×

Habari

Shuhudia Kitu cha Kutisha Chaonekana Anga za Mbali

WANASAYANSI wa Australia wanasema wameona chombo kisichojulikana kinachozunguka eneo la anga za mbali ambacho ni tofauti na vitu vingine katika...

READ MORE

Basi la Kidia One Lapata Ajali

TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba, watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya busi la Kidia One linalofanya safari kati ya Arusha-Dar...

READ MORE

Bilionea Dangote Ashinikizwa Kuwania Urais Nigeria

Kundi la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi...

READ MORE

Channel Za Bure Kurudishwa DStv

  Waziri wa Habari Nape Nnauye leo ametangaza rasmi kurudishwa kwa TV channels za bure kwenye king’amuzi cha DSTV mfano...

READ MORE

Tanga: Watano Wauawa Mapigano ya Wakulima na Wafugaji

MKULIMA Richard Masaki amesema waliona vijana jamii ya kimasai wakiingia katika eneo lao na kuanza kuwashambulia, kwa kuwapiga na baadae...

READ MORE

Mrithi wa Djuma Shaban Yanga Atajwa

BEKI wa kati wa Yanga, Ibrahim Abdallah Hamad ‘Bacca’, amekabidhiwa jukumu la kurithi mikoba ya kucheza upande wa kulia baada...

READ MORE

Live: Polepole Aibua Mjadala ‘Kula Urefu Wa Kamba’ Ahoji Mawaziri, Huyu Ndiyo Mrithi Wa Maalim…Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Vijana Watakiwa Kuchangamkia Shindano la Kujilinda HIV na Uzazi wa Mpango

      Vijana hapa nchini wametakiwa kushiriki shindano la Cycle For HIV 2022 ili kulinda afya zao kwa kuonesha...

READ MORE

Nguzo za Umeme, Transfoma Zaanguka Mwenge Lufungila

Mchana wa leo Januari 30,2022 katika eneo la Lufungila,Mwengei jijini Dar es Salaam nguzo za umeme pamoja na Transfoma zimeanguka...

READ MORE

Makamu wa Rais Amuwakilisha Rais Samia Katika Ibada, Anglikana

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 30 Januari 2022 amemuwakilisha Rais Samia...

READ MORE

Wateja wa Vodacom M-Pesa Kuvuna Gawio la Tzs 3.4 Bilioni Kutoka kwa Miamala ya Pesa

    28 Januari 2022, Dar es salaam: Kampuni ya teknolojia na mawasiliano nchini, Vodacom Tanzania PLC leo imetangaza kuwa...

READ MORE

Wananchi Kupita Bure Daraja la Tanzanite

Kufuatia kukamilika Kwa ujenzi wa Daraja la Tanzanite Bridge (Salenda) sasa rasmi litaanza kutumika Februari 2022. Ameeleza Waziri wa Ujenzi...

READ MORE

Duni Haji Mwenyekiti Mpya ACT, Kumrithi Maalim Seif

  Mkutano Mkuu Taifa katika kikao chake kilichofanyika jana tarehe 29 Januari 2022 katika ukumbi wa Mlimani City Dar es...

READ MORE

DC Jokate, Wafanyakazi wa DCB Benki Wafanya Usafi

  Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo  ameungana na kufanya usafi pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Biashara ya...

READ MORE

Rais Samia Afanyiwa Hafla Maalum Ya Kumtakia Kheri Ya Kuzaliwa Kwake Na Viongozi Wa Dini- Video

Viongozi wa dini wa Tanzania wamefanya kongamano maalum la kumtakia kheri ya kuzaliwa na baraka za mwaka mpya Rais wa...

READ MORE

Mwanafunzi Agongwa na Basi la Al Saedy, Afariki Dunia

MWANAFUNZI Nurdin Ally (6) amefariki dunia baada ya kugongwa na basi kampuni ya Al Saedy lililokuwa likitokea Dodoma kuelekea Morogoro....

READ MORE

Baba wa Askari Aliyejinyonga Mahabusu “Hakuna Picha Inayoonyesha Amejinyonga”

Gaitan Mahembe, ambaye ni baba mzazi wa aliyekuwa Mrakibu Msaidizi wa Polisi anayedaiwa kujinyonga, Greyson Mahembe akiwa mahabusu mkoani Mtwara...

