×

Habari

Kujifukiza Hospitali ya Muhimbili, Mloganzila Sh 5000 tu

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mloganzila zimefunga mashine nne  za kujifukiza. Wakati Muhimbili zikifungwa mashine tatu, Mloganzila imefungwa moja....

READ MORE

Jafo Azindua Magari 3 ya Huduma ya Tohara Mikoa Minne

WAZIRI wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI amezindua magari matatu yatakayotoa huduma ya Tohara katika mikoa minne ya kanda ya...

READ MORE

Mrembo Afanyiwa Upasuaji Zaidi Ya Mara 10, Aomba Msaada – Video

Hawa Hussein Ibrahim ni mama wa mtoto mmoja anayepitia changamoto nyingi za kiafya kwa kufanyiwa operesheni ya tumbo zaidi ya...

READ MORE

Taharuki! Mamba Watoroka Wanapofugwa

Idadi isiyofahamika ya mamba wadogo hawajulikani walipo baada ya kutoroka katika shamba wanapofugwa eneo la Cape Magharibi Afrika Kusini Jumatano,...

READ MORE

Kitendawili! Nani Kuanza Kuchanjwa Corona Kenya?

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema wahudumu wa afya ndio watakaokuwa wa kwanza kupokea chanjo ya Covid 19 kwani wapo...

READ MORE

Chombo cha Anga za Mbali cha Bilionea Elon Chatua Salama

KAMPUNI inayotengeneza vyombo vya anga za mbali SpaceX imefanikiwa katika majaribio ya  moja ya vyombo vyake vya Starship Prototypes katika...

READ MORE

Pedeshee Ndama Apandishwa Kizimbani Tena

MFANYABIASHARA Ndama Hussein maarufu kama’Pedeshee Ndama’ na mwenzake Yusuph Hassan wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka...

READ MORE

Makamu Wa Rais Samia Afunga Mkutano Wa Wanawake

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Machi 4, 2021 amefungua na kufunga...

READ MORE

TAHARUKI! Tetemeko Lapiga Ugiriki

  TETEMEKO la ardhi lenye ukubwa wa 6.3 katika kipimo cha richter limekumba eneo la kati mwa Ugiriki leo na...

READ MORE

Serengeti Yatangazwa Kivutio Bora Zaidi Duniani

MBUGA ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania imechaguliwa kuwa mshindi wa vivutio vya utalii duniani na kampuni ya Tripadvisor. Tuzo...

READ MORE

Wachina Wanaswa Sauz na Shehena ya Chanjo Feki za Corona

POLISI  nchini China na Afrika Kusini wamekamata maelfu ya dozi feki za chanjo ya Covid-19 na kuwakamata wahusika, polisi wa...

READ MORE

Kilio Katakata ya Umeme Kila Kona

KILIO kila kona. Ndivyo hali ilivyo kutokana na adha ya kukatika umeme kila mahali nchini, hivyo kusababisha wananchi kushindwa kufanya...

READ MORE

Lukuvi Afuta Hati Yenye Mgogoro wa Miaka 14

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ameamuru kuondolewa katika daftari hati ya kitalu namba 153 na...

READ MORE

Part 2: Wazazi wa Mtoto Chekechea Genius wa Hesabu Wafunguka – Video

GLOBAL TV imefunga safari mpaka mkoani Morogoro Vijijini katika tarafa ya Matombo, kumfuata mtoto, Charles Mathias, ambaye amebarikiwa kipaji cha...

READ MORE

Shigongo Amwaga Vitanda vya Wagonjwa Buchosa – Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amekabidhi vitanda vitano vyenye dhamani ya zaidi ya shilingi milioni 10 katika...

READ MORE

Urusi yaahidi kulipiza kisasi dhidi ya vikwazo vya Marekani

  Wizara ya mambo ya nje ya Urusi jana jioni imesema kuwa vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani ni ishara ya...

READ MORE

Kambi ya Kijeshi Iraq Inayotumiwa na Marekani Yapigwa Makombora

  Muungano wa Jeshi unaoongozwa na Marekani nchini Iraq pamoja na jeshi la nchini hiyo, umesema kuwa takriban roketi 10...

READ MORE

Wanaopata Shida ya Kupumua Waaswa kutokutaharuki, Waelekezwa Dawa Asili

  WATANZANIA wanaokumbwa na maradhi ya kushindwa kupumua vizuri na kubanwa mbavu  wameshauriwa wasipate taharuki kwani kuna dawa makini ya...

READ MORE

Bonge la Mpango ya Nmb yaanza kwa Kishindo; 10 Wazoa Mkwanja

Droo ya kwanza ya Kampeni ya Weka Akiba na Ushinde inayoendeshwa na Benki ya NMB iitwayo Bonge la Mpango, imefanyika...

