×

Habari

Waziri wa Elimu: Waombaji Mikopo 2022-2023 Someni Mwongozo

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amewahimiza waombaji mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023...

READ MORE

Rais Samia Atoa Rai kwa Viongozi wa Dini Kuelimisha Waumini Juu ya Utunzaji wa Mazingira

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaasa viongozi wa Dini kuendelea kuwaelimisha waumini wao juu ya...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Katika Baraza la Maaskofu Afrika Mashariki-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameshiriki maadhimisho ya Mkutano wa 20 wa Association of Member...

READ MORE

Tigo Yawakabidhi Mkwanja Mawakala Waliojishindia Promosheni ya Malengo

Afisa Mtendaji Mkuu wa Tigo Pesa, Angelica Pesha akizungumza kwenye hafla ya kuwakabidhi zawadi zao mawakala waliojishindia kwenye promosheni hiyo. ...

READ MORE

RC Mwanza Ashuhudia NMB Ikizindua Kifurushi cha Mikopo Kwa Walimu Kanda ya Ziwa

Benki ya NMB Plc imezindua kifurushi maalum cha mikopo yenye riba nafuu kwa walimu kuwawezesha kumudu gharama ya elimu kwa...

READ MORE

Mkurugenzi wa Jiji la DSM na Wenzake Tisa Wasimamishwa Kwa Tuhuma za Ubadhirifu wa Zaidi ya Sh. Bil 10

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam, Bw. Jumanne Shauri pamoja na...

READ MORE

Simba Yafanikiwa Kuinasa Saini ya Kiungo Nasoro Kapama Kutoka Kagera Sugar

KLABU ya Simba imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo nyota Nassoro Kapama kutoka Kagera Sugar kwa mkataba wa miaka miwili.  ...

READ MORE

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Agoma Kuzindua Mradi wa Maji ,Baada ya Kubaini Hitilafu

  KIONGOZI wa Mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2022 Sahili Geraruma, amegoma kuzindua mradi wa maji ulioko katika...

READ MORE

NMB Kutoa Mkopo wa Bil 200 Kwa Wanafunzi Elimu ya Juu

  Wanafunzi wamepata ahueni baada ya Benki ya NMB katika mwaka wa fedha 2022/2023 kutenga Bilioni 200 kwa ajili ya...

READ MORE

Uhuru wa Kuabudu, Amani Vyatajwa Kuchochea Kasi ya Uwekezaji Nchini

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Innocent Bashungwa amesema kuwa uhuru wa...

READ MORE

Islamic States Yathibitisha Kuhusika na Shambulio katika Mji wa Lume, DRC

KUNDI la kigaidi la Islamic State limethibitisha kuhusika kwenye shambulio la siku ya Alhamisi ambalo lililenga mji wa Lume, jimbo...

READ MORE

Rais wa Sri Lanka na Waziri Mkuu Wajiuzulu Kufuatia Maandamano Makubwa Kupinga Ugumu wa Maisha

SPIKA wa Bunge la Sri Lanka Mahinda Yapa Abeywardena ametangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Gotabaya Rajapaksa amekubali kujiuzulu wadhifa...

READ MORE

Kupitia Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet, Sloti Ya Sticky 777 Inaweza Kukupa Faida Kubwa!

Sloti ya Sticky 777 imetengenezwa katika mfumo wa sloti za zamani. Inapambwa kwa alama zilizopangwa vizuri zikiwa na rangi ang’avu...

READ MORE

Nyumba ya Waziri Mkuu wa Sri-Lanka Yachomwa Moto kufuatia Maandamano Yaliyozuka Nchini

Nyumba ya Waziri Mkuu wa Sri-Lanka ikiteketea kwa moto Nyumba ya Waziri mkuu wa Sri Lanka Ranil Wickremesinghe imechomwa moto...

READ MORE

Elon Musk Anataka Kuachana na Mpango wake wa Kuununua Mtandao wa Kijamii wa Twitter

Billionea Elon Musk (Anayetaka kuachana na mpango wa kuinunua twitter) Tajiri nambari moja duniani Elon Musk ametangaza rasmi kuachana na...

READ MORE

Rais Paul Kagame Atangaza Kugombea Urais kwa Awamu ya Nne 2024 Nchini Rwanda

Rais Paul Kagame wa Rwanda Rais Paul Kagame, mtawala mkuu wa Rwanda tangu kumalizika kwa mauaji ya kimbari mwaka 1994,...

READ MORE

Prof. Mkenda Aeleza Dola Mil 5 Zilivyotengwa Kukamilisha Chuo cha Bahari Zanzibar

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof. Adolf Mkenda akizungumza na watumishi. Wengine pichani ni Makamu Mkuu wa Chuo...

READ MORE

Mwanzilishi Kanisa La Kishetani Afrika Kusini Riaan Swiegelaar Aokoka

Riaan Swiegelaar; ni mwanzilishi mwenza wa Kanisa la Kishetani la Afrika Kusini ambaye ameamua kuokoka na kuachana na kanisa lake...

READ MORE

Mkutano Mkuu Wamuidhinisha Injinia Hersi Kuwa Rais Mpya wa Yanga kwa Miaka Minne Ijayo

Mkutano mkuu wa klabu ya Yanga umeidhinisha aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Eng Hersi Said kuwa Rais mpya...