READ MORE

Mauaji Tena Tanga: Mtoto Amuua Mtoto Mwenzake wa Miaka 9

JESHI la polisi mkoani Tanga linamshilikia mtoto wa miaka (9) mkazi wa mji mpya Hale na mwanafunzi wa shule ya...

READ MORE

TANESCO Yatangaza Mgao wa Umeme Siku 10

SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limetangaza rasmi kuanza mgao wa umeme wa siku 10 nchi nzima kuruhusu matengenezi ya mitambo...

READ MORE

Tanzania, Marekani Kushirikiana Kiutalii

Tanzania na Jimbo la Dallas la nchini Marekani zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika nyanja za utalii, michezo, uwekezaji pamoja na kubadilishana...

READ MORE

Mzee Lowassa Alazwa Muhimbili

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo. Taarifa kutoka...

READ MORE

Mke Acharangwa Mapanga na Mumewe Kisa Simu ya Tsh 24,000

MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Josephine Boniface (30), Mkazi wa Kijiji cha Lyowa Mkoani Mtwara, amejeruhiwa kwa kukatwa na...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Kesi ya Mbatia

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi,...

READ MORE

Moto Wateketeza Maduka Geita

  Maduka 16 ya Wafanyabiashara wa soko la CCM kakubilo lililopo Wilaya ya Geita Mkoani Geita yameungua kwa moto na...

READ MORE

Breaking: Ajali Yaua Wawili na Kujeruhi 8 Kimara Suka

WATU wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine wanane kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori lililovamia kituo cha daladala cha Kimara...

READ MORE

Aliyemtishia Nape Bastola Kizimbani, Mtifuano Wa Kisheria Urio Akitoa Ushahidi | Front Page-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

NMB Yaendelea Kuwa Benki Kinara wa Ufanisi Nchini

BENKI ya NMB jana imetangaza matokeo ya uendeshaji wake ya mwaka 2021 ambapo imeweka rekodi nyingine ya utendaji kwa kupata faida...

READ MORE

Kituo Cha Elimu Ustawi Wa Jamii Chatinga Karume

  Timu ya wataalam wa ustawi wa jamii na saikolojia kutoka kituo cha elimu, ushauri na msaada wa kisaikolojia kilicho...

READ MORE

Majambazi Watatu Wauawa Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limewaua watu watatu wanaodaiwa kuwa majambazi waliokuwa katika mpango wa...

READ MORE

CRDB Yapata Washindi Wa Droo Ya Shinda Na TemboCard Visa Cameroon

  Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB, Boma Raballa (wa pili kushoto) akimkabidhi mfano wa tiketi...

READ MORE

Kocha Pablo Aomba Radhi Mashabiki wa Simba

KOCHA Mkuu wa Timu #Simba, Franco Pablo Martin amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia kichapo cha 1-0...

READ MORE

Dada wa Rais Samia Afunguka Usiyoyajua Kuhusu Mhe. Rais

Siku kama ya leo miaka 62 iliyopita katika visiwa vya Zanzibar alizaliwa mwanamke ambaye leo ni Rais wa Awamu ya...

READ MORE

Samia: Nilisaka Ajira Nikiwa Mdogo, Nikatimuliwa

RAIS Samia Suluhu, ambaye leo anatimiza miaka 62 amesema alianza kusaka ajira akiwa na umri mdogo ambapo awali alikataliwa kutokana...

READ MORE

Nyumba 50 Ndani ya Jengo la Uhuru Heights Kuuzwa

Kampuni ya Cosmos Properties ya jijini Dar es Salaam, ambayo ni mmiliki wa nyumba 50 katika jengo la Uhuru Heights...

READ MORE

Gari Linalopaa Kama Ndege Laweka Rekodi

Gari linalopaa lenye uwezo wa kusafiri kilomita zaidi ya 160 kwa saa kwa na urefu wa zaidi ya mita 2,500...

READ MORE

Dodoma: Kikongwe wa Miaka  80 Ajinyonga

Mkazi wa Njedengwa mkoani Dodoma, Edward Lusito anayekadiriwa kuwa na zaidi ya umri kati ya miaka 80 hadi 90 amekutwa...

READ MORE

Kisa Mke, Mstaafu wa Polisi Ajinyongea Waya wa Pasi

MSTAAFU wa Jeshi la Polisi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro bwana Omary Msangi amejinyonga hadi kufa bafuni kwake kwa kutumia...

READ MORE

Roketi ya Elon Musk Kugongana na Mwezi

Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na...

READ MORE