×

Habari

Marekani Yataka Kuulipua Mwezi

Umbo la mwezi hubadilika na hata rangi yake, lakini tangu jadi binadamu amekuwa akivutiwa na maumbile yake. Kuna Mwezi Mpevu,...

READ MORE

Wagonjwa wa Covid 19 Wafurika Hospitali, Watibiwa Nyumbani

Hospitali nyingi katika jiji la Delhi pamoja na majiji mengine mengi zimezidiwa na wagonjwa wa mlipuko wa corona, hali inayowalazimu...

READ MORE

Kifo cha Rais, Jeshi Lagoma Kufanya Mazungumzo na Waasi

Baraza la utawala wa kijeshi nchini Chad limekataa ombi la mazungumzo ya kusitisha vita na waasi ambao imekuwa ikipigana nao...

READ MORE

Nyambizi ya Indonesia Iliyopotea Yapatikana Vipande

Nyambizi ya jeshi la wanamaji nchini Indonesia iliyotoweka katika pwani ya mji wa Bali siku ya Jumatano imepatikana ikiwa imekatika...

READ MORE

Baba Matatani kwa Kuwachoma kwa Makalio Watoto Wake

  Mkazi wa Kata ya Marangu Mashariki wilayani Moshi, Baltazari Mtui anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwaunguza makalio kwa...

READ MORE

NMB Yazindua Kampeni ya ‘NMB Mastaboda- Miliki Chombo’

BENKI ya NMB imezindua Kampeni ya NMB MastaBoda ‘Miliki Chombo,’ inayotoa mikopo ya pikipiki za miguu miwili na mitatu kwa...

READ MORE

Fahamu Historia ya Sanamu ya Askari, Dar

Sanamu ya Askari au Askari Monument ni sanamu iliyopo kwenye kitovu cha jiji la Dar es salaam kwenye mahali ambapo...

READ MORE

Wasauz Waingilia Dili la Yanga Kwa Tshabalala

HERRY Mzozo ambaye ni meneja wa beki wa kushoto wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, amesema kuwa mchezaji huyo anawindwa vikali...

READ MORE

Simba Waibuka, Wafungukia Sakata la Kufungiwa Fifa

UONGOZI wa Simba umeibuka na kufungukia sakata la wao kufungiwa kufanya usajili kwa kipindi cha msimu mmoja na Shirikisho la...

READ MORE

Aweso Aagiza Bosi wa Maji Mwanza Kuwekwa Ndani

Waziri wa Maji Jumaa Aweso wakati akiendelea na ziara yake Mkoani Mwanza leo Aprili 25, amemtaka Mkuu wa Mkoa wa...

READ MORE

Rc Kunenge Atuma Salamu kwa Wezi wa Vifaa vya Magari

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge ametoa onyo kwa watu wote wanajihusisha na wizi wa magari, vifaa...

READ MORE

Chadema Kukutana na Rais Samia

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema ombi lao la kukutana na Rais Samia Suluhu limekubaliwa na wakati wowote watakutana...

READ MORE

Mwakalebela Abadili Maamuzi, Akata Rufaa TFF

IMEFAHAMIKA kuwa Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Frederick Mwakalebela, juzi Jumatatu aliwasilisha barua ya kukata rufaa kwenye Shirikisho la...

READ MORE

Senzo Naye Aibuka, Amfungukia Kocha

MSHAURI wa masuala ya mabadiliko ndani ya Klabu ya Yanga, Senzo Masingiza amesema kuwa wanaimani na kocha mpya Nasreddine Nabi...

READ MORE

Mwendesha Mashtaka Anaswa Na Takukuru Akipokea Rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Manyara imemkamata Mwendesha Mashitaka Mkoa wa Manyara, Mutalemwa Kishenyi kwa...

READ MORE

Waziri Dk.Ndumbaro Atoa Agizo Kwa Taasisi Zake Kushirikia Tamasha La Majimaji Selebuka

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro ameziagiza Taasisi zote za Wizara ya Maliasili na Utalii ambazo zinatangaza Utalii na...

READ MORE

Breaking: Waziri Ummy Amsimamisha Kazi Mwakabibi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi...

READ MORE

Air Tanzania Kuanza Safari za China Mei 8

SAFARI za ndege za Shirika la Ndege la Air Tanzania kutoka Tanzania kuelekea Guanzou nchini China zinatarajiwa kuanza May 08,2021...

READ MORE

TMA: Kimbunga Job Hakipo

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa mpya leo Aprili 25, kuwa mwenendo wa Kimbunga hafifu Jobo unaonesha...

