×

Habari

Breaking: Dkt. Tulia Ndiye Mshindi wa Uspika

Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya...

READ MORE

#UchaguziWaSpika: Mtia Nia Awaacha Hoi Wabunge

WAKATI wabunge wakiendelea kusikiliza hoja za watia nia wanaowania kurithi mikoba ya Job Ndugai, Bungeni jijini Dodoma, Ndonge Said Ndonge,...

READ MORE

ATCL Yapewa Maagizo Bei za Tiketi

NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Atupele Mwakibete ameitaka idara ya Masoko ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) kufanya...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Amteua Zuhura Yunus Kuwa Msemaji wa Ikulu

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Zuhura Yunus Abdallah kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Hawa Ndio Wagombea 9 Wanaowania Uspika wa Bunge – Video

Saa chache ziliwa zimebaki kumfahamu atakayeongoza mhimili wa Bunge, Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi amesema wagombea tisa watawania naafasi hiyo...

READ MORE

Breaking: Dkt. Tulia Ajiuzulu Unaibu Spika

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amejiuzulu nafasi yake hiyo ya Unaibu Spika...

READ MORE

Live: Mkutano Wa 6, Kikao Cha Kwanza, Bunge La 12, Wabunge Wanapiga Kura Za Kumchagua Spika…

Ni mkutano wa sita, kikao cha kwanza, bunge la 12, ambapo wabunge wanapiga kura za kumchagua spika wa bunge, baada...

READ MORE

Live: Utata Zaidi Waibuka Askari Aliyejinyonga, Polisi Wanaswa Mikono, Maumivu Mgao Wa Umeme…Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Moto Wateketeza Soko la Mbuyuni Kilimanjaro

MOTO mkubwa ambao chanzo chake bado hakijajulikana, usiku wa kuamkia leo Februari Mosi 2022 umeteketeza sehemu ya soko la Mbuyuni...

READ MORE

Wateja 25 Droo ya Mwezi wa kwanza, NMB MastaBata wazoa Mil 25/=

  WAKATI kampeni ya NMB MastaBata – Kivyako Vyako ikizidi kunufaisha wateja kwa washindi 25 wa mwezi wa kwanza wa...

READ MORE

Absa Yastahimili Dhoruba Ya Janga la COVID- 19

  Benki ya Absa Tanzania imeendelea kuimarika karika shughuli zake za kibiashara licha ya misukosuko kwenye soko iliyotokana na janga...

READ MORE

Auawa kwa Tuhuma za Kutengeneza Radi

MWANANCHI mmoja mkazi wa Halmshauri ya Nsimbo mkoa wa Katavi, Baraka Kabisu, ameuawa na wananchi wenye hasira kali wakimtuhumu kuwa...

READ MORE

Mchungaji Mbaroni kwa Kulala na Mke wa Mtu na Mabinti Zake Wawili

MCHUNGAJI Mmkuu wa Kanisa la Olomore Abeokuta, Mchungaji Timothy Oluwatimilehin, amekamatwa na maafisa wa Polisi wa Ogun nchini Nigeria kwa...

READ MORE

Wabunge wa CCM Wampitisha Dkt. Tulia Uspika

KAMATi ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kikao chao (Caucus) wamempitusha Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson...

READ MORE

Anga Lachafuka Makombora ya Korea Kaskazini

VYOMBO vya Habari vya serikali nchini Korea Kaskazini vimetoa picha zinazosema kuwa zilichukuliwa kutokana na majaribio ya kombora lake kubwa...

READ MORE

Waliohusika na Mauaji Tanga Kusakwa

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Tanga Adam Malima, amesema atahakikisha kila aliyeshiriki kwenye mauaji wa...

READ MORE

Watu 13 Wauawa Kwenye Daladala Baada ya Kukanyaga Bomu

TAKRIBANI watu 13 wamefariki dunia kufuatia mlipuko uliotokea leo, Januari 31, 2022 asubuhi katika eneo la Mandera, Kaskazini mwa Kenya,...

READ MORE

Polisi Yafafanua Kifo cha Afande Aliyejinyonga Mahabusu

Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazoendelea kuhusu tukio la kujinyonga hadi kufa kwa mkaguzi msaidizi wa...

READ MORE

CCM Kubariki Dkt. Tulia Amrithi Job Ndugai

KAMATI ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo inakutana jijini Dodoma kuridhia, Dk Tulia Ackson agombee uspika wa Bunge...

