×

Habari

Mafunzo ya Ujasiriamali Buchosa Yazidi Kuwapa Nguvu Mpya Wananchi

ZAIDI ya wakazi 200 kutoka kata ya Kalebezo wamehudhuria mafunzo ya ujasiriamali yanayotolewa bure na Mbunge wa Jimbo la Buchosa,...

READ MORE

BOLT: SULUHISHO JIPYA LA UKOSEFU WA AJIRA 

KAZI yoyote, iwe ni ajira rasmi au kujihusisha na shughuli za uzalishaji kama vile kilimo na ujasiriamali ni msingi muhimu...

READ MORE

NMB Miliki Chombo Yatinga Kanda ya Ziwa!

Benki ya NMB imezindua huduma ya Mikopo ya pikipiki za miguu miwili na miguu mitatu kwa wakazi wa Kanda ya...

READ MORE

Kiboko Avunja Watu Miguu, Wananchi Wamgawana Nyama – Video

Hali ya Taharuki imewakumba wananchi wa Vijiji vya Embaseni na Maji ya chai wilayani Arumeru Mkoani Hapa ,kufuatia mnyama aina...

READ MORE

Mahakama ya Zimbabwe Yabatilisha Uamuzi wa Rais Mnangagwa

Mahakama Kuu nchini Zimbabwe, jana ilitangaza kuwa, uamuzi wa Rais Emmerson Mnangagwa kumuongezea muda Jaji Mkuu wa nchi hiyo ni...

READ MORE

Breaking: Idris na Wenzake Waachiwa Huru

MSANII wa Vichekesho, Idris Sultani na mwenzake wameachiwa huru baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuleta shahidi zaidi ya mara...

READ MORE

Sakata la Manabii Kufufua Wafu, Naibu Spika Awaka – Video

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, amewataka wabunge kujitahidi kuacha kutoa mijadala inayohusu...

READ MORE

Serikali Yamjibu Anayetaka Manabii Waanze Kufufua – Video

Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi imesema kuwa ipo tayari kukutana na manabii wanaodai kuweza kufufua wafu ili iweze...

READ MORE

🔴#LIVE: Rais Samia Awaapisha Majaji Wapya

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu, leo Jumatatu, katika Ukumbi wa...

READ MORE

Waziri Mwambe Atoa Siku 14 Kwa Wawekezaji Kupeleka Kero Zao

Waziri wa Uwekezaji Mhe.Geofrey Mwambe ametoa siku 14 kwa wawekezaji nchini ambao shughuli zao za uwekezaji zimesimama au zimekwamishwa kwa...

READ MORE

Kamati ya Corona Yapendekeza Chanjo Itumike kwa Hiari – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya...

READ MORE

Rais Samia Kupokea Taarifa ya Tathmini ya Ugonjwa wa Covid- 19

KAMATI Maalum iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Mei, 2021 itawasilisha...

READ MORE

IGP Sirro Amvalisha Cheo cha Ukamishna, Salum Hamduni

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amemtaka kamishna Salum Hamdun kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa kiapo...

READ MORE

Familia Yataka Kujua Alipo Ndugu Yao Aliyepotea kwa Siku 48

FAMILIA ya kijana Dennis Richard Katambwa (31) mkazi wa Bushushu wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga imeiomba Serikali kuingilia kati ili...

READ MORE

Rais Samia Awasili Dsm Akitokea Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

Zitto Apongeza Ushindi wa CCM Muhambwe

KIONGOZI wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameipongeza CCM kwa ushindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe.  ...

READ MORE

Queen Sendiga Atoa Kauli Walimvunjia Kioo cha Gari

MKUU wa Mkoa wa Iringa mteule Queen Sendiga, amesema kuwa yeye hawezi kuyabeba mambo yaliyotokea wakati wa kampeni na kuwa...

READ MORE

CCM Kumpeleka Zitto Mahakamani

BAADA ya kiongozi ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kudai kuvamiwa na gari tatu za CCM, Katibu wa chama hicho tawala Mkoa...

READ MORE

Rais Samia Amlilia Balozi Sykes

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan amepokea kwa...

READ MORE

Kavejuru CCM Ashinda Ubunge Buhigwe

Felix Kavejuru (CCM) ametangazwa mshindi katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Buhigwe uliofanyika jana Jumapili Mei 16, 2021.  ...

