×

Habari

Hatimaye Gugai Aachiwa Huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai...

READ MORE

Kesi ya Mbowe: Shahidi Akutwa na Simu & ‘Diary’ Kizimbani

Shahidi wa pili upande wa mashtaka katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...

READ MORE

Mwanamke wa Kwanza Ateuliwa Waziri wa Mambo ya Ndani

RAIS wa Msumbiji Filipe Nyusi amemteua Arsenia Felicidade Felix Massinge kuwa waziri wa kwanza mwanamke wa Mambo ya Ndani nchini...

READ MORE

Makamba: Hakuna Uhaba wa Mafuta, Bosi TPDC Ajieleze

WAZIRI wa Nishati January Makamba, amesema Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini, Dkt. James Makaragio, atafika ofisini kwake...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Itaboresha Sekta ya Umwagiliaji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga fedha nyingi kwa ajili ya kununua mitambo mikubwa na ya kisasa ya kuchimba...

READ MORE

Polisi Dar: Salimisheni Silaha Zenu

IKIWA ni siku chache baada ya Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi, George Simbachawene kutoa msamaha kwa...

READ MORE

Baba Amuua Mwanae kwa Kipigo Akimlazimisha Kuolewa

JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo Baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa Kijiji cha Lufubu wilaya...

READ MORE

Wanandoa Wamuua Bosi Wao Kisa Hajawalipa Mshahara

WANANDOA wawili ambao walikuwa wakifanya kazi za vibarua, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa tuhuma za kumuua mwajiri...

READ MORE

Maeneo Aliyotembelea Rais Samia Nchini Misri Jana

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, jana Alhamisi, Novemba 11, 2021 ameendelea na Ziara yake ya Kiserikali nchini Misri ambapo:...

READ MORE

Rais Rais Samia Alivyoagwa Misri Baada Ya Kumaliza Ziara -Video

 RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 12, 2021 amekamilisha siku 3 za ziara yake nchini Misri na tayari amepanda...

READ MORE

Wazee wa Kwamsisi Wagoma: Bila Tambiko Barabara Haijengwi

WAZEE wa Kijiji cha Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga wamezuia ujenzi wa barabara ya lami ya Afrika Mashariki inayopita katika...

READ MORE

Tanzia: Baba T Afariki Dunia

ALIYEKUWA Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya East Africa Radio Baba T, amefariki dunia jana katika Hospitali ya Rabininsia...

READ MORE

Guinness Smooth Yazinduliwa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na ‘Vibe’ la Kutosha

    WAKAZI wa Mbeya na eneo zima la kanda ya Nyanda za juu kusini, sasa wanaweza kufurahia ladha ya...

READ MORE

Infinix Note 11, Note 11 Pro Zatua Rasmi Bongo

Dar-es-Salaam. 12 Novemba 2021, Kampuni ya simu za mkononi Infinix yazindua rasmi Infinix NOTE 11 na NOTE 11 pro kwa...

READ MORE

Agizo la Polisi kwa Mabasi Kuelekea Desemba

JESHI la Polisi limetoa onyo kwa wamiliki na waendeshaji wa vyombo vya moto, hasa mabasi ya abiria watakaokiuka sheria za...

READ MORE

Mambo 7 Aliyoyazungumza Rais Samia Misri

RAIS Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya siku tatu nchini Misri ambapo katika siku ya kwanza amekutana na kufanya mazungumzio...

READ MORE

Serikali Yasisitiza Kusafirisha Wanyamapori Hai Nje ya Nchi

Serikali imesema hakutakuwa tena na biashara ya usafirishaji wa wanyamapori hai nje ya nchi kwa ajili ya shughuli za kibiashara...

READ MORE

‘Marehemu’ Arejea nyumbani Wakati Ndugu Wakiandaa Mazishi

TAHARUKI imeibuka kwa wakazi wa West Pokot wakati wakiwa kwenye harakati za kuandaa mazishi ya jamaa yao mmoja aliyejulikana kwa...

READ MORE

Shisha Janga Jipya Nchini

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imesema ongezeko la wimbi la watumiaji wa Shisha umesababisha...

READ MORE

Miaka 60 ya Uhuru Uwanja wa Uhuru

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo amefanya kikao kazi Cha Maandalizi ya maadhimisho ya miaka...

