×

Habari

Nabi Apandisha Mzuka Yanga

BAADA ya kuvuna pointi tatu kwenye mchezo uliopita dhidi ya Simba, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameonekana mzuka umepanda...

READ MORE

Breaking: Rais Zuma Ajisalimisha Polisi

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amejisalimisha polisi kuanza kifungo cha miezi 15 jela baada ya kuhukumiwa kwa...

READ MORE

Rais Kenyatta Kuzindua Miradi Usiku Kwazua Mijadala

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amekosolewa na raia wa nchi hiyo kwa kuzindua miradi wakati wa saa za amri ya...

READ MORE

Zimbabwe Yatoa Noti Mpya ya Thamani ya Juu Zaidi

Kuanzia Jumatano nchini Zimbabwe itasambazwa noti mpya ya dola 50, ikiwa ndio yenye thamani kubwa zaidi kuwahi kutolea Zimbabwe tangu...

READ MORE

Mke wa Rais wa Haiti Hajafariki

Mke wa aliyekuwa Rais wa Haiti Jovenel Moïse (aliyeuawa jana kwa shambulio), Bi. Martine Moïse (47) hajafariki kama ilivyoripotiwa awali...

READ MORE

Samia: Chokochoko Zimeanza, Washajua Matumbo Yao Yanajaaje – Video

    RAIS wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Morogoro na kupata...

READ MORE

Papa Francis Awateua Watanzania Wawili

Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amewateua Padri Henry Mchamungu na Padri Stephano Musomba kuwa maaskofu wasaidizi wa...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Mkurugenzi wa Barrick Gold

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Julai 7, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Barrick...

READ MORE

Breaking: Rais wa Haiti Auawa Kwenye Makazi Yake

Rais wa Haiti Jovenel Moise ameuawa katika shambulio dhidi ya makazi yake mjini Port-au-Prince – amesema kaimu Waziri mkuu Claude...

READ MORE

Rais Samia Ataja Mikoa Yenye Wagonjwa wa Corona – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema wimbi la tatu la ugonjwa wa corona limeshaingia nchini na tayari kuna wagonjwa katika mikoa...

READ MORE

Balozi Mulamula Aapa kuwa Mjumbe wa Baraza la Maamuzi EALA

BUNGE la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) limemuapisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata...

READ MORE

Sabasaba Kumekucha, Wananchi Waanza Kumiminika

Ikiwa leo ni Maadhimisho ya sabasaba mapema leo wananchi wameanza kufurika katika maonesho ya 45 yaBiashara yaKimataifa yanayofanyika viwanja vya...

READ MORE

Nabii Paul: Niliwaona Malaika Wakimbeba TB Joshua

KATIKA video iliyosambaa sana, mjumbe wa Mungu Nabii Paul alitabiri kwamba aliwaona malaika, waliomchukua Nabii TB Joshua kutoka duniani.  ...

READ MORE

Miili ya Watu Waliokufa Maji Yaokolewa

MIILI ya watu watano akiwemo mwanafunzi wa kidato cha nne waliokuwa wakihofiwa kufa maji Wilayani Singida imepatikana na kuopolewa baada...

READ MORE

Pasta Asherehekea Kifo cha TB Joshua

PASTA mmoja wa Uganda alisherehekea kifo cha Nabii Temitope Balogun Joshua, almaarufu TB Joshua, akimtaja marehemu kama “mchawi mkuu barani...

READ MORE

Aweso Amgomea Jen. Mwamunyange

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amekataa ombi la Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira DAWASA,...

READ MORE

Breaking: Ajali Yateketeza Maabara Sekondari ya Geita

AJALI mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo Jumatano, Julai 7, 2021, baada ya moto kulipuka katika jengo la maabara ya...

READ MORE

Mzozo Waibuka Mazishi ya Rais Kaunda

BAADHI ya wanafamilia ya Rais wa zamani wa Zambia, Dkt. Kenneth Kaunda wamekwenda kortini kujaribu kuzuia mazishi yake katika uwanja...

READ MORE

Wanachama 17 NHIF Mbeya Mbaroni

Wanachama 17 wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) mkoani Mbeya wanashikiliwa na polisi wakituhumiwa kuisababishia Serikali hasara...

READ MORE

Mwanakijiji Moro Ashinda Zawadi Nono ya Gari la Mil 169 Kutoka NMB

Promosheni ya Benki ya NMB ya “Bonge la Mpango” imemalizika rasmi Jumatano wiki hii kwa mkazi wa Mkoa wa Morogoro,...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan,  amezungumza kwa njia ya simu na Waziri wa Mambo ya...