READ MORE

Dkt Samizi CCM Ashinda Uchaguzi Muhambwe

MGOMBEA wa CCM katika jimbo la Muhambwe, Dk Florence Samizi ametangazwa mshindi katika uchaguzi ulifanyika jana. Uchaguzi huo umefanyika baada...

READ MORE

NMB Kufungua Fursa Kwa Wateja Kupitia Wiki ya Ubunifu

BENKI ya NMB imeazimia kufungua fursa zaidi kwa wateja wake kupitia huduma mbalimbali zinazoendana na mabadiliko ya kiteknolojia ili kurahisisha...

READ MORE

Zari, Wema Ni Piga Nikupige

NI piga nikupige! Hicho ndicho kinachojiri baina ya maeksi wa supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Amuwakilisha Rais Samia Mwanza

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor...

READ MORE

Makamu wa Rais Mpango Apiga Kura Buhigwe- Video

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Philip Isdor Mpango, akisubiria kukabidhiwa karatasi ya kupiga kura kutoka...

READ MORE

Wakuu wa Mikoa na Taasisi Kuapishwa Mei 19

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atawaapisha Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Taasisi Jumatano Mei...

READ MORE

Kombora la Israel Laangusha Jengo la Ofisi za Al Jazeera

MASHAMBULIZI  makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Elimu

RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne nchini Tanzamia, Dk. Jakaya Kikwete anatarajiwa kufungua mkutano wa kimataifa wa elimu Bora ulioandaliwa...

READ MORE

Leicester City Watwaa Kombe la Fa

KLABU ya Leicester City imetwaa ubingwa wa kombe la FA usiku jana kwa kuifunga Chelsea bao 1-0 katika uwanja wa...

READ MORE

Kufuru! Bilionea Jeff Bezos Anunua Boti ya Sh Tril 1.16

MIONGONI mwa stori inayo-make headleine ulimwenguni ni kuhusu bilionea wa dunia, Jeff Bezos kununua boti iliyoitwa “superyacht“… hii imeamsha hamu...

READ MORE

Rais Samia Amteua Bosi Mpya DART na TAKUKURU

Rais Samia leo Mei 15, 2021 amemteua Dkt. Edwin Paul Mhede kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka...

READ MORE

Rais Samia Amteua Sylvester Mwakitalu Kuwa DPP Mpya

Rais Samia Suluhu leo Mei 15, 2021 amemteua Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) anachukua nafasi ya Biswalo Mganga...

READ MORE

Rais Samia Ateua Wakuu wa Mikoa Wapya

RAIS Samia Suluhu Hassan amepangua wakuu wa mikoa na kuteua wapya akiwemo David Kafulila, Amos Makalla na Queen Sendiga ambaye...

READ MORE

Waziri Jenista Mhagama Awaomba Wadau Kuboresha Taasisi za Walemavu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, ametoa wito...

READ MORE

Mnada Mkubwa wa Vifaa vya Ujenzi Kutikisa Dar – Video

KAMPUNI ya SEPCO DEBT COLLECTION AND AUCTIONEERING COMPANY LIMITED kwa idhini tuliyoopewa, tunawatangazia mnada wa hadhara utakaofanyika Jumapili, Mei 16,...

READ MORE

Maagizo ya NEC kwa Vyama vya Siasa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vya siasa, wagombea na wadau wa uchaguzi kuepuka kujihusisha na matukio yenye...

READ MORE

Naibu Waziri Ummy Ashiriki Hafla ya Chakula Siku ya Eid Al Fitr Chuo Cha Ufundi Yombo

Ofisi ya Waziri Mkuu imeandaa chakula cha mchana na kushiriki pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi Yombo ambacho...

READ MORE

Rais Samia Awatumia Salamu Watumishi Wezi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewataka watumishi wa serikali na sekta binafsi kuhakikisha wanafanya...

READ MORE

Dkt. Mpango, Nape, Nyalandu ‘Wavuruga’ Muhambwe

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha...

READ MORE

Gari, Bajaji kwa Bei Chee, Unakosaje kwa Mfano?

TAMBAZA AUCTION MART & GENERAL BROKERS LIMITED kwa idhini tuliyopewa na Zambia Cargo and Logistic Limited tunawatangazia mnada wa hadhara utakaofanyika...

READ MORE