×

Habari

Breaking: Charles Keenja Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri katika Serikali ya Awamu ya Tatu,...

READ MORE

Chanjo ya Corona: Ukitazama Video Hii, Utaamua Uchanje au Usichanje! – Video

KUMEIBUKA nadharia mbalimbali tangu chanjo ya Uviko 19 iliporuhusiwa na Serikali kuingia nchini Tanzania na baadae watumishi wa Serikali na...

READ MORE

Bwege: Naunga Mkono Tozo, Mwanasiasa Haogopi Kufungwa Wala Kufa – Video

  MBUNGE Mstaafu wa Jimbo la Kilwa Kusini, Suleiman Bungara maarufu kwa jina la Bwege amesema yeye anaunga mkono tozo...

READ MORE

Yanga Wapewa Angalizo ‘Wakiendelea na Usajili’

TAYARI Yanga wameamua kuanza usajili kwa ajili ya msimu mpya wa 2021/22 ambao utakuwa na matarajio makubwa kwa Wanayanga.  ...

READ MORE

Video: Mashabiki Watoa Tamko Rasmi – “Tunasimama Na Mo Dewji”

 MASHABIKI wa Simba wametoa tamko la kusimama na Mkurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba, Mohamed Dewji baada...

READ MORE

Baba na Mtoto Wadaiwa Kumuua Mama

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 57 mkazi wa kata ya Puge Wilaya ya Nzega mkoani Tabora anadaiwa kuuawa na...

READ MORE

Bwana Harusi na Wageni Wake Wauawa na Radi

Radi nchini Bangladesh imewapiga na kuwaua wageni 17 waliohudhuria sherehe ya harusi moja nchini humo. Watu 14 wengine ikiwemo bwanaharusi ,...

READ MORE

Kesi ya Mbowe Yaahirishwa, Wafuasi Chadema Wasombwa

POLISI jijini Dar es Salam wamewatawanya wafuasi wa Chadema ambao walikuwa wamekusanyika nje ya mahakama ya Kisutu kufuatilia kesi ya...

READ MORE

Kimenuka Kisutu! Wafuasi Chadema Wakamatwa

Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kuzuiwa...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi sandvik, Purchasing Officer

  Key Performance Areas Maintain positive relationships with suppliers. Coordinate with internal teams regarding their supply needs. Negotiates pricing and...

READ MORE

Benki ya NBC Yazindua ‘Jamii Akaunti’ Kwaajili ya NGOs, Taasisi za Kibalozi na Taasisi za Kidini

      Dar es Salaam: Agosti  5, 2021: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua rasmi huduma mpya ya kibenki...

READ MORE

Kesi ya Mbowe…. Hali Ilivyo Mahakama ya Kisutu – Video

Baadhi ya wanachama wa CHADEMA waliokusanyika nje ya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia kesi inayomkabili Mwenyekiti wao Freeman Mbowe...

READ MORE

Benki Ya NBC Yawafunda Wastaafu Watarajiwa Dar, Moro, Mtwara Na Zanzibar

    Watumishi wanaotarajiwa kustaafu katika taasisi za serikali na mashirika binafsi wameaswa kuweka mikakati thabiti ya matumizi bora ya...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Mamlaka ya Usafiri wa Anga

Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Mtumwa Khatib Ameir kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri...

READ MORE

Mume Amuua Mkewe kwa Kumkata na Panga Kisa Wivu wa Mapenzi

MKAZI wa kata ya Malezi wilayani Handeni mkoani Tanga, Nassoro Mustapha anatuhumiwa kwa kumuua mkewe kwa kumkata na panga sehemu...

READ MORE

DC Ludigija Apokea Msaada Vifaa Vya Shule Kutoka Nmb, Wasioona Wakumbukwa

  Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Ng’wilabuzu Ludigija amepokea msaada wa viti na meza za walimu kutoka kwa Meneja...

READ MORE

Bastola ya DC Yakamatwa Ikitumika Kufanya Uhalifu Mbeya – Video

JESHI la Polisi mkoani Mbeya linawashiklilia watu 5 kwa tuhuma za kukutwa na bastola moja na risasi 11, mali ya...

READ MORE

Dkt. Mpango Atoa Pole Msiba wa Kwandikwa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiambatana na Mkewe Mama Mbonimpawe Mpango hii...

