×

Habari

Mtoto wa Museveni Astaafu Jeshini

KAMANDA wa Jeshi la Ardhini nchini Uganda UPDF , Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametangaza kustaafu katika jeshi hilo baada ya...

READ MORE

Naibu Waziri Aipongeza Dcb Kwa Kuwainua Wajasiriamali

  Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Bi. Mwanaidi Ali Khamis  ameipongeza Benki ya...

READ MORE

Waliofukuzwa JKT Wasamehewa

MKUU wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, amewasamehe vijana 853 wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliofukuzwa...

READ MORE

Maelfu Waandamana Kuiunga Mkono Urusi

ZAIDI ya wananchi 10,000 wa Serbia, wameingia mitaani na kuandamana katika Jiji la Belgrade kuelekea katika ubalozi wa Urusi nchini...

READ MORE

Seneta Marekani Ataka Putin Auawe

KUPITIA kituo cha runinga cha Fox News, Seneta wa Marekani, Lindsey Graham amesababisha hasira kwa baadhi ya raia wa Urusi...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Mbowe Ikulu Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  leo Machi 4, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti...

READ MORE

Timu ya Taifa ya Pool Yaifunga Kenya 13 – 9 Zambia

TIMU ya Taifa ya Pooltable Waanaume  imeanza vyema mashindano  Afrika kwakuwafunga majirani Kenya 13-9 katika mchezo wake wa kwanza wa...

READ MORE

Urusi Yaridhia Wanafunzi wa Kitanzania Kutoka Ukraine

Balozi za Tanzania za Stockholm Sweden na Moscow, Urusi zimesema Serikali ya Urusi imeridhia Wanafunzi wa Kitanzania waliokwama kwenye Mji...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 04...

READ MORE

Shehe Kipozeo alivyompongeza Rais Samia

Hilali Shaweji Makarani ‘Shehe Kipozeo’ amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukubali wito wa kuzungumza na viongozi wa dini. Amesema...

READ MORE

Rais Museveni akutana na Balozi wa Urusi

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni jana Machi 3, 2022 alikutana na balozi wa Urusi, Vladlen Semivolos kujadili masuala mbalimbali...

READ MORE

Viongozi Walaani Shambulio Dhidi ya Kituo cha Nyuklia Ukraine

Kumekuwa na kilio cha kimataifa kuhusu shambulio lililotokea usiku la Urusi kushambulia kituo kikubwa zaidi cha nishati ya nyuklia barani...

READ MORE

Mtambo wa Nishati ya Nyuklia Washambuliwa Ukraine

 UPDATES: Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amesema kwamba njia pekee ya kumaliza vita nchini Ukraine ni kufanya mazungumzo ya...

READ MORE

Live: Hatma Ya Mbowe Leo, Viongozi Wa Dini Wamuomba Rais Samia, Machungu Ya Vita Ya Ukraine …Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…...

READ MORE

Dun & Bradstreet Credit Bureau Tanzania Sasa Kutoa Taarifa za Mkopaji kwa Kiswahili

  TAASISI ya Dun & Bradstreet Credit Bureau Tanzania Limited leo imetangaza kuwa taarifa za mkopaji pamoja na maelezo kwa...

READ MORE

Wakazi Wa Kyiv Bado Wamejificha Kwenye Handaki

 Wakazi wa Kyiv wa rika zote – watu wazima na watoto – walielekea tena chini ya ardhi jana usiku...

READ MORE

Mchungaji Zumaridi na Wenzake 92 Wafikishwa Mahakamani – Video

Mchungaji Diana Bundala maarufu ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake 92 leo Machi 3, 2022 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa...

READ MORE

Meridianbet Mkuchu Cup Imehitimishwa Kwa Matembezi ya Hisani!

Meridianbet kwa kushirikiana Emmanuel Mkuchu (muandaaji wa Meridianbet Mkuchu cup) pamoja na Taasisi ya Bega kwa Bega na Mama,  walishirikiana...

READ MORE

Mhadhiri wa Chuo Matatani Kwa Rushwa ya Ngono

Mhadhiri wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Adam Semlambo ameingia matatani, akihusishwa na rushwa ya ngono ambapo uongozi wa chuo...

READ MORE

Maisha Magic Movies Yatangaza Neema Kwa Filamu Tanzania

Chaneli maarufu ya Maisha magic Movies imetangaza neema kwa wazalishaji wa filamu hapa nchini baada ya kuongeza idadi ya filamu...

READ MORE

Vikwazo vyaipa wakati mgumu Urusi

“NINGEKUWA na uwezo ningehama Urusi sasa hivi. Ningefanya hivyo. Lakini siwezi kuacha kazi yangu,” anasema Andrey. Hataweza kumudu mpango wa...

