mazishi ya Mwandishi wa Kituo cha Al Jazeera, Shireen Abu Akleh, Jerusalem

 Mwandishi habari mashuhuri wa kituo cha televisheni cha Al Jazeera, Shireen Abu Akleh, anazikwa leo katika makaburi yaliyoko karibu...

READ MORE

John Mnyika: Barua ya Baraza Kuu ya Kutupilia Mbali Rufaa za Wakina Mdee Imeshafika kwa Spika

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika kupitia ukurasa wake wa Twitter ameeleza kuwa hadi kufikia...

READ MORE

Urusi: Tutachukua Hatua za Kulipiza Kisasi Ikiwa Finland Itajiunga na NATO

Urusi imesema italazimika kuchukua hatua za kulipiza kisasi kutokana na hatua ya jirani yake Finland kujiunga na Nato. Taarifa ya...

READ MORE

Vodacom Yazindua Huduma ya Bima ya Afya Kupitia Mfumo wa M-Pesa

    13 Mei 2022, Vodacom Tanzania Plc, kampuni inayoongoza kwa huduma za teknolojia na mawasiliano, nchini leo imetangaza ushirikiano...

READ MORE

Tigo na Benki ya Azania Waja Huduma Mikopo ya Jibustishe Kwa Wateja Wao

    KAMPUNI ya mtandao wa siku za mkononi ya Tigo kwa kushirikiana na Benki ya Azania wamezindua huduma ya...

READ MORE

Mradi wa “OCP SCHOOL LAB” wazinduliwa Songea

Takribani wakulima 60,000 kutoka kaskazini, kusini na magharibi mwa Tanzania kunufaika na mradi wa upimaji wa udongo na mafunzo ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Agizo Kwa Wanafunzi Waliorudishwa Nchini

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanafunzi waliokuwa wanasoma katika vyuo mbalimbali nje ya nchi ambao walirudishwa nchini kufuatia kuzuka kwa janga...

READ MORE

Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania Watoa Tamko Kufuatia Mauaji ya Mwandishi wa Habari

UBALOZI wa Palestina nchini Tanzania umetoa tamko la kulaani kitendo cha mauaji ya mwandishi wa habari Shireen AbuAqla kilichotekelezwa na...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Atoa Rai kwa Wasomi Waliorudi Nchini Kuripoti TCU

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasisitiza Wanafunzi waliorudi nchini kutoka masomoni nje ya nchi kutokana na vita vya Urusi na...

READ MORE

Sabrina: Sportpesa Tumejitahidi Kukabiliana na Changamoto Mbalimbali

SABRINA Msuya Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Sportpesa ametembelea studio zetu za Global Radio na Global TV na...

READ MORE

Ndege Ndogo ya Abiria Yaanguka Karibu na Mji Mkuu wa Cameroon ilibeba Watu 11

Ndege ndogo ya abiria iliyokuwa imebeba watu 11 imenguka katika msitu karibu na mji mkuu wa Cameroon, Yaoundé, siku ya...

READ MORE

Masoko Mapya Meridianbet, Uhakika Nafasi Kubwa Zaidi ya Ushindi Kutoka Meridianbet

Wikiendi yako inaenda kuwa namna gani? Naamini umeshandaa majamvi yako ya faida, na ninakukumbusha mitanange muhimu inayoweza kukupa pesa wiki...

READ MORE

Video: Kauli ya Halima Mdee Baada ya Kutimuliwa Rasmi Chadema – “Mbowe Anajua ni Uhuni”

Mbunge Halima Mdee kwa niaba ya wenzake 18 ameelezea kutokubaliana na uamuzi wa Baraza Kuu la CHADEMA chini ya Mwenyekiti...

READ MORE

TPA Hosts LMC Delegation For Business Talks

THE Tanzania Ports Authority (TPA) recently hosted a Lignes Maritimes Congolaises delegation, led by the Director General Adjoint (DGA), Mr Jean...

READ MORE

Breaking: Halima Mdee na Wenzake 18 Wafukuzwa Rasmi Chadema – Video

Baraza Kuu la CHADEMA usiku wa leo kuamkia Alhamisi (Mei 12, 2022) limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake...

READ MORE

TEN/MET Waizungumzia Bajeti Mpya Ya Elimu 2022/23

MTANDAO wa Elimu Tanzania (TEN/MET) umeguswa na Bajeti ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknlojia ya Mwaka 2022/23 iliyowasilishwa juzi...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi na Uhamisho wa Watendaji wa Serikali

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt.Charles Msonde kuwa Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI (Elimu),...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumbaka Mwanamke, Kisha Kumuua kwa Kumvunja Shingo

JESHI la Polisi mkoani Mtwara, linawashikilia watu wawili na mmoja bado anatafutwa na jeshi hilo kwa tuhuma za kumbaka kisha...

READ MORE

Mwenyekiti wa CHAUMA Hashim Rungwe Aungana na CHADEMA Kudai Katiba Mpya

MWENYEKITI wa Chma Cha Umma Hashim Rungwe amehudhuria katika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA...

READ MORE

Bob Wine Asema Alishinda Urais kwa Asilimia 53 Katika Mkutano wa Baraza Kuu la Chadema

  KIONGOZI wa Harakati za nguvu za umma na Rais wa chama cha National Unit Platform (NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu...

READ MORE

Rais Samia Azungumza katika Mkutano wa Biashara wa Sekta Binafsi Nchini Uganda

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan, leo Mei 10, 2022 amezungumza Jijini Kampala katika Mkutano...

READ MORE

Prof. Mkumbo Ataka Maafisa Elimu Kata Wang’olewe Kufidia Pengo la Walimu

  MBUNGE wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, ameishauri Serikali ifute kada ya maafisa elimu kata, ili kuziba changamoto ya upungufu...

READ MORE

Benki ya NMB Yaipa Kipaumbele Sekta ya Elimu Nchini

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda(Mb) ameipongeza Benki ya NMB kwa kuwa mstari wa mbele kuinua Sekta...

READ MORE

Benki ya Exim Yaahidi Uwekezaji Zaidi Utunzaji Mazingira

Dodoma; Mei 11, 2022: Benki ya Exim Tanzania imeahidi kushirikiana zaidi na wadau mbalimbali sambamba na kuunga mkono juhudi za...

READ MORE

Sitholizwe Mdlalose to Step Down as Vodacom Tanzania MD Dar 10th May 2022

    Vodacom Tanzania PLC (“Vodacom”) has today announced that Sitholizwe Mdlalose the Company’s Managing Director will be stepping down in...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Asema Nyongeza ya Mshahara Ni Mwezi Julai

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea taarifa ya mapendekezo ya ongezeko la mishahara ya watumishi kutoka kwa timu ya wataalamu iliyokuwa...

READ MORE

Watendaji Wasalimika Kuchukuliwa na OCD Kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani

Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe walioshindwa kutekeleza vizuri zoezi la kuweka vibao kwenye mitaa na nyumba katika zoezi...

READ MORE

Shigongo Aishauri Serikali Juu ya Lugha Maalum ya Kufundishia

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Eric Shigongo amehoji juu ya msimamo wa Serikali...

READ MORE

NEYMAR ALIPANIA KOMBE LA DUNIA 2022

STAA wa Brazil na Klabu ya Paris Saint Germain, Neymar Jr amefunguka kuwa sasa ndoto yake ni kucheza Kombe la...

READ MORE