×

Habari

Mtoto Achomwa Moto Sehemu za Siri na Mjomba Aake

MTOTO wa miaka 10 (jina limehifadhi) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, ambaye ni mwanafunzi wa darasa la...

READ MORE

Wauza Jezi Feki za Yanga Wanaswa Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limewakamata watu 17 kwa tuhuma za kuuza jezi bandia za timu ya...

READ MORE

Suala la Anuani za Makazi Litakamilika Kabla ya Sensa

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema suala la anuani ya makazi zitakamilika kabla ya...

READ MORE

Mwanamke Anyongwa Nyumbani Kwake

Jeshi la Polisi mkoa wa Geita linaendelea na uchunguzi kufuatia tukio la mauaji ya mke wa mfanyakazi wa mgodi wa...

READ MORE

Silaa Atamani Aweso Apewe PhD

Mbunge wa jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam, Jerry Silaa, amempongeza Waziri wa Maji Jumaa Aweso, kwa utendaji wake...

READ MORE

Mwanafunzi Auawa Kinyama, Anyofolewa Viungo vys Siri

WATU wasiojulikana wamemuua kikatili mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Tutuo, Sikonge mkoani Tabora, Maria Kazungu (13)...

READ MORE

IGP Sirro: Tukio Mtwara Lisiwafanye Watanzania Lutoliamini Jeshi Lenu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro, amewaambia wananchi kuwa tukio la Mtwara lililowahusisha Maofisa wa Jeshi la...

READ MORE

Vodacom Foundation na African Child Project Waunganisha Shule Katika Mikoa 10 Kidijitali

      Dar es Salaam, 2 Februari, 2022 Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation ambayo inajishughulisha na masuala ya kijamii kwa...

READ MORE

Hawa ndio Mapacha Waliokula Chumvi Mpaka Baasi

Comfort Akosua Nyarkoa na Grace Akosua Nyarkoa, 87, wanasemekana kuwa pacha wenye umri mkubwa zaidi kuwahi kuishi kwa muda mrefu...

READ MORE

Rais Samia: Jukumu la Mahakama ni Kutoa Haki – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema jukumu la msingi la mahakama ni kutoa haki na katika utekelezaji wa jukumu hilo, mahakama...

READ MORE

Live: DK Tulia Aahidi Mambo Matatu, Lissu, Lema, Ben Saanane Watajwa Kesi Ya Mbowe | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Luteni Urio Awa Mbogo kwa Kibatala Baada ya Kudai Yuko Kizuizini

SHAHIDI wa 12 wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Luteni Denis...

READ MORE

Ndege ya Umeme Kuanza Majaribio, Hakuna cha Mafuta

TEKNOLOJIA na masuala ya usafirishaji inazidi kuwa kubwa, wakati wengine wakibuni magari mapya yanayotumia umeme badala ya mafuta, Israel Eviation...

READ MORE

Rais Samia Uledi Mussa Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TRA

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Uledi Abbas Mussa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kipindi...

READ MORE

Amuua Mama Yake Mzazi Kisa Anamdai Laki 3

JESHI la Polisi Mkoa wa Kigoma linamshikilia kijana Herman John kwa tuhuma za kumuua mama yake kwa kumpiga na mpini...

READ MORE

Mwanza: Dereva Tax Auawa na Kutobolewa Macho

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, linawashikilia watu 10 kwa tuhuma za mauaji ya dereva taksi aliyekuwa anajulikana kwa jina la...

READ MORE

Mtia Nia Uspika: Nitawanunulia Wabunge Magari Mazuri, Nitaongeza Posho

Mgombea wa Kiti cha Spika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kunje Ngombale Mwiru kutoka chama cha Sauti...

READ MORE

Dkt. Tulia: Bunge ‘Halitamezwa’ na Serikali

ALIYEKUWA Naibu Spika Dk Tulia Ackson na mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kiti cha Uspika wa Bunge la...

READ MORE

Hawa ndio Maspika Waliowahi Kuliongoza Bunge la Tanzania

Aloyekuwa Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson ameapa kuwa spika wa nane wa Bunge hilo tangu uhuru...

READ MORE

Breaking: Dkt. Tulia Ndiye Mshindi wa Uspika

Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya...

READ MORE

#UchaguziWaSpika: Mtia Nia Awaacha Hoi Wabunge

WAKATI wabunge wakiendelea kusikiliza hoja za watia nia wanaowania kurithi mikoba ya Job Ndugai, Bungeni jijini Dodoma, Ndonge Said Ndonge,...

