×

Habari

Wafanyakazi, Wanafunzi Wa DIT Watembelea Jimboni Kwa Ridhiwan Kikwete

  Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na ujumbe wa Wanafunzi, Walimu na Wafanyakazi wa Chuo cha...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Hanang Apokea Madawati ya Sekondari ya Katesh

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Janeth Mayanja leo amepokea meza 50 na viti 50 kwa ajili ya sekondari ya Katesh,...

READ MORE

Wallace Karia minne Tena

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wamemthibitisha Wallace Karia kuwa Rais wa TFF kwa kipindi kingine...

READ MORE

Tanzia: Juma Baragaza Afariki Dunia

TANZIA: Mtangazaji maarufu wa Radio Free Afrika na Star TV, Juma Ahmed Baragaza amefariki dunia leo Agosti 7, 2021. Atakumbukwa...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Agosti 07, 2021 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana ...

READ MORE

Mwambusi: Yanga SC Wabadilishe Kikosi Leo

ALIYEKUWA Kocha mkuu wa Yanga SC, Juma Mwambusi ameweka wazi kuwa katika mchezo wa leo timu ya Yanga inabidi iamke...

READ MORE

Breaking: Karia Aidhinishwa Kuiongoza Tena TFF Miaka Minne

Wallace Karia leo Agosti 7, 2021 amepitishwa na wajumbe wote 81 kuwa Rais mteule wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF)....

READ MORE

Ukiwa Kundi Hili Usichanje Mpaka Ushauri wa Daktari

JOPO la wataalamu wa afya wa mashirika ya Kimarekani nchini, limetaja makundi matatu ya watu ambao hawastahili kuchanjwa chanjo ya...

READ MORE

Majambazi Wanne Wauawa Lindi

  JESHI la Polisi mkoani Lindi, limefanikiwa kuwaua watu wanne kati ya sita wanaosadikika kuwa ni majambazi, kufuatia majibizano ya...

READ MORE

Ridhiwani Afanya Ziara Tarafa ya Miono, Asikiliza Kero za Wananchi

Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mhe. Ridhiwan Kikwete jana Agosti 6, 2021 ameendelea na ziara yake katika Tarafa ya Miono kwa...

READ MORE

Watengeza Silaha Wadaiwa Fidia ya Dola Bil 10

Serikali ya Mexico ilifungua kesi dhidi ya watengezaji wakubwa wa silaha nchini Marekani kwa tuhuma za kusababisha vifo na kuchangia...

READ MORE

Muuguzi Arusha Asimamishwa Kazi Kisa Chanjo ya UVIKO-19

Mamlakaa ya ajira imemsimamisha kazi muuguzi Scholastica Leoni Khanje wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mount Meru Arusha kwa...

READ MORE

Kesi ya Kupinga Tozo Miamala ya Simu Yatua Mahakamani

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC), kimefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar...

READ MORE

Shahidi: Sabaya Aliharibu Mfumo wa CCTV, Kamera Zisirekodi

SHAHIDI wa saba katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya...

READ MORE

Askari Polisi Atoweka Siku 41 Hajulikani Alipo, Ndugu Walia

ZIMETIMIA takriban siku 41 sasa hakuna anayejua alipo Emmanuel Govela, ofisa wa polisi aliyekuwa mkuu wa Kituo cha Polisi cha...

READ MORE

Ticha Atuhumiwa Kumbaka Mwanafunzi Wake

MWALIMU wa shule ya Msingi Misuna iliyopo katika Manispaa ya Singida anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumbaka...

READ MORE

Shahidi Kesi ya Sabaya Aangua Kilio Mahakamani

Shahidi namba nane upande wa Jamhuri katika kesi ya jinai Namba 105 ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu...

READ MORE

Ofisa Elimu na Muuguzi Waliofanya Igizo la Chanjo Wasimamishwa Kazi

Ofisi ya Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania imeeleza na kusikitishwa na kulaani kitendo cha Muunguzi msajiliwa Scholastica...

READ MORE

Rais Zuma Alazwa Hospitali

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amelazwa katika hospitali nje ya gereza kwa ajili ya kufanyiwa uangalizi wa...

READ MORE

Umeisikia Hii ya Pampu za Maji na Motor? Bofya Hapa Ushangae!

