×

Habari

Kuna Udhaifu Kwenye Kupambana na Nzige – Mkenda

SERIKALI imesema hairidhishwi na utendaji wa shirika la kukabiliana na nzige wa jangwani la Afrika Mashariki lenye makao yake makuu...

READ MORE

Aibomoa Nyumba ya Mil 154 Aliyomjengea Girlfriend Wake

NYUMBA yenye vyumba vinne ya huko Mpumalanga nchini Afrika Kusini imebomolewa yote kufuatia mgogoro kati ya wapenzi. Video zinazoonyesha nyumba...

READ MORE

Tamasha la Kisarawe Ushoroba Festival laendelea, Vodacom Tanzania na WWF wasimamia zoezi la upandaji miti

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwegelo (katikati) akiotesha mti kwenye eneo la hifadhi ya msitu wa mazingira asilia...

READ MORE

Padre Aliyewanyanyasa Watoto Kingono Afia Gerezani

Padri wa zamani wa Kanisa Katoliki ambaye alifungwa jela kwa kuwanyanyasa kingono watoto watatu pamoja na mwanafunzi aliyekuwa akisomea upadri...

READ MORE

DC Ilala Atoa Siku 30 Bure Kufanya Biashara Soko la Minazi Mirefu

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija amefanya ziara katika Soko la Minazi Mirefu katika Ziara hiyo aliatambatana...

READ MORE

Mwanza: Vikoba Kufungwa Aprili 30

MKURUGENZI wa Usimamizi wa Mabenki wa Benki Kuu, Jerry Masyenene amesema ifikapo Aprili 30, mwaka huu vikoba abavyo havijasajiliwa havitatambulika...

READ MORE

WHO Yashindwa Kuongelea Mwisho wa Corona

Mkurugenzi wa Programu ya Hali ya Dharura ya Shirika la Afya Ulimwenguni Mike Ryan amesema kuwa sio kweli kutarajia kumalizika...

READ MORE

Kampuni Inayonunua Mkojo Dar Kuchunguzwa

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema haiitambui wala haijawahi kuipatia usajili kampuni ya Polai (Tz). Co Ltd kukusanya...

READ MORE

Wanaotumia Bima za NHIF za Ndugu Zao Waonywa

MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Mima ya Afya (NHIF) Jijini Mwanza, Jarlath Mushashu, amewaonya wananchi mkoani hapa ambao wana...

READ MORE

Lindi: Babu Atupwa Jela Miaka 20 kwa Kumdhalilisha Mtoto Kingono

Ustadhi Selemani Ally (58) amehukumiwa mika 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumdhalilisha kingono Mtoto wa miaka 12....

READ MORE

Zimbabwe: Makamu wa Rais Ajiuzulu

Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Kembo Mohadi amejiuzulu kufuatia ripoti za Vyombo vya Habari nchini humo kuhusu mienendo yake isiyo...

READ MORE

Shigongo Apania Kujenga Buchosa Mpya, Amwaga Mamilioni – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo ametembelea miradi ya maendeleo katika Kata ya Bulyeheke na kuongea na...

READ MORE

Live: Mwinyi Amwapisha Masoud Kuwa Makamu wa Rais

  RAIS wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi, amemwapisha Othman Masoud Othman kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, kujaza...

READ MORE

Waziri Prof. Ndalichako Amkabidhi Cheti Mwanafunzi Aliyepata Daraja la kwanza Matokea Kidato cha Nne

Serikali kupitia Mradi wa Lipa Kulingana na Matokeo (EP4R) itapeleka Shilingi bilioni 137 katika Halmashauri zote nchini kwa ajili ya...

READ MORE

Nape Nnauye Ashukuru NMB Kwa Kutoa Msaada Vifaa Vya Hospitali Jimboni

Benki ya NMB mkoani Lindi imetoa misaada ya vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 10 kusaidia kuboresha...

READ MORE

Nisha: Mwanangu Akipata ‘Division One’ Nampa Insta Yangu

KUMEKUWA na utaratibu kwa mzazi kumuahidi vitu mtoto wake kama njia ya kumshawishi ili afanye vizuri kwenye masomo, sasa msanii...

READ MORE

Majambazi 5 Wauawa Dar, Wakutwa na Bastola – Video

KAMANDA wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa  amesema Jeshi hilo limefanikiwa kuwaua majambazio...

READ MORE

TANZIA: Mkurugenzi wa Radio ORS Afariki Dunia

MKURUGENZI  na mwanzilishi wa taasisi kadhaa nchini ikiwepo kituo cha Radio ORS ya Terati wilaya ya Simanjiro, Martin Ole Sanago...

READ MORE

Trump Kujitosa Tena Urais wa Marekani 2024

ALIYEKUWA rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania tena kwenye kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa...

READ MORE

Mwinyi Amteua Masoud Makamu wa Kwanza wa Rais

OTHMAN  Masoud Othman ameteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, kujaza nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad ambaye...