READ MORE

Sabaya Ashindwa Kufika Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha leo imeahirisha usikillizaji wa ushahidi wa shahidi namba saba upande wa Jamhuri wa kesi ya...

READ MORE

Marobota ya Nguo Yakwamisha ‘Guta’ Kupinduka Eneo la Machinga Complex

    Baiskeli la miguu mitatu maarufu kwa jina la ‘Guta’ limepinduka katika eneo la Wafanyabiashara maarufu Machinga Complex Ilala...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Rais Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya...

READ MORE

Mkuu wa Upelelezi Aanza Kutoa Ushahidi Kesi ya Sabaya

MKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Wilaya ya Arusha, ASP Gwakisa Minga ameanza kutoa ushahidi wake katika kesi...

READ MORE

Diamond Amuandikia Manara Waraka Mzito

  STAA wa Bongofleva nchini, Naseeb Abdul alimaarufu kama ‘Diamond Platnumz’ ameshusha waraka mzito kuelezea ushawishi wa msemaji wa zamani...

READ MORE

Lusinde Amjibu Mnyika “Akae Kimya”

MJUMBE wa Halmashauri kuu Taifa CCM (MNEC) na Mbunge wa Jimbo la Mvumi Mhe.Livingstone Lusinde amemtaka Katibu Mkuu wa Chama...

READ MORE

Mbunge Ridhiwani Kikwete Atembelea Ujenzi Bwawa la Maji, Wananchi Kuondokana na Kero ya Maji

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete ametembelea eneo la Ujenzi wa Mradi wa Bwawa Kubwa la Maji litakalogharimu Shilingi...

READ MORE

Azam Yasajili Kipa Mpya wa KMKM ya Zanzibar

 KLABU ya Azam FC jana jioni imefanikiwa kumsajili kipa namba moja wa klabu ya KMKM ya Zanzibar, Ahmed Ali Suleiman...

READ MORE

EWURA Yasitisha Bei za Gesi Kupanda

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imesitisha upandaji wa bei za gesi za kupikia zilizopanda maradufu...

READ MORE

Tanzia: Padre Raymond Saba Afariki Dunia

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padre Raymond Saba ,amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano,...

READ MORE

Live: Mbowe Aja Kivingine Kesi Ya Ugaidi, JPM Atajwa Tena Kesi Ya Sabaya

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Infinix Yazindua Promosheni Kali Kuliko

    Promosheni ya Infinix kali kuliko imezinduliwa  ikiwa ni ndani ya  mwezi mzima kuanzia tarehe 1 hadi 30 Agosti....

READ MORE

Benki ya KCB Yadhamini Mbio Rock City Marathon 2021

    Benki ya KCB Tanzania imekabidhi hundi yenye thamani Tsh milioni 20 kwa waandaaji wa mbio za Rock City...

READ MORE

SGA Security Yadhamini Safari ya Baiskeli Afrika Mashariki

    Kampuni ya SGA Security imeahidi kuendelea kuunganisha wakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kupitia michezo huku ikidhamini safari...

READ MORE

Serikali Yakabidhi Boti Za Kubeba Wagonjwa Geita Vijijini Na Ukerewe

SERIKALI kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA) imeendelea kuboresha huduma za afya nchini baada ya leo kukabidhi boti...

READ MORE

Bunge Lathibitisha: Wabunge Wote Wanakatwa Kodi

Ofisi ya Bunge la Tanzania imesema, wabunge kama ilivyo kwa watumishi wengine wa umma na viongozi wa kisiasa wanakatwa kodi...

READ MORE

Rais Mwinyi Amlilia Waziri Kwwandikwa

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo kufutia kifo cha...

READ MORE

Yanga Wamtambulishwa Heritier Makambo 

DILI la usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Horoya AC ya Guinea, Heritier Makambo limekamilika ambapo leo Agosti 3, 2021 ametabulishwa rasmi ndani ya...

READ MORE

Mmiliki wa Shule za Alpha Afariki Dunia

JUMUIYA ya Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (University of Dar es Salaam Academic Staff Assembly) – UDASA...

READ MORE

Gwajima: Nilishasema Sichanjwi

Mbunge wa Kawe Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dkt. Josephat Gwajima amekanusha taarifa zinasombaa mitandaoni...

READ MORE