READ MORE

Umoja wa Mataifa Waitaka Urusi Kuondoka Ukraine – Video

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limepiga kura kwa wingi ya kuunga mkono azimio la kuitaka Urusi kusimamisha mara...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Viongozi wa Dini, Waomba kumaliza kesi ya Mbowe

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amezungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu maendeleo...

READ MORE

Pesa za Zawadi Nmb Mastabata Zabaki Mil 100

Msimu wa Tatu wa Kampeni ya NMB MastaBata inayoendeshwa na Benki ya NMB, umezidi kushika kasi kuelekea ukingoni baada ya...

READ MORE

Kikwete Ateuliwa SADC

RAIS Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Jopo Wazee wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...

READ MORE

Live: Urusi Yadai Kuuteka Mji wa Kherson

SERIKALI ya Urusi inadai kuwa imeudhibiti kabisa Mji wa Kherson uliopo Kusini mwa Ukraine, ukiwa ndiyo mji wa kwanza kudhibitiwa...

READ MORE

Mabomu Ya Vacuum Tishio Ukraine

  SIKU chache zilizopita, Balozi wa Ukraine katika Umoja wa Mataifa, Oksana Markarova aliilalamikia Urusi kuwa inatumia mabomu hatari ya...

READ MORE

Wanajeshi Urusi Waishiwa Mahitaji Muhimu

KAMPUNI ya kijasusi ya ShadowBreak ya nchini Uingereza, imedai kwamba imenasa mawasiliano kati ya wanajeshi wa Urusi waliopo uwanja wa...

READ MORE

Wakili: Makonda Hakupewa Taarifa Kuitwa Mahakamani

WAKILI wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Goodchance Reginald amesema mteja wake hakuwa amepewa wito...

READ MORE

Watu 21 Wauawa Katika Shambulizi la Makombora Kharkiv

Takriban watu 21 wameuawa na wengine 112 kujeruhiwa katika shambulio la makombora katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine,...

READ MORE

Meli Iliyobeba Magari Ya Kifahari 4,000 Yazama Ureno

Meli ya mizigo iliyokuwa imebeba magari ya kifahari takribani 4,000, imezama katika Visiwa vya Azores nchini Ureno, zikiwa zimepita wiki...

READ MORE

Baba Askofu Ludovic Minde Ahudhuria Mkutano wa Sinodi ya Maaskofu 2021-2023

    LEO Machi 2 katika nyumba ya mapadri lenguo Halmashauri ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro, Baba Askofu Ludovic Minde...

READ MORE

Urusi Yatoa Vitisho; Kimbieni Au Bakini Mfe

Maelfu ya wakazi wa Jiji la Kyiv ambalo ndiyo Mji Mkuu wa Ukraine, wanaendelea kuukimbia mji huo ikiwa ni muda...

READ MORE

Ajali ya Ndege Comoro: Hakuna Miili Iliyopatikana

Serikali ya Comoro imesema bado hakuna mwili wowote uliopatikana baada ya kuanguka kwa ndege inayofanya safari zake visiwani humo.  ...

READ MORE

Mazishi Ya Baba Wa GSM: Makamu Wa Pili Wa Rais, Mbunge Zungu, Washiriki -Video

 Mzee Said Mohamed ambaye ni Baba Mzazi wa Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) amezikwa leo jioni kwenye makaburi ya...

READ MORE

GGML yabeba tuzo kampuni bora ya madini 2021

  KAMPUNI ya uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya kuwa kampuni bora inayoendesha shughuli za uchimbaji wa...

READ MORE

Video: Rais wa Ukraine Akataliwa Kujiunga Umoja wa Ulaya

 Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, mchana wa leo Jumanne Machi 01, 2022 amezungunza kwa hisia kali na Bunge la...

READ MORE

Itakuliza! Ujumbe Wa Mwanajeshi Wa Urusi Kwa Mama Yake – Video

 Balozi wa Ukraine katika Baraza la Umoja wa Mataifa (UN), Sergei Kyslytsya amesoma ujumbe wa mwanajeshi wa Urusi aliyeuawa...

READ MORE

Mtoto wa Museveni Aunga Mkono Uvamizi wa Urusi

Shirika la Habari la Uingereza, BBC limeripoti kuwa mtoto wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni aitwaye Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba,...

READ MORE

Belarus Waungana Na Urusi Kuishambulia Ukraine

Jeshi la Ukraine limedai kwamba wanajeshi wan chi jirani la Belarus, wamevuka mipaka wakiwa na vifaru na silaha nyingine nzito...

READ MORE