KWA MARA NYINGINE tena tunakusogezea vitu vikali vya bei chee, tunafahamu kuwa kuna watu wengi bado wanahangaika na shida ya...

READ MORE

Samaki Mwenye Meno ya Binadamu Azua Taharuki

Samaki asiye kuwa wa kawaida mwenye meno ya binadamu amekamatwa nchini Marekani. Picha ya samaki huyo ilisambazwa katika mtandao wa...

READ MORE

CNN Yawafuta Kazi Wafanyakazi Wake Ambao Hawajachanjwa

Shirika la habari nchini Marekani CNN limewafuta kazi wafanyikazi wake watatu kwa kwenda ofisini bila kupewa chanjo dhidi ya Covid,...

READ MORE

CDF Mabeyo: Nadra Kuwapata Binadamu Kama Kwandikwa

MKUU wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (CDF), Jenerali Venance Mabeyo, amemuelezea aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga...

READ MORE

Rais Samia: Kwandikwa Ameaacha Pengo – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kifo cha aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa kimeacha pengo...

READ MORE

Majirani Wasimulia Wema wa Mrehemu Kwandikwa

BAADHI ya majirani wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa wameeleza namna walivyoguswa na kifo...

READ MORE

Udahili Waanza Shule Mbili Zilizojengwa na GGML

JUMLA ya wanafunzi 249 wamedahiliwa kuanza masomo ya kidato cha tano kwa mwaka wa masomo  2021/2022 katika shule za Bugando...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kuaga Mwili wa Waziri Kwandikwa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ajumuika na waombolezaji wengine kushiriki ibada ya kuaga...

READ MORE

Taratibu za Kufungua Kesi ya Mbowe Zimekosewa, Kesi Yaahirishwa

KESI ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es...

READ MORE

Mbowe Afikishwa Mahakamani Kisutu – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kukiwa na ulinzi mkali leo...

READ MORE

Mashabiki Simba Watoa Neno Kuhusu Dewji, Manara

  UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unaunga mkono jitihada zote za uwekezaji zinazofanywa na mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi...

READ MORE

Polisi Wamsaka Mbunge Aliyejiuzulu Konde

WAKATI aliyekuwa mbunge mteule wa jimbo la Konde, Sheha Mpemba Faki akieleza sababu nne zilizomfanya kujiuzulu nafasi hiyo, ikiwemo kupokea...

READ MORE

Simba Waua Wanafunzi Watatu Arusha

WANAFUNZI watatu wa Shule ya Msingi Ngoile wilayani Ngorongoro, Mkoa wa Arusha, wameuawa kwa kushambuliwa na Simba, walipokuwa wanatafuta mifugo...

READ MORE

Headlines za Magazeti ya Leo Aug. 6, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 6, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Breaking: Messi Anaondoka Barcelona, Wenyewe Wathibitisha

TAARIFA zilizotolewa na Klabu ya Barcelona jioni hii zinaeleza kuwa, nyota wao Lionel Messi raia wa Argentina anaondoka klabuni hapo...

READ MORE

Mwenyekiti Adaiwa Kumbaka Shemeji Yake

Mwenyekiti wa kitongoji cha Kanami, katika kijiji cha Isangijo wilayani Magu mkoani Mwanza, Robert Mfungo anashikiliwa na polisi kwa tuhuma...

READ MORE

Ridhiwani Ashiriki Mkutano wa Halmashauri ya CCM Bagamoyo

  Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete leo Agosti 05, 20201 ameshiriki Mkutano wa Halmashauri ya Chama Cha...

READ MORE

RC Makalla Azindua Kampeni Ya Usajili Walipakodi Wapya

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amezindua Kampeni ya usajili wa walipakodi Wapya ikiwa ni...

READ MORE

Kesi ya Mbowe: Atakayeandamana Kukamatwa

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limesema halitosita kuchukua hatua kali dhidi ya kundi lolote ambalo litafanya maandamano kwa kushinikiza kuachiwa...

READ MORE

Ole Sabaya Apona, Afika Mahakamani

Shahidi wa saba wa Jamhuri, ASP Gwakisa Minga anaendelea kutoa ushahidi wake katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili...

READ MORE