READ MORE

Auawa Baada ya Kumfumania Mama Yake Mzazi na Mwanaume Mwingine

JESHI la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya kumchinja Budagala Vita (26), kwa kumcharanga...

READ MORE

Kiungo Mkenya amalizana na Yanga

YANGA inatajwa kumalizana na kiungo mshambuliaji na nahodha wa Gor Mahia ya Kenya, Kenneth Muguna kwa kumpa mkataba wa miaka...

READ MORE

Serikali Yatoa Mwongozo Mpya Kupambana Na Corona

Serikali kupitia Wizara ya Afya imewataka wananchi kuendelea kujikinga na Corona kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ikiwemo kuvaa...

READ MORE

RC Makalla: Fedha za TASAF Wasipewe Wajanjawajanja

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Watumishi wote wanaokwenda kutekeleza na kuhakiki Kaya maskini kuhakikisha...

READ MORE

Kachero Ofisi ya DCI Afa Kwenye Send-Off

Kachero mmoja kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchini Kenya maarufu kwa jina la Shiru,...

READ MORE

Majina ya Madaktari Walioajiriwa na Serikali Julai 2021

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Idara Kuu ya Afya, Prof. Abel Makubi, amesema...

READ MORE

Dk. Mpango Apongeza Udhamini wa NBC Maonyesho Sabasaba

Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango, ameipongeza Benki ya NBC kwa udhamini wake mkuu wa maonyesho ya biashara ya kimataifa...

READ MORE

Wastaafu Watembelea SGR Morogoro

Viongozi wastaafu wakiongozwa na marais wastaafu wa awamu ya pili na ya nne, Ali Hassan Mwinyi na Jakaya Mrisho Kikwete,...

READ MORE

Watoto Wamuua Baba Yao, Watupa Mwili Wake Kisimani

Katika hali ya kushangaza huko nchini Kenya Watoto wawili wamemuua baba yao huku chanzo cha mgogoro kinatajwa kuwa ni kugombea...

READ MORE

Moto wa Ajabu Waibuka Kwenye Ibada ya Mazishi ya TB Joshua

MOTO umezuka na kuzua taharuki kwa waumini na waombolezaji katika Kanisa Kuu la Kikristo la Mataifa la mhubiri wa kimataifa,...

READ MORE

Simanzi Mazishi ya Eng. Mfugale

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amewaongoza Viongozi mbalimbali na Waombolezaji kutoa salamu...

READ MORE

Mwanafunzi Akutwa Ameuawa Chumba cha Kupanga

MWANAFUNZI mmoja wa Chuo cha KMTC mwenye umri wa miaka 23 amekutwa amefariki kwenywe nyumba yake aliyokuwa amepanga huko Oriang...

READ MORE

Simba Yaifanyia Umafia Yanga, Yaondoka na Nyota Wawili

KLABU ya Simba inasemekana baada ya kufungwa na Yanga, Julai 3, 2021 imeanza kuifanyia umafia timu ya Yanga, kwa kuwasainisha...

READ MORE

Majaliwa: Tumedhamiria Kuendeleza Zao La Zabibu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 5, 2021 ametembelea Kituo cha Utafiti wa Kilimo Tanzania(TARI) katika eneo la uzalishaji miche...

READ MORE

Pacha Alivyookoa Maisha ya Mwenzake Akipumulia Mashine

Ushawahi kusikia kuwa mapacha wana nguvu kubwa sana za kiroho? Ingawa Wanasayansi bado hawajasema kitu kuhusu hilo, kuna watu wanaosema...

READ MORE

Ukatiri: Amuua Mpenzi Wake na Mtoto Kisa Elfu 80

Mkoani Geita, Mwanamume aliyemuua mpenzi wake baada ya familia kushindwa kumlipa pesa alizotumia kumtunza baada ya kuwekeana nadhiri ya ndoa...

READ MORE

Wawili Wafariki, 16 Wanusurika Hifo kwa Kula Chakula Harusini

  WATOTO wawili wamefariki dunia na wengine 15 wamenusurika kifo baada ya kula chakula ambacho kinadhaniwa kuwa na sumu katika...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumiliki Karakana ya Silaha

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumiliki karakana ya kutengeneza silaha za kienyeji aina...

READ MORE

Ulega Ataja Mkakati Wa Kuthaminisha Zaidi Dagaa

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega Julai 3, 2021 amesema serikali imejipanga kuhakikisha inaboresha uvuvi wa dagaa hasusan...

READ MORE