READ MORE

Trump Aibuka Upya, Atoa Kauli Hii

ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu Joe Biden kuwa Rais wa nchi hiyo, na...

READ MORE

Mbunge Amwaga Mauno Hadharani Akicheza Waah ya Mondi

Mbunge wa Malindi nchini Kenya Aisha Jumwa amewachangamsha wakazi wa Matungu baada ya kunengua kiuno chake akicheza wimbo wa Diamond...

READ MORE

Bobi Wine na Hofu ya Kumiliki Gari la Kifahari

KIONGOZI wa upinzani wa Uganda Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine amejikuta akiwa katika hofu kubwa kwa madai ya kuwa na...

READ MORE

Serikali Yasema SGR Haitakuwa na Tatizo la Umeme

SERIKALI imewahakikishia Watanzania kuwa Treni ya Kisasa (SGR) haitakuwa na tatizo la umeme, kwa sababu mabehewa yatakuwa na uwezo wa...

READ MORE

Mfahamu Zaidi Mrithi wa Maalim Seif

  WAZANZIBARI na Watanzania kwa ujumla kwa sasa wameelekeza macho na masikio kwa raisi wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi wakisubiri...

READ MORE

Huawei Yaunga Mkono Malengo ya Maendeleo Endelevu ya UN

Kampuni ya Huawei imeunga mkono Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (UN SDGs) katika kujenga ulimwengu wa kijani,...

READ MORE

Mbwa Watumika Kugundua Wagonjwa wa Covid-19

MBWA waliofunzwa nchini Finland wana uwezo wa kugundua wagonjwa walio na maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19).     Mbwa...

READ MORE

Saudia Yakanusha Bin Salman Kuhusika Kifo cha Khashoggi

SAUDI ARABIA imekanusha vikali ripoti ya kijasusi iliyotolewa na Marekani ikifichua kuwa mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo...

READ MORE

Maajabu! Jogoo Amuua Mmiliki Wake kwa Kumchoma Kisu

MTU mmoja ameuawa na Jogoo wake aliyekuwa amefungwa kisu mguuni kwa ajili ya mchezo uliopigwa marufuku wa kupambanisha jogoo Kusini...

READ MORE

Wanaswa na Vipande 13 vya Meno ya Tembo Wakisaka Wateja

KIKOSI maalum ya kupambana na ujangili katika eneo la ikolojia ya Tarangire – Manyara, kimewakamata watu wawili katika kijiji cha...

READ MORE

Tanzia: Mfanyabiashara Maarufu Arusha Afariki Dunia

Mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, Andrew Mollel ambaye alikuwa mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni mbalimbali mkoani Arusha amefariki dunia na kuibua...

READ MORE

Makamu Wa Rais Samia Ahutubia Maadhimisho Ya Siku Ya Magonjwa Adimu Dunia -Video

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amehutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya...

READ MORE

Mwambusi Atangaza Kurejea Yanga

ALIYEKUWA Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema kwa sasa yupo fiti kurejea kikosini hapo baada ya kufanyiwa upasuaji wa...

READ MORE

Mkurugenzi Wa AGRI Aongoza Kugawa Taulo Za Kike Wanafunzi 1,800 Bukoba

Mkurugenzi wa Agri Thamani, Neema Lugangiea (Mb.) ambae pia ni Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) kupitia Kundi la Asasi za...

READ MORE

ACT- Wazalendo Wapata Mrithi wa Maalim Seif

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tayari wameshapendekeza jina la mrithi wa majukumu ya Marehemu Maalim Seif...

READ MORE

Prof. Kitila Aongoza Ziara Ukaguzi Miradi Mfuko wa Jimbo

MWENYEKITI wa mfuko wa Kuchochea Maendeleo Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, amewaongoza wajumbe wa mfuko huo kufanya ukaguzi wa...

READ MORE

Dkt. Abbas: Tumeanza Kusimamia Maelekezo Ya Rais Utoaji Habari

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, amesema Maelekezo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu utoaji wa habari za...

READ MORE

Waziri Mkuu Apokea Msaada wa Madawati kutoka Coca-Cola Kwanza

  Kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola Kwanza Ltd mwishoni mwa wiki imetoa msaada wa madawati 100 kwa Wilaya ya...

READ MORE

Video: Mabingwa wa Kutibu Magonjwa kwa Tiba Asili -Nsong’wa Traditional Clinic

Nsong’wa Traditional Clinic, ni kituo kinachotoa matibabu ya asili kwa watu wenye matatizo mbalimbali, ambacho kina ofisi zake sehemu mbalimbali,...

READ MORE

Video: Akutwa Na Magunia 25 Ya Madawa Ya Kulevya, RCP Azungumza

 JESHI la polisi mkoa wa kipolisi wa Temeke, linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 34, Frank George, mkazi...

READ MORE