READ MORE

Championi Lamwaga Fedha kwa Wasomaji Wake

  TIMU ya masoko ya Kampuni ya Global Publishers, leo Jumamosi, Aprili, 24 2021, ilimwaga fedha kwa wasomaji wao waliokutwa...

READ MORE

Breaking: Tani Moja Ya Heroin Yakamatwa Kilwa Masoko

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha Jeshi la Wananchi (JWTZ)...

READ MORE

Full Time: Gwambina Fc Vs Simba Sc ( 0 – 1 ) – Ligi Kuu Bara

 KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kikosi chake kinaenda kukutana na mchezo mgumu dhidi ya Gwambina bila wachezaji...

READ MORE

TMA: Kimbunga Jobo Kimepungua Nguvu

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema Kimbunga Jobo kilichokuwa kinatarajiwa kupiga Pwani ya Tanzania kwa siku mbili, leo...

READ MORE

Mzee wa Kupapasa Wanawake Yamkuta

  Jamaa mmoja mtaani Pipeline, Nairobi nchini Kenya anajuta kuumizwa sehemu zake za siri na kisura aliyejaribu kumdhulumu (kumshikashika bila...

READ MORE

Ajichoma Kisu Mara 12 Baada ya Kumuua Mpenzi Wake

Kijana mwenye umri wa miaka 25 anaaminika alijaribu kujitoa uhai kwa kujidunga kisu baada ya kuripotiwa kumuua mpenzi wake huko...

READ MORE

SMZ Yasitisha Safari za Baharini kwa Muda

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar, imesitisha shughuli za usafiri wa baharini zikiwemo safari za meli na vyombo vingine vya usafiri baharini...

READ MORE

AstraZeneca Zilizotumwa Afrika Zime-Expire

Taarifa imetolewa kwamba chanjo za corona (Covid-19) zilizotumwa kwa nchi 13 barani Afrika zimepita tarehe ya mwisho ya matumizi, lakini...

READ MORE

Wakenya Wavamia IMF Wakilaumu Nchi Yao Kukopeshwa

Kwa mara ya pili wiki hii, mtandao wa kijamii wa shirika la fedha duniani IMF umejipata ukivamiwa na ukosoaji kutoka...

READ MORE

Ajira Mpya 6,000 Walimu Waanza Kutapeliwa

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amesema amepata taarifa kuwa...

READ MORE

Mama Ataka Uchunguzi Kifo cha Mwanaye

KABURI la mtoto Abdul Bakari (9) lililofukuliwa eneo la Kaloleni wilayani Kiteto mkoani Manyara chini ya ulizi mkali wa jeshi...

READ MORE

Kimeumana! Mbunge Chadema ‘Tumefukuzwa’ Naibu Spika ‘Futa Kauli’

Mbunge Kishoa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelalamikia kunyimwa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa kabla hajaondolewa kwenye...

READ MORE

Gwajima: Wengi Wapo Mahabusu Wamebambikiziwa Kesi za Uhujumu Uchumi

  Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mchungaji Dkt. Josephat Gwajima, amesema, kuna idadi kubwa ya watu wako mahabusu kutokana na...

READ MORE

Wananchi Watahadharishwa Kimbunga Jobo – Video

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi wote hususan wa kanda ya pwani ya Mkoa wa...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Katibu Mtendaji wa SADC Ikulu Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili, 23 2021 amefanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa...

READ MORE

Shirika la Posta Tanzania Sasa Kidigitali Zaidi

  SHIRIKA la Posta Tanzania limejidhatiti kuboresha huduma zake kidigitali kuendana na mabadiliko makubwa ya teknolojia kote duniani ili kurahisisha...

READ MORE

Mahakama: Majadiliano Kati ya DDP na Seth Yamalizwe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka kufuatilia majadiliano ya kuimaliza kesi iliyowasilishwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini...

READ MORE

Mondi Nyuma Ya Rayvanny, Harmonize

Wakati sheria ikisubiriwa kuchukua mkondo wake juu ya kusambaa kwa picha na video za utupu zinazodaiwa kuwa za staa wa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi Taasisi za Serikali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wa taasisi mbalimbali kama ifuatavyo;...

READ MORE

Tahadhari: Kimbunga Jobo Kupiga Tanzania

KIMBUNGA hafifu kimeyapiga maeneo ya mwambao wa bahari ya Hindi nchini Tanzania jana kufuatia kujitokeza kwa mgandamizo wa hewa katika...

READ MORE