×

Habari

India Yaahidi Kuisadia Ukraine

WAZIRI  Mkuu wa India Narendra Modi amejitolea kuisaidia Ukraine katika juhudi za kuleta amani, Modi ameyasema haya wakati wa mazungumzo...

READ MORE

Mchungaji Mfalme Zumaridi Akamatwa Mwanza

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi kwa tuhuma za...

READ MORE

Zelensky: Hatutazungumza na Urusi Nchini Belarus

Urusi inasema wajumbe wake wamewasili nchini Belarus kwa mazungumzo na Ukraine. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amekataa ombi hilo, akisema...

READ MORE

Ukraine Yadai Kuna Vifo 4,300 Vya Warusi Mpaka Sasa

Naibu Waziri wa Ulinzi wa Ukraine, Hanna Malyar ametoa makadirio ya hasara anayosema kuwa majeshi ya nchi hiyo yameisababishia Urusi...

READ MORE

DC Jokate na ATE Waisafisha Kiburugwa Temeke

Februari 26, 2022 Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) wakimbatana na wanafunzi wa awamu ya Saba ya Programu ya Mwanamke Kiongozi...

READ MORE

Mapigano Makali Ukraine, Bomba la Gesi Lalipuka

Mji Mkuu wa Ukraine, Kyiv umekabiliwa na mashambulio makali ya Urusi usiku wa kuamkia leo Februari 27, 2022. Wakati huohuo,...

READ MORE

Mstaafu Kikwete, Pinda Washuhudia Jitesh Akikabidhiwa Medali ya Kimataifa

    RAIS wa Ufaransa Emmanuel Macron amemtunuku medali inayotambulika ulimwengu mzima ya ‘Legion of Honour’ mfanyabiashara maarufu chini Tanzania...

READ MORE

Roman Abramovich Ajiuzulu Chelsea

MMILIKI wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich ametangaza kujiuzulu nafasi yake ndani ya klabu hiyo ya jijini London. Kujiuzulu kwake...

READ MORE

Breaking: Meli Yaungua Bandarini Pwani

Meli ndogo ya mizigo iliyokuwa imepakia mapipa ya petroli katika bandari ndogo ya Nyamisati wilayani Kibiti mkoani Pwani iliyokuwa ikielekea...

READ MORE

Polisi Watoa Ufafanuzi Tukio la Waandishi Arusha

JESHI  la Polisi Mkoa wa Arusha limetoa ufafanuzi kuhusu tukio la Waandishi wa habari wawili Korumba Victor Moshi wa Global...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Mtawala wa Dubai- Picha

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Makamu wa Rais ambaye ni Waziri...

READ MORE

Dereva Mwanamke Wa Malori, Asimulia Alivyoshuhudia Wenzake Wakiuawa-Video

Global TV imefanya mazungumzo na Mariam, mama ambaye aliyeacha kazi ya mama lishe na kugeukia kazi ya udereva wa malori...

READ MORE

Rekodi Ujenzi Wa Mkongo Wa Taifa-Video

WIZARA ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeweka rekodi ujenzi wa Mkongo wa Taifa , ambapo kwa mwaka mmoja...

READ MORE

Utata Idadi Ya Vifo Ukraine

  WAKATI mapigano kati ya Urusi na Ukraine yakiingia siku ya tatu leo, majeshi ya Urusi yakiwa yameuzingira Mji Mkuu...

READ MORE

Tanzania, Kongo Kuandaa Mkutano Wa Wafanyabiashara.

WAZIR MKUU, Kassim Majaliwa amesema Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), zimepanga kuandaa mkutano mkubwa wa pamoja kati...

READ MORE

Ugeni Mzito Kutoka Nchini Poland

Mwanaharakati kutoka nchini Poland, Malgorzata Dec amefanya ziara maalum katika ofisi za Kampuni ya Global Group zilizopo Sinza Mori jijini...

READ MORE

Kilimanjaro Marathon 2022 Kutikisa Moshi Kesho Jumapili

Mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2022 zilizokuwa zinasubiriwa kwa hamu sasa zimewadia huku Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa Majaliwa...

READ MORE

Aunty Ezekiel Asafisha Kabati

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Aunty Ezekiel ameweka wazI kuwa anahitaji kupunguza nguo ndani ya kabati lake hivyo ataanza kuuza nguo...

READ MORE

Ghost Of Kyiv; Rubani Wa Ukraine Anayeitesa Urusi

Ndege ya kivita ya Ukraine, MiG-29 Fulcrum inayoongozwa na rubani aliyebatizwa jina la The Ghost of Kyiv (Mzimu wa Kyiv),...