READ MORE

TGNP YAFUNGA SIKU TANO ZA MAFUNZO YA URAGHBISHI

Mtandao wa jinsia Tanzania (TGNP) imefunga mafunzo ya Uraghbishi yaliyofanyika kwa muda wa siku tano ili kuwafunza na kuwajengea uwezo...

READ MORE

Kikongwe Aliyeteseka Alishukuru Ijumaa Wikienda

Kikongwe Regina Mbawala, mkazi wa Bunju B, Kata ya Mabwepande jijini Dar aliyewahi kuripotiwa na gazeti hili akihitaji msaada, amelishukuru...

READ MORE

Dereva Bodaboda Akatwa Shingo kwa Waya wa Umeme

DEREVA wa pikipiki katika kijiji cha Mgombasi wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma Kaimu Kinokwite (28) amekufa kwa kukatwa shingo na waya...

READ MORE

Walimu Wakatana Mapanga Wakigombania Penzi la Mwanafunzi

POLISI katika Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya wamemkamata mwalimu wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Karoti baada ya kudaiwa...

READ MORE

Kortini kwa Tuhuma za Kuwaajiri Wageni Bila Vibali

  Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwa mashtaka manne likiwemo la kuwa ajiri...

READ MORE

Spika: Wafuasi 458 wa Bobi Wine Wamepotea

  CHAMA cha National Unity Platform (NUP) kimesema kwamba takriban raia 458 wa Uganda hawajulikani walipo wala hakuna taarifa zozote...

READ MORE

Kaka Wawili Wauana Baada ya Wake Zao Kuchapana Makonde

WENYEJI wa Kaniga Makome eneo bunge la Muhoroni, kaunti ya Kisumu nchini Kenya wameachwa midomo wazi kufuatia kisa kilichosababisha kaka...

READ MORE

Mapadri 25, Watawa 60 Wafariki Dunia Ndani ya Siku 60

KATIBU  mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema zaidi ya mapadri 25, watawa zaidi ya...

READ MORE

Breaking: Rais Mwinyi Ateua Mawaziri

Rais wa Zanzibar Dkt.Mwinyi amemteua Dkt. Saada Mkuya Salum kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu kwa Kwanza wa Rais,...

READ MORE

Mahakama Ubelgiji Yaamuru Jino la Lumumba Lirudishwe DRC

MAHAKAMA mjini Ubelgiji imeamuru kwamba jino lililochukuliwa kutoka kwa maiti ya shujaa wa Uhuru wa taifa la DRC wakati huo...

READ MORE

Kenya Yapokea Shehena ya Chanjo ya Covid-19

Shehena ya chanjo ya Covid-19, dozi milioni 1.02 za Oxford-AstraZeneca imetua katika uwanja wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya,...

READ MORE

Kikongwe wa Miaka 77 Afia Kisimani

MZEE mmoja aliyefahamika kwa majina ya Joseph Rutabana mwenye umri wa miaka 77 mkazi wa kijiji cha Butairuka amepoteza maisha,...

READ MORE

Shigongo, TARURA Wambana Mkandarasi Buchosa – Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ameambatana na Mratibu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...

READ MORE

Brazil: Watu 1,641 Wafariki kwa Corona Siku Moja

BRAZIL imerekodi idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa Covid-19 kwa siku baada ya watu 1,641 kufariki kwa ugonjwa...

READ MORE

Gwiji wa Reggae, Swahiba wa Bob Marley Afariki Dunia

MWANAMUZIKI huyo, kutoka Kingston, Jamaica, alikuwa mmoja waanzilishi wa bendi ya The Wailers pamoja na rafiki yake wa utotoni, Bob...

READ MORE

Carlinhos Amtibulia Kaze Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze amesema kuwa kadi nyekundu aliyopewa kiungo wake mshambuliaji Carlos Fernandez ‘Carlinhos’ imetibua mipango...

READ MORE

Waziri Ndalichako Aitaka JKT Kukamilisha Ujenzi wa Chuo cha Ualimu Kabanga

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknojia Prof. Joyce Ndalichako ameitaka SUMA JKT Kanda ya Magharibi kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa Chuo...

READ MORE

Tanesco Wapewa Siku 5 Tano Kumaliza Matengenezo

WAZIRI wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, ametoa muda wa siku tano kwa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), kuhakikisha linafanya matengenezo...

READ MORE

Maiti Yazuiliwa Hospitali, Kisa ‘Hitilafu ya Pasipoti’

MWANAMKE ambaye baba yake wa kambo alifariki Thailand wiki mbili zilizopita anasema hospitali imekataa kuachilia maiti yake kutokana na mchanganyiko...

READ MORE

Mama, Mwanaye Wakutwa Wamekufa Gesti

  IRENE Lyimo(21) mkazi wa kata ya Kilema Kaskazini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na mwanaye wa mwaka mmoja wamekutwa...

READ MORE