READ MORE

Msanii Mkongwe wa Filamu Bi Hindu Afariki Dunia Baada ya Kuugua kwa Muda Mrefu

MSANII wa filamu mkongwe na mtangazaji, Chuma Suleiman almaarufu Bi Hindu, amefariki dunia asubuhi hii, nyumbani kwake, Magomeni jijini Dar...

READ MORE

Joe Biden na Barrack Obama Wamlilia Shinzo Abe

   Rais Joe Biden akiwa na Shinzo Abe kipindi cha uhai wake RAIS wa Marekani Joe Biden ametoa salamu zake...

READ MORE

Rais wa Zamani wa Angola, Eduardo dos Santos Afariki Dunia

Rais wa Zamani wa Angola, Eduardo dos Santos akiwa kwenye moja ya mikutano aliyowahi kuhudhuria enzi ya uhai wake RAIS...

READ MORE

Naibu Waziri Pauline Gekul Azindua Kamati ya Kutatua Haki Miliki za Wasanii

  Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaaa na michezo. Mhe Pauline Gekul leo Julai 8,2022 amezindua Kamati maalum ya kuratibu mjadala...

READ MORE

Kesi ya Akina Mdee Kupinga Kufukuzwa Uanachama Chadema Mahakama Imetoa Uamuzi

  Mahakama Kuu kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imewaruhusu waliokuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lafunguka Sababu ya Kumshikilia Kada wa Chadema Twaha Mwaipaya – Video

JESHI la polisi mkoa wa Dodoma linaendelea na uchunguzi dhidi ya mratibu wa hamasa wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA)...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Japan Apigwa Risasi Wakati Akitoa Hotoba, Mtuhumiwa Atiwa Mbaroni

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Japan Shinzo Abe amepigwa risasi wakati akitoa hotuba katika hafla moja mjini Nara, Abe alipigwa...

READ MORE

Marekani iko Tayari Kuishauri Tanzania Kuhusiana na Usalama wa Mipaka Yake

  SERIKALI ya Marekani imesema kwamba ipo tayari kutoa ujuzi na ushauri kwa Tanzania kahusiana na masuala ya kiusalama kwa...

READ MORE

Katibu Mkuu OPEC Afariki Dunia akiwa na Umri wa Miaka 63

Katibu Mkuu wa OPEC  Mohammad Barkindo akiwa kwenye moja ya mikutano aliyowahi kuhudhuria enzi za uhai wake SERIKALI ya Nigeria...

READ MORE

Vijana Waliokufa kwenye Klabu Afrika Kusini Wazikwa

  Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akiwa msibani baada ya kuhudhuria mazishi ya vijana waliokufa kwenye klabu nchini mwake...

READ MORE

Mahujaji Wamiminika Mecca kwa Ajili ya Hijja

BAADA  ya miaka miwili kupita bila mahujaji kuhudhuria ibada ya Hijja, mji mtakatifu wa Mecca uliopo Saudi Arabia umeanza kuonyesha...

READ MORE

CRDB Yaanda Semina ya Uwezeshaji kwa Wafanyabiashara Mtandaoni

  Katika kuendeleza jitihada zake za kuwajengea uwezo na kuwawezesha wajasiriamali vijana nchini, Benki ya CRDB leo imetangaza kuandaa semina...

READ MORE

Mfalme wa Cocaine wa Milan Arudishwa Italia Baada ya Kukamatwa Brazil

MMOJA wa watu wanaosakwa sana nchini Italia, Rocco Morabito, amelabidhiwa kwa serikali ya Italia huko Roma baada ya kusafirishwa kutoka...

READ MORE

Idris Sultan, Alamba Shavu la Ubalozi Kampeni ya Uhamasishaji ya M-Pesa Imeitika

    Dar es Salaam, 6 Julai 2022. Vodacom Tanzania, kampuni ya huduma za teknolojia na mawasiliano inayoongoza, leo imezindua...

READ MORE

Tigo na Samsung Kutoa Ofa na Zawadi Unaponunua Samsung Galaxy A33, A53 na A73

Leo Julai 7 2022, Kampuni inayoongoza nchini kwa utoaji wa huduma za Kidigitali Tigo , kwa kushirikiana na Kampuni ya...

READ MORE

NMB Yazindua Tawi Buhongwa Mwanza, Yasaidia Serikali Kukusanya Trilioni 8.6.

  Benki ya NMB imeendelea kujidhatiti kibiashara na kujiimarisha kulihudumia taifa kupitia mtandao wake wa matawi ambao sasa umefikia matawi...

READ MORE

Uamuzi wa Kesi ya Akina Halima Mdee, Wenzake Washindwa Kutolewa..

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeahirisha kutoa uamuzi wa maombi ya Halima Mdee na wenzake 18...

READ MORE

Mkuu Mpya wa Majeshi Akipokelewa kwa Gwaride Jijini Dodoma-Video

MKUU mpya wa Majeshi, Jenerali Jacob John Mgunda, amepokelewa kwa shangwe jijini Dodoma leo Julai 06, 2022. 

READ MORE