×

Habari

Mwanafunzi Kidato cha Tatu Ajifungua, Akitupa Kichanga – Video

MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Kachwamba wilayani Chato, Keflin Charles (17) anatuhumiwa na Jeshi la Polisi...

READ MORE

Prof. Ndalichako Aishukuru Benki ya Dunia Kwa Kufadhili Miradi Ya Elimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameishukuru Benki ya dunia kwa kuendelea kufadhili miradi ya...

READ MORE

Askari Magereza Mbaroni Akitaka Kujiua Baada ya Kubaka

JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala linamshikilia Askari wa Jeshi la Magereza mwenye namba B 9780 WDR Said Hassan Said...

READ MORE

Kimbunga Ida Chaua Watu 41 Marekani

RAIS wa Marekani Joe Biden anasema “uwekezaji wa kihistoria ” unahitajika kukabiliana na mzozo wa hali ya hewa, huku maeneo...

READ MORE

Mara: Aliyekaa Mochwari Miezi 8 Azikwa – Video

MWILI wa marehemu mzee Wilson Ogeta Owit ( 89) mkazi wa Kijiji cha Nyambogo wilayani Rorya mkoani Mara umeshindikana kuzikwa...

READ MORE

Shigongo: Wasio na Form Four Waruhusiwe Kusoma Vyuo – Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo ametoa mapendekezo yake kuhusu muswada wa maboresho ya mfumo wa elimu nchini...

READ MORE

Watu 12 Wafariki DR Congo kwa Sumu ya Mgodini

KARIBU watu 4,500 wameugua kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia kuvuja kwa sumu kutoka kwa mgodi wa almasi...

READ MORE

Mchungaji Achoma Moto Mawigi ya Muumini

Mchungaji Cyril Utomi kutoka Nigeria ameyachoma mawigi na vipodozi vya muumini wa kike kwa madai asingeweza kukutana na Yesu akiwa...

READ MORE

Kesi ya Mbowe Yaanza Kuunguruma Mahakama ya Mafisadi

KESI ya uhujumu uchumi inayowakabili mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi leo...

READ MORE

Kauli ya Polepole Baada ya Kuhojiwa na CCM

  Kamati ya Maadili ya Wabunge wa CCM leo Ijumaa, Septemba 3, 2021 imewaita Dodoma kuwahoji Wabunge Jerry Silaa na...

READ MORE

Wafanyakazi 7,000 GGML Waipaisha Geita

ZAIDI ya wafanyakazi 7,000 walioajiriwa kwenye kampuni ya uchimbaji wa madini Geita (GGML) wameupaisha mkoa wa Geita baada ya michango...

READ MORE

Polepole, Gwajima, Silaa Waitwa Kuhojiwa CCM – Video

WABUNGE watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwamo Mbunge wa Kuteuliwa, Humpherey Polepole watawekwa kikaangoni leo na Kamati ya Maadili...

READ MORE

Kampuni za Simu Zageukia Biashara ya Magari ya Umeme

USHINDANI katika sekta ya mawasiliano duniani unaendelea kushika kasi huku baadhi ya kampuni za simu zikianza kugeukia biashara ya utengenezaji...

READ MORE

Serikali Yamwaga Bil 15 Kunusuru Soko la Mahindi ya Wakulima – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeshatoa Sh15 bilioni kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kununua...

READ MORE

Majaliwa: RITA na NIDA Haziwezi Kuunganishwa – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali haiwezi kuunganisha taasisi za NIDA na RITA kutokana na tofauti za majukumu yake.  ...

READ MORE

Yaliyojiri Kortini Kesi ya Mwakabibi

KESI inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam Lusubilo Mwakabibi na mwenzake Edward Haule ambaye alikuwa...

READ MORE

Polisi: Hamza Alikuwa ni Gaidi wa Kujitoa Mhanga – Video

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amesema, uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi kuhusu Hamza Mohamed...

READ MORE

Aliyekaa Mochwa Mochwari Miezi 8 Azikwa

Hatimaye Mwili wa Wilson Ogeta mkazi wa Nyambogo Wilayani Rorya uliokaa miezi 8 mochwari, umezikwa kwa usimamizi wa Mkuu wa...

READ MORE

Wakulima Tumbaku Tabora, Kigoma Waipokea Bima ya Afya ya NBC

WAKULIMA wa zao la tumbaku katika mikoa ya Tabora na Kigoma wameonyesha kuridhishwa na mpango wa bima ya afya kwa...

