×

Habari

Rais wa Ethiopia Kuwasili Nchini Kesho, Waziri Kabudi Afunguka -Video

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi amesema kuwa kesho Januari, 25 Tanzania inatarajia...

READ MORE

Serikali Yaagiza Kuanza Ujenzi Madarasa Nchi Nzima

NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) David Silinde ameagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha hakuna mwanafunzi...

READ MORE

Video: Ibada Ya Kumuaga Brigedia Maganga Nyumbani Kwake Dar

 IBADA Ya Kumuaga Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga ambaye alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma amefariki Dunia Januari 21,...

READ MORE

Diamond na Tanasha Waonyesha Mahaba Stejini -( Picha +Video)

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ pamoja na mama mtoto wake, Tanasha Donna Oketch usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

Kesi Dhidi ya Trump Kuanza Februari 8

Kesi ya Rais wa zamani wa Marekani itaanza wiki ya pili ya Februari katika Bunge la Seneti, baada ya kuwasilishwa...

READ MORE

Orodha ya Klabu 20 Bora Afrika, Tanzania Imo

KLABU Bora Afrika kwa sasa,viwango vinatokana na matokeo ya timu katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la...

READ MORE

Wapishi, Wapambaji, Ma-MC, Wapiga Picha, Watakiwa Kulipa Ada

WATU wanaofanyakazi ya kupamba kumbi za starehe, kusherehesha (Ma-MC), wapishi wa sherehe na wapiga picha, watatakiwa kulipa ada na ushuru....

READ MORE

Muuguzi Aliyempiga Mjamzito Afutwa Kwenye Baraza la Wauguzi na Wakunga

  BARAZA la Uuguzi na Ukunga Tanzania, limemwondoa kwenye orodha ya wauguzi na wakunga Tanzania, Valentine Kinyanga wa kituo cha...

READ MORE

Wanadiplomasia Kushirikiana na Tanzania Kuvutia Wawekezaji

UMOJA wa Ulaya (EU) umeahidi kuendelea kuiunga mkono Serikali ya Tanzania katika jitihada za kuimarisha mazingira ya biashara na uwekezaji...

READ MORE

Shigongo Anaendelea Kugawa Vifaa vya Shule kwa Wanafunzi

OFISI ya Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, imeendelea na zoezi la kugawa sare na madaftari kwa wanafunzi...

READ MORE

Breaking News: Larry King Afariki Dunia

MTANGAZAJI na mwandishi wa habari mkongwe wa kituo cha runinga cha CNN cha nchini Marekani, Lawrence Harvey (87), almaarufu Larry...

READ MORE

DC Aingilia Kati Walinzi Kumpiga Aliyekuwa Akimuuguza Mama’ke

Sakata la Daudi Lefi aliyekuwa anamuuguza mama wake hospitali ya rufaa Mkoa wa Shinyanga kupigwa na walinzi wa Suma JKT...

READ MORE

Avuliwa Ukuu wa Shule kwa Tuhuma Kuiba Vifaa vya Ujenzi

MKUU wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimb,i amemwagiza Mkurugenzi wa Halmshauri ya Singida, Rashid Mwandoa, kumvua cheo Mwalimu Mkuu...

READ MORE

Mjamzito Ajiua na Mimba ya Miezi 9

MWANAMKE mmoja amejinyonga kwa kutumia kanga kwenye mti wa mwembe katika kijiji cha Itununu wilayani Serengeti, kwa madai ya wivu...

READ MORE

Wachawi Waapa Kumroga Aliyechoma Moto Kanisa Lao

MAMBO yaligeuka mnamo Alhamisi, Januari 14, 2021, mnamo saa kumi na moja asubuhi wakati mtu asiyejulikana aliteketeza jumba la “Halloween...

READ MORE

Zimbabwe: Waziri wa Nne Afariki kwa Corona

WAZIRI  wa Usafirishaji wa Zimbabwe, Joel Biggie Matiza, amefariki dunia kwa kuugua COVID 19 jana katika Hospitali ya St. Annes...

READ MORE

Makamu wa Rais Aliyegomea Mawaziri Kutibiwa Nje, Augua, Apelekwa China

Makamu wa Rais Zimbabwe, Jen. Mst. Dkt. Constantino Chiwenga amesafirishwa kwa ndege kwenda China jana jioni kufuatia hali yake ya...

READ MORE

Trump Alitaka Mwanasheria Ambaye Angebadili Matokeo ya Kura Georgia

ALIYEKUWA rais wa Marekani Donald Trump alikuwa na mpango wa kumfukuza mwanasheria mkuu kwa kukataa kubadili matokeo ya uchaguzi na...

READ MORE

Serikali Kugawa Saruji Kila Kata

HALMASHAURI ya wilaya ya Geita, imetenga bajeti ya shilingi bilioni 78, kwa mwaka wa fedha 2021/2022, huku ikija na mpango...

READ MORE

Mwili wa Mbunge Martha Kuagwa Leo Bungeni Dodoma

MWILI wa aliyekuwa mbunge wa viti maalum wa Manyara kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Martha Umbulla, utaagwa leo Januari 23,...