READ MORE

Rais Wa Ukraine Akataa Kutoroshwa Na Marekani

  RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kumsaidia kuondoka Ukraine ili kuokoa maisha yake wakati majeshi...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Siku Ya Tanzania EXPO 2020 Dubai-Video

Rais Samia leo 26 Feb 2022, ameshiriki sherehe za siku ya Tanzania expo 2020 nchini Dubai, ambapo yupo huko kwa...

READ MORE

Putin Ataka Jeshi la Ukraine Kuindoa Serikali ya Rais Zelensky

RAIS wa Urusi Vladimir Putin amelitaka jeshi la Ukraine kuiondoa madarakani serikali ya rais Volodymyr Zelensky Akilihutubia baraza la usalama...

READ MORE

Yanga Yashtukia Jambo, Yaipigia Hesabu Kali Simba

BENCHI la ufundi la Yanga, limechungulia kasi ya wapinzani wao kwenye vita ya ubingwa, Simba, na kushtukia jambo, ambapo wameweka...

READ MORE

TCB Yatoa Vifaa Vya Usalama Barabarani Kwa Jeshi la Polisi

   Benki ya Biashara ya Tanzania Commercial Bank TCB imekabidhi msaada wa vifaa vya kuongezea usalama barabarani pamoja na  vibanda...

READ MORE

Simu ya Kipekee VIVO 23 5G, Kuzinduliwa Kibabe Dar – (Picha +Video)

MAOFISA  kutoka VIVO Tanzania leo Februari 25, 2022 wamefika katika mjengo wa Global Group Sinza Mori na kufanya mahojiano na...

READ MORE

Askari 3 Wanaotuhumiwa Kumuua George Floyd Wakutwa Na Hatia

Mahakama nchini Marekani hatimae imewakuta maafisa watatu wa polisi wa zamani wa Minneapolis na hatia ya kukiuka haki za kiraia...

READ MORE

Majeshi Ya Urusi Yaingia Mji Mkuu Wa Ukraine, Kiev

Milio ya risasi na makombora imesikika katika Mji Mkuu wa Ukraine, Kiev huku vifaru vya kivita vyenye bendera za Urusi...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lakamata Watu 12, Wizi Kwa Njia Ya Mtandao – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewakamata watu 12 wanaofanya wizi kwa njia ya mtandao pamoja na...

READ MORE

Rais wa Ukraine Ashutumu Viongozi wa Ulaya Kwa Kutochukua Hatua

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anawashutumu viongozi wa Ulaya kwa kutochukua hatua za kutosha kupunguza kasi ya Urusi kuvamia nchi...

READ MORE

Baridi Lawatesa Mastaa Simba Morocco

MARA baada ya kutua jijini Casablanca, Morocco, wachezaji wa Simba wamelalamikia hali ya hewa ya baridi kali lililopo nchini humo....

READ MORE

TANESCO yatangaza tarehe kuanza kutumia mita zisizohitaji kuingiza ‘token’

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua...

READ MORE

Serikali Yatoa Tamko kwa Watanzania waishio Ukraine

Taarifa ya Serikali ya Tanzania kuhusu Watanzania waishio Ukraine na kile kinachoendelea.

READ MORE

Ukraine Yaomba Msaada Kukabiliana na Urusi

RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa ombi jingine kwa washirika wa nchi za Magharibi kuisaidia Ukraine na kukomesha mashambulizi ya...

READ MORE

Tigo Wazindua Awamu ya Pili Mradi wa “Tigo Green For Kili, One Step One Tree” Kilimanjaro

    KILIMANJARO, Ijumaa, Mei 25, 2021 – Kampuni inayoongoza nchini Tanzania kwa utoaji wa huduma za kidijitali, Tigo Tanzania,...

READ MORE

Kutoka Ukraine: Mtanzania Aliyepo Huko Azungumza -Video

 Mtanzania aliyepo Nchini Ukraine kimasomo, amezungumza akiwa kwenye handaki na chombo cha habari cha nchini Marekani, VOA ambapo ameeleza...

READ MORE

Dunia Yatikisika Vita Ya Russia Kutikisa Uchumi-Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Madabida na Wenzake Watano Waachiwa Huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Februari 24, 2022 imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam,...

READ MORE

Urusi Yazuia Ndege za Uingereza Kupita Kwenye Anga Lake

 UPDATES: #UPDATES: Mashirika ya Ndege ya Uingereza yamepigwa marufuku kutua katika Viwanja vya Ndege vya Urusi pamoja na kupita...

READ MORE

Waandishi Wawili wa Habari Wakamatwa na Polisi Wakiwa Kazini

WAANDISHI wawili wa habari mkoani Arusha, Victor Korumba Moshi wa Global TV Online na Alphonce Kusaga wa Triple A Radio,...

READ MORE