READ MORE

Mbele ya Rais Samia, RC Makalla Afunguka – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amekiri mafuriko ni tatizo kubwa kwa wakazi wa mkoa wake na...

READ MORE

Kifo Cha Msanii Chaacha Simanzi Rwanda

KIFO cha ghafla cha msanii nyota muziki wa Hip hop nchini  Rwanda, Joshua Tuyishime ‘Jay Polly’, aliyefariki ghafla akiwa hospitalini...

READ MORE

Breaking: Mama wa Kwandikwa, Flora Andrea Afariki Dunia

Bi. Flora Andrea ambae ni mama mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Hayati Elias Kwandikwa...

READ MORE

R. Kelly Alinitoa Usichana Wangu, Nilitoka na Tisheti Aliyofutia Mbegu Zake

KESI ya mwimbaji wa R&B nchini Marekani R. Kelly mapema wiki hii imeanza kuunguruma katika mahakama huko Brooklyn, New York....

READ MORE

NMB Yaikabidhi Vifaa Vya Michezo Timu za Bunge,Tayari kwa Mechi ya Jumamosi

Benki ya NMB, leo imekabidhi vifaa vya michezo kwa timu saba za Bunge Sports Club, zinazoundwa na Wabunge wa Bunge...

READ MORE

Rais Samia: Nisiwafiche Tozo Zitaendelea Kuwepo – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa tozo za miamala ya simu zitaendelea kuwepo,...

READ MORE

SBL Yatoa Semina ya Ugonjwa wa Corona na Chanjo kwa Wafanyakazi Wake

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)Prof. Mohamed Janabi akitoa mada juu ya ugonjwa wa Corona kwa baadhi...

READ MORE

EWURA Yasitisha Bei Mpya za Mafuta Nchini

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitishwa kwa bei mpya za mafuta zilizotangazwa ambazo zilipaswa...

READ MORE

Rais Samia Akutana Uso kwa Uso na Askofu Gwajima – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na Mbunge wa Kawe ambaye pia ni Askofu...

READ MORE

Jokate Aagiza Kukamatwa Viongozi wa Chuo

MKUU wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameagiza kuwekwa chini ya ulinzi kwa Viongozi wa Chuo cha Lubando Training College...

READ MORE

Tigo, Benki ya Afrika (Tanzania) Wazindua Huduma ya Tigo Pesa Kibubu.

      DAR ES SALAAM, 02, Septemba 2021– Mtandao unaoongoza katika kuhakikisha mtanzania anaishi maisha ya Kidigitali hapa nchini...

READ MORE

Wahamiaji 20 kutoka Morocco wafariki-baharini

Wahamiaji 20 wasio wa kawaida waliojaribu kufika kwenye Visiwa vya Canary kusini-magharibi mwa Uhispania kutoka pwani ya Morocco walipoteza maisha...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 2, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 2, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Harmonize Amtembelea Mama Janeth Magufuli

Star wa Bongo Fleva na bosi wa Konde Music Worldwide, Harmonize amemtembelea Mama Janeth Magufuli mke wa aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Mbunge Ataka Wafungwa Waende na Magodoro Gerezani

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe Neema Gerald, amesema kuwa ili kuipunguzia serikali mzigo wa kununua magodoro kwa ajili...

READ MORE

Morogoro: Wawili Wakutwa Wamekufa Bwawa la Mindu

WATU wawili ambao majina yao hayajajulikana mara moja, mwanamke anayekadiliwa kuwa na umri kati ya miaka 25-30 na mtoto wa...

READ MORE

Tanzania Kuzitoza Kodi Facebook, Twitter, Instagram & Apple

SERIKALI ya Tanzania imesema inatarajia kuanza kuyatoza kodi makampuni ya Google, Facebook, Instagram, Twitter, Apple na yote yanayoendesha huduma za...

READ MORE

Mwanafunzi Kidato cha 4 Auawa kwa Mapanga Kisa Mke wa Mtu

MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kapsumbeiywo huko Kuresoi Kusini, Kaunti ya Nakuru nchini Kenya ameuawa...

READ MORE

Dkt. Jingu Atembelea Gereza Kuu Wanawake Kingolwira

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Dkt. John Jingu ametembelea Gereza Kuu la Wanawake la...

READ MORE

Mbowe Akwama Mahakama ya Mafisadi – Video

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, maaarufu ‘Mahakama ya Mafisadi’, imetupilia mbali pingamizi ililowasilisha na Mwenyekiti...

READ MORE