READ MORE

Mrithi wa Mkude Athibitisha Kumalizana na Simba

NI rasmi sasa kiungo mkabaji wa timu ya taifa ya DR Congo, Doxa Gikanji amethibitisha kumalizana na uongozi wa Simba...

READ MORE

Ashushiwa Kipigo na Askari Akimhudumia Mama Yake Wodini – Video

KATIKA hali isiyotarajiwa mwanamme aliyejulikana kwa jina la Daudi Lefi (40) amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushambuliwa na walinzi...

READ MORE

Walimu 2 Mbaroni Wakituhukiwa Kumpa Mimba Mwanafunzi na Kuitoa

POLISI  mkoani Njombe inawashikilia walimu wawili wa Shule ya Sekondari Mang’oto wilayani Makete mkoani Njombe, kwa tuhuma za kumsababishia ujauzito...

READ MORE

Ahukumiwa Jela kwa Kuishi Nchini Bila Kibali

RAIA wa Nchini Yemen, Edhah Nahdy (34) amehukumiwa kulipa faini ya Sh 1,400,000 au kwenda jela mwaka mmoja na miezi...

READ MORE

Majaliwa Achangisha Mil. 18.9 Kumsaidia Mtoto Miriam

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameendesha harambee ya papo kwa papo na kuchangisha sh. milioni 18.9 ambapo kati ya hizo, sh....

READ MORE

Wananchi Wakinukisha Ofisi ya Mtaa, Kisa Hiki Hapa!

  WANANCHI wa mtaa wa Mwananchi kata ya Mahina Wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, wameifunga ofisi ya mtaa huo, wakishinikiza Chama...

READ MORE

Shigongo Aendelea Kuwagusa Watoto Wasiojiweza

ZOEZI la kuwashika mkono watoto wanaotoka katika familia zisizo na uwezo katika Jimbo la Buchosa limezidi kupamba moto kwenye shule...

READ MORE

Global Yazidi Kuchanja Mbuga Kidigitali – Video

WAKATI Kampuni ya Global Publishers Ltd ikizidi kwenda kasi katika ulimwengu wa kidijitali, leo tena timu ya maofisa masoko wa...

READ MORE

Majaliwa Achangisha Mil.18.9 Kumsaidia Mtoto Miriam, JPM, Samia Waunga Mkono

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameendesha harambee ya papo kwa papo na kuchangisha sh. milioni 18.9 ambapo kati ya hizo,...

READ MORE

Mwanaume Mwingine Afariki Akiwa Gesti na Mpenzi Wake

  Mtu mmoja ambaye jina lake halijatambulika amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni akiwa na mwanamke anayehisiwa kuwa ni...

READ MORE

Wazazi Buchosa Wampa Tano Shigongo Kutekeleza Ilani ya CCM

KATIBU wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Sengerema, Khatwabu Mohamed, amempongeza Mbunge wa Jimbo la...

READ MORE

Afariki kwa Kukanyagwa na Treni Akidandia

MTU mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Noa amefariki dunia baada ya kukanyagwa na treni ya abiria akiidandia wakati ikiwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwaga Machozi Alipomuona Binti Miriam – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo Ijumaa, Januari 22, 2021, amekutana na binti, Miriam Shemndolwa,...

READ MORE

Hammer Q Amshauri Baba Diamond, Amkataa Mzee Yusuph -Video

 MSANII wa Taarab, Hammer Q leo Januari 22, 2021 amefunguka kupitia kipindi cha KATAMBUGA Cha 255 Global Radio na...

READ MORE

Trump Aaanza Maisha Mapya ‘Uraiani’

  ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, ameanza maisha ya kawaida kama raia wengine akiwa katika uwanja wake wa golfu...

READ MORE

Kim Kardashian Avaa ‘Kimtindo’ Akitalikiana na Kanye West

KIM KARDASHIAN (40) jana (Alhamisi) alitoa picha zake kwenye mtandao wa Instagram akiwa katika nguo yenye rangi ya fedha inayoonyesha...

READ MORE

Watoto Waning’inizwa Juu Ya Mti Kupimwa Uzito

WANANCHI katika kijiji cha Nyagisya kata ya Kiore wilayani Tarime mkoani Mara wamelazimika watoto wao kupewa huduma ya kliniki chini...

READ MORE

Shigongo Aendelea Kumwaga Vifaa Kwa Wanafunzi – (Pichaz + Video)

  MBUNGE wa Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, kupitia kampeni yake ya BUCHOSA MPYA, PELEKA MTOTO SHULE ameendelea na zoezi la...

READ MORE

Marekani Kuanza Tena Kufadhili WHO

MAREKANI itaanza tena kufadhili Shirika la Afya Duniani (WHO) na kujiunga katika ushirika unaolenga kugawanya chanjo ya virusi vya corona...

READ MORE

Tanzia: RC Mstaafu Wa Kigoma Afariki Dunia

Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga ambaye alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma amefariki Dunia jana Januari 21, 2021 saa tatu...

READ MORE