READ MORE

Mabaki ya Kichwa cha Mwanafunzi Aliyeliwa na Mamba Yazikwa

BUCHOSA: Mabaki ya mwili wa mwanafunzi aliyekuwa akisoma darasa la nne katika Shule ya Msingi Nyakasasa iliyoko Halmashauri ya Buchosa...

READ MORE

Moto wa Ajabu Wailaza Nje Familia

Familia mmoja Manispaa ya Musoma Mkoani Mara imelazimika kulala nje kutokana na nyumba waliyokuwa wanaishi kuwaka moto wa ajabu ambao...

READ MORE

Ndugai: Wanawake Wenye Mamlaka Msivimbe

Spika wa bunge, Job Ndugai amewataka wanawake wenye mamlaka kutotumia vyeo vyao vibaya. Spika Ndugai amesema mtu akipewa mamlaka halafu...

READ MORE

RC Makalla Azindua Soko la Coca Cola Kwanza Kimbilio la Wamachinga na Mama Lishe

    MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla leo amezindua ujenzi wa soko jipya la kisasa linalotarajiwa...

READ MORE

Mbowe Ashinda Pingamizi la Kwanza

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Alhamisi, Novemba 11, 2021 imepokea pingamizi la kwanza la...

READ MORE

Rais Nyusi Amfuta Kazi Waziri wa Ulinzi

RAIS wa Msumbiji, Filipe Nyusi amemfuta kazi waziri wa ulinzi Jaime Augusto Neto (pichani). Hatua hii inakuja siku moja tu...

READ MORE

Tanzia: Rais FW de Klerk Afariki Dunia

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, F.W de Klerk amefariki...

READ MORE

Steven Gerrard Kocha Mpya Aston Villa

Nahodha wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya England, Steven Gerrard,  leo Novemba 11, 2021 ametangazwa...

READ MORE

Wawili Watupwa Jela kwa Kufanya Ngono Barabarani

WAPENZI wawili Hafashimana Paskari (29) mkazi wa Kijiji cha Migeshi, Rwaramba nchini Unganda na mwanadada Muhawenimana Colodine Mukamurenzi (24) mkazi...

READ MORE

Wanandoa Waliosambaza ‘Picha za Utupu za Rais’ Waachiwa

WANANDOA wa Zimbabwe wameachiliwa huru kutoka kizuizini baada ya hakimu kufutilia mbali kesi dhidi yao kwa madai ya kusambaza picha...

READ MORE

Shida ya Maji Dar Pasua Kichwa

UNAAMBIWA ni mwendo wa madumu tu katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kutokana na uhaba wa maji unaoendelea...

READ MORE

Mwanafunzi Aliwa na Mamba Akiogelea

MWANZA: Mwanafunzi wa darasa la nne Shule ya Msingi Nyakasasa, aitwaye Ntogoso Gunya (12) amefariki dunia baada ya kuliwa na...

READ MORE

Waliofukuzwa CUF Watema Nyongo “CUF Sio Dini”

SIKU moja baada ya Chama cha Wananchi (CUF) kutangaza kuwavua uanachama viongozi wake saba, wenyewe wamesema wao bado ni wanachama...

READ MORE

Championi, Spoti Xtra Yamwaga Zawadi ya Vitabu vya Shigongo

DROO ya kwanza ya promosheni ya Shinda Zawadi ya Kitabu cha Shigongo, imefanyika leo Novemba 10, 2021 ambapo jumla ya...

READ MORE

Rais Samia Awasili Cairo – Video

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 10, 2021 amewasili jijini Cairo, Misri na kuanza ziara ya kiserikali ya siku tatu...

READ MORE

Watanzania 725 Wafariki kwa Corona – Video

WATANZANIA 725 wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Uviko-19 tangu ulipoingia nchini mapema mwaka jana. Idadi hiyo ni kati ya...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Akiwa Misri – Video

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 10, amewasili salama jijini Cairo, nchini Misri...

READ MORE

Wizara Ya Maliasili Yafanikiwa Kutegua Mitego 380 Ya Kuulia Wanyamapori

Wizara ya Maliasili na Utalii  imefanikiwa kutegua nyaya za umeme 380 zilizokuwa zimetegwa katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ikiwa...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni kwa Kumuoa Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza

MWALIMU wa Shule ya Msingi Itete, Kata ya Kirando wilayani Nkasi, Clarence Mwanakurya (29) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa...

READ MORE