READ MORE

ATCL Yapewa Maagizo Bei za Tiketi

NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Atupele Mwakibete ameitaka idara ya Masoko ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) kufanya...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Amteua Zuhura Yunus Kuwa Msemaji wa Ikulu

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Zuhura Yunus Abdallah kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Hawa Ndio Wagombea 9 Wanaowania Uspika wa Bunge – Video

Saa chache ziliwa zimebaki kumfahamu atakayeongoza mhimili wa Bunge, Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi amesema wagombea tisa watawania naafasi hiyo...

READ MORE

Breaking: Dkt. Tulia Ajiuzulu Unaibu Spika

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amejiuzulu nafasi yake hiyo ya Unaibu Spika...

READ MORE

Live: Mkutano Wa 6, Kikao Cha Kwanza, Bunge La 12, Wabunge Wanapiga Kura Za Kumchagua Spika…

Ni mkutano wa sita, kikao cha kwanza, bunge la 12, ambapo wabunge wanapiga kura za kumchagua spika wa bunge, baada...

READ MORE

Live: Utata Zaidi Waibuka Askari Aliyejinyonga, Polisi Wanaswa Mikono, Maumivu Mgao Wa Umeme…Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Moto Wateketeza Soko la Mbuyuni Kilimanjaro

MOTO mkubwa ambao chanzo chake bado hakijajulikana, usiku wa kuamkia leo Februari Mosi 2022 umeteketeza sehemu ya soko la Mbuyuni...

READ MORE

Wateja 25 Droo ya Mwezi wa kwanza, NMB MastaBata wazoa Mil 25/=

  WAKATI kampeni ya NMB MastaBata – Kivyako Vyako ikizidi kunufaisha wateja kwa washindi 25 wa mwezi wa kwanza wa...

READ MORE

Absa Yastahimili Dhoruba Ya Janga la COVID- 19

  Benki ya Absa Tanzania imeendelea kuimarika karika shughuli zake za kibiashara licha ya misukosuko kwenye soko iliyotokana na janga...

READ MORE

Auawa kwa Tuhuma za Kutengeneza Radi

MWANANCHI mmoja mkazi wa Halmshauri ya Nsimbo mkoa wa Katavi, Baraka Kabisu, ameuawa na wananchi wenye hasira kali wakimtuhumu kuwa...

READ MORE

Mchungaji Mbaroni kwa Kulala na Mke wa Mtu na Mabinti Zake Wawili

MCHUNGAJI Mmkuu wa Kanisa la Olomore Abeokuta, Mchungaji Timothy Oluwatimilehin, amekamatwa na maafisa wa Polisi wa Ogun nchini Nigeria kwa...

READ MORE

Wabunge wa CCM Wampitisha Dkt. Tulia Uspika

KAMATi ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kikao chao (Caucus) wamempitusha Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson...

READ MORE

Anga Lachafuka Makombora ya Korea Kaskazini

VYOMBO vya Habari vya serikali nchini Korea Kaskazini vimetoa picha zinazosema kuwa zilichukuliwa kutokana na majaribio ya kombora lake kubwa...

READ MORE

Waliohusika na Mauaji Tanga Kusakwa

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Tanga Adam Malima, amesema atahakikisha kila aliyeshiriki kwenye mauaji wa...

READ MORE

Watu 13 Wauawa Kwenye Daladala Baada ya Kukanyaga Bomu

TAKRIBANI watu 13 wamefariki dunia kufuatia mlipuko uliotokea leo, Januari 31, 2022 asubuhi katika eneo la Mandera, Kaskazini mwa Kenya,...

READ MORE

Polisi Yafafanua Kifo cha Afande Aliyejinyonga Mahabusu

Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazoendelea kuhusu tukio la kujinyonga hadi kufa kwa mkaguzi msaidizi wa...

READ MORE

CCM Kubariki Dkt. Tulia Amrithi Job Ndugai

KAMATI ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo inakutana jijini Dodoma kuridhia, Dk Tulia Ackson agombee uspika wa Bunge...

READ MORE

Siku 10 za Maumivu, Ratiba Nzima ya Mgao wa Umeme Hii Hapa

WAKATI ratiba ya mgao wa umeme katika baadhi ya maeneo nchini wa siku kumi ikiwa haijatoka, wananchi, wakiwamo wafanyabiashara wadogo...

READ MORE