READ MORE

Siku 10 za Maumivu, Ratiba Nzima ya Mgao wa Umeme Hii Hapa

WAKATI ratiba ya mgao wa umeme katika baadhi ya maeneo nchini wa siku kumi ikiwa haijatoka, wananchi, wakiwamo wafanyabiashara wadogo...

READ MORE

Kijana Akataa Milioni 11 za Bilionea Namba 1 Duniani

KIJANA mwenye umri wa miaka 19 aitwae Jack Sweeney amekataa ofa ya dola za Kimarekani 5000 ( sawa na Tsh....

READ MORE

Familia Yataka Muuaji wa Mtoto Wao Aachiwe

FAMILIA ya marehemu Ally Khalifa Bakari, mtoto mwenye umri wa miaka (9) aliyefariki kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali...

READ MORE

Shuhudia Kitu cha Kutisha Chaonekana Anga za Mbali

WANASAYANSI wa Australia wanasema wameona chombo kisichojulikana kinachozunguka eneo la anga za mbali ambacho ni tofauti na vitu vingine katika...

READ MORE

Basi la Kidia One Lapata Ajali

TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba, watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya busi la Kidia One linalofanya safari kati ya Arusha-Dar...

READ MORE

Bilionea Dangote Ashinikizwa Kuwania Urais Nigeria

Kundi la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi...

READ MORE

Channel Za Bure Kurudishwa DStv

  Waziri wa Habari Nape Nnauye leo ametangaza rasmi kurudishwa kwa TV channels za bure kwenye king’amuzi cha DSTV mfano...

READ MORE

Tanga: Watano Wauawa Mapigano ya Wakulima na Wafugaji

MKULIMA Richard Masaki amesema waliona vijana jamii ya kimasai wakiingia katika eneo lao na kuanza kuwashambulia, kwa kuwapiga na baadae...

READ MORE

Mrithi wa Djuma Shaban Yanga Atajwa

BEKI wa kati wa Yanga, Ibrahim Abdallah Hamad ‘Bacca’, amekabidhiwa jukumu la kurithi mikoba ya kucheza upande wa kulia baada...

READ MORE

Live: Polepole Aibua Mjadala ‘Kula Urefu Wa Kamba’ Ahoji Mawaziri, Huyu Ndiyo Mrithi Wa Maalim…Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Vijana Watakiwa Kuchangamkia Shindano la Kujilinda HIV na Uzazi wa Mpango

      Vijana hapa nchini wametakiwa kushiriki shindano la Cycle For HIV 2022 ili kulinda afya zao kwa kuonesha...

READ MORE

Nguzo za Umeme, Transfoma Zaanguka Mwenge Lufungila

Mchana wa leo Januari 30,2022 katika eneo la Lufungila,Mwengei jijini Dar es Salaam nguzo za umeme pamoja na Transfoma zimeanguka...

READ MORE

Makamu wa Rais Amuwakilisha Rais Samia Katika Ibada, Anglikana

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 30 Januari 2022 amemuwakilisha Rais Samia...

READ MORE

Wateja wa Vodacom M-Pesa Kuvuna Gawio la Tzs 3.4 Bilioni Kutoka kwa Miamala ya Pesa

    28 Januari 2022, Dar es salaam: Kampuni ya teknolojia na mawasiliano nchini, Vodacom Tanzania PLC leo imetangaza kuwa...

READ MORE

Wananchi Kupita Bure Daraja la Tanzanite

Kufuatia kukamilika Kwa ujenzi wa Daraja la Tanzanite Bridge (Salenda) sasa rasmi litaanza kutumika Februari 2022. Ameeleza Waziri wa Ujenzi...

READ MORE

Duni Haji Mwenyekiti Mpya ACT, Kumrithi Maalim Seif

  Mkutano Mkuu Taifa katika kikao chake kilichofanyika jana tarehe 29 Januari 2022 katika ukumbi wa Mlimani City Dar es...

READ MORE

DC Jokate, Wafanyakazi wa DCB Benki Wafanya Usafi

  Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo  ameungana na kufanya usafi pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Biashara ya...

READ MORE

DCB Kuwawezesha Wanawake Kiuchumi

 

READ MORE

Rais Samia Afanyiwa Hafla Maalum Ya Kumtakia Kheri Ya Kuzaliwa Kwake Na Viongozi Wa Dini- Video

Viongozi wa dini wa Tanzania wamefanya kongamano maalum la kumtakia kheri ya kuzaliwa na baraka za mwaka mpya Rais wa...

READ MORE